Mm nimekupenda shekh kwakukubali shekh bachu yale aliyoyasema simaneno yake bali nimaneno ya mashekh masha Allah nimekupenda bure mzee kwakukubali ukweli. ngoja tumsubiri bachu ajekumaliza kazi
Ma shaa Allaah, Allaah akupe wewe na sisi mwisho mwema , Wew ni sheikh wa kwanza kukuona hauna kibri katika elimu hasa yakumujua Allaah, Sheikh bachu kamalize kazi ili watu waelewe zaidi....Allaah awahifadhi masheikh wetu wenye kusimama katika haki tena bila kuws na vibri
Mashallah, ilmu ni bahari, usilolijua ni sawa na usiku wa giza, nimekuelewa sana babu kiluwasha, nimemuelewa mohamedi bachu kila mmoja kwa anachojua yuko vizuri. Hizi ilmu zipo isipokuwa hatuzijui tuu. Allah atujalie elimu zenye manufaa fiduniya wal akhera
Ameen,hainahaja ya kubishana , kila mtu katika hawa ukiangalia kunakitu kimoja muhimu,wamekigusia, KAMA KUMTUMIA KWANJIA YA HALALI NA WASILA ITAKAYO TUMIKA KUMFIKIA YEYE BASI NI HALAL YAFAA, KAMA MAMBO NIYA HARAMU NA NJIA ITAKAYO TUMIKA NI YA HARAMU BASI NIHARAM,
Alafu wengi ktk watu wanaenda kulingana na fikra na akilizao, kwakuwa hajazowea hilo basi yye anaona hata sheria imekataza, Kwaivo mtu azingatie, kama madhara ni mengi kuliko faida kwake haifai kutumia, kama faida nyingi na njia atakayoitumia niya halal basi yajuzu, asiambiwe ni shirki
Mm katika hili jambo nimemuelewa zaidi sheikh BACHU nasiamamia hapo. Kumtumia jini nirahisi zaidi kumtoa MTU ktk tawaqal kwa Allah na ndio njia rahisi yakuzama ktk shirki bila kujua au kwa kujua hasaaa Wallah aalam
Mashaallaa Allah bariq mwenyenzi mungu akujaze maarifa zaidi na afya njema ili uzidi kutupa elimu, mwenye akili timamu amekuelewa na yule mbugila mbugila hatokuelewa kwa ubishi wa asili yake.
Baba kiriwasha kumbe wale wanao tumia chuma ulete kumbe Ni jini. Subhana Allah ,,,, Yarrab tuhifadhi waja wako na utulinde na hasad na husda na vitimbi vya kiduniya. ,,, amiiiiiin
Allah awazidishie kheri na baraka baba kiruwasha na sheikh bachu mnawakilisha hekima katika jamii yetu. Binafsi nimependa hili suala lilivyohitimishwa, kwamba ni vyema kupima madhara na faida ya kumtumia jinni kabla ya kuchukua hatua hiyo. Asanteni sana kwa i'lmu.😊
Eti kuna mwanamke ana swahibu jinn Kitendo cha jinn kukaa ndani ya mwili wa mwanadamu tayari ameshakufuru Iblis ana njia nyingi sana za kumpoteza mwanadamu Allah atuongoze na kutupa mwisho Mwendo
Mimi pia najua hivyo.Kitendo cha jinn kukaa kwenye mwili wa mwanadamu anakuwa ameshakufuru. Lugha nyepesi ni kwamba hakuna jinn mwema anayefungamana na wanadamu,majini wema wote wanaishi ulimwengu wao wakimuabudu Allah S.A
Mtume aliusia kwamba Wana wa Zuoni watakuja iharibu Dini/Watauharibu Uislamu na ndo hayo/ahaya yanayotokea Sasa (Ishara/Daluli) Mwisho wa Dunia umekaribia.. Mtume aliposema anawakhofia Wana wa Zuoni watakuja iharibu Dini, Mtume hakuwataja Kwa Majina yao hao Wana wa Zuoni na Wala hakutaja Maeneo/MaTaifa watakayotokea/walipo(Wanapoishi) hao Wana wa Zuoni ni Tz, Kenya, ZNZ, Saudia nk.🙌
Kutoka kwa Hafswa bint Omari bin Khattwabi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote, akamsadikisha, haitokubaliwa kwake swala yoyote siku arobaini". Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim
Madhara ni mengi HAIFAI KABISA na baadhi ya wanaofanya hayo mambo hawajasoma dini vya kutosha. Tafadhalini sana huu mlango msiufungue ni fitina kubwa watu watapotea.
Shekh Mohammed Bachu hajasema haifai kuwatumia lakini kuwatumia Kuna madhara mengi ... Na kitu hata kama kina maslah madhara yakiwa mengi kinaachwa maalim... Iwe tunatosheka na dalili... Na tumuelewe mtu kile anachokisema... Unarudia Yale aliyoyasema... Lakini je hujui hayo madhara Mzee wetu... والله المستعان
Assalam alykum sheikh baba kiruwasha mimi nimechelewa kuangalia haya maf-hum yako na pia nimeyaelewa vizur tu - tunanukuu maneno ya dr sule alisema inafaa kumtumia jini kwenye mambo ya mali (akuletee mali) katika fat-waah yako hujalizungumzia swala hili na mimi nahis swala hili ndio limeleta mtafaruku mkubwa katika jamii ya kiislam hivyo tunaomba ufafanuz wako kwenye hili pale tu utakapoona hii comment yangu,,Jee inafaa kumtumia jini kwenye mali (iwe kukuletee kwa namna unayoijua ama usioijua) wabillah tawfiq
15:16 kama amesema inafaa nae amekosea kuna.mambo mashekhe hawajui lakini sisi wengene tumeishi.katika familia.ambazo tunakuta wazee wanafanya mambo hatujui asli yake... mfano: kuna mda tunaogopa tusipo chinja kinaweza kutokea chochote... ndio hayo munayo ungia mkono... jini mwema yupo na mbaya yupo,,, lakini.hayo kwetu ni.Ghaib.... utasaidiana.na.jinii vile uthaimin alivyo elekeza lakini tujuwe jinn karne inaisha yeye bado ni kijana lakini wewe ushasahauliwa lakini kuna mitego alisha weka kuwakamata kizazi chako...
Hakuna aya wala hadithi inayoelezea kufanya hayo. Kwa nilivyoelewa kwamba kutunia majini wema kytafaa kwa dharura n sii iwe kawaida. Mtume swallahu alyhi wassllam ndio aliwasomesha na sio kuwatumia. Na ruhisa hiyo itabaki kwa maulamaa waliobobea elimu. Sio mashekhe wasasa wamitandaoni, Na hili jambo sio muhimu muhimu. Hebu watu wakasime yaliokiwa y muhimu yamejaa, tusikimbilie majini.
