Mungu wetu tunakushukuru sana kwa kufikia hatua hii na tunajua kuwa wewe ndiye uliyetufikisha hapo na tunaamini utatufikisha pale tunapokuomba tukafike. Amina.
Ikiwa timu zote hizo zimepa nafasi kwenye group stage maana yake ni nzuri lakini kuna bora zaidi ya zote ni bora hapo ni Young Africans timu ya wananchi. Tuweke mikakati ya uhakika na huku tukiomba Mungu awatunze wachezaji wetu na uongozi mzima. Hongera sana wananchi wote sasa tujiandee kuisupport timu mali itakapokuwa🎉🎉🎉
Mc Alger kuna Kiper Jr,Issa Mohammed Zougrana midle ya ball hawa watu natamani sana kuwaona kwa mara nyingine Tz , All in all Yanga ndo mjadala mkubwa saiv,East,south and central Africa 🔥🔥💪👏💯
Asante Mungu . Pia semaji tunaomba zile days za wachezaj zlud Basi Kama Aziz ki day pacome day itakuwa powaaa Sana iyo🎉💚💚💛
Mungu atusimamie tukashinde mechi zetu zote tusonge mbele zaidi Katika Jina la YESU KRISTO AMINA
Amina
Amina
Ameen
Amen
Hakika
Amini sisi ni mabigwa kushinda ni lazima mungu tupo pamoja na sisi lazima tushinde kama unaamina live 💚💚💛💛
Kila anaeipenda yanga yetu ifike finally klb bigw piga five 💛💚💚💚💛💚💪
❤
Mungu tujalie ushindi mkubwa hakuna kinachoshindikana kwako amen
💚💚💚💚yanga mungu atujalie tufike mbali wanayanga
Hongerni lakini ongeni na wafunguji wanashindwa wapi kumalizia tuwaombee Sana Mungu afungue miguu yao amina
Mungu wetu tunakushukuru sana kwa kufikia hatua hii na tunajua kuwa wewe ndiye uliyetufikisha hapo na tunaamini utatufikisha pale tunapokuomba tukafike. Amina.
Amina
YESU Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu MWAMINI YESU na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Kila la kheri inshaallah yanga bingwa 💚💚💛💛
Kwenye hili group letu lazima timu moja ikutwe na kipigo cha mkono wa nyani.,uku washindi w group tukienda robo final💚💚💚💛💛
Mungu ibariki yanga yetu ishinde ktk michezo yetu🙏
Inshaallah
Mungu naomba uipe yanga kibali chakupita salama njiyan hiii💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛💛
Amiin💚💚💚
Amina
Ameen 🤲🙏 Mungu ni mwema tutavuka inshaAllah
Amina🙏🙏
🙏
Mungu ni mwema kila iitwapo leo yanga mungu atufungue mungu hajawahi shindwa
Ikiwa timu zote hizo zimepa nafasi kwenye group stage maana yake ni nzuri lakini kuna bora zaidi ya zote ni bora hapo ni Young Africans timu ya wananchi. Tuweke mikakati ya uhakika na huku tukiomba Mungu awatunze wachezaji wetu na uongozi mzima. Hongera sana wananchi wote sasa tujiandee kuisupport timu mali itakapokuwa🎉🎉🎉
Mungu ibariki timu yangu ya Yanga💚💛💚💚 ipate ushindi hao wengine lolote liwakute
Tunawaamini sana na hatukondi tunanenepa tuu,ameen
Mungu utusimamie usituache baba yetu wa mbinguni tupate ushindi
All the best my team 💚
Mungu yu pamoja nasi hawa tunawatoa amini maneno yangu
mungu simama na wananchi wapate wanachokipambania😍😍😍😍😍😍😍😍
Mungu aijalie yanga yetu tuvuke atua Ii ya makundi
ameni ameni ameni
Tunaanza kucheza na Nan na je tarehe ngap 💛💚💛💚💛
26 au 27 nov,, al hilal
Bado hawajapangga
Mw /mngu atajaalia na Imani na timu yangu
Mungu atabariki Hao tunachapa wote
Imani ipo ushindi niwetu mungu yupo upande wetu
Eeh mwenyezi mungu tunakuomba ijalie yanga yetu ifike fainali
Mungu ibariki yanga isonge mbele ❤❤❤
Mungu ibariki yanga katika hatua hii
Amina daima mbele nyuma mwiko
Chama langu
Yanga yetu ni Bora sana MUNGU atutangulie tutafika mbali
Allah bless youngafrica Inshallah
Yanga bingwa💚💚💚💚💚
MC ALGER ni kisanga aisee 🔥🔥🔥🔥
YANGA SC TO THE WORLD WIDE tutafika mbali
Mungu tusimamie yanga tufike fainari.
Inshaallah tutavuka na kuendelea na mashindano kwa Robo final
Mungu tupe kibali cha Yanga kuweza kushinda kote kote
Kumbuka na timu nyingine zinamuomba Mungu huyohuyo azipe Kibali. Hapo sasa🤔
Kwahyo wewe humuombi Mungu kwakuwa wengine wanamuomba
Mungu 2naomba uwapenguvu wachezaji wetu wa yanga africa
Young africans oyeeeee!
