Stano uenda watoto wa huyu mama si wa huyo Mzee ndio maana alitaka kuua Justus af mwishowe aue Mzee Mali waachiwe so mkimaliza Mzee achunguze hao watoto wengine
Yani pasta show na Samaritan aki Mungu awabariki na kuwalinda nyinyi na familia zenu mnafanya kazi nzuri mnaguza moyo wa Mungu kabisa hamtawahi pungukiwa kwa jina la Yesu binafsi nawaombea sana...
Ona macho yake tu yanaonyesha kuna kitu fiche au ni mm naona vitu zangu....😂 eti hapo kunakuanga na joto joto wahaa ila 🎉🎉🎉🎉🎉 kwa stano na joshua simuoni.
Me I think Justus ndio alichomwa juu kumbukeni vile stano alipokuwa anasoma texts za Esther kuna text ilikuwa inasema,"KUNA HAWA WATU WANAJIITA PASTA SHOW,WACHA TUWA NEUTRALIZE!!!"so hizi story za Charles ni vitu haziko juu Justus ni mtu mzima angekuwa ashajitokeza kwa babake
Stano aki akili yenye uko nayo kweli iko juu ,may God protect you ❤❤❤
How he install private camera makes me believe he can be more than DCI,
Amen
Exactly 💯
Our able DCI stano kazi nzuri san👏👏👏
DCI😂😂😂😂amejileta kichinjio😅😅😅 hapo asitoke mpaka justus apatikane
😂😂😂shiiiiiii?😅😅
😂😂😂asubirie kuchinjwa
He's more even Soo called DCI complicated 🙂↕️😴🤪
Stano uenda watoto wa huyu mama si wa huyo Mzee ndio maana alitaka kuua Justus af mwishowe aue Mzee Mali waachiwe so mkimaliza Mzee achunguze hao watoto wengine
😅😅😅😅😅Ogopa DCI stano Big up bro 🙏🏼🔥🔥🔥🔥💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Huyu si dci ....uongo huyu ni Mtu wa kulipwa
Ukweli
Stanley mwangi muraguri congrats na Mungu akulinde wherever you're
Amen
Don't ever joke with stano😅😅 utajitambua bila kujua😅😅😅
😂😂😂😂wallai bila shaka unajisema
Never aki
Waaaaah....DCI umejichagaya kabisa......kwa stano hutoki mpaka Justus apate justice na utajua hujui
😂😂😂usichome 😅😅
Stano you are truly doing a good job. Be blessed. Wale wote ni waovu watapatikana wanaume kwa wanawake
The Bible said that - Nothing will remain hidden 😮
What is done in darkness will one day come into light.
Ati inasemekana Justus ndyo ilifaa achomeke but charles akachomeka MEANING YOU WERE THE MASTER MIND AND PLANNER 😢😢😢😢
Nimeamini kilicho na mwanzo kina mwisho no matter when.God protect your people
Stano wekea huyo mjinga hidden çamera na hao wa mama tena ukweli ujitoe wenyewe tena😂bt I'm sorry for that mzee😢😢
Jichanganye kabisaa 😂😂😂uta juwa hujui
😂😂😂😂👍🏾👍🏾💯
Stano ako rada kabisaa hapagwigwi 🎉🎉🎉mtajua hamjui
Inachanganyaa,Mara mwili ilifanyiwa postmortem,Mara haikufanyiwa,Mara walipata siyo Justus ,walipata Charles,mbona mzee amezika mtoto sio wake.huyu mama nikama aliuwa mama Justus pia,Ehehe itakuramba shiko..
Stano is a very brave man 👞 for sure God have you wisdom 💪 STANLEY
Uyu ajui stano utajua ujui kijana 😂😂😂
Kumbe DCI wakenya anaogopa our DCI?
😂😂😂imagine
Stanos interrogation is always tough, until the so called government DCI ana sweat 💦 karibu Ajikojolee saalaaaa!!!
😅😅😅am telling you 😅
Stano ambia Bev aki advertise hizo solar asi shout nashtuka😅😅 nikama poem😊😊😊
😂😂😂 kwenda
Ama wewe ni last born 😂
@monicamaina3854 aki ni ndo last born in our family,always fragile🤣🤣🤣
@BeatriceMuthoni-rh3gd 😂😂😂😂
Asiposhout tutajua aje ana advertise.Haujawahi sikia magari zikipita na speakers.😅
Huyu mshukiwa anachekacheka nini na meno za yellow saa zile familia inaonboleza
amejileta🚶🚶kwa stano DCI John hapo utajitoa wewe hujui stano hajesomea but amepita wenye wamesomea go go stano tunakwaaminia good job 👍
The wicked people shall not go unpunished.
