NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO AELEZA MAENDELEO YA BWAWA LA MWALIMU NYERERE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 окт 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 31

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 Год назад +3

    mabingwa wa porojo 🤣🤣🤣

  • @rashidsimba3680
    @rashidsimba3680 Год назад

    Ukisikiliza wasomi wetu hayo maelezo unajiuliza kwanini tunashindwa kujenga wenyewe?

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 Год назад

    Ivi hamuoni aibu ,eti ukame na mvua zote zilizo nyesha mwaka huu maji yameenda wap?

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 Год назад +1

    bora MH BITEKO ulitatue hili swala la umeme,,maana nchi ipo gizani

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 11 месяцев назад

    Hapo naomba msimtaje mama atajwe magufuli pls pls pls

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 Год назад

    Ivi haya maji mbona kwa jpm yalikua hayapungui ameingia mama tu yameanza kupungua tunajua hii ni janja janja

  • @JofreyIsack-t1k
    @JofreyIsack-t1k Год назад

    Mhuuu sioleo watanzania wenzangu mm niko hapaaaaa

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Год назад +2

    Mbona hivyo vyanzo havikupungua enzi za Magufuli?

  • @rashidmoshi8438
    @rashidmoshi8438 Год назад +1

    Magu Hana zambi

  • @BarikiJohn-x3w
    @BarikiJohn-x3w Год назад +1

    Janja janja ya mama na wafuasi wake bado inaendelea kuelekea 2025

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Год назад

    Kwa nini tunatumia pesa nyingi namna hiyo wakati tungeweza hata ku-invest kwenye alternative solar energy na upepo? Maji ni sawa lakini wakati mvua zinakuwa adimu jua kwa kawaida lipo tu. Inatubidi mainjia wetu wafikiries nje ya box. Solar is cheaper in the long run and much more cleaner than hydroelectricity.

  • @wilsonjaphet5547
    @wilsonjaphet5547 Год назад

    Yani intention ya serikali
    Miradi imalizike karibu na Uchaguzi ili wapate pakujisemea

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 Год назад

    Kuna njia nying tu za kuwa na umeme wa kutosha,ajabu ss tunategemea umeme wa maji tu?je nchi za wenzetu wanatumia njia gan kuwa na umeme wakutosha?hii nchi sjui jaman nan alituloga?

  • @bharyasarbjit1187
    @bharyasarbjit1187 Год назад

    Mhe MD unam lipa vizuri sana Jv Arabs Main contractor ume check anam lipa sub contractor zake bada Ku tumia wao. Ujue kama haja lipa Becco Ltd 12B ya kazi Barabara kutoka kabiti mpaka Mloka wakati haipitiki kabisa ku lekea Nyerere Dam 2020.

  • @conradolomi9580
    @conradolomi9580 Год назад

    Bongo uwongo mwingi....na Mh. Biteko nae amezamia humo humo. Tatizo la sasa linahusiana na mvua,JNHPP imo kwenye mvua kama kawaida ...huo umeme wa uhakika unatoka wapi?

  • @kiatu
    @kiatu Год назад

    Nadhani kasi ya kuboresha infrastructure ya usafirishaji umeme huo inaenda vizuri

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 Год назад

    Mimi kuhusu mradi huu Sina maneno safisana jpm kwani uwezikusaaulika milele

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Год назад

    Wafuge na samaki humo kama sato kambale nk

  • @servantofalmightygoddranth2511

    Kazi ya JPM

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Год назад

    Vizuri.

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 Год назад

    Baba wewe ndio ulikuwa tegemeo letu umatuacha Wanao na upweke tutaenderea kukuk kumbuka kwa mema ambayo umetuachia

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn Год назад

      Watanzania acheni unafki. Mnapaswa kuzitambua na juhudi za mama Samia. Magufuli kamwachia hii miradi mikubwa sana Mama wa watu anajitahidi kuiendeleza lakini hakuna anayemuombea dua wala kumpa moyo

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 Год назад

      @@Herson-yw6cn wapo wanaotambua jitihada zake ila Jpm wanamkumbuka kwa sababu alikuwa mwanzilishi

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 Год назад

    AMINA

  • @masoudymichael
    @masoudymichael Год назад

    Hivi saizi waziri mkuu ana kazi gani? Naomba ufafanuzi🎉

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 Год назад

      Kwani unaelewa maana ya naibu Wewe? Kuna makamo wa Rais ni msaidizi wa Rais kuna manaibu waziri wapo wengi tu manaibu makatibu hao Wote ni wasaidizi

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 Год назад

    Huu mradi Kwan ilkua uishe lin jmn