Sema hivi;wanaosema yanga inakutana na timu mchekea wao wamezibuliwa wakafukuza makocha wakazibuliwa wakavunja timu mpaka na uongozi,wana imani nzuri kwamba anaezibuliwa nyingi kwa yanga hii timu mbovu na wao wamo kwenye timu mbovu tunaona wanavyoweweseka mpaka kombe la shirikisho ni kichapo walichopewa
Ambukile ametoka nje ya uchambuzi, mpira huwezi kujihakikishia et kwamba Yanga atamfunga Simba 3 umekuwa mtabiri lakini una chembe chembe za ushabiki kuliko utaalam
WEWE AMBOKILE MIMI SIJUI,WATU WA SIMBA WANAUMWA HILO TRIPOLI LILICHEZA NA UHAMIAJI TENA HUKO KWAO LIBYA GAME ZOTE MBONA HAMSEMI,UHAMIAJI NA YANGA QUEEN KUNA TOFAUTI GANI?
Shida ya wabongo ni kwasababu tumeizoea Yanga! Ninapotoka,tunasema,' OMWATANI TAKWETA MUSHAIJA' JIRANI YAKO HAWEZI KUSEMA WEWE NI MWANAUME! HATA KAMA ANAJUA WEWE NI MWANAUME SHOKA! HAWEZI KUKUSIFIA!!! Nje timu hazitaki sasa hivi kukutana na Yanga!
Mwandishi haya maawali yenu ya kijinga ya Kila siku ya timu kibonde yanaboa ...kuweni weledi wa kufanya interview zenye maawali gikieishi....acheminupumbavu wa Kila siku kuibeA Yanga....wewe na hao hao mnaosema ni timu mbovu mbona mmefingwa mara tatu mfululizo? Acha kufikiria kwa kuria makalio
ukwel wako tu unakufanya watu wakuchukie lakn acha wakuchukie mana ktk hii dunia huwez kupendwa na wote wew endelea kuxhuxhua nondo xixi tunae penda mpira tunakuelewa vzr tu
Uyu mchambuz Bora sana Ambukile nakukubali chuma Cha mjerumani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Natokea mkoa wa songwe,huyu jamaa ambokile nimchambuzi mzuri wengine ni mazuzu hawajuwi mpira,big up sana ambokile.
Songwe unanikumbusha mbali kunawashabiki kibao wa chama langu la wanainchi😂😂😂😂😂😂😂😂
Safi sana Ambokile.Asante kwa kuwarekebisha wachambuzi wanaochipukia.
Wajifunze kwa Kikeke Salim.
Big up AMBOKILE 👍
Chuma cha mjerumani one of the best football analyst❤🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂🎉🎉🎉safiii saan ckubzote nabiii Ibrahim huwa anaongea ukweli sasa wewe ni mtu haswaaa huwa nakufatilia san ♥
Wewe ben tv tunaomba huyu jamaa anapokua anaichambua yanga ongeza mda hili tumusikilize vizuriii. Mm namkubarii baraaa
Na aongeze sauti 😂😂😂
Chuma Cha mujerumani👏👏👏
Huyu jamaa anasema kweli kabisa
Kwani amewatukana simba?
Sisi tunataka ambukile uwe namuleta mapema achambuwe yanga tupate utamu 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 ambukile🙌🙌👍👍
Ukovizuri kumbe hata USA yanga inakubalika !!!!!!!! Hongera sana
Jamaan ambokile usiwasanue basiiii 😂😂😂😂
Bro kiukwer mm leo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Chuma Cha mjeruman wewe ni bonge la mchambuzi🎉🎉
YESSS, KAKA WAAMBIE HAO MAKOLO YANGA SO LEVEL YAO !!!😁😁😁😁😁💚💚🎉🎉🎉🎉🎉. POKEA ZAWADI YAKO BRO!!
Huyu jamaa bora sana kwa uchambuzi, wachambuzi wengine mpaka wanatia hasira, timu kufungwa magori mengi haina maana kuwa na kibondi
Naishi UK,in champion LEAGUE,hakuna kibonde!
Sema hivi;wanaosema yanga inakutana na timu mchekea wao wamezibuliwa wakafukuza makocha wakazibuliwa wakavunja timu mpaka na uongozi,wana imani nzuri kwamba anaezibuliwa nyingi kwa yanga hii timu mbovu na wao wamo kwenye timu mbovu tunaona wanavyoweweseka mpaka kombe la shirikisho ni kichapo walichopewa
Chuma Cha mjerumani kaka umetixha kila tclabu invyokutana na yanga wanaxema kibonde, Hawa mbwa mwaka huu wayakoma tar 19 kk watakufa 3 bila
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 5G inawahusu tena
Timu za kawaida nikama simba sports club
kabisa
Kaka unaongea vizuri Sana wanaokuelewa ni sisi tunaopenda soka na sio kupenda timu
Tunawataka wachambuzi kama wewe elimu kubwa sana safi chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂ambukile acha hizo mbona unanikosha unamchana mnyama vpamde vipande ila nakumic Sana nilikua nasikiliza abudi kwaajili yako chuma ila kwasasa duu
👏👏👏👏👏
💛🙏🔥🔥
Ambokile mzee wa A mbili sio d mbili chuma cha mjerumani..
