Mungu wa mbinguni nakupenda sana maana wewe ni fundi. Asante sana Mungu wetu kwa kuwa wewe ni Mungu wa Mungu. Nipe imani nikae uweponi mwako niepushe na madhabahu ya shetani.
Kila jambo linapotokea linakuja kwa kusudi, Mungu kuruhusu lijulikane kuna kusudi pia usikute kuna watu pia anataka kufundisha, wakufundisha washajifunza ila wengine wamejinajisi kupitia habari hii, Omba samaha kwa kifupi tu, musiliongelee mumuachie Mungu afanye kazi yake, kukubwa kuwa bize tu namambo yako kutafuta maisha yako mtu asihisi unataka vyake
Betrice Dada angu, binadamu hukosea kama unahisi kuna sehemu ulikosea moyo unakushuhudia, unaona uliteleza ni vizuri kuomba msamaha hadharani kwa maneno mafupi tu sababu kuna watu pia umewakosea kwa kuwafanya wawaongelee sana wakati hawawajui.
Ulichoandika unakielewa kweli ebu muache Beatrice uchungu alionao ni Mungu tu wa kmponya tu. House girl gan ambaye awe na hasira wewe ukiwa na mama yako?? Huyo house girl ni nani?
Beatrice mungu atakuinua na kuwapigania.....na atakupa baraka zake ambazo zitakupa amani na furaha ya milele...God is now moulding you❤❤❤
Huduma inayoongozwa na roho mtakatifu huwa imebeba neema kuu ya Mungu.....
Beatrice sauti Zuri hii, wow may God use you to change the lives of people. It's your time now to be lifted.
Amen wimbo mzuri San yaan nmskiza Zaid y mara 5
Such a good voice sister Beatrice
Mungu wa mbinguni nakupenda sana maana wewe ni fundi. Asante sana Mungu wetu kwa kuwa wewe ni Mungu wa Mungu. Nipe imani nikae uweponi mwako niepushe na madhabahu ya shetani.
Sauti ya betrice ni amaizing❤❤
Kila jambo linapotokea linakuja kwa kusudi, Mungu kuruhusu lijulikane kuna kusudi pia usikute kuna watu pia anataka kufundisha, wakufundisha washajifunza ila wengine wamejinajisi kupitia habari hii, Omba samaha kwa kifupi tu, musiliongelee mumuachie Mungu afanye kazi yake, kukubwa kuwa bize tu namambo yako kutafuta maisha yako mtu asihisi unataka vyake
Beatrice una sauti nzuri kama Martha ❤❤❤❤
Ameeen hata mimi nasongea imani kwa Bwana barikiwe mno
Amen sauti iko saw Kabisaa barikiwa sana watumishi wa Mungu🙏🏼🙏🏼🙏🏼
sijuii ila kama aliekufagilia njia umemwagaa uchafuu kwake sijui kama kwako patakua salama
Beatrice mungu atakuvusha usife moyo kazin nzuri san
Mami unasauti nzuri sana imba nyimbo za kisifu Mungu utafanyikiwa sana
Mungu awapiganiye kwasababu ililina umeiza sana
Mungu ni waajabu nyie atainuka huyu Hatutaamini
Love you Beatrice ❤❤🎉
Ila kukubwa tutazidi kuwaombea, na kikubwa usikate tamaa wala kukosa nguvu kwa hali yeyote ile, Mungu ataponya na ataokoa na atafungua mwenyew
Nakupenda sana beatric..Mungu azid kukuinua
Amen, barikiwa sana Beatrice
Mim namuelewa sana ila nawasihi wapatane na dada yake martha na watoe nyimbo pamoja❤
Amina Iman huponya
Nice song
Amen nice voice
Blessed 🙌
Amen praise God
Mungu akulinde dada nakupenda sana
I have watched 10 times by now lm still dancing amen 🙏
Mungu ni mwema 🙏
Waoooo heman mwa bwana ndo kila kitu
sauti yako da beti ni nzur sana pia unafanya kaz nzur barikiwa mno😘😘😘😘😘😘😘😘
Hongera kazi nzuriiiiii
Hongera dada❤❤🎉🎉
🙏🙏🙏🙏
Betrice Dada angu, binadamu hukosea kama unahisi kuna sehemu ulikosea moyo unakushuhudia, unaona uliteleza ni vizuri kuomba msamaha hadharani kwa maneno mafupi tu sababu kuna watu pia umewakosea kwa kuwafanya wawaongelee sana wakati hawawajui.
Ulichoandika unakielewa kweli ebu muache Beatrice uchungu alionao ni Mungu tu wa kmponya tu. House girl gan ambaye awe na hasira wewe ukiwa na mama yako?? Huyo house girl ni nani?
Unatombwa akili
Kazi nzuri kaka🔥🔥🔥
Pambana umsaidie mama yko
Balikiwa sana
Songa bele ❤❤
Hemani my favorite
Béatrice We pambana tu Achana na dada Yako
God above all
beatrice my favourite🎉🎉
Gained a follower ❤🎉
Keep on supporting wasanii Mungu atakuinua mama utajirike usaidie mamako🙏🏻
❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
woow🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉
🔥🔥🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥❤
🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤🙏
Hayo maraba kilo 5 ya bongo fleva ya nini sasa kwenye kwaya!!
Anatakiwa aimbe peke yake
Hii nyimbo inabidi uikate kuanzia hapo kwa beatrice usikilize ikiisha una kata tena una achia hapo, sijasema jamaa kaimba vibaya hapana
😂
Asa ww pia si unaimba na ni mtu maarufu kwa nn usimsaidie mamaako kiki tu
Mungu akulinde dada nakupenda
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