Mi nataka kusikia kasema HABIBY MUHAMMAD S.A.W .... sio mashekh ambao hata hadith za mtume wa allah haziwajui wanakazi ya kupoteza umma tu hamna lengine....
Nimakosa makubwa sisi kuongelea na kujifananisha na Nabii wa Allah Suleiman yeye ni mfalme pia ni Mtume alikua pia anawasiliana na wanyama na viumbe wengine Malaika na Majini , sasa kwa hayo machache si sahihi kupigia mfano na kujilinga Nisha nae, Allah atupe ufahamu mwema.
WAPIGA RAMLI IMEWATACHI SANA KUAMBIWA NI HARAM.. WALIKUWA WAMEJIFICHA LAKINI SAHII WANAJITOKEZA MMOJA MMOJA KUTETEA SHIRK ZAO... SHUKRAN SHEIKH MUHAMMAD BACHU
Shekh wangu sikiliza vizuri Umeambiwa kutumia Majini kuna faida chache kuliko madhara, kama madhara n mengi shekh İbn Tamiyyah anamaliza kusema sio vizuri Kuacha ni HAULA zaidi 1- majini wabaya 2- majini wazıri lkn aina zote hiz wanakupelekea kwenye Ushirikina ! Sikiliza vizurii shekh nahic utaelewe vizuri biidhin kariimu
@@shawwalmsati3405ila baba Kirwasha katoa vitabu vi2 vya sheikh Uthaymin kimoja chakubali kutumia majini wema na kingine kinakataa kwa kuhofia mahsad yatakayotokea kwa kuwatumia majini. Tanbihi, ikiwa kichwa chako ni kizuri kufikiria basi yatosha kujiweka mbali katika kuwatumia viumbe hawa.
Alafu umejikita zaidi kwenye hukmu mubahu mubahu maulamaa wanasema itafaa kumtumia kwaajili ya da'awa kwa wenzie kwa vile tunaitakidi kwenye vikao vyetu vya kielimu wanakuepo sio kumtuma kwenye haja atakuludishia vipi majibu na yeye mpaka akae kwenye mwili wa mtu ndio aongee na huo ni uasi aruhisiwi kuingia mwilini kwa mtu
Point ya msingi kabisa..haya watatudishiaje majibu kuwa dawa imefika..kifupi hao viumbe wapo kwenye himaya nyingine tuu..abgalia kipindi mtume swallahalywasam alipoenda pamoja na yule swahaba alimcholea duara asitoke hapo.kisha mtume akaanza kuwasomea ...kwa ile khofu ya yule swahaba ilibakia akidogo atoke.na mtume akameambia raiti angejaribu kutoka njee ya hiyo sehem angeungua..sasa unasemaje kuwatumia hao viumbe kimchezo mchezo...mie nahisi ni kukataa tamaa kukubali uwezo wa mwenyezi mungu....au kama kipindi cha nabii suleiman kipindi alipo taka kile kiti cha malikia. Kuonyesha mwanadam ni bora aliketa kile kiti...kwahiyo wasiwape shavu hayo majini hakika hiko tuendako inaweza kua hatari zaidi
Allah ukuhifadhi shekh huyo bachu anajua utafungua watu ukweli wataujua yeye kaja kujiweka ujuaji zaidi bila uchanganuz Kama hivo tukanufaika navyo rad hazijengi tunabomoa jaman tutumiane dhana mzur bila jazba kitu wanakijua hawataki kifahamike uzur
Wewe uliecoment kumtupia lawama bachu yakuwa amekuja kujifanya mjuaji sio kwei chukua kauliyake baba kuluwasha mimi natumia kitabu na yeye bachu sio manenoyake anatumia kitabu namwenyewe kasema amepata faida kubwa kwa bachu
Sheikh Bachu kaeleza kiufasaha kabla hujajishulisha kumtumia jini unatazama faida na hasara zke ambapo akasema kutumia jini atakuplka ktk shirk moja kwa moja ajil ya maagano yko kati yake vilevile ao majini utawatambuaje kua uyu mwema na uyu mbaya ilhal hatuna uwezo wa mitume kuwatambua vyma.
@@jumaa052 huyo ni mtume wa Allah, Allah aliwaandaa mitume wake wawe vigezo na walimuabudu Allah kwa yaqini ya kweli wala hawakumshirikisha na chochote ktk viumbe wake.
@@jumaa052Nabii suleiman alipewa uwezo wa kuishi majini kabisa na kuwatumikisha ndo uwezo alipewa na pia mitume na manabii wana uwezo binafsi vp mm na ww mtihani sheikh iman zetu ndogo lazima tuingie kwenye shirk
Ndg yetu Baba Kiliwasha kwanza muogope Allaah pili huna elimu ya kumjua huyu jini ni mwema au mbaya tatu ili jini akutumikie lazima pawepo badala ya kumpa jini na badala yenyewe haiwi ila ni jambo la haramu tuu nne maneno ya mwanachuoni yeyote sio qur an wala hadithi tunaweza tuukaachana nayo na hatupati dhambi
Njia ambazo hazina shaka hatuzifati kwa nini tulazimishe kwanjia zenye mashaka ??kwanini nauliza kwanini njia salama zipo hazina shaka hata kidogo lakini kwanini tutumie njia zenye mazonge kwann??
Baba kiwasha kauli ya ulamaa ikiwa haina mashiko tunaiwacha tunashika dalili... وقال ابن أبي حاتم : حدثنا أبي ، حدثنا فروة بن المغراء الكندي ، حدثنا القاسم بن مالك - يعني المزني - عن عبد الرحمن بن إسحاق عن أبيه ، عن كردم بن أبي السائب الأنصاري قال : خرجت مع أبي من المدينة في حاجة ، وذلك أول ما ذكر رسول الله صلى الله عليه وسلم بمكة ، فآوانا المبيت إلى راعي غنم ، فلما انتصف الليل جاء ذئب فأخذ حملا من الغنم ، فوثب الراعي فقال : يا عامر الوادي ، جارك ، فنادى مناد لا نراه ، يقول : يا سرحان ، أرسله ، فأتى الحمل يشتد حتى دخل في الغنم لم تصبه كدمة . وأنزل الله تعالى على رسوله بمكة ( وأنه كان رجال من الإنس يعوذون برجال من الجن فزادوهم رهقا )
Mtu ana kesi anadaiwa kweli anatumia jini kuharibu kesi..mty anataka mtoto wa watu amzini anatumia jini.mtu anataka kumdhuru mtu kwa dhulma anatumia jini...ndo hivi alikusudia sule...
