Sina neno mimi. Nawaombea tu. Namkaribia sana Mungu nikiwasikia. Natulizwaaa kabisa.... kuwepo kwenu ni baraka. Mungu awape mema na nafasi zaidi ya kumtumikia.
Shooting director you just amazed me The way umeapangilia waimbaji it really presentable kila mtu yupo on point +melodies,confidence na ujumbe kila kitu kinavutia may the good Lord lead you to every step.
Asante sana Mwalimu Kirya for the blessed composition...it is indeed imploring...I have been an ardent listener of LB songs since 2016..the likes of Njoo ulivyo mpendwa and trully speaking you have grown in leaps and bounds...same case here as a Listener..I am blest
Hii ni kazi kama kazi nyingine Hii ni Taaluma kama Taaluma nyingine Hii ni Ubaya ubwela nyingine kama Ubaya Ubwela ya Simba Sports club. Asanteni na barikiweni
Thank you the light bearers. I cant get tired to listen to your songs . thanks for being a blessing to many. This song has blessed me so much i hv been listening to it over and over . Keep shining God is with you
Wonderful voice’s, video 🔥🔥, mwalimu kirya hizi code ni hatari 🙌🏿, waziri Barnabas Mungu azidi kukuinua na kukubariki na kukuongezea maisha marefu, waimbaji wote Mungu azidi kuwabariki! 🙏 ila mtuache tupumue kidogo maana mnatupiga na vitu vizito 😂😂 huku LENGO LANGU huku WAHITAJI KUPONA 😝
Amazing and amazing again light bearers 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪l can't get tired to listen to ur song's , am blessed alot Mbarikiwe sana may almighty God be with you .🤍🤍🤍
Wimbo mzuri sana sana sana umenibariki mno, ila sijamuona yule dada wa sauti ya kwanza, simjui kwa jina, ameongoza nyimbo nyingi ikiwemo ule wa( "Niimbe pendo lako.......) upendo umaua dunia haijui.......)
Yaani mungu ameniwezesha, kuwatch na kubarikiwa WA kwanza... Mungu awahifadhi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mbarikiwe sana
Ninataka kupona, ninataka
Amen mwalimu
Ahsante sana kwa ujumbe Mungu awabariki sana
Sina neno mimi. Nawaombea tu. Namkaribia sana Mungu nikiwasikia. Natulizwaaa kabisa.... kuwepo kwenu ni baraka. Mungu awape mema na nafasi zaidi ya kumtumikia.
AMEN👏☺️☺️
Kuna watu wanaimba jaman😋😋
Mbarikiwe mno mn00🤲
Hili Ni hubiri...nyimbo Ni ibada na hutusogeza karibu na Baba..Be blessed
Nice track lengo langu bado tamu mshatupa chupa nyingne am so blessed with you nawapenda
How can I like this video 100times? Procedure please! Each of you has a crown waiting in our father's house
Ninataka kupona kwa Neema ya YESU nimebarikiwa sana Kuwa miguuni pake patulivu
healing music ....mubarikiwe jamani
Asanteni kwa kuwajari wenye changamoto ya usikivu wa sauti, Bwana awabariki kwa huduma ya sign language
Hamja wai niungasha
Nice song.Godbless this kwaya.
Shooting director you just amazed me
The way umeapangilia waimbaji it really presentable kila mtu yupo on point +melodies,confidence na ujumbe kila kitu kinavutia may the good Lord lead you to every step.
Ninyi ni mbaraka mkubwa wenye matumaini katika ulimwengu huu NEEMA YA BWANA YESU NA IWE PAMOJA NANYI NYOTE....AMINA
Namuona mbarikiwa
Mkiweza naomba mfanye kurudia ule
Wimbo wa Sifa kwa Bwana, if at all it’s possible🥰🙏🏿🤗
Amina kubwa. Bwana na Awabariki sana sana.
Mbarikiweee 😋🙏
Nimebarikiwa Sana,. Be blessed the lightbrz
Hakika Tumkaribue Yesu , binafsi nahtaji kuponaaa🥰🥰👏👏👏
Hii inaitwa hatupoi. Mungu aendelee kuwatumia apendavyo
Hatupoi na hatuboi....wabarikiwe sana
Bwana azidi kuwatumia na kuwatunza.. Mbarikiwe sanaaa..
Asante sana Mwalimu Kirya for the blessed composition...it is indeed imploring...I have been an ardent listener of LB songs since 2016..the likes of Njoo ulivyo mpendwa and trully speaking you have grown in leaps and bounds...same case here as a Listener..I am blest
Good work my people 🙏 I'm one of sayuni family choir we follow you daily per daily actually God bless you so much
Wow nice song! Keep it up we love you from Rwanda 🇷🇼
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri
Nice Piace... Namuona Mbarikiwa Mtwa,. Ni Yeye i hope ni Tenor hiyo iliyotukuka
2024 GONGA LIKE
Nawapenda sana
Hi nyimbo Ina nifurahisha sana.
Edouard SDA KAJAGA-BURUNDI.
Great Message!
Sare Nzuri as Usual 😅
Oooh hongera Sana kwenu
Bwana ni mwema awape kung'ara kama nyota angani nawapenda chama langu
Amen....Nabarikiwa na nyimbo zenu nzuri.
