Kayumba - Mama Samia(Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 58

  • @Mulei-Nasibu
    @Mulei-Nasibu 3 месяца назад +13

    Nyote mkiimba kumsifu mama yenu itakuaje? Ataweza kufanya kazi inavyostahili kweli? Mnamsifu tu, anapokosea hamumwambii. Wanapotekwa watu nyara mwambieni pia. Tozo zisizofaa hamuziongelelei. Dah badilikeni wanangu msema kweli ni mcha Mungu

  • @valentinetesha7915
    @valentinetesha7915 3 месяца назад +7

    Umeharibu nyimbo yetu pendwa daah😢

  • @Marianduluma8730
    @Marianduluma8730 3 месяца назад +5

    Daaaah kayumba yani huu wimbo wa mama unanikosha sana. Hongera sana kwa wimbo mzuri kwaajili ya RAIS WETU NA MAMA ZETU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LucasKinasa
    @LucasKinasa 19 дней назад

    Umezingua sana, bora ata tarabu mzeee

  • @nyaozilnyao8849
    @nyaozilnyao8849 3 месяца назад +4

    Kayumba huko juu ❤❤ from kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @Josyluckia
    @Josyluckia 2 месяца назад +2

    Nice one uliwaza 🎉kababa pokea ❤❤❤❤

  • @laxmajor
    @laxmajor 3 месяца назад +3

    Goma kali 🇹🇿🙌🙌🙌🙌

  • @paulonyenza3841
    @paulonyenza3841 3 месяца назад +2

    Sawa wote mmeamua kuchagua kusifia

  • @Slimoffunstoppablo
    @Slimoffunstoppablo 3 месяца назад +4

    We discuss abut Art , Art ni uwanja mpana ni uwezo na ni ubunifu, kwa wanaosema kayumba anaweza gonga like 🎉

  • @fatmahmed5647
    @fatmahmed5647 3 месяца назад +3

    🎉🎉🎉❤❤❤ asante kwa kumuimba mamaetu samia suluhu hasani 🙏🤲

  • @johnshija8917
    @johnshija8917 3 месяца назад +3

    Kayumba ww nifaraa sana umezigua umezigua

  • @Johvanny
    @Johvanny 3 месяца назад +5

    Nataman nipate verse yako bro unibless ❤❤❤nakukubal xan. 🎉🎉🎉🎉

  • @beckynelly4406
    @beckynelly4406 3 месяца назад +3

    Good job kayumba nyc I like the way u have dedicated this son to ur rais much love from KENYA 🇰🇪💞💕💖💖

  • @AliAhmed-xv8qv
    @AliAhmed-xv8qv 3 месяца назад +1

    Nawaona Abbas Pira , Bambo Kali Sana 🇹🇿🇹🇿

  • @omarybakari3965
    @omarybakari3965 3 месяца назад +1

    Safi kaka unajua hujakosea

  • @MjbSulliet
    @MjbSulliet 3 месяца назад +1

    Here Kayumba ameokota Makoto mengi Kwa Kwa mama . His among lucky musicians ❤

  • @MarianoAly
    @MarianoAly 3 месяца назад +1

    Kayumba wewe ni moto kweli😂😂😂🎉🎉🎉.

  • @MuddySalim
    @MuddySalim 3 месяца назад +1

    Good up sanaa 😊

  • @EdwardMaclean-dc9pn
    @EdwardMaclean-dc9pn 3 месяца назад +6

    Nilikuwa nakukubali saaan kumbe na ww ni mjinga mmoja tu😢😢

  • @oktovianustamuop5485
    @oktovianustamuop5485 3 месяца назад +1

    Good job kayumba❤

  • @justonlinetv
    @justonlinetv 3 месяца назад +2

    👋👋👋 upewe maua yako

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v 3 месяца назад +1

    Shukrani Kaka Kayumba👑♥️🙏

  • @simionalvayo4138
    @simionalvayo4138 3 месяца назад

    Acha kuharibu wimbo tena bro usi sifu mtu heri unge sifu Mungu

  • @havannythebwoy9209
    @havannythebwoy9209 3 месяца назад

    Rais wetu ❤❤

  • @BandaFrederick
    @BandaFrederick Месяц назад

    You are blessed kayumba

  • @MuddySalim
    @MuddySalim 3 месяца назад

    Kayumba jembee good up sanaa

  • @Mrkigoma
    @Mrkigoma 3 месяца назад +3

    Kwan nn maana ya kioo cha jamii? ila niseme wasanii nyie hamjui kuwakilisha kilichopo kwenye jamii yetu mnazingua sana, hiki ulichokifanya umeboa sana.

  • @Bizzy176
    @Bizzy176 3 месяца назад +1

    Wasanii Wa hivyo

  • @MuddySalim
    @MuddySalim 3 месяца назад

    Nyimbo Kali dogoo good up sanaa

  • @joshuamartinpryce8424
    @joshuamartinpryce8424 3 месяца назад

    Tall buildings in a city are biblical minds in a church.

  • @younglico7611
    @younglico7611 3 месяца назад

    Mama samia🎉🎉

  • @wambassaonline1940
    @wambassaonline1940 3 месяца назад +1

    Apo ndio umezingua

  • @IsayaTarakwa
    @IsayaTarakwa 3 месяца назад

    Mauwa yako mwananguuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shadymusi
    @shadymusi 3 месяца назад

    Mwamba hyooo kayumb nakukubar Miaka buku bro

  • @mjumbewakristo8677
    @mjumbewakristo8677 3 месяца назад

    Unazingua nyimbo gan hii

  • @everrealboy1697
    @everrealboy1697 3 месяца назад

    kazi nzuri sana kaka

  • @jeno_khan
    @jeno_khan 3 месяца назад

    nimeumia sana

  • @NdaloMichel
    @NdaloMichel 3 месяца назад +1

    Big song naikubali sana

  • @MarcelloDidace-u5e
    @MarcelloDidace-u5e 2 месяца назад

    pokea mauwa yako m'y bro

  • @PrayKasereka
    @PrayKasereka 3 месяца назад

    naona kabisa

  • @sixdozen
    @sixdozen 3 месяца назад

    🔥🔥🔥

  • @HalimaKomba
    @HalimaKomba 3 месяца назад

    Mama Samia ❤

  • @Jackiz697
    @Jackiz697 3 месяца назад

    Hatari 🔥🔥🔥

  • @KOLOMSAFI1
    @KOLOMSAFI1 3 месяца назад

    👌👌👌👌

  • @athur_de_ommy
    @athur_de_ommy 3 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @WilondjaDaudi
    @WilondjaDaudi 3 месяца назад

    Fundi ahuja wai kuniangusha

  • @AishaAli-oz1wu
    @AishaAli-oz1wu 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Johnsohg5
    @Johnsohg5 3 месяца назад +1

    Ila chawa

  • @wambassaonline1940
    @wambassaonline1940 3 месяца назад +1

    Umetuvunja moyo mashabiki zako

  • @ShalomPictures
    @ShalomPictures 3 месяца назад

    😂😂😂😂

  • @AzariaNkwama
    @AzariaNkwama 3 месяца назад +1

    Unajipotezea mashabiki kisa mambo ya kijinga 🤣

  • @Jmkaliofficial263
    @Jmkaliofficial263 3 месяца назад

    Shoga wewe