Darkness has no power
Its time to shine for light has come.
DCI John umejileta kichijio,utajua hujui😂😂
Huyu ni DCI aina gani anajikanganya hivi. Huyu alinunua kazi. He's totally confused.
DCI John 😅😅😅😅 utajua stanoo and Joshua plus Godfrey dio madci
Huyu ni gaidi,,siunaona hakona muguka Kwa mdomo,, walai,,
😂😂😂 ak ww Hadi mdomo umeangalia
Hata mimi naona hivo,DCI Godfrey aitwe hatuconfirmie kama he is a really DCI,namushuku kabisa,
Good job stano. Ya Giza ina kuja kwa mwanga. Mungu ni wa jambu
Ukweli nimeamini damu ni nzito kuliko maji😂😂😂😂so sad but tuko karibu kufiga kwa Ukweli
Wasiwe waliwatoa wote wawili uhai😢😢😢ati 200k?unauwa mtu aki! Mungu tusamehe hii ni sana😢😢😢
Imagine
Useless people
Walikuwa waue justus sasa Charlse alimuua kwanini pia hii ni case ya muuaji ya watu wawili at the same time
DCI mbona unaji kanganya😅😅
Mm DCI mwenye naamini hii Kenya ni Mr Freddy, Godfrey peke wenye wenye wamebaki ni wauwaji to nkt
Mbona anasema justus ndo alifaa afie kwa ile nyumba kumbe alikuwa anajua plan
Pole sana baba wetu we are not resting until tupate Justus
INASEMEKEKANA NA NANI???REDFLAG....HAPA LAZIMA KIELEWEKE..THE ONLY DCI I KNOW NI STANO NA FRED..
Umesahau Godfrey
Ongeza Dci gody
Usisahau Godfrey kwa samaritan
True @@chinualilianthos6703
Na Gody
Yani pasta show na Samaritan aki Mungu awabariki na kuwalinda nyinyi na familia zenu mnafanya kazi nzuri mnaguza moyo wa Mungu kabisa hamtawahi pungukiwa kwa jina la Yesu binafsi nawaombea sana...
John safari bado jipange kijana
This should be in national tv
Greediness is costly and no peace
Pasta Show and the team, May God cover you with the blood of Jesus Christ all through, you are morer than a DCI, You deserve the Trophy
Walai this year it's a real banger 😅😅😅😅 thanks for making our weekend
Wap like za dci wetu guys ...stano ata unafaa kuwa na 🔫 plus id koz you are qualified ..ata private dci
"Ile nyumba justus alikua achomekee" hii statement says alot
Nime note hivo pia
Ona macho yake tu yanaonyesha kuna kitu fiche au ni mm naona vitu zangu....😂 eti hapo kunakuanga na joto joto wahaa ila 🎉🎉🎉🎉🎉 kwa stano na joshua simuoni.
Stano DCI wa Ma DCI...🎉🎉🎉 mutajua hamjui...stano hachezangi.
Hiyo video imechezwa shiko akatubu kimoyomoyo dhambi zote hadi za utotoni,Hongera Stano kwa kazi nzuri
Wewe unajita dci utajua hujui hapo Kwa stano umefika stano n dci mkubwa Alie teuliwa na Mungu kutetea walio thulumiwa
Ataa bibi Wa kwanza ni wao waliua ama wakaficha
Stano!!! Weeee hakii ni mwalimu kabisaa wa hayo mambo Pasta show the best channel in the world 🌎
Ata uyu c dci n kujiwekelea tu jina ,,atajua ajui anadeal n stano ,
Pasta you’re a powerful judge. Congratulations my brother. Keep up the good job. Love From Australia.
huyu mama amejiona tena anauliza huyu ni nani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu ni mkora na leo kimemramba,atajua hajui,huyu shiko and the company should rote in jail
Ati sio mm😂😂😂😂
Me I think Justus ndio alichomwa juu kumbukeni vile stano alipokuwa anasoma texts za Esther kuna text ilikuwa inasema,"KUNA HAWA WATU WANAJIITA PASTA SHOW,WACHA TUWA NEUTRALIZE!!!"so hizi story za Charles ni vitu haziko juu Justus ni mtu mzima angekuwa ashajitokeza kwa babake
Message wakati wa kwanza walisema ni kama spirit ya Charles hajapumuzika.
