ooh kumbe wewe nachanuo n walewale hahaha mambo yenu yandoa mnatuambia sisi ??? sasa sisi tutawasaidia nn zaid mnajidhalilisha wenyewe ??? Hy nyongo yako unaipunguzia kwenye media sindio ??
Bora na hiyo njugu lakini tunaamani ya Moyo. Mungu hutupa anaestahiki. Kuliko kikristo ndio wako milele utadhani mama ako mzazi. Hata yakufike wapi unalilia chooni. Hahahahaa
@@KhalbintKing 😁😁na wana michepuka mbna wao mtu anatoka iringa aja oa dar ? Hajiuliz hilo na huko iringa kaacha mtu kwanza hatumtaki hajui kuoga janaba 🤭🤭
Sasa ukristo dini Shiraka la Vatican mpaka mungu wenu papa anavyobadili sheria yani mkiona hamuachani si unafki huo uwisilamu laha mkichokana mnachana tu msije mkauwana
Duh! Ww acha tu ila yote sio mazuri kutoa taraka ovyo ovyo na kumuacha na pia kuumia uko ndani ya zizi Yani Hali ni tete ndo maana vifo na kuuana hakuishi.@@KhalbintKing
Jambo hili limemshusha sana Madebe halafu ndio imejulikana kama Madebe sio... ndio maana anatuzuga na maneno yake kama mshauri wa ndoa kumbe chui ndani ya ngozi ya mbuzi
Mwenye Akili ndio muelewa. Kuna matatizo hayo aliyoyasema chamtoto na watu wanavuka au wanakaa kimya awaaniki Adhalani. Kwa interview hii Nimemgeuka Hakuna MKE hapo ila uhawala sawa sio ndoa
@@fatma1456 ningependa kabla hujafanya maamuzi usikilize pande zote mbili,...mabinti Huwa wakifanya makosa mnawatetea,..Kisha mnasema wanaume ni wabaya
@@AnethJoseph-m5i kwasababu ndoa n siri sio kutangaza tangaza kwenye media?? je kila mwanaume akiwa anatangaza kwenye media kila anaefanyiwa na mkewe kungekuwa nandoa ???Heshima ingekuwa wapi?? ndoa ingeheshimika au nyinyi mngeheshimika?? ss tunakaa kimya s kwasababu nyinyi mpo katika mienendo mizuri sema tunajua ndoa n nini . na hata ikatokea tumeachana na nyinyi hatutangaz tangaz kwenye media . kama ninachosema mm kipo sa hihi manake chanuo bado hajakidhi vigezo vyakuolewa , sijasema kwamba madebe alilolifanya n zuri sema kutangaza kwenye media kajishushia thaman yeye na wanawake wenzake pia !!!! je tokea atangaze kwenye media je media imesolve tatizo lake ???😄😄
Talaka 3 kwa mara moja inaesabika ni moja si 3 kuna talaka ya kwanza ukitoka unarudi na ya pili unaweza kurudi ya 3 ndio basi huwezi kurudi tena mpaka uolewe na mume mwingine ukiachika ndio unaweza kurudi ana na mume wako wa mwanzo
Lkn wanawake wa Sasa Ata eda ya talaka hakai ni leo kesho kesho kutwa ashaolewa Ata dini afikirii... Kwanza kupeana talaka Tatu ni haram ila watu wa Sasa 🙌
Skuzote kujieleza Sana ni kutokujiamini na inaonekana mwongo mwongo huyo dada pia hata kama n Mimi nisingehangaika kujibizana nae mana ukiona chizi wakati unaoga kachukua Nguo zako akakimbia nazo na wewe ukatoka uchi kumkimbiza umnyang'anye ww ndo utaoneka chizi
kwan watoto n wake peke yake? mwanume hana mamlaka na watoto wala ndugu wamwanaume?? acha ubinafsi dunia hatuishi hvyo wewe kumzaa mtoto haimaanishi baba wala ndugu wa mwanaume hawana haki ya mtoto !!!
