Gude Gude..Shemeji.Official Video 2020.0788828067(Dir D-Frank0762533823)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 256

  • @kijasaganda7069
    @kijasaganda7069 Год назад +9

    Kaka Niko Dar lakini napenda nyimbo zako Sana

  • @Mapengo_ge
    @Mapengo_ge 10 месяцев назад +4

    Nakukubali sana guide mi mwenyewe msukuma wa kwanza kuishi mbeya Mungu akusaidie gude

  • @peterkunjega
    @peterkunjega Год назад +4

    Gude una balaaa sanaa kaza moyo tu

  • @joshuasita5455
    @joshuasita5455 Год назад +2

    Mungu 🙏🙏 akubalki ww ndoo msanii kulko wale waimba matusii 😏 nkupendasana gudee

  • @shayayimagika7279
    @shayayimagika7279 2 года назад +4

    Jitahidi upo vizuri

  • @MichaelElias-gw2js
    @MichaelElias-gw2js Год назад +3

    Nakubali mkali wangu

  • @petirmbogo813
    @petirmbogo813 Год назад +3

    Uko. Sawa nyimbo zuri sanaaaaaa

  • @RamadhanAbdul-kb3oj
    @RamadhanAbdul-kb3oj Год назад +3

    Kaka kazi nzuri

  • @hajizerock1032
    @hajizerock1032 2 года назад +21

    Anaemkubali gude gude gonga like
    By Hajizerock from Zanzibar

  • @SalomeRichad
    @SalomeRichad Год назад +2

    Naipenda hii nyimbo

  • @hoseaMwazembe-k8i
    @hoseaMwazembe-k8i Год назад +1

    asante nokwelewa dooh,

  • @emmabanja1188
    @emmabanja1188 3 года назад +5

    Good kaka ukovizuri sana gude

  • @mjunicharles1198
    @mjunicharles1198 Год назад +3

    Jaman m mhaya lakin napenda nyimbo za gude😊😊😊😊

  • @nevermgawe2802
    @nevermgawe2802 2 года назад +10

    Ila we Gude nakupenda Sana kila siku nasikilizia nyimbo zako.Mungu akutilie wepesi katika kaz zako🙏

  • @Devilinintungwawc2vk
    @Devilinintungwawc2vk 11 месяцев назад +2

    Kaká nakukubali sana katika nyimbo zakozote

  • @christinamaghembr9569
    @christinamaghembr9569 3 года назад +6

    Uko vizuli kaka angu nyimbo zako zinaujumbe kwa jamii

  • @alphoncemichael6655
    @alphoncemichael6655 3 года назад +8

    Nyimbo zimejaa mafunzo ya kutosha ubarikiwe sana Gudegude

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x Год назад +2

    Mimi nipo kenya nakula mziki wa dude gude ❤❤❤❤

  • @alphanhasan9093
    @alphanhasan9093 2 года назад +2

    Hongera sana gude ujumbe mkali

  • @nellykasanda825
    @nellykasanda825 4 года назад +6

    Wasukuma just Sana katika nchii hii

  • @dianahmenzi5438
    @dianahmenzi5438 3 года назад +6

    Gude upo vzuriiii

  • @angelikingu2192
    @angelikingu2192 Год назад +1

    Napendaga nyinboo zako ila mmi sio msukuma jaman

  • @mbojesalumsalumneema3659
    @mbojesalumsalumneema3659 2 года назад +6

    Gude Mwenyezi mungu azidi kukubariki, kwa nyimbo zako za mafunzo🤲🤲

  • @edwardjuma2172
    @edwardjuma2172 2 года назад +9

    Sawa nyimbo nzuri sana ii gude gude saluti✌️

  • @PendoPeter-jo8tg
    @PendoPeter-jo8tg Год назад +1

    Nyimbo Nzuri hongera

  • @RashidSaid-n3v
    @RashidSaid-n3v 9 месяцев назад +1

    Diamond wakisukuma Ngoma Kali san🎉🎉

  • @AlenVedasto
    @AlenVedasto 8 месяцев назад +1

    Uko juuu kijana nimiipenda sana

  • @priscajackson240
    @priscajackson240 Год назад +1

    Jamani huu wimbo nikiusikiliza najisikia vizuri sana naupenda unamafundisho sana

  • @lucyalbert6161
    @lucyalbert6161 3 года назад +11

    Sijui maana ila nainjoi na biti tu

  • @jonasmwanzi8750
    @jonasmwanzi8750 3 года назад +3

    Mm naingalia ihii nyimbo kweli ww minhu akuvushe mbali mashemeji kweli ni noma sanaaaaaaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @PaschalMaganga-lw2du
    @PaschalMaganga-lw2du 8 месяцев назад +1

