kwanini huo muda usiutumie kupinga ubadhilifu unaoendelea kanisani kama anavyofanya pr mwasomola ? ingawa yeye pia kakosea kuwaita serikali waingilie mambo ya kanisa.Au wewe unaogopa kufukuzwa kazi? muda unaoutumia kupinga kilichoandikwa huku ukinyamaza kuhusu WIZI na ubadhilifu unaoendelea kanisani wewe pia hakika una UTAPIAMLO MATEGE na UNAFIKI.MUNGU akuamshe Kwa namna yoyote ila asikufungie mlango wa Rehema.
Mchungaji apa unadanganya watu, enewei muda utazungumza unatumia nguvu nyingi sana kujaribu kueleweka lakini unachokifanya ni sawa na Bure,maana jumuia kubwa ya watu wanaamka unaowadanganya ni wale wasio na akili Sawasawa ya kutafuta maandiko wao wenyewe.Lugha Yako pia ni chafu UTAPIAMLO,MATEGE ndio lugha ya mkristo? ikiwa maandiko yanasomwa kuhusu miaka 6000 tukusikilize wewe au nabii?
Bwana nimwema nilikuwa nafikiri hivi kipindi kitakuwepo barikiwa sana
Amen
Barikiwa sana mchungaji na kaka angu pr semba kwa huu ukweli unaoendelea kuweka wazi
Jamani kwani mchungaji amefanya kosa gani kuhelimisha jamii? Mchungaji Paul Semba naomba usonge mbele kuusema ukweli husiwasikilize mawakala shetani.Mungu akubariki sana popote uendako,utokapo,utembeapo,unenapo,ulalapo na uamkapo.