Hapa uchaguzi ni kati ya wanaopenda uhuru wa kutoa mimba na ushoga na wale wasiopenda uhuru huo. Ila Kamala akipita, basi kuna uwingi wa wapenda maovu na wanaoshabikia jinsia tu bila kujali sera..
Anasema mafuta yalikuwa siyo ghari hakumbuki kuwa tramp kayakuta mafuta wenzake walishayachukua na kuweka stock kubwa kutoka Libya na Ilaq kwa njia ya vita na huyu jamaa inaonekana hajielewi anafikilia marekani inaendeshwa kimama mama kama trump unatumia stock ya inchi hadi unamaliza unategemea nini Biden kakuta mafuta kwenye magara hayatoshi na haoni ataenda kukiwasha wapi ili achukue mafuta
Haoni anaenda kukisha wapi ndo apo alikuwa anatafutwa Iran jamaa angendelea Iran ingechapika wangetumia garama yeyote Ile kuichpa Iran ani Baden angendelea tu
Wewe Bado hujui kumbe, Texas wanachimba mafutaa balaa, wewe hujui kumbe, liquid gold ipo MAREKANI, mafuta MAREKANI wanayoiba yapo middle east pale, na trump alihakikisha hayagusi, Acha kuguess fuatilia dadaangu, kilichosababisha mafuta kuwa Bei, ni democrats walikuja na mpango mkakati wa kuhifadhi mazingira wakazuia drilling na ndio maana sera Moja ya Donald Trump ni Drill baby drill
Sasa hivi MAREKANI baada ya Biden wanachukua mafuta kutoka nodestream pipeline kutokea urusi na ndio maana wanaitaka urusi kwa udi na uvumba We hujiulizi marekani wanaweza kuifanya Ukrain na urusi wakapatana vizuri tuu lakini Bado wanatuma Hela na silaha Ukraine, these guys are evil
Aisee hii ndiyo marekani
Hongera sana mkuu kwa kumchagua Trump
👍👍👍
Safi sana umetuwakilisha watanzania tunaopinga ushoga dornad trump chaguo la wenye haki kamala chaguo la mashetan
Mtaifa kubwa kama marekani alitakiwi kutawaliwa na mwanamke trump again
You vote for trump you vote for Jesus
Wasafi nawapa za ndaniiiiiiiiiii rais ajae ni kamala Haris
😅😅😅😅😅
@@robertphilip385 hakika
Hakika Kamala is the best 🎉
Hapa uchaguzi ni kati ya wanaopenda uhuru wa kutoa mimba na ushoga na wale wasiopenda uhuru huo. Ila Kamala akipita, basi kuna uwingi wa wapenda maovu na wanaoshabikia jinsia tu bila kujali sera..
Republican 🎉🎉🎉🎉
Trump❤ odio ana pesa
Kilaza kwa ubora wake😂
Cc waafrika hatufuatilii uchaguzi wetu tunaenda kufuatilia cmambo ya watu
Trump Kwa akili ya iran
Ujiandae kurudishwa kwenu wakimbiz
Mimi ni raia ndugu nirudishwe wapi? 🤣🤣🤣 sipo Marekani kwa bahati mbaya
@@EBMSCHOLARSwewe umetuwakilisha wa Tanzania kupiga kura kwa trump kuyapinga mashoga na wasagaj Kamala genge la waovu
Huyu jamaa mbona anatafuta umaarufu kwa lazima hua anafanya biashara gani ambayo inahitaji yeye kujitangaza hvyo
huna akili
@@Fettydeekweli hiyo Hana akil naona ni muumin wa mashoga
Acha wivu tafuta pesa umaarufu unakuja wenyewe
Anawakazaa wasio jielewa
Anasema mafuta yalikuwa siyo ghari hakumbuki kuwa tramp kayakuta mafuta wenzake walishayachukua na kuweka stock kubwa kutoka Libya na Ilaq kwa njia ya vita na huyu jamaa inaonekana hajielewi anafikilia marekani inaendeshwa kimama mama kama trump unatumia stock ya inchi hadi unamaliza unategemea nini Biden kakuta mafuta kwenye magara hayatoshi na haoni ataenda kukiwasha wapi ili achukue mafuta
Haoni anaenda kukisha wapi ndo apo alikuwa anatafutwa Iran jamaa angendelea Iran ingechapika wangetumia garama yeyote Ile kuichpa Iran ani Baden angendelea tu
Wewe Bado hujui kumbe, Texas wanachimba mafutaa balaa, wewe hujui kumbe, liquid gold ipo MAREKANI, mafuta MAREKANI wanayoiba yapo middle east pale, na trump alihakikisha hayagusi,
Acha kuguess fuatilia dadaangu, kilichosababisha mafuta kuwa Bei, ni democrats walikuja na mpango mkakati wa kuhifadhi mazingira wakazuia drilling na ndio maana sera Moja ya Donald Trump ni Drill baby drill
Sasa hivi MAREKANI baada ya Biden wanachukua mafuta kutoka nodestream pipeline kutokea urusi na ndio maana wanaitaka urusi kwa udi na uvumba
We hujiulizi marekani wanaweza kuifanya Ukrain na urusi wakapatana vizuri tuu lakini Bado wanatuma Hela na silaha Ukraine, these guys are evil
Mafuta yanachimbwa toka ndani ya USA. Unajua umaarufu wa Texas ni upi kama sio main producer wa oil. Hakuna mafuta kutoka Libya wala nini.
Namsapoti Kamala Harris na chama chake cha democrat kwa sababu democrat ni chama kinachoungwa mkono wamarekani weusi wengi.
Wamerakani wengi weusi na mashoga
EEWEEEEEH_🤔 KWEL?
@@allahisone6386 Chama gani huwa kinapata kura nyingi za blacks kati ya democrat na republican. Mimi black naungana na blacks wenzangu
@@OmarKali-tv5hi Hata Trump hawezi ungwa mkono na watu wazuri tu.
Wenzio hawaangalii mambo ya kuungwa mkono wanaangalia sera zake zimekaaje we unaleta ubongobongo wako hapa we vipi