ZUCHU AMTOLEA UVIVU DIAMOND NA WASAFI “NAWAPELEKA MAHAKAMANI, MNANIUMIZA KIMWILI NA KIAKILI”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 59

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 2 дня назад +3

    I stand with Zuchu

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 2 дня назад +7

    Akufukuzae akuambii toka lazima wamepewa maelekezo na boss wao

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 2 дня назад +1

      Walsema awaach ila watapga ma2kio mpaka waondoke wenyewe 😂

  • @KwaresmaNyoni-y3l
    @KwaresmaNyoni-y3l 15 часов назад

    Zuchu kwan wanaume wengine hàwapo tupo tooop

  • @Lucifuu-n8t
    @Lucifuu-n8t 2 дня назад +1

    Lucifuu na zuchu tumefanya lakini ipo kionjo tuu 💰💰💰 zuchu pole ila we ni mvumilivu hamna shida da zuuh

  • @sirielsamweli
    @sirielsamweli День назад +1

    Yeye mwenyewe aliomba diamond amuoe wafunge ndoa ss leo anapaniki ya mtoto, ndoa ni mpango wa Mungu, pia Juma amkujibu kulingana na neno aliloongea

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 2 дня назад +1

    Mapenz na kazi siku zote huwa sumu acha mziki ubaki kwenye Mapenz nazan ulimuon tanasha

  • @kimah9855
    @kimah9855 2 дня назад

    Zuhura fika kings 😂😂😂😂😂😂😂Achana wasafi😂The truth is that mume wako naye he ain’t supportive

  • @MassaweHamad
    @MassaweHamad 2 дня назад

    Free Zuchu ❤

  • @HaznaLuhanjo
    @HaznaLuhanjo День назад +1

    Kwani diamond nae anasemaje 😂

  • @dainesbenjamin8230
    @dainesbenjamin8230 День назад

    Zuchu twakublulilee kuti akamundu hujo gwatilee mkung'ang'aniana isala isikuti iafyaja akili 😂💔💔💔💔po tutiblulee po ndahgaa mweee

    • @Sharmy_02
      @Sharmy_02 День назад

      Jhobha fijho maana atiku pilika nkamu😂😂

  • @AminaJumanne-p1y
    @AminaJumanne-p1y 2 дня назад +2

    Jamani ile nyimbo ya i dont care si kaimba kwamba ye akisemwasemwa ndo anapenda na akarudia kua akisemwasemwa tujue anaona raha sasa imekuaje tena au ilikua kujifariji na hiyo ndo mbaya anyway lkn nainjoy mziki wake mzur🤣🤣🫶

  • @HawaJumanne-uy4eu
    @HawaJumanne-uy4eu День назад

    Huyu anatafuta sababu kuona watu wabaya kumbe yeye mwenyewe anatengeneza bomu mwanaume unamuacha unamrudia unamaanisha atajirekebisha ao kina zari unafikiri hawakuombwa msamaha tumia akili wee dada hapo hamna mume na shukuru.ajakuoa sasa.ngangania hivyohivyo sisi tupo na mabando yetu macho

  • @RehemaKulaba
    @RehemaKulaba День назад

    Kwani zuchu ninani mbona wengine waliachwa nawalitiwa ndomoni yeye ulitaka mwenyewe kujilahisi mtu ukisha tembea na bos tuu ipo siku yatakufika

  • @storytownTv
    @storytownTv 2 дня назад +1

    Honeyyyy ndi ndi ndi ndindindi..😂 mpk ubak skeleton

  • @KwaresmaNyoni-y3l
    @KwaresmaNyoni-y3l 15 часов назад

    Wao tu kila siku waache ujinnga na umri ndo huooooo

  • @mjsteven3297
    @mjsteven3297 2 дня назад +2

    Yaani hamuwezitoa wimbo bila mikiki?😢

  • @Bahati-v4m
    @Bahati-v4m 2 дня назад +2

    Kimwili naunavyo vaaga vichupi tumekuchoka

  • @zena6203
    @zena6203 2 дня назад

    Kinganga Leo kavurugwaaa

  • @AsheyAmey-hl5em
    @AsheyAmey-hl5em 2 дня назад +1

    Kiki zinaendelea

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 дня назад +2

    hiyo siyo kiki ni koki

  • @zahrajumaa8965
    @zahrajumaa8965 День назад

    Tutoleen kiki hapa

  • @Jax20022
    @Jax20022 12 часов назад

    TATIZO NI NGUMU KUAMINI KAMA NI KWELI AU NI MAIGIZO SBB NDO STYLE YA TAASISI YENU MIAKA YOTE!!

