Marioo: Harmonize, kazingua, akitoa nyimbo sijali, Mimi ndo Mfalme kwa sasa, Mimi Mars ananituliza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 208

  • @dankerzpromohouse9106
    @dankerzpromohouse9106 3 года назад +7

    Kafanana na mondi sana

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 3 года назад +27

    Mario is my best.. Sauti yake, nyimbo zake very romantic and classic. Special. Kila la kheri Mario. VERY GOOD MUSIC🙏💕

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 3 года назад +3

    Marioo kweli ni mfalme wa zama zake. Ngoma zake zote ni hit.

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 3 года назад +4

    Kwa kusikizia, kweli .. nimeskizia, mtangazaji mimi nimesahahu jina laki.. 1 on 1, WALAY UKO POA na izo magezti 🇰🇪🇺🇸🇺🇸🙏 bo worries watu wakuje!! But bro!! U gud

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 3 года назад +4

    Lil Ommy I like your professionalism, unampa heshima msanii napenda namna ya masuala unavouliza, umecover maisha na mambo mengi ya marioo.
    Hongera kwa muonekano mzuri wa studio yako, rangi nzuri zinavutia, nice shots and details throughout the interview plus your dress code looking very smart. Wishing you more success. Very impressive 👏👌

  • @czarniq4598
    @czarniq4598 3 года назад +4

    Napenda sana kazi yako ,APA mie pia mwanamziki ila bado kuhit bro,,, naomba sana Mungu ajaalie niweze kufanya kazi nawe bro, from Kenya

  • @mimihuyo8239
    @mimihuyo8239 3 года назад +3

    Namkubali sana Mariooo

  • @swaggzboe5617
    @swaggzboe5617 3 года назад +2

    Dah salute watu wanahisi ukijua tu umetoboa mashabiki Wana tulaum sana

  • @zenaramadhani5958
    @zenaramadhani5958 3 года назад +2

    Unik voice mario hta mtu hawezi iba saiti

  • @afaqalikhtyearrecruitment4999
    @afaqalikhtyearrecruitment4999 3 года назад +2

    LIL OMIIIII....MSAFI KAMA MSAFI.....MZAZI KIZAZI

  • @afaqalikhtyearrecruitment4999
    @afaqalikhtyearrecruitment4999 3 года назад +2

    INTERVIEW NA DIAMOND PLATNUMZ NI LINI..........................WE CANT WAIT ....# OMMY THE HOMMY PRESECRNTER NUMBERO UNO

  • @clevancembilinyi8020
    @clevancembilinyi8020 3 года назад +2

    I see a lot of resemblance with Diamond, and that is not something to take lightly. This guy is gold, done so much, and there is a lot more in store for him. ✨🙌🏾

  • @kiberit_914
    @kiberit_914 3 года назад +2

    Show kali Sana kuanzia uongeaji unavyohost mpaka mazingira ya studio mazur Sana Ni creative kubwa Sanaa

  • @moudymachimbo1396
    @moudymachimbo1396 3 года назад +3

    Sas marioo wew ujilingamishe na harmonize huo so utoto kabisa konde boy is not ur level we pambana na akina whozu sio hizo level keep respect bro.

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 года назад +1

    Mario namuerewa mno na nyimbo zake mashallah kalibuni Oman

  • @saymonithebest1283
    @saymonithebest1283 3 года назад +2

    Show Kari marioo

  • @brianfeel3570
    @brianfeel3570 3 года назад +6

    Mario you are a good man met you at Dar kwa Kimambo on the Beat I was recording three years ago ukanisaidia sana kwenye kuimba na pia songwriting.Ulikuja studio na Nandy.Keep going brother.You are a star.
    I am still Recording to date and waiting for my time.

  • @rahimchilumba9708
    @rahimchilumba9708 3 года назад +1

    Chege + Diamond = Marioo,,,,Ni msanii mzur ila anapenda sana kujisifu

  • @zuhuramuyinga5953
    @zuhuramuyinga5953 3 года назад +1

    Nyimbo nzuri sana za Marioo big up

  • @issakwisamwaiseje9294
    @issakwisamwaiseje9294 3 года назад +5

    Kijana WA kindengeleko anafanya Kazi vizuri #marioo. Lilommy unajua kutafuta mafundi WA Mziki.

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 3 года назад +7

    Hongera sana BRO LilOmmy kwa ubunifu wako.Hata PIPA LA MAJI/MAJI vijijini linaweza kuwa MEZA STUDIO. BIG UP SANA. UNAJUA KUCHEZA NA MAZINGIRA. 👍👍🙏🤝.

  • @kennix6457
    @kennix6457 3 года назад +8

    Lil ommy una umarekani mwingi sana ni poa ila achana na konde boy humuezi ama kumfikia kaka wewe ni radio presenter kuwa neutral io ndo kuwa mwana redio bora

  • @nyangaotv8555
    @nyangaotv8555 3 года назад +5

    Labda ni kweli Marioo anajua! Ila kujiita King wa Generation hii baada ya kina Aslay sio kweli!! Wapo wakali zaidi yake kuanzia hitsong, views , sport light and all staff..... Alaf MVP Kuna wakati uache unazi bro kubali tu MMAKONDE anajua Sana huwez mlinganisha na kina Marioo alaf hastling zake Havy compare na UTOPOLO wenu huo

    • @shanisigwa8910
      @shanisigwa8910 3 года назад +2

      Hustle zp za konde au umesahau katoka kwenye mkono wa Simba? Marioo kajitoa mwnyw na hana skendo za kijinga kama kununua viewers nk

