SIFA ZA MWANAUME & MWANAMKE WAKUOA | NDOA NI NINI? Mrs. Debora Urio.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 56

  • @manongichotile3495
    @manongichotile3495 11 месяцев назад +8

    Amina SANA mama nimepitia changamoto nyingi huko nyuma nimegundua nikifeli wapi ila kwasasa naitaji mke Bora NAAMINI Mungu atanisaidia na nitampigia hizo hatua ukizofundisha Amina sana🎉🎉

  • @MercyPallangyo
    @MercyPallangyo Год назад +3

    Amina Jaman Urio Tena Mimi ni Mercy Pallangyo, Barikiwa sana

  • @jonathanzayumba2350
    @jonathanzayumba2350 Месяц назад +2

    Duh!!Mafuzo nimeyaelewa Mungu atatenda kwangu

  • @TabithaKija
    @TabithaKija 9 месяцев назад +2

    Ubarikiwe mama Kwa somo hakika bwana atutie nguvu na aimalishe Imani zetu 2:18

  • @allyjuma1707
    @allyjuma1707 4 месяца назад +1

    Asante sana Kwa somo zuriiii,,, hakika masomo Yako mama nizaid ya dhahabu hakika masomo Yako nikwa rika zoote na dini zoote

  • @JuslayNzayiBig.talent
    @JuslayNzayiBig.talent 3 месяца назад +1

    Bwana mungu asifiwe ,biti muzuri ni mwenye tabiya Safi nakujuwa kazi

  • @Dlameck-b2e
    @Dlameck-b2e 20 дней назад +1

    Nmejifunza mengi ubarikiwe mama kwa somo zuri

  • @BarakaPhiripo
    @BarakaPhiripo Год назад +4

    mama asante kwaushauli nimekubali kabisa mungu akubaliki

  • @DanielRweyunga
    @DanielRweyunga Год назад +1

    Amina mama ukubalike ktk kristo yesu

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 Год назад +2

    Ahsante mama ubarikiwe❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Dlameck-b2e
    @Dlameck-b2e 20 дней назад +1

    Amina🎉🎉🎉❤

  • @FarajaJustine
    @FarajaJustine 7 месяцев назад +1

    Amen na barikiwa Sana Kwa somo zuri, Mungu akubariki

  • @HappySogomba-t6j
    @HappySogomba-t6j 3 месяца назад +1

    Mungu azidi kukutunza emeen

  • @bhatimhobingi9971
    @bhatimhobingi9971 Год назад +5

    Ameen dada ubarikiwe sana

  • @IreneSwai-nw2xk
    @IreneSwai-nw2xk 7 месяцев назад +1

    Hongeraa kwa somo nzuri nimelipenda na nimefundishikaa

  • @FredyRajabu
    @FredyRajabu 8 месяцев назад +3

    Asantee mama Kwa ujumbe mzuri

  • @AllyMwambilinge-ro3cz
    @AllyMwambilinge-ro3cz 6 месяцев назад +1

    Asante mama kwa mahubili yako mazur wape

  • @ElzabethAbel-ym3lk
    @ElzabethAbel-ym3lk 7 месяцев назад +1

    Barikiwa sana mtumishi kwa mafunfisho mazur ❤❤

  • @ElzabethAbel-ym3lk
    @ElzabethAbel-ym3lk 7 месяцев назад +1

    Kwakwel ubarkiwe mama angu kwa somo zuri tunajifunza kitu 🙏🙏❤

  • @WilliamDoya
    @WilliamDoya 5 месяцев назад +1

    Barikiwa sana na mafundisho ya mama yetu

  • @JesaWariaely
    @JesaWariaely Год назад +1

    Asante mama urioh kwa mafunzo mazuri

  • @BeatriceMpelumbe
    @BeatriceMpelumbe Год назад

    Amen mtumishi wa Mungu barikiwa sana kwa mafundisho mazuri sana
    3:50

  • @EmmanuelYohana-j4r
    @EmmanuelYohana-j4r 7 месяцев назад

    Asantee mama kwa Neno zuri nimebarikiwa sana kwa Somo lako

  • @SALOMENkya-p4y
    @SALOMENkya-p4y 6 месяцев назад +1

    Amina sana mama

  • @tumainiurio3644
    @tumainiurio3644 Год назад +4

    100% ubarikiwr Mama

    • @IddyNulo-z5o
      @IddyNulo-z5o Месяц назад

      Hllw habari, samahani sana mm ni mwanafunzi wake uyu mama shida yangu naomba Kama itawezekana unisaidie mawasiliano yake samahani kwa ilo

