NEW BEST SONGS OF SIFAELI MWABUKA 2022 PLAY NONSTOP (OFFICIAL)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 570

  • @peternjau2889
    @peternjau2889 2 месяца назад +1

    songs that we need at these hard times God bless you brother

  • @Mshapaz
    @Mshapaz 7 месяцев назад +1

    Ww ndoo Msaada wangu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  7 месяцев назад +1

      Amen nakuombea Mungu akukumbuke katika hitaji lako,Thanks for following up with my work.In all platforms use Sifaeli Mwabuka.Please like, subscribe and share with others. Be blessed more

  • @YusufSIFUNA
    @YusufSIFUNA 7 месяцев назад +3

    Asante sana mtumishi wa mungu, wimbo zako siko sawa huwa sina ni bariki sana

  • @nansinansi8527
    @nansinansi8527 2 месяца назад +1

    Much love and blessings

  • @lucynanjala5900
    @lucynanjala5900 7 месяцев назад +3

    Be blessed man of God 🙏🙏🙏🙏nmepitia shida mingi sana hadi nakata tamaa lakini ninapo sikiza hizi nyimbo zangu najawa n imani ❤❤

  • @khakasabukhalange
    @khakasabukhalange Год назад +2

    i like your songs mtumish wa mungu, mungu na azidi kukutumia ili uzidi kutubariki pia

  • @BarackOtieno-ws4qw
    @BarackOtieno-ws4qw Год назад +2

    Asante yesu kwa wema yako na yale umenitendea😅

  • @christinekangai8234
    @christinekangai8234 14 дней назад

    Very inspiring songs. I am always blessed by your songs Sifaeli. May God keep you many years and give more strength, time and wisdom in this. Blessed all the time.

  • @cheggykirui332
    @cheggykirui332 2 года назад +3

    Asante kwa kuzidi kuwa baraka kwetu.
    Mungu akujalie mema .

  • @joashotini
    @joashotini 6 месяцев назад +3

    So much touching continue preaching

  • @jevanaliskatamu
    @jevanaliskatamu Год назад +1

    Wacha watu wawone ukinunga kua jinala yesuuuuuuuuuu ushunda uwe mingi xana ku Misha yk kulingana fenye mungu anafanya

  • @ElizabethMuriuki-v9n
    @ElizabethMuriuki-v9n 9 месяцев назад +1

    Amen man of God am always inspired with your songs. God bless u .Elizabeth from malindi

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  9 месяцев назад

      Asante kwa kufuatilia kazi zangu ubarikiwe sana. Please subscribe and share with your friends

  • @mathewomondi9814
    @mathewomondi9814 2 года назад +2

    Sifaeli mungu akuzidishie maisha utubadilishe haki,napata uokovu kupitia nyimbo zako haki 🙏🙏🙏🙏 nitashuhudia kweli

  • @EstherAtwani
    @EstherAtwani 3 месяца назад +1

    Hii Wimbo imenipea uokovu mwingi be blessed

  • @bonifireenterprisescompany9994
    @bonifireenterprisescompany9994 Год назад +1

    Thanks for standing in vacuum God will honour you and your family,am boniface from kenya but I love what is in you.please don't worry about the previous fellow.stand in the gap and you will rescue the world from devil you are Abraham of today

  • @joankavosi216
    @joankavosi216 4 месяца назад +3

    Blessed one🙏

  • @SAMIRAH-e5j
    @SAMIRAH-e5j Год назад +1

    Amen barikiwa sana bro nyimbo zako zimenitoa mbali sana nilikataliwa na kila mtu lakini pado naendelea. Niko Saudi Arabia Amen ameeeeeeen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mwololopetronilla-bu8if
    @mwololopetronilla-bu8if 3 месяца назад +1