Yeyote anae amini kuwa kutumia jini inafaa basi huyo ni Mshirikina tu ikiwa binadamu tu yaliyojificha mioyoni mwao hatuyajui je itakuwaje kwa majini viumbe ambavyo hatuvioni? Huyo Baba Kiruwasha ni Mshirikina tu hana jipya.
Arafu maneno ya shekhe matupu bila kuegemeza na dalili huwezi patia imamu shafi mwenyew alisema , ilipo aya ya quruani na hadithi ndo madhebu yangu yalipo mkiona maneno yanaenda patupu yatupeni mbali shikene dalili kwa mtume sasa ww mwenzio alisoma maneno akaegemeza na dalil ww wasoma matupu ya wanazuoni bila kuegemeza dalili
Nimegundua KITu bachu kwao wao Ibny Taymiya humfanya kama ni mtume na akitelezaa wao Shekh wao Huwa hawakubali kuwa kakosea Ibny Taymiya Kazungumzia kuhusu kasema ina faa lakini Wao kwao hawathibishi Wao wanapindisha maneno na kusema ya kwamba wao wanaangalia athar
MANHAJ SALAF NDIO MAPITO SAHIHI YA KUENDEA UISLAM WETU HUTOKAA KUSIKIA VITU VYA KITOTO KAMA HIVI KWENYE SOCIAL NETWORK. HUWA MAREJEO NI QURAN NA SUNNAH KWA UFAHAMU WA SALAF KINYUMECHO MTABURUZWA NA MAKANJANJA WA MJINI MPAKA BAAS
Kumbe wasokua waisilam kutuponda na kutudhalilisha kua waisilam ni wafuga majini,waganga wa kienyeji wana hiyo nguvu ya kusema kama mashekh wenyewe wanahitirafiana katika hilo ni huzuni kubwa kunasibisha dini yetu na mambo yakishetani ,
Mnaelezea Yaafaa Yafaa, mtueleze Mm na jin ntakutana nae Wap IL Muamala Kat yangu na yake uwepo, au ntampataje hyo jin kwa njia gan ntumuona, ?? Mnaeleza Vtu kwa kutumia nguv Nying lkn hamtuambii njia gan naweza mtumia hyo jini jin?? We nae inaonekana unatetea Kama vle mnufaika lkn hutwambii njia gan tufanye IL tuwapate hao majin??
Hekima ya kutetea majini mbona anazungumza maneno ya wanazuoni bila dalili ya quruani na hadithi za mtume muhammadi bachu kaeleza vzr sana kuhusu Hawa viumbe kama ww mchaungu huwezi shilikiana na majini Ila kama mushiriki utawatumia arafu mnamsifia mtu anaharibu dini ya mwenyezi mungu anatukanisha uislamu uonekane dini ya watu wa ajabu kama kuna walisilimu so wanarudi kwenye ukristo wao ninyi mbaki na majini yenu mnayoyateyea muogopeni mungu msimkimbizie watu katika dinni yake hii dini Safi bwana Ila kama mshirikina Ni swa utawwunga mkono kina baba kiruwasha na sule
Sheikh unayumba na unawayumbisha wanao kufuatilia achana na mada hii iko mbali na upeo Sheikh wangu na sio aibu kutojua yote katika dini huna haja ya kuminyana masheikh pia wanakosea usishikilie ibun taymiyah tu yule ni mwanachuon mkubwa mchamungu mwenye elim kubwa lakini anaeeza kosea pia katika kauli zake au akaeleweka vibaya kwa wanao soma fatuwa zake kikubwa tujue haifai kutumia jini kwani allah ametutofautisha kimaumbile na kila kundi tunatakiwa kumuabudu Allah na sio kwa kazi hiyo wanayo fanya Washirkina, sheikh unataka kuziporomosha mada zako watu wa TAWHIID waache kuzisikiliza hebu achana nayo hayo turudishe kwenye mambo ya familia Tufaidike. Uko unako enda unaenda kutufanya tukatae na mada zako je mada zako zikipotezewa kwa tatizo lako ndio umepata faida.
Njia yoyote ya kumtumia jinni lzm ikupelekee kwny shirk, jini kuja kusoma kwako hujalitumia bali limekuja kusoma, halaf din hatumfuat shekh kasema hv, muingoz wetu ni quran na sunna
Asalam Alaykum. Nimethibitisha kuna Maruhani Waumin Wacha Mungu sana tena hawakiuki Amri za Allah na hawataki mchezo na dini na wanasaidia kwa tiba. Wanatumia Quraan na Uwezo Wao Waliipewa na Allah kusaidia kwa tiba na wala hataki kafara ya aina yoyote.
@@SelemanAmir-ze8zz Ndugu yangu una mengi ya kujifunza katika Uislamu ambayo yatakupa faida na kukupelekea uwe mja wa peponi. Achana na hamasa ya kutaka mafanikio kupitia majini na kutaka kuwafahamu saaana. Amini utapotea njia uwe umekula hasara Duniani na Akhera
Msiba mkubwa na Africa umasikini tunao sana yaani watu kutukia majini na si technologia kisa dalali ktk mijitabu eti shekh ul Islam kasema ! na si Allah.
Eti kuna mwanamke ana swahibu jinn Kitendo cha jinn kukaa ndani ya mwili wa mwanadamu tayari ameshakufuru Iblis ana njia nyingi sana za kumuingia mwanadamu ....
