Shalom mtumishi wa Mungu iyi ni Injili inayo itajika kwa nyakati izi zamwisho mola akutiy nguvu maombi yangu nikwamba umupendeze Mungu anipe roho yako mara dufu ,ninakiu yakubadilika nakuubiri Injili inayojaa uzima namna hii,k Dieu vous bénisse abondamment chere prédicateur
Pastor hakika injil ya Yesu ndo hii, siyo pokea pesa/nyumba /gar na kadhalika Mungu akuinue zaid pastor I love you more because you doing the perfect things
Nafarijika na mafundisho ya Mchungaji huyu, napata injiri kamilikamili(complite) ila naomba mtengeneze mahubiri haya ili tuweze kuyapata hata kwenye flash au CD. au yapatikane kwa wauza moves or CDs. Mungu wa Mbinguni awabaliki kwa huduma nzuri.
Nakupenda sana baba yangu wa kiroho mungu akupe maisha marefu
Shalom mtumishi wa Mungu iyi ni Injili inayo itajika kwa nyakati izi zamwisho mola akutiy nguvu maombi yangu nikwamba umupendeze Mungu anipe roho yako mara dufu ,ninakiu yakubadilika nakuubiri Injili inayojaa uzima namna hii,k Dieu vous bénisse abondamment chere prédicateur
Mungu akutimize haja ya roho yako,,,iwapo utamtumikia Kwa kweli 🙏😊
Aksante pastaa
Hapo nakubali pastor mungu akupee neema zaid uzidi kutuchambua kabisa
ubarikiwe sana Mchungaji Mgogo hayo ndiyo mafundisho yanayohitjika kwetu.
Unanipa raha sana mchungaji mgogo ,mung akuweke daima , endelea kusema tupone,barikiwa sana
Aminaaaaaa nitaimba nyimbo nkimaanisha 🙏
Mchungaji nashukuru kwa mahubiri yako lakini kuwa watu wako gerezani na wako huru na wengine Hawayuko gerezani lakini Hawayuko huru
Wewe ni professeur wa uchristo kabisa
Muchungaji mungu akubariki Sana tena Sana nimebarikiwa sana mungu akuongeze nguvu kwa kazi unayoifanya!!
😁😁😁🤗hutaki nyama na supu usile😁😁barikiwa sana
Ma l
Ndugu wa wote😂😂. Mungu azidi kukutetea mtumishi Najifunza vitu vingi toka kwako
Mchungaji akubariki Mungu wa mbinguni
Mugu akubariki sana mchungaji kwa huduma yako njema
Mchungaji mungu akubarik Yan maubiri yako Niya ukweli
Ubarikiwe baba unatoa nondo nzuri na unawagusa watu wengi Sana wenye shida mbalimbali
Wapewape vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yao👏👏asante mchungaji huwa unawapa za uso.hiyo ndio injili sio kubembelezana
Pastor hakika injil ya Yesu ndo hii, siyo pokea pesa/nyumba /gar na kadhalika Mungu akuinue zaid pastor I love you more because you doing the perfect things
Mungu akubariki unanyoshaga hupindishagi tuambie
Mnafiki ni zaidi ya muuaji, Amina mtumishi
hahahaha walonizalisha😀😀😀😀
beth mziray 0
Mungu akubari sana mchungaji
Ninapo skia maneno ya mcungaji 'nafarijika sana ''asante sana
barikiwa mtumishi kwa ilo neno la mungu
Nakupenda sana mchungaji...tunahitaji mafundisho kama haya sio mafundisho ya kufalijiana...
Powerful people like Pastor Mugogo. Big up Pastor.
“Walionizalishaaa wamenikimbiaaa ...,mchungajiii umenichekesha
Baba umeniacha hoi na nyimbo ninazipenda kweli .kumbe nimechemka
Hahahaaaa
Ubarikiwe sana dady.... ASIKIAYE NA AFAHAM NENO AMBALO ROHO AYAAMBIA MAKANISA... AMEN
Nafarijika na mafundisho ya Mchungaji huyu, napata injiri kamilikamili(complite) ila naomba mtengeneze mahubiri haya ili tuweze kuyapata hata kwenye flash au CD. au yapatikane kwa wauza moves or CDs. Mungu wa Mbinguni awabaliki kwa huduma nzuri.
Ubarikiweeeeeeee sana.. yaan walioko chini yako wananajifunza mengi.... daaaaa wanafaidi sana
Ubarikiwe mchungazi sana unanibari kila waka🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Mungu atupe nasi wachungaji kama wewe,ili duniya yote iba dilike, nashukurusana baba.
Ukweli unatuweka huru saana, aliyekufa katika Yesu atafufuka naye, asante Mchungaji.
Papa habari ndio hiyo. Hakuna injili nyingine Baba hubiri
Hakika wokovu ni talanta iliyo njema na ya thamani sana
Huyu mputi nampenda na mahubiri yake yana ukweli mtupu kuhusu maisha ya watu na Mungu
Kweli.mtumishi mtu mnafiki ni mbaya sana mtumishi waambiye wapone
kwakweli acheni Mungu aitwe Mungu. barikiwa sana mchungaji Daniel Mgogo
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Hii ndio Live!! Asante mtumishi.