@@herimornchriston6083 Ndo angewaomba baba si watt kukaa na bibi mdogo hawajafika miaka 7 watt wapo mikononi mwa mama pamoja na ubinfsi nilionae tuliza mshono
Dada yangu mtangazaji ogopa sana wanawake wanyoa nyusi na kubandika kope ni hatari wanazinguwa hao si mchezo maana akijitizama kwenye kioo ni balaa tupu
Mmh life is too short Anasubiri nin miaka 5😢 Ahakikishe anayetaka kumuona ni mtu sahihi hivyo tuh Niliachika nikaa miez 5 nikaolewa na sasa na miaka 7 ndani ya hiyo ndoa😊
Chanua shida ustar ungetak kuish maish ayo ungetafut wa type yako sio madeb ata mm atuendani aibu unazomtolea mumeo saiz ungeyamaliza ufanye maish mengine
alichokifanya kupost mtandaoni !!!! hawataweza kuyasolve tena hili n kosa kubwa wenyewe hawajui !!! hz habar zitadumu miaka mingi baadae mbele zitakua zinawaaibisha
Chanuo wewe unazinguwa kwa ayo maneno uko ukiongea kwenye mitandao ungekakima tungekupa sheria ila unaongea sana atakama ungekuwa na sheria hawezi pewa kwamana unaongea sana aca maneno
na vile vile wanawake kama chanuo s wanawake kabisa wakuoa na wewe kama n mmoja wapo bas acha hx tabia !!!! kabla yakumhukumu mwanaume anza kujihukumu wewe na madhaifu yako !!! kwa waliomuona kwamba chanuo kafanya kitu sahihi ao wote s wanawake wakuoa !!!
Ni bora aseme,apunguze nyongo! Asije kufa kwa preshs! Inakera sana ukivaa viatu vya chanuo
ooh kumbe wewe nachanuo n walewale hahaha mambo yenu yandoa mnatuambia sisi ??? sasa sisi tutawasaidia nn zaid mnajidhalilisha wenyewe ??? Hy nyongo yako unaipunguzia kwenye media sindio ??
Mm nakushauri t mdogo wangu endelea na maisha yako kama ridhiki ipo ipo t
Ni Bora aseme,ateme nyongo! Asije kufa kihoro! Labda mwanaume atajirekebisha,inakera sana ukijaribu kuvaa viatu vya chanuo!
wewe uko sawa na chanuo kumbe ??? ambaye mambo yako yandoa unayaweka kwenye media !!!?
Wako sawa ila km huyu co msanii basi kwa majirani habari zake ziko nje
😀😀😀@@shakilabakari6928
Pole chanuo nchakali tulia lea watoto wako Mungu atakusaidia utapata madili ya kazi na maisha yatasonga samehe kila kitu
Na muomba lamata akuone chanuo wangu
uyo demu mi mwenyewe nilikuwa namkubali kinouma nitamtafuta
DADA BADO UNAMPENDA KAKA,,,RELAX AFU MOVE ON,,UNAMSILIBIA MWENZIO KILA KUKICHA. KUACHANA KUPO WATU WAWE NA STARA JAMANI.
Mimi.nilijua ukitoa mambo yako nje unasaidika kumbe kujitangaza tu subhànnallah 😢
Anataka ajulikane ili apewe kazi. Uko kwenu tanzania ukivunja ndoa unapea mikataba.
@@EvaristKatibula anakupa nani mkataba
Yaani ndungu yangu subhannallah sasa hivi usitafute habari za watu wewe subiri huku
Mm kwajinsi anavyojipost post ninawasi wasi habari hazina ukweli n kiki2
@@EvaristKatibulambn anajulikana sana tuu hizo ni chuki zenu tu
Uliwezaje kuwa namtu kama yule sijawai kumwelewa mabede kha unamoyo
😁😁😁
😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamani dada ramata naomba umuone chanuo jamani huyu dada yupo vizuri
Atume namba tumchangie
ooh hii interview yangu ya mwisho.. vipi tena humu..😄
Nilkua natfta hii apa mm😂😂😂🙌
😅😅itakua kasahau ila sisi watazamaji tuna kumbuka
Acha nibakie na ukristo wangu.huku talaka ni kama njugu tu.
Mbn ht nyie mnaachana ? Km mbaazi?
