Really great music brother Ambwene. Highly spiritual song and deep in words. Ninamshukuru Mungu kwa huyu mtumishi. Wewe ni nfano mzuri Sana kwa kazi ya Mungu. Huku Kenya tunaitaji upako huo. Asante mingi.., Mungu Yuko naweee..
Wewe unamtumikia Mungu haswa achana na kina Goodluck wanaofanana na bongo fleva.Ombi langu waimbaji wote wa nyimbo za injili imbeni nyimbo zisizo na mfanano na mziki wa kidunia Yesu Kristo yu karibu kuludi.
Ni bahati kwa sababu Mungu ameruhusu masikio yetu kubarikiwa na wewe mtu wa Mungu. Unatupa nguvu kila wakati tunaposhindwa kupitia nyimbo zako. Ubarikiwe
My brother I will always love you, nitarudia tena kusema Kama nilivyowahi kusema kuwa waimbaji wa Tanzania kuna Siri anayo huyu mtumishi muifuatilie bibilia inaruhusu kuiga imani iigeni maana miaka imekwenda kaka habadiliki kitabia na nyimbo zake bado zina nguvu. Yesu akutunze Brother
Kuna watu Mungu anajivunia, maisha na uwepo wao ni stamina ya nyumba,mtaa hadi taifa,kuhishi kwao ni mahubiri tosha kabla ya maneno, huteseka sana duniani kwaajili ya kilicho ndani yao,christ anahumizwa zaidi wanapokosea,lakini huwapa nguvu za kustahimili shida,Mungu akubariki Mt ambwene
Nimeusikiliza wimbo huu siku 3 mfululizo moyo wangu ulioondwa pondwq mbele za MUNGU sikuweza kutamka nemo zaidi ya machozi mbele za MUNGU ROho Mtakatifu alinihudumia kwa jinsi ya ajabu. Mungu akutunze sana aendelee kumimina mafuta mabichi juu yako kaka Ambwene
Kwa jinsi ninavyoupenda huu wimbo nimejikuta nasahau Kama video Ni ya Leo Leo. Mungu ameyamezesha maneno mazuri haya ndan yangu na mm nafurahia Sana. Kuna muda najisifu. Ubarikiwe mno mtumishi wa Mungu.
Na hili ni Ombi LANGU KWAKO MUNGU wangu. NIFUNDISHE KUOMBA,KIASI ,IMANI YA MATENDO, NIFUNDISHE YESU NAMNA GANI NISOGEE MBELE ZAKO NATAKA KUTEMBEA NA WEWE. NIWEZESHE MIMI.... AMBWENE YOU'RE BLESSED MAN OF GOD❤🙏
Baba nifundishe KUOMBA Nifundishe kuwa na Subira. Mda mwingi napenda kupata majibu ya Haraka ivyo uwa navunjika moyo pale majibu yanapokawa au kwenda tofauti na mtazamo wangu. Mungu NIPE MOYO WA TOBA Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
ABWENE MTUMISHI WA MUNGU ALIE HAI MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA VILE ATAKAVYO MAANA UNAIMBA KATIKA ROHO NA KWELI..NYIMBO ZAKO ZINANIBARIKI MNOOOO...ASANTEEEE ASANTEEEE
Ombi langu pia♥️...nimemfuatilia mwimbaji huyu tangu enzi za "namjua Mungu,we mbilika,chozi LA haki"..kwa kweli nyimbo zake zina ujumbe uliokomaa,nakumbuka walivyouimba wimbo huu siku ya harusi yao..ni ombi la kweli.. namheshimu sana🙏
Kaka yangu eeee ubarikiwe👐 ibarikiwe na kuinuliwa juu huduma yako, ufanikiwe sana ktk mambo yako. Uwe Salama na wa nyumbani kwako. Upewe mafunuo kila siku, upewe moyo wa kutii...upewe mema yote
Ubarikiwe zaidi Kwa maana nyimbo zako zinanigusa, kuniponya, pia namuabidu sana huyu Mungu. Mwenyezi Mungu akakutane na Kila haja ya moyo wako sawasawa na Mapenzi yake
Mungu azidi kukutunza umekuwa baraka mnoo katka maisha yangu😢😢😢😢,nahisi kama huwa unaniambia mm mtumishi,najkuta naxshks haraka Sanaa nymbo zako Kwan ndyo znanifarji mnoo
This song is so powerful,.i felt the presence of holy spirit while listening to this song, God can talk to you through this guys. May God bless you ambwene
Jamani anae ungana nahuyu mwimbaji kumtukuza Mungu kwa Huu wimbo nifundishe kuomba agonge like zake hapa mimi Moja love you so much ambwene mwasongwe
Huu wimbo unisogeza sana uweponi mwa Mungu! Mungu ambariki sana sana na kuzidisha Ambwene
Really great music brother Ambwene.
