Ahmed Ally hongera sana,wanasimba hongereni sana.❤️❤️❤️ Mkuu wa mkoa yeyote yule atakayetaka kupambana na semaji la CAF hataweza. Semaji aongezewe mshahara tafadhari.
Ana KARAMA na KIBALI kutoka Kwa MUNGU. Uyu sio mtu wa kawaida na Wala wengine wasijilinganishe nae kamwe hawamuwezi. MUNGU amlinde semajai letu....❤❤❤❤
Mbona munatufahisha Wana Simba mpe like zake semaji la caf I love 🦁
❤❤❤❤🎉🎉ahmed mungu azid kukupa nguvu na afya njema hakuna anaekuweza, semaj n moja tu wengine wabwabwaji tu.
Love simbaaaaaa ❤❤❤❤❤najisikia raha nikiwaona wanasimba wakitamba ,, Simba ya ubaya UBWELA ❤❤❤❤
Ahmed Ally hongera sana,wanasimba hongereni sana.❤️❤️❤️
Mkuu wa mkoa yeyote yule atakayetaka kupambana na semaji la CAF hataweza.
Semaji aongezewe mshahara tafadhari.
Ahmed ally anatupa raha wanasimba hakika anaweza Sana hakuna kama ahmed ally
Hongera san semaji. Nikama marudio ya tripoli, na mech zote za kimataifa same energy
Raha hizi unazipata kumoja tu ni hapa UNYAMANI, nitahama zanzibar mm, semaji nitafutie kiwanja dar.
Hatari sana, vibe kama lote
Huyu Ahmed Amefanya washabiki wajione sehemu ya timu moja kwa moja
Ana KARAMA na KIBALI kutoka Kwa MUNGU. Uyu sio mtu wa kawaida na Wala wengine wasijilinganishe nae kamwe hawamuwezi. MUNGU amlinde semajai letu....❤❤❤❤
Jamani raha hadi nalia❤❤❤Ahmed shikamoo😂😂😂
Unalia nini kwani wakati mimi na yumba huku kama ngamia
Ubaya ubwelaaaa❤
Woyoooooo woyoooooo this is 🦁💪
UBAYA UBWELA 😂😂😂😂😂NGOJA NIWAKEREEEEEEEEE 😂TABORA UNITED
Naipenda Simba yangu jaman nipo mbeya nataman kuwepo apo daaaas🙏🙏🙏
Hongera semaji letu. Ubaya ubwela
Jamani Simba Raha,Ubaya Ubwela
Haya ndo mambo nayapendaga kwenye hizi gemu za kimataifa ❤❤❤❤❤❤
Ahmed ally alindwe kuzidi mkuu wa ule mkoa wa pamba fc
😂😂😂😂😂😂
😅😅😅
Kabisa hiii imeenda
Una mwanasheria😅😅😅
😂😂😂😂😂😂Utaniua😂😂😂😂😂😂
SIMBA NGUVU MOJA 💪💪💪 na ubaya ubwela ❤️💯❤️
Dah Hadi raha💪💪
Wananipa Raha Sana timu yangu ya simba❤❤❤❤❤❤
Simba Rahaaaaa ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Simba baba lao
Ahmed Ali yuko sw kweli.
Hadi raha ❤ ubaya ubwela tu
Ahmed Ali amemzidi mbali Sana yule😂😂😂😂😂
Oyoooooooo, ubwelaaaaaaaa, jamani huku nachezaaaaaaaa
ASANTE SANA MUNGU MBARIKI SEMAJI LETU LA CAF. WABARIKI WACHEZAJI NA MASHABIKI WAO. MUNGU NI MWEMA SIMBA MTASHINDA KWA KISHINDO AMINA
🙏🙏
❤️ UBAYAAA UBWELAAA 🇹🇿 🇦🇪
waoooooooooo Hadi laha
Duh! Simba atariiiii❤❤❤❤❤❤❤
Umbaya umbwela
Kumbe na kucheza me nkajua semaji la caf anaongea tu😂
❤
Simba raha sana
Ubaya ubwela utawatesa wasio wabunifu😊
Atar
Ubaya ubwela
SSC nguvu moja hatulali mpaka final kama 1993
❤❤❤❤❤
Semaji kama semaji
Kwan mkuu wa mkoa wa mwanza yeye anasemaje atulize kishundu
🤣🤣🤣 Ahmedi alimshika pabaya.
kiukweli Simba inabuludani nyingisana jamani
Viongozi wa Simba mlindeni semaji la caf mmepate semaji wengine wanavisemaji. Ni mtu na nusu
Tena ni JESHI la mtu mmoja. MUNGU wa mbinguni amlinde. Yaan Kawazidi wasemaji wote kila kitu. Semaji letu 🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪
Hamnakitu simba soon mtajua kma wakawaida
Tunaomba tuendelee na ubaya ubwelaa wengine endeleeni kula asali ya Tabora
Yanga wamesha jijuwa kuwa wakawaida sana kwa tabora acha sisi tutambe hadi iyosiku ifike
ubaya ubwela
🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂
Chukua mauwa yako semaji🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu apawe ukuu wa mkoa serikali mko wap
Yaan ilo nalo neno.....mkeka ujao naona mama atamkumbuka. Kijana yuko vzr sana sana. 🎉🎉
KWA NINI MHVAI JEZI MPYA??
Zitachafuka mapema zipo kwenye kabat za bravo nawenzie
@@LucasRuben-x1t Saaafi sana umempa jibu zuri
😂😂😂