Zifahamu faida kuu 5 za kiafya za kula Maboga

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 12

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 9 месяцев назад +1

    Nimefurahi sana leo kukutana fahari media na maelezo.mazuri boga tunda nilipendalo. Tuliletee aina nyingine nyingi ulizo nazo kwa faida ya afya zetu. ASANTE

    • @SukaMediaTZ
      @SukaMediaTZ  9 месяцев назад

      Ahsante sana tupo kuhakikisha unapata kile unachokihitaji hasa kukuletea habari kwa ajiri ya kulinda na kuboresha afya yako.

  • @cecile2773
    @cecile2773 5 месяцев назад +1

    Je hayana madhala kwa mama mjamzito Maan nakula sana mpaka naogopa please nijibu

    • @SukaMediaTZ
      @SukaMediaTZ  5 месяцев назад

      Hakuna madhara ya maboga kwa mjamzito usiogope kutumia

  • @Mashaka-i3j
    @Mashaka-i3j 8 месяцев назад +1

    Asante kwa elimu hiyo.

  • @JaneyChigga
    @JaneyChigga 3 месяца назад +1

    Hiv maboga unakula na maganda yake au yanamenywa?

    • @SukaMediaTZ
      @SukaMediaTZ  3 месяца назад

      Ni vizuri zaidi kula na maganda

    • @JaneyChigga
      @JaneyChigga 3 месяца назад +1

      @@SukaMediaTZ thanks.

    • @SukaMediaTZ
      @SukaMediaTZ  3 месяца назад

      @JaneyChigga 🙏

  • @SUZANASUZANA-ku3jk
    @SUZANASUZANA-ku3jk 5 месяцев назад +1

    Wengine ata mbegu twala