Ahsante apo mwanzo nilikosa kabisa kuthubutu kufanya jambo kupitia teacher Joel nimekuwa jasili mungu akubariki kila hatua kwako iwe yenyemafanikio.🇹🇿🙏.
Kaka nipo nawewe mpaka nifanikiwe nimekufatilia kwa muda mrefu mpaka nimejenga na kununua viwanja viwili hii yote kwa kukusikiliza wewe mwanzo nilikuwa sina bajeti za matumiz ya pesa ninazopata sasa nabajeti na nina tunza pia naomba mungu akulinde
Mungu tunakushuru kuwa uwepo wa sauti hii mioyoni mwetu akilini mwetu maana tunapiga atua na kubadilisha mitazamo yetu juu ya maisha yetu kutokana na kipawa ulichokiweka katika mtu wako Joel Nanauka. Tunakuomba uendelee kumbaliki nakumsika katika maisha yetu ya kila siku najivunia kupata muda wake
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako,Mungu azidi kukutunza kwa ajili ya wengi.
Asahntee sana kaka, nimekuelewa Sana,,,, MwenyeziMungu aendelee kukuzidishia hekima na maarifa.
Mwenyezi mungu akubariki,somo zuri.
AMEN AMEN, UBARIKIWE Mr.Joel nimejifunza vitu vingi sana kutoka kwako.
Mungu akubarikiiiiiii saaaana
broh kwanzia nianze kuku fatilia kwakweli nimejikuta napata tumaini jipya katika maisha Mungu akubariki sana
Joel i love u 💓 so much
Ubarikiwe unatuvusha wengi
Nimekuelewa sana
Ameeeen ,, Mungu akubariki sanaaaa Mtumishi 🙏🙏
UBARIKIWE SANA
Asante wazozuri sana lakunitia moyo
My teacher Joel mungu wa mbinguni azidi kukuinua unanitia moyo sana
Ameen Ameen Ameen
Toka nomeanza kukufatilia 2021 Hadi leo nimebadilika Sana bando nalitumia vizuri
Hongera sana
Ahsante apo mwanzo nilikosa kabisa kuthubutu kufanya jambo kupitia teacher Joel nimekuwa jasili mungu akubariki kila hatua kwako iwe yenyemafanikio.🇹🇿🙏.
Wow, hongera sanaa
Halleluya
A allaikum. Jamani naomba kujua hivi vitabu muhimu na research muhimu huwa zinapatikana wapi.
Natamani siku moja nijue jambo hili kwa kweli
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Ameen Ameen
Kaka nipo nawewe mpaka nifanikiwe nimekufatilia kwa muda mrefu mpaka nimejenga na kununua viwanja viwili hii yote kwa kukusikiliza wewe mwanzo nilikuwa sina bajeti za matumiz ya pesa ninazopata sasa nabajeti na nina tunza pia naomba mungu akulinde
Hongera sana sana kwa hii hatua👏🏻👏🏻
Mi nakuona kama nabii mana kila napokuta video yako hiyo mada inanihusu moja kwa moja
Mungu akubariki sana kaka Joel
Amen amen amen
Shukrani
Yessss very powerful 👏
Amina
Mungu tunakushuru kuwa uwepo wa sauti hii mioyoni mwetu akilini mwetu maana tunapiga atua na kubadilisha mitazamo yetu juu ya maisha yetu kutokana na kipawa ulichokiweka katika mtu wako Joel Nanauka. Tunakuomba uendelee kumbaliki nakumsika katika maisha yetu ya kila siku najivunia kupata muda wake
Ameen, ahsante sana kwa dua hii njema🙏🙏
❤❤❤❤
mkuu unaongea na mm kabisaa
Nakushukuru kwa masomo mazuri, Somo hii Linagusa sana Maisha yangu. Mungu akubaliki sana.
Ameen.Mungu azidi kukufanikisha
Asante sana
🎉🎉🎉✍️🇨🇩
Nanauka ..it is my pleasure to get some of your books specifically hard copies ...I'm in mwanza .,how can I get them ,.......?
Karibu sana wasiliana na +255 754 769 103 au 0762 31 21 71
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mwalimu ili somo limenigusa sana sina nipo njia panda mnoo lkn kupitia somo lako nimejifunza
Mungu akusaidie ujue njia sahihi kupita
Mungu akubarik sana brother Joel kwa mafundisho mazuri unayotupatia.
Amina
❤❤