    Jitahid ujue kisukuma uta enjoy sanaaa

  • @alphoncemichael6655
    @alphoncemichael6655 3 года назад +4

    Nazikubali sana ngoma za Gude

  • @jamesgeu5314
    @jamesgeu5314 3 года назад +3

    Gude u Ni mkali wao kwa now nyimbo za kisukuma nakubali bro

  • @hamisakilima463
    @hamisakilima463 2 года назад +2

    Nakupenda gude Jana alikua kwetu love you 💖🥰

  • @ellyamaniriwa
    @ellyamaniriwa 2 года назад +2

    Nice brother 👏👍👍

  • @MussaYona-w4k
    @MussaYona-w4k 5 месяцев назад

    Aisee niko dar lakini napenda sana wimbo huu hongera sana gude

  • @MohamedOmary-j8t
    @MohamedOmary-j8t 2 месяца назад

    Gude gude kaza Buti mdogo wangu nyimbo Yako ni nzuri sana inaujumbe mzuri sana

  • @lameckgunze6376
    @lameckgunze6376 4 года назад +5

    Gude Gude .......... Ana akili Sana huyu jamaa yetu ,. Endelea na kazi Kaka kazi ni nzuri kwa kila jinsi akibisha mtu Basi naye ni mchawi tu Kama walivyo wachawi wengine

  • @kumbukakuhaba6025
    @kumbukakuhaba6025 4 года назад +6

    Gude gude nyimbo za vina kama hizo ndo tunazipenda sana uko vizur

  • @erickbwire6254
    @erickbwire6254 4 года назад +4

    Unajua broo,,,,,,,,,big up

  • @jjmakusekwa197
    @jjmakusekwa197 3 года назад +2

    Uko vzury jamaa nimeipenda xn

  • @saimon7691
    @saimon7691 2 года назад +2

    Gude

  • @SumakuRealestate
    @SumakuRealestate Год назад

    Nyimbo kama hii ndio nyimbo za mafunzo kwa kila mtu Ahsante sana Gude Gude. Mimi ni mtu wa Tabora ila sasahivi Nipo Dar es Salaam. Karibu Dar es Salaam.

  • @joelkahuya8356
    @joelkahuya8356 3 года назад +2

    Nilikua nakuchukulia poa kumbe ww ni nooma dah! Hongera bro.

  • @allymagesa4431
    @allymagesa4431 4 года назад +3

    Gude anajua nimependa kaz zake

  • @anordjoseph2091
    @anordjoseph2091 3 года назад +1

    Yimbo ndefu sana

  • @franktheboss4145
    @franktheboss4145 3 года назад +2

    Kaz nzur sana kaka mwenyez mungu azid kukupgania

  • @samuelnhonge2181
    @samuelnhonge2181 4 года назад +7

    Dogo big up sanaaaaaaa
    Fundisho tosha tuwakilishe wasukuma oyeeeee
    Kutogwa bhakima bhiya kwiganika ichobha

  • @Marsiana-s1t
    @Marsiana-s1t 4 месяца назад

    Sawa nazunyaga none baba🎉❤❤❤

  • @victorgerryson2695
    @victorgerryson2695 8 месяцев назад

    From Germany, this is good music...keep doing it

  • @daudinassibu743
    @daudinassibu743 4 года назад +2

    kaka upo vizur sana mungu akupe wepesi kaka kipaji chako

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x 8 месяцев назад

    Hii ndo nyimbo naipenda kuliko zetae hiii kali aana

  • @SitaMpanduji-v9u
    @SitaMpanduji-v9u 3 месяца назад

    Nakukubali Sana kijana

  • @paulkidula1663
    @paulkidula1663 Год назад

    Keep it up brother, wasukuma oyeeee😂😂😂

  • @SalomeBenjamin-lj8gd
    @SalomeBenjamin-lj8gd 9 месяцев назад

    Nakukubali sana kaka angu nakumbuka kipindi tunasoma nilikuwege nikiwambia marafiki zangu nikimaliza shule nitakuwa denca wako ilivo maliza nilikimbilia dar

  • @wemashibitali8129
    @wemashibitali8129 2 года назад +1

    Tuko pamoja wasukuma kwa ujumbe mzuri kama huu

  • @magrethpatrick1201
    @magrethpatrick1201 3 года назад +4

    We hujui kuimba wewe

    • @marytemba-c7y
      @marytemba-c7y 9 месяцев назад +1

      Wivu tu kuoga aaaaa😂😂😅😅

    • @SterlajSterlajovnijoel
      @SterlajSterlajovnijoel 7 месяцев назад

      Wivu2 ndo unaowasumbuaga embu naw imba yakwako tukuskie au ujumbe umekuchoma😁😁😁😁😁😁😁

    • @reginakulwa4494
      @reginakulwa4494 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂anahis kuimba ni kulala na kuamka tu kiukwel mi gude napenda Sana nyimbo zake kila siku nazisikiliza

  • @vailethmataro5663
    @vailethmataro5663 3 года назад +1

    Uko vizur sana

  • @MagrethRithaaa-o5n
    @MagrethRithaaa-o5n 3 месяца назад

    kaka nipo da lakini nyimbo zakp nasikiliza sana mungu akusaidie kalibu dar sal a m

  • @damaccharles9108
    @damaccharles9108 3 месяца назад

    Wimbo wangu bora wa muda wote

  • @PetroCharles-kc8ih
    @PetroCharles-kc8ih 8 месяцев назад

    Nyimbo nzuri sana

  • @AnnaKamaramu
    @AnnaKamaramu 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤tunakupenda sana gde