JCB Studios- nice job brethren...God bless the work of your hands
Love this song ❤️ thank you Lord Jesus for making us whole and conquerors
Ujumbe wenye matumaini tele...
Hii ni kazi kama kazi nyingine
Hii ni Taaluma kama Taaluma nyingine
Hii ni Ubaya ubwela nyingine kama Ubaya Ubwela ya Simba Sports club.
Asanteni na barikiweni
Hakika tunabarikiwa🙌🙌🙌
Tunamshukuru mungu kutupatia zawadi hii Tanzania you guys are just a blessing to many people
Jesus please heal me, Love from Uganda
Mbarikiwa I’m blessed to see u here
Wowwww this is another goodone.
I don't understand kiswahuli but sounds so nice. Be blessed. Here from Uganda 🇺🇬
Wimbo mzuri hakika unenibariki sana (Amen)
Uplifting songs like this we need in our life as we are waiting for the blessed day of the Great God of Heaven
Asanteni sana kwa wimbo uliojaa Baraka. Mungu awabariki.
Mnanibariki Sana mungu awazidishie mema yote
Ee Mungu wangu ndio nataka kupona thank you so much light bearers mayGod bless you 🙏
Tumkaribie Jamanii
Mbarikiwe LB kwa wimbo makini.
Ameeen... Hakika niwimbo wa matumaini ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥
Nawapenda Bure jaman,uimbaji wenu unani bariki sana Bwana awabariki.
Amen and Amen. Wow Mwalimu Kirya creative codes tunazozipenda. Everything worked for God’s Glory in this video👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Thank you the light bearers. I cant get tired to listen to your songs . thanks for being a blessing to many. This song has blessed me so much i hv been listening to it over and over . Keep shining God is with you
AMEN be blessed...
Blessed by ur song's ,from Kenya 🇰🇪.God bless you
Another hit be blessed lightbearers
Safiiiii
Awesome... Blessings all the way🔥🔥🔥
I find myself listening to this song over and over again. God bless you good people for such a wonderful inspiring and encouraging piece
Ooh! Hallelujah
Wimbo mtamu sana huu, Mungu awainue zaidi.
Amen!! Yes Dear LORD, I believe, make me whole today. Mbarikiwe sana, The Light Bearers, TZ. Asanteni.
Hakika mwaniimbia. Dumu daima
Nice song, Be blessed a lot 💪
Wonderful voice’s, video 🔥🔥, mwalimu kirya hizi code ni hatari 🙌🏿, waziri Barnabas Mungu azidi kukuinua na kukubariki na kukuongezea maisha marefu, waimbaji wote Mungu azidi kuwabariki! 🙏 ila mtuache tupumue kidogo maana mnatupiga na vitu vizito 😂😂 huku LENGO LANGU huku WAHITAJI KUPONA 😝
hahahaha
AMINAÀ Hakika Namkubali Sana huyuu mtu me Nazi yangu nikujifunza Kwake Tu Naamin nitakuwa Vema pia🙏🙏🙏
🤣🤣🤣niache nicheke hawa jamaa nihatari zaidi ya Moto🔥🔥
God bless you, l really love your songs. Greetings from Rwanda
Urakoze cyane Ndayisenga
Mbarikiwe mno 💖
In my weakness the divine strength is manifested. Indeed it is nothing but by the Grace. Great message of Hope. God bless you Light Bearers.
Très beau travail. nous sommes bénis par vos prestations remplies d'onctions. Big thanks!
Woooow!!! what a powerful message within the sweet and greet melody. May the Lord bless you abundantly 👏
Wow so nice
ameeen nabarikiwa mno
Blessings always much love from Kenya
Amen mbarikiewe Sana wapendwa katika Bwana
Amazing and amazing again light bearers 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪l can't get tired to listen to ur song's , am blessed alot
Mbarikiwe sana may almighty God be with you .🤍🤍🤍
Aminaaa ujumbe mdhur
Kirya my Master i appreciate your Melody
Blessings
J'aime beaucoup votre chanson.que Dieu Vous benissent.🙏🙏🙏
God bless you abudantly
Barikiwa sana
Amen . Thank you for an amazing song.
Sending love and light from Denmark.
Amina Mbarikiweee
🙏🙏
You are all looking good .
Amen!nimebarikiwa sanaa na ujumbe
Mungu azidi kuwainua na kuwabariki sana
Thanks you so much for your spiritual nourishment and may God richly bless your ministry.
Awesome great job may God bless you
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu Mungu awabariki.Naombeni namba za producer na Audio maker
AMEN AMEN AMEN 🙏
HALLELUJAH HALLELUJAH
Wimbo mzuri sana jaman unanibariki sana jamani
Mungu azidi kuwabariki sana
Beautiful song love from #Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Amen
nice song and message
This song has such an awesome message. Be blessed Light bearers as u continue spreading this wonderful message of GOD.
One of my favourites.
Amen🙏
Wimbo mzuri sana
THANKS..........Im blessed
Amani, Indeed we r saved by Grace
Mbarikiwe sanaa The LIGHTBEARERS.
Wimbo mzuri sana sana sana umenibariki mno, ila sijamuona yule dada wa sauti ya kwanza, simjui kwa jina, ameongoza nyimbo nyingi ikiwemo ule wa( "Niimbe pendo lako.......) upendo umaua dunia haijui.......)