Baba Kiriwasha ameelewa somo kutoka bachu, lakini nadhan shida ipo kwamba sisi binaadam wa sasa hatuna ubavu wa kumjua jini mwema 100% ili tutimize hiyo mubaha, Mitume ndio walikuwa na upeo huo, nashkuru kwamba masuala ya mapete ya bahati ya Dr Sule umemuachia mwenyewe Dr Sule umejiweka mbali na ushirikina, wewe umekuja na kitu mubaha tu, tumekuelewa
BAADHI ya Watanga wamelelewa kwenye familia zinawaganga matambiko , hivyo zikija mada zenye utata kama hizi zamajini lazima waziunge mkono.( Zingatia neno BAADHI)
Sheikh sijui ulifikiria unachoongea Unanasibisha MIJI NA AKILI HII INAONEKANA HUNA UELEWA TENA MCHACHE SANAH SIKILIZA SHEIKH ANATUMIA MANENO YA WANAZUONI SASA TANGA NA MAJINI YANAHUSIANA NINI SHEIKH DO YOU LISTEN TO YOURSELF
Mm namkubali Sana baba KIRUWASHA lkn. Yeyote akienda kwenye batili yafaa aambiwe kwakua Ni binaadamu anakosea Allah anasema,; "Hakika shetani Ni adui kwenu basi na nyinyi mfanyeni adui kwasababu anatengeneza kundi wawe miongoni mwa watu wa motoni" zipo Aya nyingi Sana zinazoonesha uadui wa shetani wazi wazi Shetani kwa kua hatuawaoni na Wana nguvu zaidi ya mwanadamu basi ukiwa nae ukimtuma lazima uingie kwenye shirk na ndio lengo lao kumpoteza mwanadamu Hivyo hata kama Eti una Nia njema lazima akupoteze
Enyiii binaadam ,,mnao tumiya Hawa jini wa chuma ulete ,,, muogopen M/Mungu na siku ya mwisho ,,,acha haya mambo kabisaaa ,,,km. Allah alikuumba na bado upo Hai ktk hii Duniya ujue risk zako bado zipo tafuta kwa njia ya halali
Mm nimekupenda shekh kwakukubali shekh bachu yale aliyoyasema simaneno yake bali nimaneno ya mashekh masha Allah nimekupenda bure mzee kwakukubali ukweli. ngoja tumsubiri bachu ajekumaliza kazi
Huyu Shekh Hana kibri MAA SHAA ALLAAH.. ikimjia haqi anaifuata tofauti na baadhi ya mashekh wengine
@@muhammadmbaraka4515 swadakta anajielewa wallah
Ma shaa Allaah, Allaah akupe wewe na sisi mwisho mwema , Wew ni sheikh wa kwanza kukuona hauna kibri katika elimu hasa yakumujua Allaah, Sheikh bachu kamalize kazi ili watu waelewe zaidi....Allaah awahifadhi masheikh wetu wenye kusimama katika haki tena bila kuws na vibri
Mashallah, ilmu ni bahari, usilolijua ni sawa na usiku wa giza, nimekuelewa sana babu kiluwasha, nimemuelewa mohamedi bachu kila mmoja kwa anachojua yuko vizuri. Hizi ilmu zipo isipokuwa hatuzijui tuu. Allah atujalie elimu zenye manufaa fiduniya wal akhera
Ameen,hainahaja ya kubishana , kila mtu katika hawa ukiangalia kunakitu kimoja muhimu,wamekigusia, KAMA KUMTUMIA KWANJIA YA HALALI NA WASILA ITAKAYO TUMIKA KUMFIKIA YEYE BASI NI HALAL YAFAA, KAMA MAMBO NIYA HARAMU NA NJIA ITAKAYO TUMIKA NI YA HARAMU BASI NIHARAM,
Alafu wengi ktk watu wanaenda kulingana na fikra na akilizao, kwakuwa hajazowea hilo basi yye anaona hata sheria imekataza,
Kwaivo mtu azingatie, kama madhara ni mengi kuliko faida kwake haifai kutumia, kama faida nyingi na njia atakayoitumia niya halal basi yajuzu, asiambiwe ni shirki
Mimi binafsi shekh bachu nimemuelewa bila kigugumiz
Mm katika hili jambo nimemuelewa zaidi sheikh BACHU nasiamamia hapo.
Kumtumia jini nirahisi zaidi kumtoa MTU ktk tawaqal kwa Allah na ndio njia rahisi yakuzama ktk shirki bila kujua au kwa kujua hasaaa
Wallah aalam
Exactly.
Upo sahihi kabisaa
Pamoja
As-salam alaykum warahmatullah wabarakatu vip hali zenu vipenz vya Allah. Aya tupo tunackiliza
Waleykum salam warahmatullah wabaraktul
Mashaallaa Allah bariq mwenyenzi mungu akujaze maarifa zaidi na afya njema ili uzidi kutupa elimu, mwenye akili timamu amekuelewa na yule mbugila mbugila hatokuelewa kwa ubishi wa asili yake.
Baba kiriwasha kumbe wale wanao tumia chuma ulete kumbe Ni jini. Subhana Allah ,,,, Yarrab tuhifadhi waja wako na utulinde na hasad na husda na vitimbi vya kiduniya. ,,, amiiiiiin
chuma ulete si jini Wacha kuwazulia watakuja kukushtaki mbele ya mungu
Allah S.W. ndiye kutegemewa, kuombwa na kuelekewa kwa kila hitajio kwa waja wema. Kumhitajia jinni ni kukata tamaa na rehma za Allah na kukosa subra.
Allah awazidishie kheri na baraka baba kiruwasha na sheikh bachu mnawakilisha hekima katika jamii yetu.
Binafsi nimependa hili suala lilivyohitimishwa, kwamba ni vyema kupima madhara na faida ya kumtumia jinni kabla ya kuchukua hatua hiyo.
Asanteni sana kwa i'lmu.😊
Afuan
Eti kuna mwanamke ana swahibu jinn
Kitendo cha jinn kukaa ndani ya mwili wa mwanadamu tayari ameshakufuru
Iblis ana njia nyingi sana za kumpoteza mwanadamu Allah atuongoze na kutupa mwisho Mwendo
Mimi pia najua hivyo.Kitendo cha jinn kukaa kwenye mwili wa mwanadamu anakuwa ameshakufuru.
Lugha nyepesi ni kwamba hakuna jinn mwema anayefungamana na wanadamu,majini wema wote wanaishi ulimwengu wao wakimuabudu Allah S.A
Mtume aliusia kwamba Wana wa Zuoni watakuja iharibu Dini/Watauharibu Uislamu na ndo hayo/ahaya yanayotokea Sasa (Ishara/Daluli) Mwisho wa Dunia umekaribia..
Mtume aliposema anawakhofia Wana wa Zuoni watakuja iharibu Dini, Mtume hakuwataja Kwa Majina yao hao Wana wa Zuoni na Wala hakutaja Maeneo/MaTaifa watakayotokea/walipo(Wanapoishi) hao Wana wa Zuoni ni Tz, Kenya, ZNZ, Saudia nk.🙌
Baba kiruwasha nimekuelewa Sana tena mno ndugu yako ktk imani
SUBHANALLAH
LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
Barakallahu Feek
HAKUNA kutumia majini.MTUME MUHAMMAD hajafundisha.
Mimi namuusia Mzee wetu baba kiruasha akamsikilize tene Muhammad bachu vzr inawezekana hakumuelewa
Kutoka kwa Hafswa bint Omari bin Khattwabi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote, akamsadikisha, haitokubaliwa kwake swala yoyote siku arobaini".
Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim
shekhe usilazi mishe kumpa nguvu mshili kina
shekhe unampa nguvu mtu ili aendee kupotea
naku tumia nyota
mshili kina kaanae mbali
SHEIKH HAWATAKUELEWA KWA SABABU ULIYOYASEMA NI YA KIELIMU NA SI YA KIFIKRA
Jamani mimi nazingatia qala llahu wa Rasul hayo mengine mmm sitaki kujua
Utazifahamu hizo aya au hadithi kama hujapewa tafsiri yake Mbona mkikwamas mnakua waongo?