Highly spiritual song and deep in words.
Ninamshukuru Mungu kwa huyu mtumishi. Wewe ni nfano mzuri Sana kwa kazi ya Mungu.
Huku Kenya tunaitaji upako huo.
Asante mingi..,
Mungu Yuko naweee..
Jaman tukiweka ushabik pemben ambwene anajua harafu anajua tena be blessed man of God❤❤❤❤
Waited this for so long: “kule nisikoweza kwenda mchana, nisaidie nisiende usiku; yale nisiyoweza sema hadharani, nisiseme gizani.” Nifundishe 🙏🏽😭
Wewe unamtumikia Mungu haswa achana na kina Goodluck wanaofanana na bongo fleva.Ombi langu waimbaji wote wa nyimbo za injili imbeni nyimbo zisizo na mfanano na mziki wa kidunia Yesu Kristo yu karibu kuludi.
Ni bahati kwa sababu Mungu ameruhusu masikio yetu kubarikiwa na wewe mtu wa Mungu. Unatupa nguvu kila wakati tunaposhindwa kupitia nyimbo zako. Ubarikiwe
My brother I will always love you, nitarudia tena kusema Kama nilivyowahi kusema kuwa waimbaji wa Tanzania kuna Siri anayo huyu mtumishi muifuatilie bibilia inaruhusu kuiga imani iigeni maana miaka imekwenda kaka habadiliki kitabia na nyimbo zake bado zina nguvu. Yesu akutunze Brother
100%
Huyu jamaa anajua, mungu mbariki na sisi pia tubariki tunachoelekezwa na watumish wako na kutugusa kitujenge katika imani dhabiti
Nafarijika na huu wimbo toka Congo RDC, kwa gisi naupenda huu wimbo naombeni wakristo njooni tu like ili afanyikiwe kuendelea nainjili.
Mmoja wa watunzi bora sana wa nyimbo za Injili. Mungu akubariki ndugu.
Nifindeshe kuomba Bwana. Mungu akubariki sana Mwalimu na Kaka yangu Ambwene. Umekuwa Baraka sana kwa Mwili wa Kristo
Ambwene Mkewako Mbona Hatumuoni nawakati uli imbanae kwenye send off..Unamtenga sana bwana sio powa.
Kuna watu Mungu anajivunia, maisha na uwepo wao ni stamina ya nyumba,mtaa hadi taifa,kuhishi kwao ni mahubiri tosha kabla ya maneno, huteseka sana duniani kwaajili ya kilicho ndani yao,christ anahumizwa zaidi wanapokosea,lakini huwapa nguvu za kustahimili shida,Mungu akubariki Mt ambwene
Ubarikiwe mtumishi wamungu 😍🌍👂🌟 from 💟
Napenda mno wimbo huu jmn Mungu akutunze kakaangu mtumishi wa Mungu
Hakika barikiwa mtumishi, na hili ni Moja ya ombi langu " Nifundishe kuomba" 🙇
Nguvu yako ikanizuwie kwendaa pale hakuna awezaye niona pale ambapo hayupo awezaye Sema achaa neno lako likanizuwie kufanyaaa ❤
Huu wimbo unanibariki sana yaani sauti yako ni kama ya Suleiman, shukurani Kwa muumba wetu maan kwake yapatikana maneno yenyewe nguvu na mamlaka
Wimbo Mzuri Sana. Nifundishe Kuomba Hongera sana ndugu yangu hatujui kuomba hatuna kiasi wala hatuna imani ya Matendo wala moyo wa Toba
Kweli wimbo huu unagusa moyo!
Wimbo ni wawakati sahihi na mahali sahihi tukikumbuka mateso ya Bwana Yesu na ukombozi wa mwanadam
Mungu akubariki nasi tubarikiwe kupitia wewe na yeye ariye juu akujarie hekima zaidi, amina🙏🙏🙏🙏
"Kule nisipo weza kwenda mchana nisaidie nisiende usiku" 🙏🏾
Huwezi Amin nyumbni kwangu kwangu nikiwasha redio tu napiga nyimbozako tu Kila siku mpka majirani wananiambia huyo nindugu yako au
Wow❤ Kenyans🇰🇪 wapi likes za minister Ambwene
Ndagha mwana gwa KYALA👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Google wanakosea kufasiri kumbe
Kulenisiko weza kwenda mchana nisaidie nisiende usiku, yale nisiyo weza kusema adharani nisiseme gizani
Hili ni ombi langu baba, unifundishe kuomba Mungu wangu kupitiya wimbo huu wa mtumishi wako AMBWENE MWASONGWE
DRC 🇨🇩
This man is odained n he sings with deep and intense words eeei🥹🙏God for us all
Fact
Hongera sana wimbo unaujumbe mzito Mungu akubariki
Mungu wangu. Nisamehe kwa makosa niliotenda. Nikisikia wimbo huu najiona mimi ni mdhambi mno. Eh.😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏😍😍
Nampenda Ambwene, na Nyimbo zake zote maana najiskia faraja moyoni mwangu nimsikirizapo
Stay blessed and anointed man of God
Nimeusikiliza wimbo huu siku 3 mfululizo moyo wangu ulioondwa pondwq mbele za MUNGU sikuweza kutamka nemo zaidi ya machozi mbele za MUNGU ROho Mtakatifu alinihudumia kwa jinsi ya ajabu. Mungu akutunze sana aendelee kumimina mafuta mabichi juu yako kaka Ambwene
YOOOOOO MANA WEEEEEE
HALLELUJAH ❤❤
BARIKIWA SANA NA MUNGU AZIDI KUKUFUNULIA MAPYA
NAKUPENDA SANA SANA SANA 🇷🇼🇷🇼
Nifundishe imani ya matendo.....
