Wowwwwww sasa timu imefungwa bao tatu afu bado wanataka washangiliwe...hii iko wap??? Inashangaza mno. Hahahahahaa Lusindeeeeeeee ongeza dawa, naona bado haijaingia fresh.
Umeongea points Lusinde labda itawasaidia kujirekebisha hasa hao wabunge wa Chadema ambao wengi wao ni mizigo na heri wangeamua kujivua na huo ubunge kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Na hasa wao sio wana demokrasia kwa kigezo cha kususia bunge wakati hule Rais alivyokuja kulihutubia kwa mara ya kwanza.
Katika watu wajinga ni Lusinde. Mzee wa Mipasho. Hivi Mtera Msomi ni Lusinde tu. Bila Wapinzani hamuwezi enda mbele. Mbona hampokei taarifa za ubaguzi huu ndio ubaguzi ninaoongelea. CCM imesababisha wawekezaji wamekimbia, Watalii wamekimbia. CCM watatoka tu, kwa sime, kwa upinde, kwa bunduki nk.
Haisaidii , vitu viko sawa ... kwann walisusia uchaguzi serikali za mitaa , alafu wao kususia posho TU hawataki ? Kiongozi wa serikali ya mtaa anakula Nini Sasa HIV ? Walimtoa uwanjani asigombee , je anaendeshaje maisha yke ? Na wao imefikia wasuse posho TU tuone Kama walikuwa wanawatakia mema wenzao ...... Sio poa hiki chama Cha mbowe .....

Ni kweli huwa inanitatiza sana, wapinzani hawajitambui kabisaa.
CCM big up!!
Umeongea points Lusinde labda itawasaidia kujirekebisha hasa hao wabunge wa Chadema ambao wengi wao ni mizigo na heri wangeamua kujivua na huo ubunge kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Na hasa wao sio wana demokrasia kwa kigezo cha kususia bunge wakati hule Rais alivyokuja kulihutubia kwa mara ya kwanza.
DUUUU DAWA IMEWAINGIA KWELI KWELI
Wape wape Lusinde, Hawajijui hao.
Katika watu wajinga ni Lusinde. Mzee wa Mipasho. Hivi Mtera Msomi ni Lusinde tu. Bila Wapinzani hamuwezi enda mbele. Mbona hampokei taarifa za ubaguzi huu ndio ubaguzi ninaoongelea. CCM imesababisha wawekezaji wamekimbia, Watalii wamekimbia. CCM watatoka tu, kwa sime, kwa upinde, kwa bunduki nk.
Evans Mlalo
Ushindwe na ulegee! Mungu ataendelea kutupa amani!! 😎😎
LUSINDE OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ! Wape vidonge vyao!
Wewe hatari sana
Gasper Manyanda _
😄😅😆😂 KWELI UPINZAN WANAPASWA KUJENGA HOJA
Hii ilkua kali ya mwaka 😂😂😂💪
Kaka anachoongea NI kweli ..... Wapinzani wa nchi hii wasanii TU pia
Huyu jamaa bana.. 😁😁😂😂
Wanataka kufaidi wakati walishindwa kweri kabisaa umefungwa alafu unashangilia wewe aipo iyo
Wape dawa hao
Lusinde wewe ni shida watakukoma.
😂😂😂😂😂hii ipo Tanzania 2😂😂😂😂😂😂 kweli kabisa
😅😅😅👌👌👌
Ila wabunge wetu mnatukwaza haiwezekani mnalipwa pesa nyingi kwa ajili ya kuwasemea wananchi halafu mmekaa kuzomeana kama wajinga fulani
Unaleta masihara kwenye vitu makini
Uonevuuu mwingi ccm kura mnaibaa bila polisi nyinyi hamwezi sasa huyu anaongea mtu anaomba tarifa hapewi angekuwa anaongea upinzani hapa anapewa mwongozo spika huyo mpumbumbavuuu tuuu hicho kiti hakiweziii
😂😂😂
bunge LA sku hzo bora tungekuwa na mihimli miwl tuu maana nothing your doing here duh kodi zetu jaman tunaumia san
Hakuna tarifa kwel huu ujinga mbuge anaongea vitu km chizi pia kwani heshima inalazmishwa