Rose Muhando bado hujaona Mungu akikulipizia kizazi.Alichokutendea Bwana Mungu so far nj kionjo tu..na akupe mzungu mwenye hana pesa tu mbali mcha Mungu mwenye atakupenda vile Kristo apendavyo kanisa kwa Jina La Kristu Yesu Amen.
Mungu haahidiani na viumbe vimfanyie kazi. Mungu mwenye kuumba mbingu, Dunia, pumzi, ubongo, mawingo,....na Mungu haiti watu. Kwenye biashara hii ya dini ndo penye pesa za bule
God bless you mom kilicho nifurahisha ni kwamba watu wanaongea kumbe hata hawamjui ila kumbe kitambo alikulia madhabahuni yes wenye uhakika na kumtukana Mtumishi wa Mungu waje hadhalani tuwajuwe sisi tuta Muombea na kazi itasonga mpaka kieleweke lazima injili isonge wenye manenomaneno watazidi kulipuka lakini kazi itasonga mbere
Aki nyinyi waTanzania mnapenda kuteza Rose sana, kwan mnataka aje?ajaneni na Rose mbna hamuwekangi waimbiji wengine kwa media tena bibilia alisema kuwa nitakubariki adi wachawi waipike
Rose huna baya, umeomba kwa mungu huyo mzungu si kwa mwanadamu . Kuna watu huku wanaomba hela wakanywe pombe tunao kwenye jamii zetu sembuse wewe unahitaji mzungu akupe pesa ukahubiri injili 🤣🤣
Kama Rose utasoma hii message yangu,fanya ivi ajaneni na kuwekwa hewani yaan social media,hahahaha Rose unajibu ukwel sana kutoka moyoni mwako unawakozanisha amani Tanzania kwa kibaji jako
Rose deserves the best... Huyu dada amekuwa wa baraka sana, mungu akutane na hoja ya moyo wake
I love the way this lady is simple and humble God keep blessing you
Nampenda sana rose hasa ucheshi wake na nyimbo zake❤️❤️❤️
My favourite all through,,, ,, ndo msaniiii pekee ambayr natafta nimwambie asante kwa kuwa mentor wangu na nifanye colabo naye
Sauti ya ajabu kweli, hongera sana Rose mtumishi wa mungu
Salimieni rose sana...niliomba Mungu anipe mme mwenye pesa na nkapewa...amenilipia studio...Sasa hivi Nina nyimbo zangu....nahubiri Yesu Kila kukicha
Congratulations mama Rose 🌹 nakupenda sana kwa majibu zako
Kazi nzuri sana Rose,nyimbo zako zinatubariki sana,Mungu awe nawe Kila wakati,Mercy kutoka KENYA.
Mungu akubiriki mama Rose nakupenda
I Love you rose muhando you're such a humble woman if God May He answer your prayers 🙏🙏
Rose Muhando bado hujaona Mungu akikulipizia kizazi.Alichokutendea Bwana Mungu so far nj kionjo tu..na akupe mzungu mwenye hana pesa tu mbali mcha Mungu mwenye atakupenda vile Kristo apendavyo kanisa kwa Jina La Kristu Yesu Amen.
Rose dadangu umjasiri wewe,,Mungu akuzidishie Na kukupa hitaji lako
Hongeza Sana Rozy nakupenda Sana .Mungu akujibu maombi yako yote
Naona kama vile mwanya dada Rose😍
Barikiwa sana dada Rose hakika Mungu akutendee jambo jipya.
Mungu haahidiani na viumbe vimfanyie kazi. Mungu mwenye kuumba mbingu, Dunia, pumzi, ubongo, mawingo,....na Mungu haiti watu. Kwenye biashara hii ya dini ndo penye pesa za bule
Mngu akujalie cyocyoyote utakacyo akupeee unasitahili kila kitu kwa sababu wew nisabuni za roho cyafu.Aksant Sanaa I love ❤️ Rose 🌹 muhando
The Queen 👸 of gospel in East Africa 🌍
Amina .Rose kwa majibu yako manzuri .mungu akutie ngumvu
I real love Mama Rose be blessed
Love this woman of GOD 😍😍
Ulianza vizuri kwa roho ,acha mapodozi mingi Mungu hapendi hayo.
Great Gal, we love you. Keep it up!!
God bless you mom kilicho nifurahisha ni kwamba watu wanaongea kumbe hata hawamjui ila kumbe kitambo alikulia madhabahuni yes wenye uhakika na kumtukana Mtumishi wa Mungu waje hadhalani tuwajuwe sisi tuta Muombea na kazi itasonga mpaka kieleweke lazima injili isonge wenye manenomaneno watazidi kulipuka lakini kazi itasonga mbere
I like your music mama rose mhando keep it up
I like this lady..lazima kieleweke Amen
Very Courageous lady
Amen, pokea kwa jina la yesu
Napenda sana ujasiri wake Rose katika Kristu
Mungu azidi kukubariki Dada rose muhando,Na Mungu akupe hitaji la moyo wako
Rose mungu kila hatua awe naww
Sauti zuri inayomtoa nyoka pangoni 👏👏keep it up sweetheart
hi tuko pamoja nami sitaki maskini...
Unanifurahisha maman Rose, akupe kabisa. Mme mzungu pia mwenye pesa, haki haujakoseya.