Bora na hiyo njugu lakini tunaamani ya Moyo. Mungu hutupa anaestahiki. Kuliko kikristo ndio wako milele utadhani mama ako mzazi. Hata yakufike wapi unalilia chooni. Hahahahaa
@@KhalbintKing 😁😁na wana michepuka mbna wao mtu anatoka iringa aja oa dar ? Hajiuliz hilo na huko iringa kaacha mtu kwanza hatumtaki hajui kuoga janaba 🤭🤭
Sasa ukristo dini Shiraka la Vatican mpaka mungu wenu papa anavyobadili sheria yani mkiona hamuachani si unafki huo uwisilamu laha mkichokana mnachana tu msije mkauwana
Duh! Ww acha tu ila yote sio mazuri kutoa taraka ovyo ovyo na kumuacha na pia kuumia uko ndani ya zizi Yani Hali ni tete ndo maana vifo na kuuana hakuishi.@@KhalbintKing
Mtu mwenyewe ata Nuru ya uso Hana duh
Akuna mke hapo madebe ulipikwa nakitu kizito mwana mke mwenye tattoo sijawai mwelewa ata.
Amependeza mashallah
Sasa alisema afanyi kwaiyo akifatwa aongee awatukane awafukuze au unawasikiliza leo ukiwakataa ipo siku utawataka wakuhoji kwa njia zingine za kikazi
Jambo hili limemshusha sana Madebe halafu ndio imejulikana kama Madebe sio... ndio maana anatuzuga na maneno yake kama mshauri wa ndoa kumbe chui ndani ya ngozi ya mbuzi
ndugu zile movie2 ndoa za sasa zinamazito ambaye sio yote m2anaweza kutatua
Ww mzur mwaya ukipaka make up simple pia pambana ulee watot single maza tupo weng mjin na tunapambana
Na wanawake cku hizi tuna jeuri sana hususa ni sis. Ma single madhar
Unavyo muanika ivo ,unaweka mazingila magumu ,kuolewa Tena wanaume watakuogopa punguza kashfa ,Lea wanao maisha yaendelee
Mbona yeye anamdhalilisha
Lait ningekuwa na uwezo wa kukufikia ningekufany mke kitambo sana nakukubaligi
Mwenye Akili ndio muelewa. Kuna matatizo hayo aliyoyasema chamtoto na watu wanavuka au wanakaa kimya awaaniki Adhalani. Kwa interview hii Nimemgeuka Hakuna MKE hapo ila uhawala sawa sio ndoa
Alisema hatoojiwa tena vp mbona bado tuna muona na wandishi una nikela sasa nilikua upande wako ila hii to much ebu jipumnzishe sasa
Pole sna chanuo
Chanuo hebu angalia maisha yko ht ss tuko na watto na twalea kila cku interview tu na hawakusaidii ☹️☹️
Huyu mwanamke ni mnafiki saana,...Wacha kumsema vibaya madebe..."mbona ulipokuwa naye hukumsema vibaya,ila matatizo madogo tuu unamsema vibaya.."
Mnafik ni ww hapo usichokijua ucku wa giza kwani ulikua na wao kwenye ndoa yao
@@fatma1456 ningependa kabla hujafanya maamuzi usikilize pande zote mbili,...mabinti Huwa wakifanya makosa mnawatetea,..Kisha mnasema wanaume ni wabaya
Hapa sidhani huyu anafanya sawa. Arudi nyumbani kwao kama anaona anazulumiwa
Ndo hapo lkn anaonesha anatatizo pia
@@fatmamansour676 huku n kucholeshana mbn procedure zakumaliz mambo zipo2 sasa mambo yakujipost kwenye media yametoka wapi?
@@fatmamansour676 kujipost kwenye media manake anajitafutisa umaarufu kwenye hili jambo
Ukichwa pendeza ukiulizwa jibu maana leo ukiwafukuza kesho utawataka coz huyo ni msanii
dear sweet darling ulisema umefika mwisho uzunguki tena kufanya interview yeyote unafanya nin tenaaa!!!
😂😂jamani
wanawake wote wakiwa kama huyu binti aisee hatutaoa!!!!
Hamtaoa Kwa sababu mmeshazoea unyanyasaji mnaogopa mtaanuliwa
Kwanini msioe?
