HAPPENING NOW MAANDAMANO FUNGA MWAKA GENZ KENYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 27

  • @Josaphine-o2w
    @Josaphine-o2w 4 дня назад +2

    Kg kasongo anesindi atatumechoka kuvumilia ilatu mungu atutie moyo ndio tuendele na mahisha mie nimaombi tu ndio nitasindi kuombea nchi yetu ibandilike.thank you so much kg for your good program and important advices for free be blessed

  • @MaingiMaingi-fg9iy
    @MaingiMaingi-fg9iy 4 дня назад +4

    Wakenya tuweni makini maana tusipo heshimu raisi wetu wasasa tutakua tunakosea nchi yetu na sisi tunapenda amani,tusikubali kutumika

  • @MaryamMohammad-c6b
    @MaryamMohammad-c6b 4 дня назад

    Wangengoja mwanzo tushereke mwaka mpya 😮😮😮

  • @hellen9467
    @hellen9467 4 дня назад +1

    😂😂😂😂😂😂 weeee hapa kazi ipo

  • @AmranSeif-e4f
    @AmranSeif-e4f 4 дня назад +3

    Eeeeeeh jamani mmmmmh mi nashindwa kuelewa kwanini wa Kenya hawamueshim Raisi wao atakama hawampendi sio vizuri kumu edit haileti pica nzuri eshima nia lazima 🇧🇮

  • @ezekielZilale-q5v
    @ezekielZilale-q5v 4 дня назад

    Wakenya wakiamua chao hawasikirizagi waoga

  • @KevinSibwoga
    @KevinSibwoga 4 дня назад +3

    Kasongo he must go for now maisha yamekuwa mbaya sna hiyo kichwa yake Iko kma chapati 2027 tutamupeleka sugoi akalinde kuku zake

    • @kgchippy
      @kgchippy  4 дня назад

      🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️mzee baba uko na number ya James Orengo??😂😂

  • @bintimbeyumwalimu2708
    @bintimbeyumwalimu2708 4 дня назад +1

    Kasongo must goo

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 4 дня назад +4

    Kenya mtafika mbinguni kama mmechoka sio kwa hiyo kazi yote isiokuwa na malipo hata hiyo next kura bado msipo ungana kama raia wa kenya bado mtaumia nipo pale mtakuja mnipongeze nishasema na nimeenda .

    • @kgchippy
      @kgchippy  4 дня назад

      Facts 100%

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 4 дня назад +2

      ​@@kgchippyWewe ni mtz ujui what's happening in kenya😂😂😂...lemme tell you we will fight for our country...our constitution....Kenya will not be same again😂😂😂kama wazee wetu hawangewapigania hii nchi...hatungepata uhuru😂😂😂..nyinyi mko sawa endeleeni ivo...sisi tuna taka maendeleo ju tunalipa ushuru

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 4 дня назад +1

      ​@@emmakicham4664 maendeleo which maendeleo what maendeleo who maendeleo where 😂😂😂😂😂😂 Kenya kurudi kwa line itatake alot of energy na sio mchezo

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 4 дня назад

      @@zahraabdul9652 says a tanzanian🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 4 дня назад

      @@emmakicham4664 🤣🤣🤣

  • @DggDdh-fk7ux
    @DggDdh-fk7ux 4 дня назад +2

    Kasongo must go!!!

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 4 дня назад +2

    Huyu kasongo ametuchosha bwana aende

  • @MaryNamwenya-wd9tj
    @MaryNamwenya-wd9tj 4 дня назад +2

    Bro kasongo must go tumejoka

    • @kgchippy
      @kgchippy  4 дня назад

      Kasongo is busy songering😢😢

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k 4 дня назад

    Mmmh

  • @halimaali8732
    @halimaali8732 4 дня назад

    Zakayo must go

  • @ChristineMuinde-fq2jo
    @ChristineMuinde-fq2jo 4 дня назад +1

    Lakini gashagwa

  • @AliNgao-r3j
    @AliNgao-r3j 4 дня назад

    Huyu ni mchochezi mkabila he was one of the goverment amesahau soon waliposhika walisumbua oposition Azimio kupitia office yake amesahau??

    • @MaryamMohammad-c6b
      @MaryamMohammad-c6b 4 дня назад

      😢😢😢amesahau wakati amefutwa kazi ndio anazusha rabsha