  • @GEORGEMELCHIORY
    @GEORGEMELCHIORY 7 месяцев назад +1

    Amina mama barikiwa sana

  • @isaacnabutola9786
    @isaacnabutola9786 Год назад +2

    Ahsante dada

  • @gracefernard9765
    @gracefernard9765 Год назад +1

    Mungu ni mwema

  • @MarselinaHhayuma-rx1sj
    @MarselinaHhayuma-rx1sj 10 месяцев назад

    Asantee ubarikiwee Sanaa

  • @israelyeremia3439
    @israelyeremia3439 Год назад +1

    Mama ubarikiwe.

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 Год назад +1

    Upo sawa

  • @KapeLoBoY
    @KapeLoBoY Месяц назад +1

    hakika kinywa cha mtu mwenye hekma huongea hekma na kinywa cha wabumbavu humwanga ubumbavu xo mama nimekuelewa mnoooo haya unayo yaxema tungekuwa nayafanya before wala ndoa zixingevunjika mama

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj Год назад +2

    Amina

  • @MasamElisha-zu5ve
    @MasamElisha-zu5ve Год назад +1

    Amen

  • @redaskash6629
    @redaskash6629 7 месяцев назад +3

    Asanti kwa kutukumbusha sisi wanaume ubarikiwe

  • @leonardmlelwa7917
    @leonardmlelwa7917 Год назад +1

    Asante

  • @jofreystanslaus4397
    @jofreystanslaus4397 Год назад +1

    Your nice mamma

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 Год назад +1

    Mama mama mama mama mama mama mama mama ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EuniceWanjira-x9q
    @EuniceWanjira-x9q Год назад +2

    👌👌😉😉

  • @masterkey536
    @masterkey536 Год назад +1

    Saaafi

  • @tithombeya5779
    @tithombeya5779 Год назад +3

    Mama unachosema ni kweli maana kunawanawake wanajua kuogea Sana kuliko mmewe na anapenda ugovi

  • @redaskash6629
    @redaskash6629 7 месяцев назад +1

    Kweli mama anasifa zake kuliko mwamuke

  • @LenatusKailembo
    @LenatusKailembo 7 месяцев назад +1

    Hakika ww nimama na zaidi ya mwanamke

  • @AnnChepkemboi
    @AnnChepkemboi Год назад +1

    Nick

  • @JiosephSagday
    @JiosephSagday 4 месяца назад +2

    Wengi wamefeli na umri umeenda na sasa kilio tu

  • @OmarySingano-w4k
    @OmarySingano-w4k 6 месяцев назад

    Na wele Mama walizaa wakatelekeza Watoto je unawahongaje naamini Kila ndoa Ina mfumo wake ila Dunia ya Leo media zinasaidia na kupotosha Muhimu kubaki na Mungu tuu na akikujaalia neema ya Mke Mwema ni kumshukuru Mungu na Kukaa kimya

  • @BAHATIABDOUL
    @BAHATIABDOUL Год назад +1

    🌹

  • @RichardMwaigaga
    @RichardMwaigaga 8 месяцев назад +1

    Nikweli mama ni mama

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 Год назад +1

    Hapo penye umri ni changamoto mama, vipi huyu ambaye Mungu kasema naye jamani??

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio Год назад +1

      Si dhambi kumuoa ila jifunze changamoto zake!

  • @Sostenespetro
    @Sostenespetro Год назад

    Darasa hili litatuliza ndoa zetu