@@AnethJoseph-m5i kwasababu ndoa n siri sio kutangaza tangaza kwenye media?? je kila mwanaume akiwa anatangaza kwenye media kila anaefanyiwa na mkewe kungekuwa nandoa ???Heshima ingekuwa wapi?? ndoa ingeheshimika au nyinyi mngeheshimika?? ss tunakaa kimya s kwasababu nyinyi mpo katika mienendo mizuri sema tunajua ndoa n nini . na hata ikatokea tumeachana na nyinyi hatutangaz tangaz kwenye media . kama ninachosema mm kipo sa hihi manake chanuo bado hajakidhi vigezo vyakuolewa , sijasema kwamba madebe alilolifanya n zuri sema kutangaza kwenye media kajishushia thaman yeye na wanawake wenzake pia !!!! je tokea atangaze kwenye media je media imesolve tatizo lake ???😄😄
Bora msioe kuliko muoe halaf matumiz hakuna
@@faithmapondo7370 sawa subilini muolewe namatajiri watakao wapa 20k kila siku !!!!😀😀😀 tatizo sio apew matumiz tatizo anataka kikubwa
Talaka 3 kwa mara moja inaesabika ni moja si 3 kuna talaka ya kwanza ukitoka unarudi na ya pili unaweza kurudi ya 3 ndio basi huwezi kurudi tena mpaka uolewe na mume mwingine ukiachika ndio unaweza kurudi ana na mume wako wa mwanzo
Lkn wanawake wa Sasa Ata eda ya talaka hakai ni leo kesho kesho kutwa ashaolewa Ata dini afikirii... Kwanza kupeana talaka Tatu ni haram ila watu wa Sasa 🙌
Zaudia nipe namba yako tuongee ishu
Makope hayo
Dada samahani yaani hivo Kila siku mtandaoni inaonesha unampenda Sana jikaze unampa kichwa
Huyu dada n Mjinga !!! tumechoka kumsikiliza huyu anatafuta kk mtandaon kila siku yan
@@herimornchriston6083umechoka kumsikiza vp uwe humu tena?😂😂😂
@@ruqaiamohammed345 hahaha !!!! kwasabbu nimesubscribe ndio maan yan notification zile zile za madebe😁😁😁😁
@@herimornchriston6083umelazimiswa umuangalie 😂😂😂
😃😃😃@@carolynemkutano8086
Umeongea ukwl ddngu
Jamani tuombe Mungu.
Hii ndio namna ya wake!!!!!!?
kama wake wote wapo hv bas dunia imeisha !!!
Yaani
Kumbe Madebe alikupatia Taraka 4 months ago. Leo unasema kama nyangumi
Kwani kuna ndoa tam jaman utam ni ile siku yakwanza wat wakiwazomea mmechangiwa sherehe siku nyengne changamoto tele.
Chanuo anafanya interview nyingi na azimsaidii na kitu chochote si atoe namba tuu mashabiki zake tumtumie hela zimsaidie yeye na watoto wake.
Kwa iyo apo kapendezaee maana mimi mshamba😂😂😂
😂😂 we mchokozi
@@marychris8224 Kwa nini niwe mchokozi me nimeuliza
Jamani Ili gauni kalirudia kwenye intaviu
Si la kwake au amekukopa wew mind your on business
Nilipoona tatoo tu nkajua hapa hamna mwanamke wa ndoa Kuna dada wa mjini Tena mpale mama yanguu
Kwa maneno haya ya kila siku ni dhahiri mwanamke Hamna hapa ndo tujue tofauti ya mke na mwanamke
Ovyo zaa wako si hayaja kukuta kenge wewe
Endelea kulopok tu
Si mnioze huyu dada nimstiri mi niliachwa kama yeye
Wewe usitafute baraa
Huyo madebe nimtesaji sana alafu mrushi kwelikweli
binti umeolewa kweli au unaijua ndoa???