  • @edwardsanya5477
    @edwardsanya5477 3 года назад +1

    Upo vizuri kaka keep it up

  • @adv.ezekieljames8261
    @adv.ezekieljames8261 2 года назад +1

    Nyanda masome

  • @yohanjohn4764
    @yohanjohn4764 Год назад

    Gudegude na kumbali nyimbozako mkar

  • @MerryMinja-zi4jn
    @MerryMinja-zi4jn 6 месяцев назад

    Jmn naenjoy nataman kuolewaa ukoo 😂😂

  • @tatushija3087
    @tatushija3087 4 года назад +2

    Napenda bure kazi zako ni ukwel tupu wape somo broo

  • @masumbukojumanne5529
    @masumbukojumanne5529 Год назад

    Sana kaka ukosawa

  • @paschalmakoye2823
    @paschalmakoye2823 4 года назад +3

    Hakika unaweza anayekupinga bs haelew

  • @MarcoKelese-wb2ex
    @MarcoKelese-wb2ex 4 месяца назад

    lud kama yimbo zaman

  • @latadotto8923
    @latadotto8923 4 года назад +4

    Wimbo mzur Sana ulikuwa unarudiwa rudiwa kwenye sherehe ya harus yangu nikaupenda skujua Nan kaimba Kaz nzur gude gude🎸🎸

  • @AgnessAgness-w6s
    @AgnessAgness-w6s Год назад

    Napenda sana nyimbo zako zinafuza

  • @hamisimpenda8380
    @hamisimpenda8380 3 года назад

    Yupo vizuri nyimbo zake aongeze juhud zaidi

  • @samsonkatima4100
    @samsonkatima4100 3 года назад

    Nakubali Sana ngosha wanee nkulu wanee

  • @vailetjonas376
    @vailetjonas376 4 года назад +1

    Uko Vi zuri sana G

  • @isackantony7827
    @isackantony7827 8 месяцев назад

    Shemeji nae du mungu uo

  • @dnponlinetv8092
    @dnponlinetv8092 4 года назад +3

    Jitahid gude gude upate promotion kubwa uwe musani mkubwa sana Tanzania

  • @raphaelelias7758
    @raphaelelias7758 3 года назад

    uko vzr sana bro mung akusaidie ufike upaswapo kuwa

  • @IreneNchale
    @IreneNchale 2 месяца назад

    ni hatariii

  • @emmanuelmichael8019
    @emmanuelmichael8019 3 года назад

    Huwa sipendelei ngoma za kwetu lakini kwa hii heshima kwako

  • @DaudiLubhango
    @DaudiLubhango 9 месяцев назад

    Noma sana

  • @Directorjax55
    @Directorjax55 4 года назад +2

    Gude we noma wamalize haukoseagi

  • @ShakiriShabani
    @ShakiriShabani 6 месяцев назад

    Bro mi mnyatur ila nakubali Sana bro an skuping na najua kuimba piaa

  • @isackantony7827
    @isackantony7827 8 месяцев назад

    Nzwaleleh ya makhaji

  • @ManludatundaHamza11
    @ManludatundaHamza11 Год назад

    Boni mwaitege❤

  • @NduwimanaRashid
    @NduwimanaRashid 6 месяцев назад

    Nakuwaminiya.pesa.kweri.zinawenyewe

  • @masungamwandu4960
    @masungamwandu4960 4 года назад +1

    Gude gude uko vizur xana

  • @RashidiChidy
    @RashidiChidy 6 месяцев назад

    Asate sana

  • @PatrisiaDaniely
    @PatrisiaDaniely 10 дней назад

    2025 new year naenjoy na ngoma ya nyumbn

  • @maelezomaelezo9057
    @maelezomaelezo9057 4 года назад +4

    Mushauli huyo msanii wako anunue vyombo vya kutosha yani yeye anawatu lakin vyombo hana twamkalibisha singida aje achukue hela zake huku

  • @kriankasubi8562
    @kriankasubi8562 3 года назад

    Upo vzr

  • @alexmashimba4749
    @alexmashimba4749 4 года назад +2

    Safi sana hii ngoma ndani yake ina mafunzo

  • @dominickshija1907
    @dominickshija1907 3 года назад

    Safi sana dogo

  • @samwelelisha2406
    @samwelelisha2406 4 года назад +1

    Gude gude big up sana,,, tumamaga amamilimo namhala

  • @mapundapius682
    @mapundapius682 4 года назад +1

    Hongera sana wimbo mzuli wenye mafunzo

  • @Emp_ress_anna
    @Emp_ress_anna 7 месяцев назад

    wale tusio sahau asili zetu let's gather here

  • @MeshackLukanda
    @MeshackLukanda Год назад

    nipo south Africa huku idiwili

  • @goodluckymoremi8998
    @goodluckymoremi8998 4 месяца назад

    Bonge la wimbo

  • @fredyjames4327
    @fredyjames4327 4 года назад +2

    Nazunyaga nkoi good job

  • @IreneYuda
    @IreneYuda 11 месяцев назад +1

    I like it 🥰