Daima mbele nyuma mwiko,, tutaongoza kundi kwa uhakika👍
Mungu yupamoja nasi,hatujafika tunakotaka fika,Bali tunataka kufuka ,natunafika kwa uweza wa Mungu,Inshalha
Mungu atutangulie sisi ni mabingwa
Mungu tujarie kundi gumu sana
Mungu ni mwema, Hakika Akatusimamie Tuvuke Hadi Hatua ya Fainali
Mc Alger kuna Kiper Jr,Issa Mohammed Zougrana midle ya ball hawa watu natamani sana kuwaona kwa mara nyingine Tz ,
All in all Yanga ndo mjadala mkubwa saiv,East,south and central Africa 🔥🔥💪👏💯
Wananchiiii eeee tukaijaze mkapa mapema
Yanga atashinda mechi tatu , sare tatu....
Maajabu ni kwamba sare moja Itatokea nyumbani...
Tutashinda insha'Allah mechi zote daima mbele nyuma mwiko button 💛💛💛🖤🖤🖤💚💚💚💚
Kama unaamini maajabu yatatokea kwa yanga tujuwane kwa like 👉👍
YANGA bingwa 💛💚🙏
#daimambelenyumamwiko
#TheClubAboveAll
💚💚💛💛
Mungu ibariki yanga itoboe Hadi fainali
Nyuma mwiko kazi imeamia makundi 🙏
Nakutakia mafanikio mema ya ubingwa Young African daima mbele nyuma mwiko
Mungu atusadie
Kila la kher timu yetu 🔰🔰🔰🔰🙏🙏
MUNGU IBARIKI YANGA MUNGU IBARIKI TANZANIA AMIIN INSHALLAH
Naomba kujua nauli ya kongo mapema ili tujiandae maana mm uwa nasafiri nafamiria rwanda tulienda Ila tulikuwa atukujiandaa vzr
Amina mungu yupo nasi
Mwalimu usjali Allah atatujaalia na tutashinda nipo ktk visiwa vya ngazija
Mungu atutangulie kwa kweli.
Mwaka huo kwel una team nzuri toboaaaaa tuone utoooooooooo
Sawa mama.
Team yetu tunaiamini mungu awape nguvu wachezaji wetu pia wastuangushe .
@@mwinyimwaga540 yah hapo wachezaji has wamaliziaji kwenye nyavu wapambane kweli wabe Mungu awasaidie maana Sisi tunawaombea sana
Naamini tukijituma vizur na tukaisapoti timu yetu kwa nguvu zote tanaenda mpaka nusu fainal mwaka huu daima mbele nyuma mwiko!
Mungu ibariki yanga ibariki tanzania
Yanga timu kubwa sana hawatubabaishi hawa tunashinda game mbili moja tunasale mtaona wananchi game isha chezwa hiyooo😅
Ni group dume sana ila Yanga tutapita kwa kishindo kwenda Robo na kama unaamini gonga like za kutosha
God first 💚💛
Mpende BWANA MUNGU wako Kwa moyo wako wote, na umche yeye ukajiepushe na uovu
Mwenyez mungu atusaidie mpaka fainal
Mungu Ibariki YANGA YETU
❤❤❤❤ yanga mungu tufikishe
Yanga bingwa na finally tutafika inshallah
Sisi tunatamani kuwona young africans apa mujin kampala .na kuwona kapitano wetu aucho kama anacheza
Tupambane na zaidi tukimtanguliza Mungu
Kinachotokea sahiv mmeshonwa mdomo ujeuri umeisha
Young Africans ni mabingwa wa CAF champions league MUNGU aliye hai yupo upande wetu wananchi
Mabingwa wa supu
Kwa hapo sina mashaka nikiwa na chama hk pacome hk aziz mzengwe huogop
Ninaimani na timu yangu young African tutafuzu kufika robo fainal bila shaka.
Mungu ibariki yanga
Mungu tusaidie yanga bingwa
Mungu atusaidie
Mwenyekiti 🎉🎉🎉
Naomba mungu atusaidie tufuvu atua ya makundi
MUNGU isaidie YANGA ishinde mechi zote AMINAAA
Kila la Kheri Chama cha Yangu
Sisi tayr yanga tumepta kituwo robo inshallah mungu atatusdya
Duuh Mungu yu mwema ishanlaah
Hakika mungu mungu atasimama mwenyewe
Ni kipimo sahihi cha Timu kubwa YANGA BINGWA IMEKUTANA NA WAKUBWA WENZAKE
Group tata msijemkalidharau mkarnda kwa kujiamini sana so muwe makini mno
Hatuogopi. Wasitutiche. Yanga. Timu. Kubwa hatuogopi. Ng,ooooo
Nakubal semaji la caf
Kumbe nao waoga😂😂😂 yaan unafurahia kumkwepa mtu😂😂😂
nawaombea kheri nyingi mfike final msimu huu
Yesu tusaidie tuchukue ubingwa
Inshaallah tutashinda
Nakubar semaji kimsingi yanga inatakiwa kuonyesha ukubwa wake
Yanga bingwa CAF