  • @JenifaJohn-d7t
    @JenifaJohn-d7t День назад

    Hizo michezo ya wasanii

  • @Chocococoliam
    @Chocococoliam 2 дня назад +4

    Kinagongelea apo apo kwenye ndoa ili kiolewe 😂😂😂😂yaan una namba ya mpenzi wako si umpigie tu kwani kulikuwa na lazima gani kuandika instagram 😂😂ichi kizuhura kinaomba omba ndoa sana lakini eeenh yaan kina mikakati ichi

  • @Breakingbad-q5k
    @Breakingbad-q5k День назад

    After kiki ya hamo na chams mna amuwa ku leta yanu.. acheni zenu

  • @issaadinaniissa6487
    @issaadinaniissa6487 День назад

    Abigail Cham's

  • @em-2139
    @em-2139 2 дня назад

    Tatizo shetani akisha tia mguu kwenye tasnia yeyote, ushenzi mahali apo lzma utakua mkubwa sana! Kama ilivyo rahic kwa akili ya mwanadamu kupokea mambo mapumbavu zaid kuliko eny akili.

  • @mccatty9217
    @mccatty9217 2 дня назад

    Mapenzi na kaz kwa boss waqe ndo kinachom cost now

  • @YusufDuale-eq4kl
    @YusufDuale-eq4kl День назад

    Niliwaambia zuchu anatumika tuu.

  • @Hgd-jk6lh
    @Hgd-jk6lh 2 дня назад +1

    Mnafiki mbona kafuta hiyo post😂😂😂

    • @farhiyaareef9518
      @farhiyaareef9518 2 дня назад

      Juma so tayar katangaza kuondoka wasafi? Na pia hujaona Zuchu km kafuta WCB kwenye bio yake ya instagram?

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 2 дня назад

    Wanataka kutoa ngoma mpyanini? Maana wasafihao kazizao bila kiki haziendi

  • @GermanaangeloMkemangwa
    @GermanaangeloMkemangwa 2 дня назад

    Ni kiki hiyo maana ulishazoea

  • @salama1113
    @salama1113 2 дня назад +1

    Hihabari kubwa kuliko uchaguzi wa chadema?

    • @Sharmy_02
      @Sharmy_02 День назад +1

      Punguza sauti akuckia 2lisu 😂😂😂

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 2 дня назад +1

    Kiki tu wajua wanacho kifanya

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 День назад

    Diamond akianza kupiga matukio n km Iv sasa

  • @muhamadkhalid4976
    @muhamadkhalid4976 2 дня назад +1

    Acheni mambo ya kijinga nyie mziki haufai 😂😂

  • @sirielsamweli
    @sirielsamweli День назад

    Nani alimwambia mapenzi na kazi yanaenda?????

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 2 дня назад +2

    Watu kujiongeza hawataki. Sasa hpo c unabd kuelewa kuwa unatumika😂

    • @irenematovu2084
      @irenematovu2084 День назад +1

      Asante anatumika too in the names of love

  • @MuhammedSaid-g5v
    @MuhammedSaid-g5v 2 дня назад

    😂

  • @SauliBasso
    @SauliBasso 2 дня назад

    Kiki za kisenge wcb

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 2 дня назад

    Una kwenu kilasiku nyie tuu tupisheni uko

  • @allenkwaya8594
    @allenkwaya8594 2 дня назад

    Hana lolote zuchu isipokuwa anataka kutoa video anatafuta atettion

  • @MoureenManeno
    @MoureenManeno 2 дня назад

    Wanasemwa wakina hamisa wakina Zari wakin wolper na nyama zao kwan ww ni nan,HASWAA mpka usisemwe we s umetuimbia unaskia raha ukisemwa kaaaa we bint we unjkut nan kutembea n huyo nasib

  • @franksiame8441
    @franksiame8441 2 дня назад

    the artist is becoming a coward, diamond has gone through many challenges