    Amina Mungu naomba University ushuhuda🙏🙏🙏🙏

  • @MiziletiESENDI
    @MiziletiESENDI Год назад +1

    Wow nice song mkubwa natwa na songs zko ziko mwaaaa🎉🎉🎉 mungu akupe akili

  • @busilasubchief2922
    @busilasubchief2922 2 года назад +1

    mungu akubariki na sauti yako yesu iendelee kuwa ruru ya kuleta uokovu kwetu

  • @GrizonWambua
    @GrizonWambua 7 месяцев назад +1

    Very powerful😂l song my god bless you to continue ❤m

  • @janewaithera9867
    @janewaithera9867 4 месяца назад +2

    Am so blessed with your songs 🙏🙏

  • @WandishaNatianota
    @WandishaNatianota Год назад +1

    Ubarikiwe kwa kunibariki na mm. Mungu azidi kukuinua ktk injili

  • @marymeli7887
    @marymeli7887 2 года назад +23

    AM Mary from Kenya,Brother you have been a blessing to me may Almighty God bless you abundantly and increase you.

  • @philomenamesimesi2738
    @philomenamesimesi2738 2 года назад +2

    Nyimbo zako zanifarinji moyo wangu Mungu akuinuye zaidi mesi kutoka Kenya

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

  • @douglasataya4996
    @douglasataya4996 2 года назад +1

    Nimeinuliwa Kamili really and true sifaeli go ahead more and more dgs ataya ktka kisii

  • @monicaajwang9763
    @monicaajwang9763 2 года назад +2

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu, nyimbo zako hua zinaninua wakati ninapoomba, Mungu akuzidishie 🙏🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +1

      amen thanks be blessed more asante sana kwa kuendelea kufuatilia kazi zangu usiache ku share na wengine zaidi ya 50 wawe na ushuhuda amen by sifaeli mwabuka AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE

  • @anthonymajimbo936
    @anthonymajimbo936 2 года назад +1

    Am Anthony from you have Been so blessing to me,you always encourage me in everyday and every situation I pass through

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +1

      amen thanks for your support be blessed,asante kwa kutazama nyimbo zangu nakushukuru sana share na wengine

  • @gladysnyachae8816
    @gladysnyachae8816 2 года назад +3

    Alleluya apewe sifa duniani na uko mbinguni apewe utukufu 🙏🙏🙏🙏anatushindia hana upaguzi thanks Rv Sifael Mwabuka im blessed i repeat and repeat

  • @jojinasyombua1871
    @jojinasyombua1871 Год назад +1

    AMEN....AMEN....AMEN ....maombi ndio silaha mimi nazidi kunyamaza kimya Mungu anipiganie

  • @Christine-v7m
    @Christine-v7m Год назад +2

    May God bless you and be lifted higher and higher

  • @jakatumphilip3376
    @jakatumphilip3376 2 года назад +1

    Ubarikiwe mtumishi you have changed lives of people

  • @brendanasimiyu4701
    @brendanasimiyu4701 Год назад +1

    Am blessed with your songs mtumishi wa Mungu be blessed sana

  • @paulinemwende9973
    @paulinemwende9973 Год назад +1

    Nyimbo zako zilinitia nguvu na kunipa tumaini nilipokua karibu kukata tamaa, Nashukuru Mungu kwa kua hakika alinivusha ng'ambo nyingine,leo nalia machozi ya furaha,Asante Yesu🙏

  • @janetwangila3794
    @janetwangila3794 Год назад +1

    I love your songs man of God they uplift me when am down God bless you always.infact huwa nasikiliza kila siku.Janet wangila Bungoma Kenya

  • @johnmwendwa2871
    @johnmwendwa2871 2 года назад +5

    Sifaeli ur songs are really touching my God see you through to continue blessing His people

  • @agediusmokua277
    @agediusmokua277 2 года назад +2

    Nyimbo zako zinanipa nguvu ya matumaini .Ubarikiwe sana.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen nakushukuru sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @margretemichael3228
    @margretemichael3228 2 года назад +1

    Nice song Mungu akubariki sana huku Kenya tunabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @paulineshitandi1864
    @paulineshitandi1864 2 года назад +1

    Am blessed in saudia riyadh👏👏👏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @GodfreyMutithi
    @GodfreyMutithi 10 месяцев назад +1

