SIMBA IMEPIGA PASI MILIONI TATU NA NUSU/HATA WALIO FUNGA MAGOLI/SISI SIO WA KUCHEZA LIGI YA HAPA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 29

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 3 года назад +4

    Huyu jamaa kweli Simba blood

  • @mosesjonston2690
    @mosesjonston2690 3 года назад +4

    Jamaaa anafurahishaa

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 3 года назад +11

    Najikutaga tu namuangalia huyu jamaa😂😂

  • @marwawilliam3648
    @marwawilliam3648 3 года назад +6

    Kweli ukimbeba chizi....

  • @ayubleo
    @ayubleo 3 года назад

    Uyo mzee namkubali sana

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 3 года назад +9

    Kati ya mashabiki wa Simba huyu jamaa anajua anapamba chama

  • @kaizamgawa3125
    @kaizamgawa3125 3 года назад +6

    Huyu mzee namkubali na nusu

  • @mohammedgugan3935
    @mohammedgugan3935 3 года назад +4

    Huyu jamaa na mfananisha barnaba john matuta anaongea kwa shangwe zote

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 3 года назад +5

    Huyu Jamaa huwa nampenda sana ana shombo htr...hahaaaa.eti ukimbeba chizi lazima uchafuke..Eti juice Maji ya Betri khaa..Barbra anaongea kama Malaika..SUMA JKT NEW PLAN B..

  • @jacktonmakau3397
    @jacktonmakau3397 3 года назад +5

    Daah! Huyu jamaa hatari

  • @dadyidrismayten1967
    @dadyidrismayten1967 3 года назад +2

    Anaongea point

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 года назад +3

    Bange bana

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 3 года назад +3

    Kwelii wamekuwa watabiri

  • @dgt6303
    @dgt6303 3 года назад +3

    Huyu mwamba namkubali sana

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 3 года назад +5

    Jamaa kiboko ya yanga huyu hahahahh

  • @nrwawanndeny7394
    @nrwawanndeny7394 3 года назад +6

    Jamaa yuko vizuri ila kuna mahali anachapia kiswahili.. Anasema viongozi tuliokua nao badala ya viongozi tulionao!

    • @khalidbalala7753
      @khalidbalala7753 3 года назад

      Nenda basi ukafundishe kiswahili chuo kikuu

    • @khalidbalala7753
      @khalidbalala7753 3 года назад

      (Tuliokuwanao sisi simba) ulikuwa wataka aseme tulionao sisi simba sio kasome kiswahili wewe

    • @khalidbalala7753
      @khalidbalala7753 3 года назад

      Umemsika mtangazaji wamuonatu shabaki wa simba(tangu simba ilivo umbwa) umemsikia!!??

    • @nrwawanndeny7394
      @nrwawanndeny7394 3 года назад

      @@khalidbalala7753 vipi mamiloo mbona unaniraukia hivyo? Au ushanipenda nini! Nitext tutaftane mama

  • @khayratchigalika3029
    @khayratchigalika3029 3 года назад +1

    yani huyu kaka ananichoma moyo wangu yani maneno yake tutamalizana tarehe 8,yani natamani huyo kaka asihojiwe yani natamani kulia

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 3 года назад +5

    Namkubal sana uyu

  • @djrichsingelifreva8245
    @djrichsingelifreva8245 3 года назад +3

    Nguvu mojaaaa 🤣🤣🤣

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 3 года назад +5

    Jamaa ananipa furaha hata nikiwa na majonzi

  • @mrjagenmuuz5704
    @mrjagenmuuz5704 3 года назад +3

    Aoo wazungu wanaojua mpıra hawapıgı ızo pası mılıonı tatu na nusu

  • @djrichsingelifreva8245
    @djrichsingelifreva8245 3 года назад +2

    Daaah jamaa kanifanya nicheke sana

  • @yaccinymsongela9915
    @yaccinymsongela9915 3 года назад +6

    Huyo jama anaongea mpka anatia asira ximba raha cn