@@herimornchriston6083 Tena nimwaka wakumi natano tangu niingie kwenye ndoa
Ulifaa uwe umejistiri uwe kw eddah
Hawa waandishi wanapenda udaku
Skuzote kujieleza Sana ni kutokujiamini na inaonekana mwongo mwongo huyo dada pia hata kama n Mimi nisingehangaika kujibizana nae mana ukiona chizi wakati unaoga kachukua Nguo zako akakimbia nazo na wewe ukatoka uchi kumkimbiza umnyang'anye ww ndo utaoneka chizi
CHANUO kaza but❤️💖
Baba mwenyew mbovu😤tutafute ela wanawake
Sana😂
Usirudishe watt wakalelewa na mtu si dunia hii tuliyonayo huna ugonjwa wa kulelewa watt ndugu yangu kuwa makini
kwan watoto n wake peke yake? mwanume hana mamlaka na watoto wala ndugu wamwanaume?? acha ubinafsi dunia hatuishi hvyo wewe kumzaa mtoto haimaanishi baba wala ndugu wa mwanaume hawana haki ya mtoto !!!
@@herimornchriston6083
Ndo angewaomba baba si watt kukaa na bibi mdogo hawajafika miaka 7 watt wapo mikononi mwa mama pamoja na ubinfsi nilionae tuliza mshono
Kiukwel shoga angu hujapendeza hiyo mikope plus kukomaa cjui ndo wembamba 😅😅😅😅 bhn hujapendeza umejikoboa
Kweli yamemharibu😂
yaaan uyo madebeee lool 😂kwl wanaume hawawz kosaaa mwanamke
Dada yangu mtangazaji ogopa sana wanawake wanyoa nyusi na kubandika kope ni hatari wanazinguwa hao si mchezo maana akijitizama kwenye kioo ni balaa tupu
Pambana mwaya life ngumu
hii dunia ni ya moto balaa
Uyo madebe hana haya yeye ndie mkubwa wa kuelimisha watu sasa yeye anafanya nini .?
Hata mavazi siyo
madebe japo kua chanuo alikukosea bt yy ndio nyota yako coz mume hendana sana
Pesa ya kula ulikuwa huna leo umepata bwana gani kakupa pesa ya mahina
bora utulie kwanza dada usingie kwenye ndoa haraka tuliza kwanza hakili jamani mimi kwa matukio hao hata myaka 5 ningetulie ili nisikulupuke
Mmh life is too short
Anasubiri nin miaka 5😢
Ahakikishe anayetaka kumuona ni mtu sahihi hivyo tuh
Niliachika nikaa miez 5 nikaolewa na sasa na miaka 7 ndani ya hiyo ndoa😊
Mashalla mabrook. Kipenz
Hey baby unataka maisha
Njoo south huku
Ungetulia kidgo pia chukua watoto mama wa kambo usiamin asilimia 50 usiolewe sasa
Umekosea watu wakiachwa ndio wanangara wakiwepo kwenye ndoa wanachakaa mfano kama qeen masanja sasahv kangara baada ya kuachwa
anhaa yule aliofumaniwa akaachwa?? yule mke wamasanja mkandamizaji?😃😃 na hyu pia unamsifu sindio?