@@NyanyaMbulisheikh umenifurahisha
Umeongea maneno mazuri
Kwel kabisaa
@@NyanyaMbulimaneno ya mwanachuoni yambatane na kitabu na sunaa
Madhara ni mengi HAIFAI KABISA na baadhi ya wanaofanya hayo mambo hawajasoma dini vya kutosha. Tafadhalini sana huu mlango msiufungue ni fitina kubwa watu watapotea.
Shekh, barakallah, mi naomba njia SAHIHI ya kumwita jini na kumtumia,
Mana kumbe huu umaskini tynautak mwenyew
Sheikh SALUM MSABAHA Yuko wap jaman aje a2ambie ukwel 16:10
حفظك الله ورعاك يا ابو كروش
Amiin
Mm binafsi nmekuelewa jaman kama hamuna elimu na uwelewa wenu mdogo msijibu jamani
Hii madauiache inatuchafula dini yetu chaguenimoja mue waganga au masheikh toka zamani wapo masheikh nawaganga I'ma mkufuri I'ma muwe waalimu, mtachanganya wasiojua kutumia majini niushirikina, Kama sio shiriki wekekeni majini tuyaone nasisi hadharani
Huwa nakuskilizaga kweny mambo y familia endelea na zile mada ;am hiii mada kwkwel naomb tu uachane nayo mwalim wangu
The Reality of Jinn in the Qur'an and Sunnah - Dr. Yasir Qadhi
Shekh Mohammed Bachu hajasema haifai kuwatumia lakini kuwatumia Kuna madhara mengi ... Na kitu hata kama kina maslah madhara yakiwa mengi kinaachwa maalim... Iwe tunatosheka na dalili... Na tumuelewe mtu kile anachokisema... Unarudia Yale aliyoyasema... Lakini je hujui hayo madhara Mzee wetu...
والله المستعان
Tuwache kuyumia majini
@@ZariaAbdullah-r5t Hakika sio jambo zuri... Lina madhara mengi sana
Samahan naomba kuuliza nabii Suleiman Ali Fanya shiriki juu ya kutumia majin ?
Assalam alykum sheikh baba kiruwasha mimi nimechelewa kuangalia haya maf-hum yako na pia nimeyaelewa vizur tu - tunanukuu maneno ya dr sule alisema inafaa kumtumia jini kwenye mambo ya mali (akuletee mali) katika fat-waah yako hujalizungumzia swala hili na mimi nahis swala hili ndio limeleta mtafaruku mkubwa katika jamii ya kiislam hivyo tunaomba ufafanuz wako kwenye hili pale tu utakapoona hii comment yangu,,Jee inafaa kumtumia jini kwenye mali (iwe kukuletee kwa namna unayoijua ama usioijua) wabillah tawfiq
15:16
kama amesema inafaa nae amekosea
kuna.mambo mashekhe hawajui lakini
sisi wengene tumeishi.katika familia.ambazo tunakuta wazee wanafanya mambo hatujui asli yake...
mfano:
kuna mda tunaogopa tusipo chinja kinaweza kutokea chochote...
ndio hayo munayo ungia mkono...
jini mwema yupo na mbaya yupo,,, lakini.hayo kwetu ni.Ghaib....
utasaidiana.na.jinii vile uthaimin alivyo elekeza lakini tujuwe jinn karne inaisha yeye bado ni kijana lakini wewe ushasahauliwa lakini kuna mitego alisha weka kuwakamata kizazi chako...
Unajivunjia heshima yako unachotetea hakipo bora ukae kimya ujifunze kwa bachu anaeleweka
Hakuna aya wala hadithi inayoelezea kufanya hayo.
Kwa nilivyoelewa kwamba kutunia majini wema kytafaa kwa dharura n sii iwe kawaida.
Mtume swallahu alyhi wassllam ndio aliwasomesha na sio kuwatumia.
Na ruhisa hiyo itabaki kwa maulamaa waliobobea elimu.
Sio mashekhe wasasa wamitandaoni,
Na hili jambo sio muhimu muhimu.
Hebu watu wakasime yaliokiwa y muhimu yamejaa, tusikimbilie majini.
Mi nataka kusikia kasema HABIBY MUHAMMAD S.A.W .... sio mashekh ambao hata hadith za mtume wa allah haziwajui wanakazi ya kupoteza umma tu hamna lengine....
MAwahab shekh wenu pia hamumuamin hv ungekuw kumtumia jini haifai nabii sleman ataenda motion vitu vipo wazi ikiw haifai ht mskiti wa bautul makdis waliujenga Majin kw hio haifai kusaliw ni kusoma tu
Nimakosa makubwa sisi kuongelea na kujifananisha na Nabii wa Allah Suleiman yeye ni mfalme pia ni Mtume alikua pia anawasiliana na wanyama na viumbe wengine Malaika na Majini , sasa kwa hayo machache si sahihi kupigia mfano na kujilinga Nisha nae, Allah atupe ufahamu mwema.
WAPIGA RAMLI IMEWATACHI SANA KUAMBIWA NI HARAM.. WALIKUWA WAMEJIFICHA LAKINI SAHII WANAJITOKEZA MMOJA MMOJA KUTETEA SHIRK ZAO... SHUKRAN SHEIKH MUHAMMAD BACHU
Shekh wangu sikiliza vizuri
Umeambiwa kutumia Majini kuna faida chache kuliko madhara, kama madhara n mengi shekh İbn Tamiyyah anamaliza kusema sio vizuri
Kuacha ni HAULA zaidi
1- majini wabaya
2- majini wazıri
lkn aina zote hiz wanakupelekea kwenye Ushirikina !
Sikiliza vizurii shekh nahic utaelewe vizuri biidhin kariimu
Kwani hao vigogo walioruhusu hawajui hayo madhara wala faida hizo ispokuwa BACHU tu
@@shawwalmsati3405ila baba Kirwasha katoa vitabu vi2 vya sheikh Uthaymin kimoja chakubali kutumia majini wema na kingine kinakataa kwa kuhofia mahsad yatakayotokea kwa kuwatumia majini. Tanbihi, ikiwa kichwa chako ni kizuri kufikiria basi yatosha kujiweka mbali katika kuwatumia viumbe hawa.
Kama ndivyo basi Sawa. Ila kufanya hivyo, ni kama kucheza pembezoni mwa moto. Ni hatari ni bora kuacha naona.
Kwani Allah na Mtume Muhammad s.a.w wanasemaje ktk quran na sunna?
(HUO NDO MSIMAMO SAHIHI, NJE YA HAPO NI KUJITIA UJINGA)
Bado hamjatushawish, watu wa tanga na zanzibar mnayaamin sana majin, baadh ya watu lkn nieleweke vzr
Baba kiruwasha umenikera binafs ungetuambia. Faida ni kubwa au hasara ni kubwa?
