"UCHAGUZI HUU USIJE UKATULETEA MPASUKO TUKASHINDWA KUSHINDANA NA CCM" DAVID MWAMBIGIJA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 24

  • @paulinebogohe-pi8gn
    @paulinebogohe-pi8gn 3 дня назад +1

    nimependa sana kile ambacho umeelezea.

  • @MarygetrudeKyauke
    @MarygetrudeKyauke 3 дня назад +3

    Mm naomba kila upande wakae kimya mambo ya kuzodoana, walete kipaumbele kama at chaguliwa atafanya nn ndani ya chama na nje ya chama, waachie wapiga kura wachanguwe kulingana na walivyo waelewa wagombea.

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 2 дня назад

    Kama kuna Baraza linahusika na kuwakata au kuwaengua wagombea basi liwakate akina Mbowe na mwenzake Lissu na kuwaacha akina Odero na mwenzaks waendelee na kinyang'anyiro tupate mwenyekiti mpya bila mpasuko😂😂😂

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 3 дня назад

    Uko vizuri sana

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 3 дня назад +1

    Ww acha porojo twambie unamuunga mkono wala rushwa au lissu

  • @enziseme4712
    @enziseme4712 3 дня назад

    Mwambigija buana eti no retreat no election

  • @aloycemchuo7687
    @aloycemchuo7687 3 дня назад

    Safi sana

  • @StevenNyanguye
    @StevenNyanguye 3 дня назад

    Ni kwel kabisa upo vizuri,ila chama kama kimekua Cha mboe vile,tafutena muafaka nani awe mwenyekiti

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai 2 дня назад

      Umejieleza vizuri, ila hapo unaposema 'inaelekea chama ni cha Mbowe',unatia ukakasi. Chama siyo cha Mbowe.

  • @aloycemchuo7687
    @aloycemchuo7687 3 дня назад

    Sanduku la Kura liheshimiwe.tuache maneno maneno

  • @BonfaceMwaipaja
    @BonfaceMwaipaja 3 дня назад

    Jembe nakukubali umenyoosha

  • @AshoooraMct
    @AshoooraMct 3 дня назад

    sana muta tukanana wakati kura ndo zitaamuwa

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 2 дня назад

    Sisi tunataka unyooshee useme unamuunga mkono lissu hapa hatuhitaji kuisema ccm tunataka utamke pandikizi hili limbowe limefeli

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik 2 дня назад

    Mpasuko haupingiki kunachama mpadala wa CHADEMA very soon kama Mbowe na Lisu wataendelea kuzodoana

  • @davidngogo4011
    @davidngogo4011 2 дня назад

    No retret?

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 3 дня назад

    Kwa maamuzi ya mbowe ni kuwa chama ni cha familia, lissu ajitose tu, maana umakamu hakutakiwa ndo maana ya kumuwekea mtu, huku chini watu wamekata tamaa, cdm will never be the same again, take note of this, huku chini kwisney

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 2 дня назад

    Kama uko upande wa lissu tutakulewa ila hicho kisugu kivuta bangi hicho kinatukosea sana kwenda kwa mbowe lisu tunamtaka wewe wa Upako twende na lissu achana na sugu umempigania yatosha na bungeni hatudishi saabu ya mbowe wake

  • @ProperGandatv-b1p
    @ProperGandatv-b1p 3 дня назад

    Hapo kwe Bima ya Afya unatudanganya Mzee wetu

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 дня назад

    Mmmh

  • @ExaudLupenza-qu1xu
    @ExaudLupenza-qu1xu 3 дня назад +1

    Mukomae na mboe wenu muone matokeo hatuta piga kuraa

    • @melch3097
      @melch3097 3 дня назад

      Hukuna mwenye shida ya kura yako, mpelekee babako

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 3 дня назад

    Mzee wa upako Chadema mpo kwenye kipimo cha akili kama kweli mna akili,chama kipo kwenye hatari ya kupasuka,mnashambulimia kama VITA.

  • @ProperGandatv-b1p
    @ProperGandatv-b1p 3 дня назад

    Mzee mwingine ni nani?

  • @nestor384
    @nestor384 3 дня назад

    Very weak idea