I like ur song
So much ❤️💯
Hongera sana Dada Rose. Much love from Kenya.
Mungu akujaalie Rosezy
She's so amazing
I love u so much especially ur song
Dada naheshimu hekima iliyojuu yako aaaaah very deep
Dada rose ubarikiwe Kabisa umeongeya vema
Mungu saidia watu wako, Dunia yaisha
Ubarikiwe sana
Rose urasobanutse ndagukunda ukuntu urimba indirimnbo ziza zifasha abantu. Imana izaguhe umugabo wifuza kandi w'umumaro utagutesha umutwe.
Lazima kieweleke. I❤❤❤you Rose
Amina mungu akubariki sana
Blessed sister Rossy Muhando
Aki nyinyi waTanzania mnapenda kuteza Rose sana, kwan mnataka aje?ajaneni na Rose mbna hamuwekangi waimbiji wengine kwa media tena bibilia alisema kuwa nitakubariki adi wachawi waipike
Majibu mazuri the Queen 👸
Amen akupe rose
The love I have for you mama I don't know, only God knows😍😍😍😍😭😭😭
Mama rose kuna wakati nakupenda bule kabsaa!
I really love you my sister
Mungu akupe utakalo mama
Rose ni Nani I love you mamaa
Hongera rose
Mwambie rose mhando aje nimuoe mimi
Hahaa 😂😂
Nakupenda sana mamangu
Dada mwenye ujasri, nakupenda bure
Awesome, I like your courage dear
BIG UP ROSE MUHANDO
That great rose very fluequently
Mungu nitendee utendee na watu wote
🤣🤣🤣 nakupendana sana ,,songa mbele ,,mungu ajibu maombi yko in Jesus name 🙏
🇰🇪 we love you soo much Rose...Hongera sana
Mashalaah
Haki mama wampa mungu amupatiye
I connect Dada Rosee aaaaaaah🙌🙌🙌
Kwani Masai hafai kuolewa n mzungu?🤔
Atakutendea katika jina la yesu
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Be blessed
Wape mama
Rose kama Tz hawakutaki come kenya apa majakozi
Ameshatumika sana kwa umri huo aombe yoyote atajae tokea,
jua limeshazama
Ndiyo hataki wabongo wazushi kesha kwambia anataka Mzungu pressure yako ya nini?
@@godfreymasele8853 MZUNGU YUPO ATATOWA NDOGOOOO???
anaweza akawamtu mzima akajitunza tofauti navijana wa leo wanatumika kama vyoo vya uma
Hongeraaa my mama
Nyie ni wakristo wa uongo Ambae yesu Alitabir kwenye mathayo 24: 3 -14
Unataka mzungu Mungu atakupa tu maana wewe unatamaa sana
I love u mum
Anaye mbeza huyu mama hakika akapimwe ubongo
Huyu mama kweli Mungu alimchagua daaah
Rose huna baya, umeomba kwa mungu huyo mzungu si kwa mwanadamu . Kuna watu huku wanaomba hela wakanywe pombe tunao kwenye jamii zetu sembuse wewe unahitaji mzungu akupe pesa ukahubiri injili 🤣🤣
Jamani nime ingiya YouToub wanasema Rose Muhando amesha fariki, hadi si lali niki tafuta ukweli kwani ina niuma saaana jamani mu ni saidiye
Kama Rose utasoma hii message yangu,fanya ivi ajaneni na kuwekwa hewani yaan social media,hahahaha Rose unajibu ukwel sana kutoka moyoni mwako unawakozanisha amani Tanzania kwa kibaji jako
Amen ❤ ❤
Tendewa mama
Unasimamia mistari nakupendaaa
Tangu nimemjua Rose anatumia sana maandiko .Safi sana.
Akupe mume siyo mzungu pesa na mumungu laaaa tafuta utapata mzunguuu kwako sawa usicange
Good 😅💖
Amen
Daah da 🌹 nimekupenda bureee
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Rose ana chekesha sana muzungu awe na pesa apana ngozi nyeupetu ila awe n'a pesa🤣🤣🤣🤣
Mtu wa Mungu....anachagua aina ya mume kwa rangi na uwezo du!
😁😁😁😁😁
@@زيتونتنزانيا 🤣🤣🤣🤣🤣toka apa
Kwan andiko linalosema muombe lolote kwa jina la Yesu umelielewa vip?
Kwamba Mume hayupo kwenye sehem hiyo?
@@truthspeaker2405 sasa angeomba huko na sio post kwani ni uuni na kutongoza wanaume, Rose ni muuni, atulie umri umeenda
Rose,unahitaji uji-connect na strong alta uombewe mrudiane na yule mume wako mliyezaa naye mtoto wenu wa Kwanza.Yaani your first husband.
🙏🙏
Mkataba na na maahetani umeisha?? Wameruusu sasa huolewe.
Nyie ndio mnao mtukanisha Mungu kwa ajili ya uwo weu wenu,
Ameni balikiwa mama mzuru
Simba Hodari... Mawindoni
Unaomba mume mzungu kwamungu au tayari umeshapata usitudanganye mwanaume nimwanaume tu kwanini uchague mume unampangia mungu
Kwahyo Mungu akisema tuombe lolote kwa jina lake ww unaelewaj?
"Mwenye Pesa "!! Pesa haziyishimilele, utafanaje lini?
atamkimbia atagute mwengine . si alokifata hakipo tena ?