Mtazamo wake nauelewa vizuri sana,incase you dont know jamaa anao mashabiki zake ambao wananunuaga kila album anayotoa na wanaongezeka kila siku Kitu kingine jamaa ni anasoma comments zote humu na anaweza akareply hii😅 Personally nasupport hii mode yake ya distribution
Mimi nadhani sio mbaya, but hio mode sio kibongo bongo! Ila guttconfidence yake kiume imekaa poa bora ujue hio laki tatu umeipata vipi siku kadhaa but sio ukae mwaka ukute laki tatu 😂
Tatizo la distribution za bongo hawakupi hela ile uitakayo ww yy nikki anaweza akapata mtu ataenunua hyo album hta laki 5 zaid ya 6 kma support je akiweka kwenye platform atapata hyo hela ndyo hapo dustribution zinapozingua
The world is changing so we should train our mind to accept these things and learn about them sio ku criticize tu kila jambo bila kujua jinsi gani linafanya kazi, Tatizo NIkki anaonekana hapendi kujifunza kwa waliompita au walio juu yake akiwaona wao ndio kama kikwazo cha mafanikio yake. " Whoever Bows his heads misses the sword"
@@chuchufplatnumz4888 Long term investment katika mazingira yapi? Jay Z almost 70% ya muziki wake aliondoa huko baada ya kuweza kuwa na miundo mbinu, mara mia mngesema jamaa auze digital lakini kwa platform yake mwenyewe, si ajabu kaka haununui music unapita na free downloads za boomplay n.k ambazo payments zake ni ndogo, usifananishe wasanii wote na wasanii wenye mashabiki wengi na maandalizi kama Harmonize,Diamond n.k. Nikki atapandisha digital akishaweka sawa hesabu zake sawa
Sasa nani hajatumia akili kati yangu na mafala 25 waliokosa kazi wakachanga buku buku yote kutaka bure?Wenzako wananunua album mpaka mara 10 ya Bei... Endelea kupenda bure UTAUPONZA!
Hiyo siyo kweli bro shabiki wa UNJU ni makini sana sivyo unavyodhani bro,,,,Nash Mcee anauza hivyo hvyo kama Unju ulishawai sikia analalamika bro nakuomba nunua album ya katiba Mpya iko vizuri bro,. Izo patiform kama mdundo Nikki alikuwepo alijitoa kwa sababu maslahi hamuna
@@nikkimbishiunju2402 nia yako kuescape wezi wa kazi zako so nimejaribu kuonesha ata kwa utaratibu unaodhani utailinda biashara yako ungeufikiria mala mbili zaid kwani isijekuwa umemruka kikwete ukamkanyaga samia
Nikki sometimes anazngua sijui mshaur wake ni nan hapa ndo anapofel ukongwe bila akil utakula njugu dunia ikp speed na haitosimama hata ukigoma kutembea nayo
Kopareti nimtu frani ivi akikopa areti naukizubaa ndio imetoka etty oyaweee Dr unjuuu💥💥💥💥💥
Aminiy Niki Mbishi Legend
Mtazamo wake nauelewa vizuri sana,incase you dont know jamaa anao mashabiki zake ambao wananunuaga kila album anayotoa na wanaongezeka kila siku
Kitu kingine jamaa ni anasoma comments zote humu na anaweza akareply hii😅
Personally nasupport hii mode yake ya distribution
Mimi nadhani sio mbaya, but hio mode sio kibongo bongo! Ila guttconfidence yake kiume imekaa poa bora ujue hio laki tatu umeipata vipi siku kadhaa but sio ukae mwaka ukute laki tatu 😂
Jamaaa wengi hawaelewi anachokisema
Mimi kuna mshikaji wangu mmoja juzi nilishangaa aliniulizia album ya nikkimbishi nikamtumia namba jamaa akamalizana nae
Hajui niki mziki umebadilika anachana old sana
@@mafiaso_sakutula eeh unataka achane kamaYoung Lunya?😃 Muziki ni kama bidhaa nyingine kuna watu hawapendi hizo new school.
Niki mbishi
Niki mbishi 🎉
Best rapper in tz
Uyu jamaa sio wa century hii😅😅😅😅 WCB nunua album utupigie
Hip hop iko mikono salama
UNJU BINI UNUC 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Unju Best rapper alive
Mpuuzi sana
Upuuzi wake uko wap broo
Anasahau kua dunia inabadilika saiv sio zaman
Inabid ajue kua huu n msimu wa digital platform
Tatizo la distribution za bongo hawakupi hela ile uitakayo ww yy nikki anaweza akapata mtu ataenunua hyo album hta laki 5 zaid ya 6 kma support je akiweka kwenye platform atapata hyo hela ndyo hapo dustribution zinapozingua
@@Iamachan ilo fala km wengne
Noma sana
Hata ulaya wapo wasanii ambao hawapo kwny hizo platform zenu na wanafanya pow wanapiga pesa SIJASHANGAA KWA UNJU #LEGENDINTHEMAKING
Kama wapi?
