Asamuikum nomba darsa ili uwaogize mama zetu dada zetu wakishaolewa mfano aisha Adam baada yakuolewa a ondoa jina la baba ake kila pahala hata katika pasprt hujita kwa mfano aisha Nasour kwa dini yetu haifai hizi mila za wakiristo but hufanywa na wanawake wakislamu sheik tupe darsa kwa hili niombi kwako
mwenyezi Mungu ukupe mwisho mwema 🤲 yarabi
Allah atakulipa pepo insha Allah kwa kutupa ukumbushe ulio mzuri
ALLAH ATUHIFADHI NA WATOTO WETU AWAONGOZE NJIA ILIYO NYOKAA
Allahumma ameen ya Rabbi 🤲🤲
Allwah akupe umri merfu wenye kheri nawewe na akulipe kila kheri
Mashallah
Allah akulipe kheri
Amiin
Allah akulipe kila lakheir aibariki tumbo lilokuzaa
Alla akupe umri mrefu shekhe
SUBHANALLAH
Asamuikum nomba darsa ili uwaogize mama zetu dada zetu wakishaolewa mfano aisha Adam baada yakuolewa a ondoa jina la baba ake kila pahala hata katika pasprt hujita kwa mfano aisha Nasour kwa dini yetu haifai hizi mila za wakiristo but hufanywa na wanawake wakislamu sheik tupe darsa kwa hili niombi kwako
sasa sheikh yusuf hiyo nisawa ila hata mashule walazimisha watoto watumie
Mashallah Allah akuhifadhi