Mungu akubariki sana mteule..na aendelee kukuatamia chini ya mbawa zake usije kengeuka km wengine wauzao utu kwa umaarufu 🤲
Barikiwa Sana Mtumishi kwa kutuweka kwenye Uwepo wa Mungu tusikilizapo Wimbo Huu🙏
ANAKUJA YESU KRISTO NDIYE MUNGU MFALME WAULIMWENGU
Hujabadilika popote hadi mavazi ni heshima tupu Mungu akubariki
Mtumishi wa MUNGU upo rohoni. Nyimbo hii inagusa moyo. Yani ni maombi.MUNGU AKUBARIKI 🙏
Nakumbuka huu wimbo uliimba sku ya Harus yako.Barikiwa Sana mtumishi
Ooh! Mungu Wangu nifundishe kuomba yale nisiyo yaweza Mungu unisaidie nifundishe kunena lugha Yako ya Mbinguni isiyoweza kuneneka.😭😭
Wimboo mzuriiii sanaaa,Hata wanafunzi wa Yesu baada ya kukaa naye kwa muda wakaenda wakasema Baba tufundishe kuombaaa
Kwa jinsi ninavyoupenda huu wimbo nimejikuta nasahau Kama video Ni ya Leo Leo. Mungu ameyamezesha maneno mazuri haya ndan yangu na mm nafurahia Sana. Kuna muda najisifu. Ubarikiwe mno mtumishi wa Mungu.
Hii nyimbo inanibariki sana,,
mungu azidi kukuinua mtumishi wake🎉🙏🙏
Barikiwa Sana mtumshi,,kweli Mungu anifundishe kuomba ili nisikosee
Na hili ni Ombi LANGU KWAKO MUNGU wangu. NIFUNDISHE KUOMBA,KIASI ,IMANI YA MATENDO, NIFUNDISHE YESU NAMNA GANI NISOGEE MBELE ZAKO NATAKA KUTEMBEA NA WEWE. NIWEZESHE MIMI.... AMBWENE YOU'RE BLESSED MAN OF GOD❤🙏
Baba nifundishe KUOMBA
Nifundishe kuwa na Subira. Mda mwingi napenda kupata majibu ya Haraka ivyo uwa navunjika moyo pale majibu yanapokawa au kwenda tofauti na mtazamo wangu.
Mungu NIPE MOYO WA TOBA
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Nifundish kuomba yesu nakuhitaji❤❤❤❤
ABWENE MTUMISHI WA MUNGU ALIE HAI MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA VILE ATAKAVYO MAANA UNAIMBA KATIKA ROHO NA KWELI..NYIMBO ZAKO ZINANIBARIKI MNOOOO...ASANTEEEE ASANTEEEE
Haya ni maombi yangu Mungu, Amen
Haya ni maombi yangu kwako Mungu wangu😭
Mungu akubariki Ambwene. Wimbo mzuri sana. Sasa tunausubiri na Moyo wa Ibada katika video
Aksante sana kwa wimbo Mungu ani saidie yale nime sikia katika wimbo huu yawe katika maisha yangu yakila siku
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tupo. Tunapenda kazi yako. Barikiwa
Ombi langu pia♥️...nimemfuatilia mwimbaji huyu tangu enzi za "namjua Mungu,we mbilika,chozi LA haki"..kwa kweli nyimbo zake zina ujumbe uliokomaa,nakumbuka walivyouimba wimbo huu siku ya harusi yao..ni ombi la kweli.. namheshimu sana🙏
Hakika ROHO MTAKATIFU anafanya kazi na ambwene pia Mungu akubariki amen🙏
Duh nimebarikiwa sana na wimbo huu
Wao..what a powerful song..God bless your talent. Thankyou Lord for this man of God
Huyu mtu jamani kila anachotoa ni kitu fire
❤❤❤mungu Achukuwe utukufu wake kaka nimevusha sehemu
Kaka yangu eeee ubarikiwe👐 ibarikiwe na kuinuliwa juu huduma yako, ufanikiwe sana ktk mambo yako. Uwe Salama na wa nyumbani kwako. Upewe mafunuo kila siku, upewe moyo wa kutii...upewe mema yote
MUNGU wangu akutumie Kwa viwango vya juu zaidi 😭😭🙇🙇 nimebarikiwa Sana
Yaani nausikiliza huu wimbo kila saa nisikia naenda viwango vingine
Thank you for the beautiful song.. Mungu akubariki zaidi🙏🏾
Maana ufalme unatekwa na wenye nguvu Jesus🙏
Na mimi ombi langu ni kama hilo hilo la ambwene, Ee Baba nifundishe kuomba
Ninapenda hapo unaposema nitafanya ubabe kwa shetani...........😃😃💪💪💪💪💪💪
Nyimbo nzuri inautukufu ndani yak
Hatimaye my favourite song🙌ninataka kushinda hili Ni ombi langu eeh Mungu wangu😭🙏😢
Hongera Baada Ya Kuachilia Viende
Bwana Nifundishe Kuomba.