@@tusaradrusia9670 unazijua ulaya ngapi mwenzetu
@@ibni_H2TL6r mshamba uyo achanae
@@ibni_H2TL6r ajui hata nini kinaendelea kwa unju
@@SaumuNinga-np5zb NIMEKUELEWA SANA UJUE😜😜
Mkuu wa wilaya ya Rap, Dc wa milazo ☠️
The world is changing so we should train our mind to accept these things and learn about them sio ku criticize tu kila jambo bila kujua jinsi gani linafanya kazi, Tatizo NIkki anaonekana hapendi kujifunza kwa waliompita au walio juu yake akiwaona wao ndio kama kikwazo cha mafanikio yake. " Whoever Bows his heads misses the sword"
Umetumia akili kubwa sana kujibu akili ndogo. Jamaa lazima akubali mabadiliko.
@@ericklenjima455 Sio lazima
You misunderstood Nikki man. Easy Maths, Sales 1000 Tu 25,000,000. Twende Digital, ln unaipata hii hela.
Hz Digital Platforms n long term investments mzeeee.
@@chuchufplatnumz4888 Long term investment katika mazingira yapi? Jay Z almost 70% ya muziki wake aliondoa huko baada ya kuweza kuwa na miundo mbinu, mara mia mngesema jamaa auze digital lakini kwa platform yake mwenyewe, si ajabu kaka haununui music unapita na free downloads za boomplay n.k ambazo payments zake ni ndogo, usifananishe wasanii wote na wasanii wenye mashabiki wengi na maandalizi kama Harmonize,Diamond n.k.
Nikki atapandisha digital akishaweka sawa hesabu zake sawa
Unju
Uyu jamaa kichwa sana ndo faida ya kusoma
Frankly Speaking
Wazo Zuri shda ukimuuzia mmja ikaruhusu kurushiana hapo ndo changmto
Swali ww unaweza kununua ukameushia mtu bure? Kwenye 10 ni wa2
Dah uyu jamaaa mtazamo wake bd cjamuelewa mtazamo wake
Nenda shule Kwanzaa
Jamaa alisoma,lakini ni mjinga..
Miongoni mwa artist wako smart sana kichwani bhas ni Uyo Jamaa km Umemfatilia Aisee Trust Me labda km Humjui vizuri
Fucken genius!!!!!
Unju
Ajatumia akili. Watu watu 25 watachanga buku buku watampatia mmoja ili anunue album yake then wao watatumiana amna alichoescape
Sasa nani hajatumia akili kati yangu na mafala 25 waliokosa kazi wakachanga buku buku yote kutaka bure?Wenzako wananunua album mpaka mara 10 ya Bei... Endelea kupenda bure UTAUPONZA!
Hiyo siyo kweli bro shabiki wa UNJU ni makini sana sivyo unavyodhani bro,,,,Nash Mcee anauza hivyo hvyo kama Unju ulishawai sikia analalamika bro nakuomba nunua album ya katiba Mpya iko vizuri bro,. Izo patiform kama mdundo Nikki alikuwepo alijitoa kwa sababu maslahi hamuna
@@nikkimbishiunju2402 nia yako kuescape wezi wa kazi zako so nimejaribu kuonesha ata kwa utaratibu unaodhani utailinda biashara yako ungeufikiria mala mbili zaid kwani isijekuwa umemruka kikwete ukamkanyaga samia
@@nikkimbishiunju2402 yote kwa yote biashara ni yako mzee endelea kufanya kilicho bora kwako. Nisamehe bure sitorudia kuandika kwenye mambo yako🙏
@@nikkimbishiunju2402 akili nyingi unjuu I'm ur fan lady
Duh!hakuna hizo mambo za mshabiki wa damu,mfumo huo watatumiana saana
😅😅
😂🤣😂😂😂😂😂😂
Nikki sometimes anazngua sijui mshaur wake ni nan hapa ndo anapofel ukongwe bila akil utakula njugu dunia ikp speed na haitosimama hata ukigoma kutembea nayo
Mnazingua mtu ana Hussle zake za life ashawahi kukuomba mia yako, na ww unaeongea hivi unapesa ya kumpita Nikki mbishi
Kuma la mamako ww upeo wako unaingia mara mia Moja kwake
Unju
Unju ur my model(teacher of full time) since before brodah, keep focusing en press more effortz