    Wimbo wako unatabiki san akh,God bleeding you ,the man of God,Niko Kenya meru

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  10 месяцев назад

      Thanks for your support. I appreciate it... Mungu akubariki sana nakushukuru mno usiache kufuatilia kazi zangu. Subscribe and share with others

  • @MaaaM-q6z
    @MaaaM-q6z Год назад +1

    Ameeen umenibariki mungu atanifikisha kwa ngambo ingine

  • @sandrasanssan1817
    @sandrasanssan1817 2 года назад +2

    Continue with that spirit

  • @savannamarshall9411
    @savannamarshall9411 Год назад +1

    Ubarikiwe mtumish wa mungu kwa nyimbo za baraka

  • @tanzaniantanzanian1470
    @tanzaniantanzanian1470 Год назад +2

    Amen barikiwa sana

  • @janephermwikali9571
    @janephermwikali9571 Год назад +1

    Lovely, I love your songs so inspiring Mtumishi. God blessu

  • @DorcasAloise
    @DorcasAloise Год назад +1

    🙏🙏🙏🙏🙏 God bless you servant of God

  • @maggymutevu6597
    @maggymutevu6597 2 года назад +2

    Mm ni Margaret from kenya mtumishi umenibariki sana Aki be blessed pliz

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen nakushukuru sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @derrywalala3829
    @derrywalala3829 Год назад +2

    Really blessing n encouraging songs.. Thanks tu sana..🙏

  • @denniskemboi533
    @denniskemboi533 2 года назад +1

    Mmmmh you are just a blessing to me Mr thankyou for you inspiration songs

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana

  • @ApostleFrancisNguku
    @ApostleFrancisNguku 2 года назад +1

    Ndugu yangu sifaeli zidi kuinuliwa siku zote. Kwa nyumbangu ni Kama nyimbo zako huwa hazikomi. Utukufu kwa Yesu. Endelea mbele mwanetu.

  • @elizabthhorpyhf8761
    @elizabthhorpyhf8761 2 года назад +1

    Najua mungu ananitendea miiujiza,God bless you my brother

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @marywamboi2881
    @marywamboi2881 2 года назад +1

    Thanks for this blessing from saudi

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amina na Mungu akutane na haja ya moyo wako ukiamini tu na itakuwa sema amina
      Amen and God will meet the need of your heart if you just believe and it will be say amen

  • @lilianshantelmugonyi9384
    @lilianshantelmugonyi9384 2 года назад +1

    Ameeen ...glory to
    God ...barikiwa mtumishi wa Mungu unapozidi kutubariki na nyimbo nzuri zilizo jaa utukufu wa mungu

  • @margaretbadula7269
    @margaretbadula7269 Год назад +1

    Wimbo wako umenibariki Go d bless you as you continue serving God

  • @meshackmadegwa5316
    @meshackmadegwa5316 3 месяца назад +1

    Mutumishi wa mungu nyimbo zako zinanibariki sana Amina 🙏 so please naomba musahada wako mutumishi wa mungu please tafathali 🙏 naomba mungu alisema omba utabewa so please help me RUclips please Niko 🤝

  • @eunicekilalya931
    @eunicekilalya931 2 года назад +3

    Bado m naendelea ,wow what a song♥️♥️God bless you sifaeli nyimbo zao zinanibariki

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 2 года назад +1

    Mtumishi be blessed sana nyimbo zote ni za kututia nguvu wakati muoyo umeinapo inama

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana

  • @GaudenciahAthieno
    @GaudenciahAthieno Год назад +3

    God is great all the time:"be blessed man of God"❤❤❤🎉

  • @judyadoyo8098
    @judyadoyo8098 Год назад +1

    Mungu Wetu Hachoki Kusikia Maombi yetu, sitanyamaza, Nitamwita Mungu Wetu 🙏🙏🙏

  • @justuskathoka1839
    @justuskathoka1839 2 года назад +1

    Blessed man shikilua utakativu Hadi mwisho God bless u sir.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

  • @NanjalaAnn
    @NanjalaAnn 4 месяца назад +3

    nyimbo nzuri ❤

  • @janetsosadimissmymomnanjal1408
    @janetsosadimissmymomnanjal1408 2 года назад +2

    Drawing me near to God BARIKIWA SANA🙏🙏🙏🙏🤲

  • @annahmakori149
    @annahmakori149 2 года назад +3

    You're a blessing to my life.
    Mungu akubariki uendelee kutitia nguvu.