Huyu awe na kipindi maalumu Tanzania kuzungumzia mpira anasema ukweli
Uko vizuli sana
Huyu yanga mwenzetu😊😊😊
Chuma cha mjerumani noma sana
Mchambuzi mahiri
Anaongea bila ushabiki niuzalendo kabisa 😂😂
Kabisa
Chuma cha MJERUMANI kizungu tunasema GERMAN MACHINE!!
Ni Iron Germany 😂😂
chuma cha mjerumani unajua adi mungu apendi shetani anatabasamj
Huyu AMBOKILE apewe tu maua yake kwasababu ni mtu anaeweza kuuchambua mpira kwa uzuri zaidi sio hao wengiene
Nilikuwa nasubili kwa hamu ambokile
Tena usajili unaoendelea hapo simba ni kwa ajili ya mechi dabi yake dhidi ya Young African .
Embu chukua hiyo❤ mchambuzi wangu
Halima ❤❤❤❤❤ mwainchiiiiiiiiiiiiii
Simba hawana hamu na uyu mtu
Chuma cha mjeruman ficha code hyo wasije wakasanukaa
Jamaa unaweza sema anawapa sifa sana yanga ila anaongea kweli
Ambukile ametoka nje ya uchambuzi, mpira huwezi kujihakikishia et kwamba Yanga atamfunga Simba 3 umekuwa mtabiri lakini una chembe chembe za ushabiki kuliko utaalam
Simba anachakazwa Hadi achakae
Yani nakuskiza najawa na furaha hadi natokwa machoz bonge la mchambuzi
Wanaobeza wamefungwa goli moja wakashangilia lakini leo wanajitoa ufahamu
Wachambuz wengi mandundu
WEWE AMBOKILE MIMI SIJUI,WATU WA SIMBA WANAUMWA HILO TRIPOLI LILICHEZA NA UHAMIAJI TENA HUKO KWAO LIBYA GAME ZOTE MBONA HAMSEMI,UHAMIAJI NA YANGA QUEEN KUNA TOFAUTI GANI?
😂😂😂😂😂😂 et wakiweka makontena Tatu bila
Yes, tatu bila, Simba Bado sana kupambana na YANGA hii
chuma cha mjeruumani upofit unasemaukweri wewe ni mtuu wampila
Na huyu Ngereza mtoeni kwenye mchambuzi
Ngereza ndo mchambuzi taahira kuliko wote
Shida ya wabongo ni kwasababu tumeizoea Yanga! Ninapotoka,tunasema,' OMWATANI TAKWETA MUSHAIJA' JIRANI YAKO HAWEZI KUSEMA WEWE NI MWANAUME! HATA KAMA ANAJUA WEWE NI MWANAUME SHOKA! HAWEZI KUKUSIFIA!!!
Nje timu hazitaki sasa hivi kukutana na Yanga!
Kiwapi hicho kk
@@robertphilip385 Bukoba hiyooo🤣🤣
@@errydeo8865 hapo kamachumu au Kijiji Cha mulamula
@@errydeo8865 iwe agandi agandi
Kuna wachambuzi na kuna machawa
Mwandishi haya maawali yenu ya kijinga ya Kila siku ya timu kibonde yanaboa ...kuweni weledi wa kufanya interview zenye maawali gikieishi....acheminupumbavu wa Kila siku kuibeA Yanga....wewe na hao hao mnaosema ni timu mbovu mbona mmefingwa mara tatu mfululizo? Acha kufikiria kwa kuria makalio
Ambokile unaujuampira
😂😂😂😂
ukwel wako tu unakufanya watu wakuchukie lakn acha wakuchukie mana ktk hii dunia huwez kupendwa na wote wew endelea kuxhuxhua nondo xixi tunae penda mpira tunakuelewa vzr tu
Acha kelele wewee hujuwi mpira
Weee malaaaya tu
Huyu mnafiki hapendi simba
😅
Hupendi ukweli utachoka sana
Ww unapenda YANGA
@@kessikahawamango4114 Tatizo hampend ukweli ndo shida
Alipo sema sema ateba ni mzuri kuliko dube aliwafulaisha Simba Leo kaongea ukweli mnasema uyu yanga acha ukenge
Mchambuzi mahiri
Anaongea bila ushabiki niuzalendo kabisa 😂😂