@@herimornchriston6083we nawe umechanganya anazungumzia aliyekuwa mke wa Dr mwaka sio masanja mkandamizaji
@@zawadichalale4047 anhaaa hapo sawa
sema mbna alikua anangaa kabla hjaachwa hy kuhuskunyanyaswa n uongo mwanamke anaenyanyaswa kabla kumsikiliza tunauona mwonekano wake
Sasa warejeane kivp na niwaialamu talaka zimeisha
oya Global Tv badilishen habari tumechoka kila siku habari za chanuo na madebe mbn habari ziko nyingi kuna mafuriko n.k
Ukiona habar ya chanuo pita kama umeona kituo cha wagonjwa wa corona 🤗🤗
@@ruqaiamohammed345 ya kweli umenishauri vizuri nitafanya hvy yani napita shwaaa😀😀😀
@@herimornchriston6083 🤣🤣🤣
Wewe binti tafadhali usijaribu kuoleka tena yani waume waone pa
👍
🤣🤣🤣yani hii story ya madebe inachekesha kweli yani hao watoto wote
Chanua shida ustar ungetak kuish maish ayo ungetafut wa type yako sio madeb ata mm atuendani aibu unazomtolea mumeo saiz ungeyamaliza ufanye maish mengine
Mwache aseme ili ajirekebishe janaume la ovyo kazi kunyanyasa wanawake wakat alioa kwa ridhaa yke na hakulazimishwa
Hiyo si ndio stile ya sasa hivi alipozukwa mtu.zika mtu
7:15 7:16
Make up imemuharibu arikua Mzuri kipindi cha madeb bila make up
Dada yangu atawanao kuoji majumbani kwao apalaliki unatakiwa Nenda kwa mmewe muyamalize kama sio nenda serekalini basi
alichokifanya kupost mtandaoni !!!! hawataweza kuyasolve tena hili n kosa kubwa wenyewe hawajui !!! hz habar zitadumu miaka mingi baadae mbele zitakua zinawaaibisha
Njoo huku south uishi
😂😂😂😂😂lakini sijuwi nacheka nini
Rud kwa mumeo ulikuwa na heshma sasaiv ushakuw chachanuo
Mimi jamani sijui ni ushamba sipendi kujichora mahina kiasi hicho sipendi kabisaaa
Ndugu yangu wew ni mshamba tu mim nnavyo penda hinna kwanza umuone chanuo alivyo pendeza
Ni ww upendi ichi unapenda kile kawaida
Hata Mimi sipendi maana ikifutia inakuwa mibaya looh😂
Kumbe unataka watto watiwe mitandaoni huyu dada sijakubali bado kisura kinamsuta
Chanuo wewe unazinguwa kwa ayo maneno uko ukiongea kwenye mitandao ungekakima tungekupa sheria ila unaongea sana atakama ungekuwa na sheria hawezi pewa kwamana unaongea sana aca maneno
hamna mke apo
Na ww wakwako hun mke kaa kwa adab
Na ndio alisha olewa
Nature pia ayupo mume funuwa funuwa😊😊😊
Ila mume anae Yan akili zako unazijua mwenyew 😅
It’s the make up for me 😂😂😂
Sasa picha umeshikana na mwanaume umezipost wewe au
Apan insta yake anayo uyo madebe 😢
Huyu mama ndo mjeuri,
hahahah leo kajipanga kapaka na makeup
😂😂😂😂😂
@@maimunaulotu2075 yuko sokon
Nyumba inakaa chanika
Dada imelda mtema nna jambo langu
Achana nae mwanaiume mwenyewe hata akioga hatakati
🙄
😂😂😂😂
Jizaini ya madebe ni waume hawana mana kabisa
na vile vile wanawake kama chanuo s wanawake kabisa wakuoa na wewe kama n mmoja wapo bas acha hx tabia !!!! kabla yakumhukumu mwanaume anza kujihukumu wewe na madhaifu yako !!! kwa waliomuona kwamba chanuo kafanya kitu sahihi ao wote s wanawake wakuoa !!!
Huyu licha ya kusema mule anamtesa a naonekana anataka Mambo ya mjini kuyavaa
Kwani Kuna mwanamke ambae hapendi kuvaa au kupendeza jamani
@@JescaPaulo-hn2ow tupo tele lkn tu naangalia na uwezo Wa wenzetu sio kutaka kuvaa mji
Jamani wanaume hawa kaxi
Huyu binti angekua mkubwa .ninge muoa
@@malitomalitoww huna haja yakuoa 😂😂😂😂
UKIKAONA UTADHANI KANA BUSARA KUMBE KAJINGA SANA KAONE KULE
Hapa unakera hizo kope si uislamu huo
Talaka tatu kwa miezi minne. Madebe huna ufahamu wa dini. Rudi ukasome dini uelewe talaka zitolewavyo
hakili hana ule
Kwani amesema ni talaka tatu ndani ya miezi mine, au ni ameachwa miezi minne ilopita? Kama kipindi hicho ndio ya tatu je?
@@Fetty-i1v kumbe wako wengi wasioelewa taratibu za talaka
Chanuo inatosha sasa
Mubadilishane ma X wewe olewa na Doto magari. Ule mcharuko wadoto aolewe na madebe
😂😂😂😂😂
Hiyo Hela yakuweka makope na mamekapu ungenunulia chakula
😂😂😂😂