  • @julianammbaga6769
    @julianammbaga6769 2 года назад +3

    Ngome zimeanguka 2022 ninashuhudia.Yesu yu hai.

  • @emilynechesa4912
    @emilynechesa4912 2 года назад +2

    Aminaa kaka .. nyimbo zako Zina nijenga sana

  • @thierryard
    @thierryard 2 года назад +7

    Be blessed 🙏 Mungu azidi kukutia nguvu zake,, Amen.

  • @dollinechazzkavosa5777
    @dollinechazzkavosa5777 2 года назад +1

    Hakika Mungu atanipa ushuhuda ..huo wimbo umenijaza sana..be blessed

  • @morganmweka8013
    @morganmweka8013 2 года назад +10

    I like this man,,,may God continue using you to elevate us spiritually to new levels of high.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Asante sana nikuombe tu video mpya ya wimbo AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE itakuwa youtube next week by monday be ready and subscribe my channel thanks

    • @carolynenangekhe453
      @carolynenangekhe453 2 года назад

      Amen

  • @musilifrancisca7111
    @musilifrancisca7111 2 года назад +6

    Nyimbo zako unibariki sana,Mungu akuzidishie ndugu yangu.Ushuhuda wako vile Mungu amekutendea kutoka utotoni ulinitia nguvu na kujua kweli Mungu anaweza🙏.Much Love from 🇰🇪🇰🇪

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +2

      Asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami, thanks for your support please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @samsonmwangi7174
    @samsonmwangi7174 2 года назад +6

    More blessings.
    Enjoying the gospel nikiwa Nairobi, Kenya.

  • @graceagape8922
    @graceagape8922 2 года назад +5

    Amen man of God am always inspired with your songs🥰🙏🙏

  • @francispeter2719
    @francispeter2719 2 года назад +5

    be blessed brother in christ you are wonderful inspiring songs!❤

  • @joselineapoma8730
    @joselineapoma8730 2 года назад +2

    My powerful singer big up my brother, nyimbo zako hunipea nguvu hallelujah 💃💃💃💃🙏🙏

  • @vincentmiruka664
    @vincentmiruka664 2 года назад +4

    More Grace Man of God, we appreciate the anointing working in your music gospel ministry. Glory be to God always 🙏👏👏👏

  • @tymansphiri4351
    @tymansphiri4351 2 года назад +5

    Napenda muziki wako sana....Kutoka Zambia 🇿🇲

  • @priscahnangila9186
    @priscahnangila9186 6 месяцев назад +1

    Nice song God bless you

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 2 года назад +1

    Nyimbo zako zinanibariki sana my brother Sifaeli Mwabuka barikiwa sana in Jesus name AMEN 🙏🙏

  • @lucykariuki109
    @lucykariuki109 Год назад +2

    Much love from Kenya ❤... am blessed

  • @davidmulama3931
    @davidmulama3931 Год назад +5

    His songs blessed my soul and propelled me to the new levels of my life. Glory to God! Stay blessed, brother!

