Wasifu wa Padre TIMOTY MAGANGA/Sababu za KIFO Chake/Alilala hakuamka/Mengi yaelezwa ibada ya kuaga
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Ibada ya kumuombea Padre Timoty Nyasulu Maganga parokia ya Mt. Polycarp Askofu na shahidi KILAMBA Jimbo kuu katoliki la Dar Es salaam
#breezonlinetv #kanisakatoliki #baloziwaamani #restinpeace
Raha y'a milele umpe ee Bwana apumzike kwa Amani
Pumzika kwa Amani Padre wetu! Mungu aipokee kazi ya Nikons yako na akustahirishe kufika kwake mbinguni. Amina!
Baba yetu fr maganga mwenyezi Mungu akupokee katika makao yake ya milele
Pumzika Baba Maganga, ahsante kwa majitoleo yako kwa watoto, VIPAPA, wakati wako wote wa Uchungaji hapa duniani.
Mungu mjalie pumziko la milele Amina
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani amina
Apumzike kwa amani Fr.Timothy
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani. Amina
Mwenyezi MUNGU, apokee roho yako, Mbinguni na ipumzike kwa amani ya milele🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Apumzike kwa amni paroko wetu kipenzi alipenda watoto
Baba upumzike kwa Amani ,, Wana tabora na taifa la mungu lote tunakuombea sana baba ,,rest in peace fr nyasulu
Roho ya marehem Mungu ailaze mahali pema
Pumzika Kwa amani padre
mwenyezi mungu ampe pumziko la amani
Amina bwana ahidimiwe
Marehemu Padri Maganga apumzike kwa amani
apumzike kwa amani wana kilamba tutakukumbuka daima
He was my classmate in Kibosho Philosophicum Seminary
I offer my deepest condolences to his family and friends.
May Fr. Nyasulu rest in peace and rise in glory.
Rev. Jean de Dieu Hakizimana
Pumzika kwa amani FR Timothy nyasuru
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie.
Pumzika kwa amani baba
Mungu amrehemu Baba yetu Timothy Maganga Nyasulu, apumzike kwa amani 😢
Nakumbuka msoma risala alikuwa mtu wa karibu na marehemu, na walipadirishwa pamoja, Father Rugemalila wa makoka Jimbo kuu la Dar el salaam
tutakukumbuka kwa mema uliyotutendea 😭😭😭
Raha ya milele umpe eebwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa aman
MWENYEZI MUNGU AMPUMZISHE KWA AMANI
Apumzike kwa amani
RIP 🕊️💔😭😔 baba
Apunzike Kwa amani mlezi wa watt
RIP Fr. Nyasulu. Nakumbuka utumishi wako uliotukuka ukiwa St. Peter's Oysterbay Jimbo kuu Dar es Salaam
Pumzika kwa amani Padre wetu .Imani umeilinda
R I P. Father thimoth
RIP Fr. Maganga Nyasulu
Rip fr
Rest in peac father
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
vita kavipinga mwendo kamariza
😢😢😢😢
Tujalie mwisho mwema ee bwana
R I p
See
😢😢😢😢😢😢