Huyu si DCI 😢😢😢😢😢 mtakuja niambia huyu ni chokora tu waliokota wakadanganya mzee ni DCI
Huyu n mikora hata sura yenye inaonyesha pia bang n kama anafuta
Wee shiko anajiona akiwa mjanja adi anajikana Stan Esther akipelekwa chemba atawapea ukweli wote
Mwenye aliuza plot ya baba kafue plz nakuomba kujia huyu dci umfunganishe na babakafue uwaauze hatutaki kuwaona.
Raha nko nayo juu ya huyo Mzee acha akione Yale alifanyea mke wake mkumbwa aki 😂
😂
Wacha kimrambe hiyo mzee
😂😂😂😂
Haki Stano,, " Mbona unasweat,?😅😅😅
Stanoo this are two different situations,vyenye Esther alifeli kumwua Justace by killing charlace it seems walicome badae and they abducted Justas😢😢😢
Mzee achunge sana, yeye ndio next jangili akule mali pekee yake
Waaanikwe hadi kieleweke😢
Amesema walifanya post mortem na mwili siyo ya justus
Maybe Justus alipotea asishikwe aambiwe ni yeye Aliua charles..Justus jitokeze kababaa.kuja mambo iko Sawa
Stano ,good job,kuinstall CCTV kwa cell is a very good idea
Umejilete kichinjio mwenyewe DCI stano ni 🔥🔥🔥uta sweat hadi meno na bado
i love the audacity in Stano of asking questions.
Dci apewe juice ya 🌶️🌶️🌶️ akunywe
Mambo yote kwa mwangaza you dont know our own DCI stano
Already anatetemeka,aseme chenye anajua😢😢😢
Ameshikwa na malaria bila kujua 😂
That's why nawapenda stano yani mtu unawekewa replay ya mambo Yako ya siri😂😂😂
UYu ni DCI mbonoko tunakungoja Boss utajua hujui na kusweat yako
😁😁😁,huyo mtu ako na Siri,Fulani unatoa jasho ya nni,.?
Ni kama alikuwa ndani ya hiyo nyumba😢😢
Effects za dawa za malaria 😅😅
Stano hachezi
Congrats sana
May we found Justus alive, Charles will never rest until he gets his justice 😢😢
Mutuse John DCI usicheze na dci wetu stano
😂😂😂😂 enyewe huyo ni Mutuse
Stano , sama na Dave nawapenda bure tu.ile kazi mnafanya ni mzuri sana
Za Dave ni vitimbi
@@marywinnie7562ukweli
😂😂😂😂😂 He is sweating because of malaria. Leo ni leo na bado
😂😂😂😂utaniua 😅😅
Aki ako guilty
@@NaomiNyakundi-h9m naomi hii ni criminal bora pesa. Sio DCI
@@marymutavi atajua huku n wapi 😂😂
He is guilty of killing charle na kuficha justus
Huku ni kumoto 😂😂 hutajitowa mwanzo huku utasema ukweli
God protect Stano team through this work
The cinema continues, stano only God will reward you plus your team,
And where is Justus from May 2021?
My question too
Sasa hawa ndiye mapolisi tunategemea wa kulinda usalama?mungu wangu😱🤦🏻♀️😢
STANO Eti ulijua aje ni Charles, and yet he says evidence haikuwa,alikuja kugundua Eti si justas,😂😂😂😂
This woman is a criminal she needs to face the law because there is enough evidence
Mwangarie venye anatoa jasho, leo ni leo lazima kitawaramba, boychild must get justice ili apumzike kwa amani😢😢😢😢
Wee tingiza tuu miguu kama ubwa iko na nyege
😂😂😂😂
😮😮😮
😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
The Lord's Judgment Day has finally come Hallelujah 🙏 all the hidden secrets now put in the open 🙏
DCI ,says the body was discovered ni ya Charles how comes baba justus alipewa akazike
Big up stano team... pamoja tuangamize walifu Kenya
Stano yuko siriasi na kazi🇹🇿🇹🇿🙏
Wa nyumbani na ww una fatilia 🇹🇿
Ata ajawai change nguo😂😂
how can someone kill his bro, or relative and accept to sleep in peace
But this fella doesn't look like he has peace!!
Stano i love how ur investigating
jamaa anasweat hdi mapua😂😂😂
Sikia kiherehere sasa amejileta kwa moto😂😂😂😂
Anapenda kusema inasemekana kumbavu zake
😂😂😂😂
Pasta huyo ni gaidi mkubwa sana