  • @florashirima1224
    @florashirima1224 2 года назад

    Kak nikisikia nyimbo zako napatafara jasana ubarikiwe sana kwahuduma yako isongembele

  • @lumwagidavid2574
    @lumwagidavid2574 2 года назад +2

    Amen, you are a blessing to us with your songs man of God, Mungu azidi kukulinda 🙏

  • @gffghgfdd9004
    @gffghgfdd9004 2 года назад

    mungu akujibu mana Ni mungu wamajibu yeko akuinuwe juu ya watesi weko? nimebarikiwa Sana🙏🙏🙏🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @agnettamutua7658
    @agnettamutua7658 2 года назад +2

    What a blessing this fine morning, go higher n higher man of God. More blessings🙏🙏🙏🙏. Nipe ushuhuda mungu wangu 🙏.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen thanks for your support be blessed,asante kwa kutazama nyimbo zangu nakushukuru sana share na wengine

  • @becckeyshalimax190
    @becckeyshalimax190 2 года назад

    Be blessed abundantly Mr unabariki xn akh

  • @orwapeter7056
    @orwapeter7056 2 года назад +4

    I feel blessed with your songs every time I play the same.

  • @juliawakio2075
    @juliawakio2075 2 года назад +3

    Nothing is worth than being contented that God is at work for your wellbeing.All your song's give hope for faith ends our doubts. Alhamdulilah kenyan hustle in the Gulf 🇸🇦🇸🇦🇸🇦.We keep swimming over the storms inshallaah no matter how long it takes one day God will show Himself in our suffering.Am grateful servant of God and your team. 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +1

      Amen thanks so much be blessed more

    • @juliawakio2075
      @juliawakio2075 2 года назад

      🙌🏾🙏💯

    • @MetrineJuma-qz2xe
      @MetrineJuma-qz2xe Год назад +2

      ​@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL you abig blessings in my life ndugu. Sina cha kusema ni mungu atukuzwe ili siku moja kijanangu awe na upako kama wako

  • @joycemailu2859
    @joycemailu2859 2 года назад +2

    Glory be to God.. Your songs 🎵 comforts my heart ❤ when am in troubles. Listening 🎶 I feel the presence of God .God bless 🙌 the Mwabukas .keep it up .Amen

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Nakushukuru mno kunitia moyo kwa kutazama kazi zangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA 🙏🏼

  • @simonbrino391
    @simonbrino391 Год назад +2

    You are awesome man of God. Gospel songs you are pumping out really touched my life. Be blessed . Simon Arop Brino from Los Angeles USA.

  • @carrenmaskana3100
    @carrenmaskana3100 2 года назад +1

    Am Carren am being blessed by your songs here in Saudi Arabia.Am from Kenya🇰🇪🇰🇪 your songs Are motivating more energy to me as I keep pressing on my daily chores.May the Almighty God bless you more🙏🙏🙏🙏🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen thanks for your support Mungu akubariki sana usisahau,like,subscribe and share to others asante sana

    • @peterolumula3331
      @peterolumula3331 2 года назад

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 🚒🚑🚓

  • @antoniodonizettiseveriano5454
    @antoniodonizettiseveriano5454 11 месяцев назад

    Pas do senhor esses louvores 🙌🙏 são muito lindos um abraço meu irmão que o senhor Jesus te abençoe sempre

  • @NdahirirweRwakaberaBURASINI
    @NdahirirweRwakaberaBURASINI 5 месяцев назад +2

    Nice God bless you

  • @Chrisopian254
    @Chrisopian254 Год назад +1

    Umejaribu bro

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl Год назад

    Thank you for good song may god bless you 🙏

  • @kibibijulius1027
    @kibibijulius1027 2 года назад

    Kwa hakika mungu bado yu pamoja nasi kibibi kutoka Kenya

  • @stivohwawexh5709
    @stivohwawexh5709 Год назад

    Be blessed brother for good songs

  • @juliajulia6818
    @juliajulia6818 2 года назад +1

    Ur songs is blessing to me brother in christ

  • @jane-maryshipanga414
    @jane-maryshipanga414 Год назад

    Abundant blessings from above with ❤ from Namibia Windhoek

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 2 года назад +1

    Wakwanza leo mungu akutie nguvu katk kazi zako

  • @gracelutta5438
    @gracelutta5438 2 года назад +2

    Actually our God is here🙏🙏🙏

  • @pamelaadhiamboodhiambo4679
    @pamelaadhiamboodhiambo4679 Год назад +1

    Nyinbo zako ni za baraka sana🙏🏾