Tatizo huwezi jua jini yupi mwema yupi mbaya nikujiepusha nayo tu hatuna imani ya kumzibiti asitukufurishe
Wew ndio hujui wanajulikana km tunavyowajua binadamu muhimu elimu tu
Tafuta elimu ndugu Kila kitu kipo duniani ww na elimu yako soma sana
kwani ukimleta fundi kwako wajua kama ni mwizi au jambazi au n,k Kwa Nini umpe kazi yako
Elimu tu
Hakika watu sasahivi wengiwao wana penda shari kuliko kheri kwa nini jlazkmishe jini wakati njia zingine zipo zakufanya kila kiyu ilk kujiepusha nao
Alafu umejikita zaidi kwenye hukmu mubahu mubahu maulamaa wanasema itafaa kumtumia kwaajili ya da'awa kwa wenzie kwa vile tunaitakidi kwenye vikao vyetu vya kielimu wanakuepo sio kumtuma kwenye haja atakuludishia vipi majibu na yeye mpaka akae kwenye mwili wa mtu ndio aongee na huo ni uasi aruhisiwi kuingia mwilini kwa mtu
Point ya msingi kabisa..haya watatudishiaje majibu kuwa dawa imefika..kifupi hao viumbe wapo kwenye himaya nyingine tuu..abgalia kipindi mtume swallahalywasam alipoenda pamoja na yule swahaba alimcholea duara asitoke hapo.kisha mtume akaanza kuwasomea ...kwa ile khofu ya yule swahaba ilibakia akidogo atoke.na mtume akameambia raiti angejaribu kutoka njee ya hiyo sehem angeungua..sasa unasemaje kuwatumia hao viumbe kimchezo mchezo...mie nahisi ni kukataa tamaa kukubali uwezo wa mwenyezi mungu....au kama kipindi cha nabii suleiman kipindi alipo taka kile kiti cha malikia. Kuonyesha mwanadam ni bora aliketa kile kiti...kwahiyo wasiwape shavu hayo majini hakika hiko tuendako inaweza kua hatari zaidi
Ni washirikina hao wanaosema inafaa kuwatumia majini.
Kwahiyo naww unajini wako ambae unampa mawaidhs ilinae akawape mawaidha wwnzie?
Allah ukuhifadhi shekh huyo bachu anajua utafungua watu ukweli wataujua yeye kaja kujiweka ujuaji zaidi bila uchanganuz Kama hivo tukanufaika navyo rad hazijengi tunabomoa jaman tutumiane dhana mzur bila jazba kitu wanakijua hawataki kifahamike uzur
Wewe uliecoment kumtupia lawama bachu yakuwa amekuja kujifanya mjuaji sio kwei chukua kauliyake baba kuluwasha mimi natumia kitabu na yeye bachu sio manenoyake anatumia kitabu namwenyewe kasema amepata faida kubwa kwa bachu
Acha kujizima data
Sw Sheikh Nenda kwa mganga
Kwani huyu BACHU hamumuelewi amaa mbona kashaafafanua yote lakin bado mnaleta mambo mengine,
shehe jamiiyetu haizingatiidini wanaishi kama hawanadini je huu mlango mkiufungua watu watakua ktk haligani jambo likiwa lìnamashaka nibora kuachana nalo mtt wabacho ameeleza vizuri mimi ushauri wangu endelea namada zako zandoa huatunazielewa ila hiimada hatukuelewi
Baba kiruwasha unafeli
Sheikh Bachu kaeleza kiufasaha kabla hujajishulisha kumtumia jini unatazama faida na hasara zke ambapo akasema kutumia jini atakuplka ktk shirk moja kwa moja ajil ya maagano yko kati yake vilevile ao majini utawatambuaje kua uyu mwema na uyu mbaya ilhal hatuna uwezo wa mitume kuwatambua vyma.
Hakika
Nabii Suleiman Ali Fanya shiriki juu ya majin ? Nauliza nataka tu kujua 🙏
@@jumaa052 huyo ni mtume wa Allah, Allah aliwaandaa mitume wake wawe vigezo na walimuabudu Allah kwa yaqini ya kweli wala hawakumshirikisha na chochote ktk viumbe wake.
@@jumaa052Nabii suleiman alipewa uwezo wa kuishi majini kabisa na kuwatumikisha ndo uwezo alipewa na pia mitume na manabii wana uwezo binafsi vp mm na ww mtihani sheikh iman zetu ndogo lazima tuingie kwenye shirk
10:55
Shee kilowasha je qur Ani inazungumziaje kuhusu matumizi ya majini baina ya Bina damu na majini
Hahaha dini ni dalili kwenye hili babu kiruwasha ana dalili zilizoshiba...
Achana na Majini ww Mzee, mtegemee Mola wako
Ndg yetu Baba Kiliwasha kwanza muogope Allaah pili huna elimu ya kumjua huyu jini ni mwema au mbaya tatu ili jini akutumikie lazima pawepo badala ya kumpa jini na badala yenyewe haiwi ila ni jambo la haramu tuu nne maneno ya mwanachuoni yeyote sio qur an wala hadithi tunaweza tuukaachana nayo na hatupati dhambi
Msijiingize kwenye vitu vyenye kutia shaka!?
Njia ambazo hazina shaka hatuzifati kwa nini tulazimishe kwanjia zenye mashaka ??kwanini nauliza kwanini njia salama zipo hazina shaka hata kidogo lakini kwanini tutumie njia zenye mazonge kwann??
Dah umenitoa chozi ostadhi sio wote wenye kukubali
Baba kiwasha kauli ya ulamaa ikiwa haina mashiko tunaiwacha tunashika dalili...
وقال ابن أبي حاتم : حدثنا أبي ، حدثنا فروة بن المغراء الكندي ، حدثنا القاسم بن مالك - يعني المزني - عن عبد الرحمن بن إسحاق عن أبيه ، عن كردم بن أبي السائب الأنصاري قال : خرجت مع أبي من المدينة في حاجة ، وذلك أول ما ذكر رسول الله صلى الله عليه وسلم بمكة ، فآوانا المبيت إلى راعي غنم ، فلما انتصف الليل جاء ذئب فأخذ حملا من الغنم ، فوثب الراعي فقال : يا عامر الوادي ، جارك ، فنادى مناد لا نراه ، يقول : يا سرحان ، أرسله ، فأتى الحمل يشتد حتى دخل في الغنم لم تصبه كدمة . وأنزل الله تعالى على رسوله بمكة ( وأنه كان رجال من الإنس يعوذون برجال من الجن فزادوهم رهقا )
Je Mtume ametufundisha kutumia majini?
Sheikh hujafaham kauli za wanachuoni vizuri, hao wezako wanawatumia hao viumbe kwa ushirikina.
