@QchiefuBarnaba-u3q sema wewe! Kwani machawa hawapo?! Hawajulikani!? Nambie wapi ulishawahi kumsikia AKILALAMIKIA Wachezaji au uongozi! Yeye ataumia timu ikifanya VIBAYA na atafurahi timu ikifanya vizuri! He is a true supporter! Huyu SIO kisugu au GB
@@QchiefuBarnaba-u3q soma tena! Ulishawahi kumsikia AKILALAMIKIA Wachezaji au uongozi?? Yeye anaenda na club ,kwa shida na Raha! Wapumbavu ndo WANAWEZA kumlalamikia! Ushwahi kumuona Stesheni au vijiwe vya kahawai popote AKILALAMIKA ! No! He just supports his club! Na hiyo ndo KAZI kubwa ya mwanachama,kuilinda na kiitetea klabu! Kila game yupo( majority of games) walalamikaji wangapi wameenda Lubumbashi? Si wapo wanasubiri matokeo ndo waanze kubwabwaja!?
🎉🎉
Huyu ndo shabiki ! HUMSIKII AKILALAMIKIA UONGOZI,WACHEZAJI AU Nani,he just supports his club when we win ,lose or draw! Come rain come si!
Tulia baada mwezi mmoja mtaanza kumsema nyinyi kua nichawa
@QchiefuBarnaba-u3q sema wewe! Kwani machawa hawapo?! Hawajulikani!? Nambie wapi ulishawahi kumsikia AKILALAMIKIA Wachezaji au uongozi! Yeye ataumia timu ikifanya VIBAYA na atafurahi timu ikifanya vizuri! He is a true supporter! Huyu SIO kisugu au GB
@errydeo8865 mtakuja kumkataa muanze kusema mbona anawatetea viongozi
@@QchiefuBarnaba-u3q soma tena! Ulishawahi kumsikia AKILALAMIKIA Wachezaji au uongozi?? Yeye anaenda na club ,kwa shida na Raha! Wapumbavu ndo WANAWEZA kumlalamikia! Ushwahi kumuona Stesheni au vijiwe vya kahawai popote AKILALAMIKA ! No! He just supports his club! Na hiyo ndo KAZI kubwa ya mwanachama,kuilinda na kiitetea klabu! Kila game yupo( majority of games) walalamikaji wangapi wameenda Lubumbashi? Si wapo wanasubiri matokeo ndo waanze kubwabwaja!?
Huyu ndo shabiki bora
Sawa mchungaji
Mzee wa utopolo endelea kutupa imani
Mzeeee wa utopolo
huyo jamaa mm namuonaga kama chizi special hivi ni comedy fulani hivi
Wewe ndo chizi lakini sio huyo Mzee wa utopolo