+Ernest Mnzava amina
Améen sana
Mungu akubariki mchungaji
Hahahaaaa amina barikiwa mtumishi wa Mungu, walio nizalishaaaa wamenikimbiaaaa.
Nampenda sana huyu mtumishi. Unafiki unamaliza makanisa na watumishi
yani unafiki ni mbaya kabisa ubarikiwe mtumishi
True pastor. Listening from Kenya.
amina mchungaji
Mungu azidi kukubariki mushy bulk
kweli kabisa mchungaji wanafiki wasingekuwa makanisani ingekuwa raha sana. Mungu azidi kukuinua
Ahaaaaa mashavu kama maandazi hakika mchungaji napenda sana mahubiri yako
Ubarikiwe sana mungu akuweke
Ameeen pastor listening from kenya napenda mahubiri yako sana🙏🙏
Barikiwa sana Mtumishi Wa Mungu ,Mungu azidi kuteua watu wake wakuhubiri ukweli dunia ipone
yaan wachungaji, watumishi, mapadre na mashehe wangekuwa wasema ukweli hivi watu wangebadilika
leah mshana u
wanasema ukweli sema watu wanaingia kwenye nyumba na mahali pa ibada kimazoea ndio maana awaguswi usishangae hata hapo wapo wasio sikia na kuishi
Amina
Akika Mungu atupe wachungakama awa
Oooh my God eti wanaume wanaimba eti walionishalisha😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌 barikiwa mchungaji🌹
Mungu akubariki Sana muchungaji. Napenda sana maneno yako. kupitia neno lako tumepona
Hahahah happy pastor this real am a Kenyan watching from Morocco woooow this is good hahaha
Terry Joel too good yaaani
Amina Wanibariki Sana Mchungaji..
Amen umesema kweli nashukuru kwa mafundisho yako
Walonizalisha wamenikimbia mwanaume na suruali yako 😀😀😀mchungaji kiboko
Nishida
Hahhahahaa nimecheka sana
Barikiwa sanaaaaa
Haaa nice and massage brought home
Kweli kabisa baba mungu akubariki saana kwa kusema ukweli
Amen! Mungu akuondolee roho za unafiki penda Sana mafudisho barikiwa mtumishi wa mungu
wah!. .nampenda huyu anahubiri ukweli mtubu 👏👏
Kuokokaaaa,kuokokaaaa,nimechekaaa kama mazuri,barikiwa mtumishi.
Kweli kabisa pastor
Amina baba sema akupingae neo yumo baba sema
Wambiyeee
mnaishi wapangaji 2 kwenye nyumba moja oooh Mchungaji sema watu tupone
Amen....this is nice
mchungaji kweli unatoboa direct sio watumishi wengi wanaweza kufanya hivi
Mtumishi mwenyezi mungu akuzidishie maisha marefu
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu tuna fuata mahubiri yako Mungu azidi kukuinuwa
Ameen barikiwa mtumishi wa mungu
point mchungaj mungu akutie nguvu na akupake mafuta matakatifu
I love your sermons you bless my soul man Of God. Barikiwa sana
mch mgogo weeni mwanzo mwisho hakuna kubanda2 sitret
Mungu akubariki sanaaa mchungaji.
Amen sema yote mchungaji.
Amen.
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
Mtumkweli uchukiwa nawatu lakini mtu mkweli upendwa na Mungu.sema ukweli mungu yupo pamoja nawe.napenda ukweli sana
Waaah Rev Daniel mgogo habari iko chonjo
Ukueli kabisa mchungaji nyibo zingine azituhusu hahaha true pastor
Napenda sana injili ya upako kama hii, sio kupapasa ...barikiwa sana
asante
Amen.....ubarikiwe mtumish
Kenya tupoo! Tuache unafiki hapa ni penyewe
hahahahaha nabarikiwa sana na mahubiri yako
Pasua jipu mchungaji n Mngu akupe nguvu napenda Sana mahubiri yako
Mungu akubaliki
Hallelujah Ameeeeeeeen you have nailed it Mtumishi
AMAN AND AMAN AND AMEN 🙏🏼 🙌 👏🏼
Hongera Pastor hubiri kweli
Heheeee.... Walionizalisha, wamenikimbia, Bwana nipe uvumilivu..
Aksanti muchungaji, mungu akubariki
Amen kwa kweli umenibariki sana mch
Injili ya kristo yesu ihubiriwe wazi wazi kama rev Daniel mgogo anavyohubiri
hii nimeipeda ubalikiwe mtumishi wMungu
Kkkkkkk!!!!!!! huyu jamaaa . Mungu akubariki.
Mchungaji yupo vizuri sana
😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥 MUNGU akubariki sana mchungaji wangu
Amen
Haaa hapo Kweli waokoke hawa .ubishi wanini washarika MCHUNGAJI kaokoka
Barikiwa
Hallelujah hosanna i just love this m'en of God
Hapo umenena ndipo pst
Hakika wewe ni mwinjiljti na unahubili kweli ambayo ipo mpaka sasa
Mashavu km mandazi he he he he he he he heheheheeeeeeeeee barikiwa mzee baba
Ukweli ndiyo huyo tufanyie kazi
Nmekuelewabb
Daaaa Pastor unanibariki sana God bless you alot
Fact, God bless you abundantly.
Amina, amina, mchungaji, barikiwa na Bwana.
We baba YESU akutunze kwa kweli