Mashallah nimepata faida
Hilo jambo kwetu sisi zama hiz lazima kuingia kwenye shirki
Mbona husomi kiarabu unatitafsria tu juu juu... Mambo gani hayo...
Mtu ana kesi anadaiwa kweli anatumia jini kuharibu kesi..mty anataka mtoto wa watu amzini anatumia jini.mtu anataka kumdhuru mtu kwa dhulma anatumia jini...ndo hivi alikusudia sule...
Ww py nimgonjwaa
Hasbiyallaahu waniimalwakiil
Kama itatoka moyoni hiyo basi hakuhaja yajini wala mtu kila kitu kitakuja wenyewe kwajia anayo I juwa yeye mola
Nyie ndio mnaitukanisha dini ya Mungu inasibishwe na majini
Saihihi. Cjui hawana la kufanya ktk uislamu. Mbona❤ kuna mambo mengi saana wailamu wanafaa kufundishwa
sasa yeye au IBUN TAIMIA?
Naomba msaada wa ufaham ivi Kuna makatazo ya kupinga kauli ya mashekhe ambayo Ni rai au ufafanuz wao na sio Aya ya qur an
@@SelemanAmir-ze8zzukipinga watakuroga😂😂😂
Kiliwasha tufahamishe jinsi ya kumpata huyo jini mwema ili tumtumie kwa wema
HUENDA AKAWA HANA HIYO ELIMU ILA YEYE KAZUNGUMZIA SHERIA YA KUA INASWIHI KUMTUMIA JINI
Hapo sasa
Baba kiruwasha kazoea kuongea usiku akiongea mchana anapoteza confiance
Mada anayoizungumzq imemzidi umri ndomana anashindwa kuwa na cofidence
Ama
Yeyote anae amini kuwa kutumia jini inafaa basi huyo ni Mshirikina tu ikiwa binadamu tu yaliyojificha mioyoni mwao hatuyajui je itakuwaje kwa majini viumbe ambavyo hatuvioni? Huyo Baba Kiruwasha ni Mshirikina tu hana jipya.
baba kilwasha kumbe unaumga mkono anae tafuta pesa kwaku tumia majini
Arafu maneno ya shekhe matupu bila kuegemeza na dalili huwezi patia imamu shafi mwenyew alisema , ilipo aya ya quruani na hadithi ndo madhebu yangu yalipo mkiona maneno yanaenda patupu yatupeni mbali shikene dalili kwa mtume sasa ww mwenzio alisoma maneno akaegemeza na dalil ww wasoma matupu ya wanazuoni bila kuegemeza dalili
nawausia waisilamu tuachane najambo hili tumfateni mtt wabacho ilitusalimike
Nimegundua KITu bachu kwao wao Ibny Taymiya humfanya kama ni mtume na akitelezaa wao Shekh wao Huwa hawakubali kuwa kakosea Ibny Taymiya Kazungumzia kuhusu kasema ina faa lakini Wao kwao hawathibishi
Wao wanapindisha maneno na kusema ya kwamba wao wanaangalia athar
Kitu ambacho hukijui huyu sheikh uthaymeen na bin taimiya wote ni wanachuoni wetu wa kisalafi kwaiyo hujui unachokizungumza ww
@@saidimkwinzu9106 Ww hao wamethibisha wenyewe
shekh baba kiluwasha tumekuelewa...ila bachu awez kukuacha kamwe😊😊
Shukran shekh
Kwa alicho zungumza sheikh ni haki bachu anapenda ushindani wa kijinga tu
Mi naona INGEKUWA VYEMA wayape MAJINI mic yajitete yenyewe!!!? au mnasemaje msio waelewa kama mimi!!!!
😂😂😂
TUnapiga kelele tutamjuaje jini mwema hamulizi binadamu mwema mtamjuaje kwani wema unakulikana na ubaya unakulikana
MANHAJ SALAF NDIO MAPITO SAHIHI YA KUENDEA UISLAM WETU HUTOKAA KUSIKIA VITU VYA KITOTO KAMA HIVI KWENYE SOCIAL NETWORK.
HUWA MAREJEO NI QURAN NA SUNNAH KWA UFAHAMU WA SALAF KINYUMECHO MTABURUZWA NA MAKANJANJA WA MJINI MPAKA BAAS
Sheikh Ibn Taymiyyah siyo SHEIKH wa KISALAFI?
Kumbe wasokua waisilam kutuponda na kutudhalilisha kua waisilam ni wafuga majini,waganga wa kienyeji wana hiyo nguvu ya kusema kama mashekh wenyewe wanahitirafiana katika hilo ni huzuni kubwa kunasibisha dini yetu na mambo yakishetani ,
Majini wanaulimwengu wao na wanaadam wanaulimwengu wao wewe usaidiwe na jinni kwani Allah hatoshi?
Mnaelezea Yaafaa Yafaa, mtueleze Mm na jin ntakutana nae Wap IL Muamala Kat yangu na yake uwepo, au ntampataje hyo jin kwa njia gan ntumuona, ??
Mnaeleza Vtu kwa kutumia nguv Nying lkn hamtuambii njia gan naweza mtumia hyo jini jin??
We nae inaonekana unatetea Kama vle mnufaika lkn hutwambii njia gan tufanye IL tuwapate hao majin??
Ndiomana uisilamu unatutaka tusome kwahivyo nenda ukasome utajua hizo njia
@@Abdulrahmanhassan18 Mmh, kwahyo ukizitaja n Siri???
@@Abdulrahmanhassan18
Au mpaka uchukue degree??
@@geofreyidebe1216 ni kwasababu ni elimu pana unahitaji kuijua kwa kina huitaji digree unahitaji muda tu wa kukaa chini kuisoma.
@@Abdulrahmanhassan18 naona nkama utapel ule ule WA kna sule, mbona mengne wanaeleza Kwan hzo MBINU znauzwa mpaka washindwe kuzieleza??
