Kiukweli natamani niwashauli ila naona sauti yangu haitakua na nguvu ila jmn mi naona katuni zenu ni nzuri na zinafundisha sana wenzetu wanafanya katuni kama biashara inaingiza kipato huku lengo kuu ni kuelimisha mnaonaje mkaanza kutengeneza katuni na kuzifanyia promotion na hata kuzitoa kwennye mtindo wa cd na vipindi vya televishen nataman ningekuwa na uwezo niwadhamini ila tafadhari Tanzania tuendelee mbele hata kwa katuni bado tupo nyuma sana tofauti na wenzetu asanteni ni ushauri kwa sababu napenda sana kazi zenu

Very funny and still educational. I love it
🔥🔥🔥🔥🔥 cool work guys
Eribetha kutoka kondo Nimependa tulicho jifunza
Unyama sana
Love it
Nimependa tulichojifunza
Elibetha kutoka kondo
❤❤❤❤
Eribetha kutoka kondo

Thanks
❤❤❤
Eribetha kutoka kondo