Oh, so touching & real! Glory to Good
Barikiwa kwa huduma, nyimbo zako ni tiba zinaleta uponyaji wa kiroho
Ubarikiwe zaidi Kwa maana nyimbo zako zinanigusa, kuniponya, pia namuabidu sana huyu Mungu. Mwenyezi Mungu akakutane na Kila haja ya moyo wako sawasawa na Mapenzi yake
😢😢😢🙏😢nakosa maneno ya kusema mbele zko we Mungu ulie hai 🙏🙏🙏
huwa nabarikiwa Sana na nyimbo zako mtumishiii ambwene
Nabarikiwa na nyimbo zote za mtumishi Ambwene. Namshukuru Mungu Baba kwaa kumuwezesha. Ameen
Mungu azidi kukutunza umekuwa baraka mnoo katka maisha yangu😢😢😢😢,nahisi kama huwa unaniambia mm mtumishi,najkuta naxshks haraka Sanaa nymbo zako Kwan ndyo znanifarji mnoo
Hakika tunamhitaji mungu atufundishe kuomba
This song is so powerful,.i felt the presence of holy spirit while listening to this song, God can talk to you through this guys. May God bless you ambwene
😭😭😭ooooh my God nifundishe Bwana kiasi, nifundishe kuomba
Nabarikiwa sana na nyimbo za mtumishi huyu
Nifundishe kuomba, nifundishe kunena, barikiwa sana kaka ambwene
Mungu atume nguvu za kushinda,nyimbo ambayo imejaa nguvu za Roho mtakatifu,ubarikiwe saana kaka,nguvu za kuendelee kazi ya Bwana,Mungu akupe ❤❤🇧🇮💪
Ni ombi langu pia ..Mungu akubariki sana mtumishi
Kaz nzuri.. upako mwingi... Ni ibada yenyewe. God Bless You kaka Ambwene Mwasongwe Mwamlenga
Najiona kama nikombinguni barikiwasanaaaaa
AMINA AMINA AMINA MTUMISHIVWA MUNGU....MUNGU AZIDI KUKULINDA NA KUKUINUA
barkiwa kaka nafarijika kwa karama yako MUNGU ANIPE MOYO WA TOBA NINENE MANENO YANAYOMPENDEZA
Kweli nami ni ombi langu KRISTO nifundishe kuomba na unipe moyo wa toba,
Nifundishe kuomba, kunena, kusamehe ,nifundishe Imani, nifundishe kiasi nakuomba MUNGU WANGU🙏🙏🙏
My all time song❤❤Mungu akutunze mtumishi nabarikiwa na nyimbo zako
Nifundishe kuomba nifundishe kunena nifundishe imani ya matendo Mungu hili ni ombi langu kwako
Mimi nakupenda Ambwene unanibariki
Nifundishe kuomba Yesu Kristo, nipe moyo wa Toba 🙏 Hallelujah
MUNGU akubariki mtumishi kwa ibada nzur
such a great song writer! And your video grapher is so on point! Much love from🇰🇪🇰🇪
Ubarikiwe mtumishi ujumbe mzuri Sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Utunzi wa huyu ambwene anavyoandika nyimbo zake sijawahi ona
Jamaa anaandika bana
Nabarikiwa
Ubalikiwe kaka ambwene Mungu akuinuwe zaid naiona mbingu uuuwimbo
Hakika ww ni toleo la MUNGU!!keep on kaka!!
Nasikia kuinuliwa zaidi na zaidi katika roho yangu