Mwalim hii mada ungeacha tu sheikh maan Moto wa raddi hutauweza
Moto wa radi ndio Nini yeye anazungumza Kitabu nini moto wa raddi
Upambanuz wa Kona use Waz raddi hazisumbui Ila haki owe mbele Kwanza tusiogopane din ya Allah tunyooshane kwa uzuri
Toeni vitabuvinav yopingana na ibn uthaimin na ibn TAIMIYYAH ktk hili.Mwenzenu kaja na vitab nyi mwaja na maneno matupu
Baba kiruwasha unahekma sana tumepata faida sana mashallah😊
Hekima ya kutetea majini mbona anazungumza maneno ya wanazuoni bila dalili ya quruani na hadithi za mtume muhammadi bachu kaeleza vzr sana kuhusu Hawa viumbe kama ww mchaungu huwezi shilikiana na majini Ila kama mushiriki utawatumia arafu mnamsifia mtu anaharibu dini ya mwenyezi mungu anatukanisha uislamu uonekane dini ya watu wa ajabu kama kuna walisilimu so wanarudi kwenye ukristo wao ninyi mbaki na majini yenu mnayoyateyea muogopeni mungu msimkimbizie watu katika dinni yake hii dini Safi bwana Ila kama mshirikina Ni swa utawwunga mkono kina baba kiruwasha na sule
Hakika
Nyie watanzania mko busy kwa kupotosha uma wakiskam kwa ajili ya maslah yenu
Sheikh unayumba na unawayumbisha wanao kufuatilia achana na mada hii iko mbali na upeo Sheikh wangu na sio aibu kutojua yote katika dini huna haja ya kuminyana masheikh pia wanakosea usishikilie ibun taymiyah tu yule ni mwanachuon mkubwa mchamungu mwenye elim kubwa lakini anaeeza kosea pia katika kauli zake au akaeleweka vibaya kwa wanao soma fatuwa zake kikubwa tujue haifai kutumia jini kwani allah ametutofautisha kimaumbile na kila kundi tunatakiwa kumuabudu Allah na sio kwa kazi hiyo wanayo fanya Washirkina, sheikh unataka kuziporomosha mada zako watu wa TAWHIID waache kuzisikiliza hebu achana nayo hayo turudishe kwenye mambo ya familia Tufaidike.
Uko unako enda unaenda kutufanya tukatae na mada zako je mada zako zikipotezewa kwa tatizo lako ndio umepata faida.
Njia yoyote ya kumtumia jinni lzm ikupelekee kwny shirk, jini kuja kusoma kwako hujalitumia bali limekuja kusoma, halaf din hatumfuat shekh kasema hv, muingoz wetu ni quran na sunna
Asalam Alaykum. Nimethibitisha kuna Maruhani Waumin Wacha Mungu sana tena hawakiuki Amri za Allah na hawataki mchezo na dini na wanasaidia kwa tiba. Wanatumia Quraan na Uwezo Wao Waliipewa na Allah kusaidia kwa tiba na wala hataki kafara ya aina yoyote.
Lini Mtume Muhammad SAW alitumia maruhani katika tiba
Wanakujajekwako nifahamishendugu unakutanajenao kamaunapandishahawafai
Kama izi elimu zipo ziwekwe Waz mapito yake kuwapata majini wema isifichwe kuepuka dhana ya ubaya ikifichwa bac Kuna shida hapo
@@SelemanAmir-ze8zz Ndugu yangu una mengi ya kujifunza katika Uislamu ambayo yatakupa faida na kukupelekea uwe mja wa peponi.
Achana na hamasa ya kutaka mafanikio kupitia majini na kutaka kuwafahamu saaana. Amini utapotea njia uwe umekula hasara Duniani na Akhera
@@mohcreative Allah ukuzidishie hujakosea dunia inameng sio yote yanatuhusu kiyapata mengne yanawenyewe
Sheikh unatupaka mafuta
Msiba mkubwa na Africa umasikini tunao sana yaani watu kutukia majini na si technologia kisa dalali ktk mijitabu eti shekh ul Islam kasema ! na si Allah.
Eti kuna mwanamke ana swahibu jinn
Kitendo cha jinn kukaa ndani ya mwili wa mwanadamu tayari ameshakufuru
Iblis ana njia nyingi sana za kumuingia mwanadamu ....
Baba Kiriwasha ameelewa somo kutoka bachu, lakini nadhan shida ipo kwamba sisi binaadam wa sasa hatuna ubavu wa kumjua jini mwema 100% ili tutimize hiyo mubaha, Mitume ndio walikuwa na upeo huo, nashkuru kwamba masuala ya mapete ya bahati ya Dr Sule umemuachia mwenyewe Dr Sule umejiweka mbali na ushirikina, wewe umekuja na kitu mubaha tu, tumekuelewa
wenzenu wanapigwa Gaza upande unapigwa upande unakula maisha sasa wakiisha wa suruali fup msizani msiokua na ndevu utabaki salama
Kila mtu ahitaji apate msaada wa jini. Je vp utajua mzuri na mbaya. Msifungue mipaka watu waache ibada na watafute kufuga majini. Ni Hatari.
NAAM MWAMBA UPO SAWA
BAADHI ya Watanga wamelelewa kwenye familia zinawaganga matambiko , hivyo zikija mada zenye utata kama hizi zamajini lazima waziunge mkono.( Zingatia neno BAADHI)
Sheikh sijui ulifikiria unachoongea
Unanasibisha MIJI NA AKILI
HII INAONEKANA HUNA UELEWA TENA MCHACHE SANAH
SIKILIZA SHEIKH ANATUMIA MANENO YA WANAZUONI
SASA TANGA NA MAJINI YANAHUSIANA NINI
SHEIKH DO YOU LISTEN TO YOURSELF
Maan mhamadi bachu atakuja kesho kukurebekisha mwalim wangu ;nyamaza tafadhali saaan kirwash utashusha heshma yko
Kumbe tatizo lenu ni msemaji huyu mzee anawataja wanachuoni mnakataa mnatia aibu na kuangamiza elimu na uaminifu wenu
Mm namkubali Sana baba KIRUWASHA lkn. Yeyote akienda kwenye batili yafaa aambiwe kwakua Ni binaadamu anakosea
Allah anasema,; "Hakika shetani Ni adui kwenu basi na nyinyi mfanyeni adui kwasababu anatengeneza kundi wawe miongoni mwa watu wa motoni" zipo Aya nyingi Sana zinazoonesha uadui wa shetani wazi wazi
Shetani kwa kua hatuawaoni na Wana nguvu zaidi ya mwanadamu basi ukiwa nae ukimtuma lazima uingie kwenye shirk na ndio lengo lao kumpoteza mwanadamu
Hivyo hata kama Eti una Nia njema lazima akupoteze
Baba kiruwasha ungezungumzia mapenzi UTAWAPA KICK WASHIRIKINA..
Mie napita kidogo!
Enyiii binaadam ,,mnao tumiya Hawa jini wa chuma ulete ,,, muogopen M/Mungu na siku ya mwisho ,,,acha haya mambo kabisaaa ,,,km. Allah alikuumba na bado upo Hai ktk hii Duniya ujue risk zako bado zipo tafuta kwa njia ya halali
Alhamdulillah shukran maneno yako ni ya haqqi mia fil mia 100% nduguyangu inatubidi tumche. Allah sana.
In shaa Allah Kheir Allah atakufanyia wepes Kwa sote tumche Allah ili tuweze kufikia sehem nzr huko tunako kwenda
makafili wana sema uislam nidini yawa fuga majini jee sawa baba kilwa sha