    • @fazilmalumalu2113
      @fazilmalumalu2113 3 года назад +1

      @@shanisigwa8910 kutoka kwenye mkono wamutu ndo kupotea haraka ila bado yupo, jaribu kujifanya shabiki wa harmonize uonje vita mpaka sasa ingali, just pretend to be his fun and see

  • @ayoubmhavi9907
    @ayoubmhavi9907 3 года назад +2

    Marioo one love mabroooo...💕💕

  • @Mahirsheikh10
    @Mahirsheikh10 2 года назад +1

    Background music inaharibu interview

  • @jollypeter6769
    @jollypeter6769 3 года назад

    marioo is such a good artist..he got such a vibe ..he deserve the best

  • @proper_maids_wedding
    @proper_maids_wedding 3 года назад +1

    Nafikiri hii shoo itakuja kuwa kali sanaaaaaaaaaaaa siku chache zijazo🔥🔥🔥

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 3 года назад +1

    Mario uko vizuri I wish ungeimba na Kiba

  • @vitalresspeter7295
    @vitalresspeter7295 3 года назад

    Swahili radio iko njema sana kwangu mimi binafsi nimefurai sana hongeara lil ommy good job may brather

  • @aliomar1663
    @aliomar1663 3 года назад +1

    Nakubalii bitiii soo ya kinyongee imesimma vyemaaa broooo big up

  • @lm6373
    @lm6373 3 года назад +3

    Huyu hatta simjui from oman mmmh

  • @charlesmasele6327
    @charlesmasele6327 3 года назад +2

    Lil ommy TZ 🇹🇿 nakukubali Ile mbaya kinoma # TAMBWEEEE 😁😁 👊👊 Kizazi brooo.

  • @pondaboy9204
    @pondaboy9204 3 года назад +6

    konde so saiziyenuu munapenda kufanya mtu wa kumuweka kweny mamb yenu iy

  • @georgegorogolio7908
    @georgegorogolio7908 3 года назад +1

    Big up marioo nakukubari sana

  • @richlymo
    @richlymo 3 года назад +1

    Ommy achana na konde boy harmonize ni levo za njeeee

  • @generallylee1166
    @generallylee1166 3 года назад +1

    Lil ommy the king of interview 😂😂😂 & Marioo in the building 🏫🏫🏫 nakubal san aisee ni 🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪

  • @issaeagleboy2321
    @issaeagleboy2321 3 года назад +3

    Huyu jamaa mbona anafanana na diamond

  • @sendimbwega1645
    @sendimbwega1645 3 года назад +10

    Mario ndie mfalme PAMOJA na lavalava 👍👍🤫🤫🤫🤫🤫🤫

    • @richlymo
      @richlymo 3 года назад +2

      Mfalume wa buzaa

    • @mekeyamusa3523
      @mekeyamusa3523 3 года назад

      @Richie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @danitowamalwa3924
    @danitowamalwa3924 3 года назад +3

    I know you are de best than him big up buddy

  • @malackwilliam4974
    @malackwilliam4974 3 года назад +1

    Tsha sana ommy2

  • @zephaniazacharia519
    @zephaniazacharia519 3 года назад +2

    Uyu Dogo namuelewa sana SKU izi ana kaz nzur sana

  • @czaraymond4728
    @czaraymond4728 3 года назад +1

    Lilomy unafanya poa sana mzeebaba sauti imetulia sana

  • @msasaniboyrais598
    @msasaniboyrais598 3 года назад +1

    Upo vizuri

  • @amosmasamaki8950
    @amosmasamaki8950 3 года назад +2

    I SEE DIAMOND INSIDE MARIOO THE WAY HE TALKS SWAGS AND EVERYTHING #ONELOVETOTOBAD

    • @starford
      @starford 3 года назад +1

      I think they look alike too

  • @montanaprime
    @montanaprime 3 года назад +2

    Umuongeze ammy gal kwenye podcast. Maswali yake ni mazuri sana

  • @monanka_
    @monanka_ 3 года назад +2

    Marioo is so motivating keep up G ❤🎶🎶💯

  • @prince70863
    @prince70863 3 года назад +1

    Show nondo Sana

  • @Dj2nyi
    @Dj2nyi 3 года назад +2

    Inspiration story

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 3 года назад +1

    Show Kali Sana Love..the MVP Always Kindly Background Sound Balance it Marioo🙌🏾❤️❤️❤️

  • @kingahaz1091
    @kingahaz1091 3 года назад +1

    The MVP always on Top

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 3 года назад +1

    Tupo p1 kazi nzuri bro

  • @mohamedidd7385
    @mohamedidd7385 3 года назад +3

    Chimbo jipya kwa story zote kali za burudani🔥🔥🔥🔥🔥

  • @topselaz6859
    @topselaz6859 3 года назад +1

    Omar mwanga vs omar tambwe bonge la interview 🔥🔥🔥

  • @habillyboy8186
    @habillyboy8186 3 года назад +1

    Next me

  • @Gusiivoice
    @Gusiivoice 3 года назад +2

    Nice one lil ommy

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 3 года назад

    Kila lakheri Mario 🔥 🔥 zachu 🔥 🔥

  • @zawadimasula6253
    @zawadimasula6253 3 года назад

    Uko vizuri ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @siliviasimon7970
    @siliviasimon7970 3 года назад +1

    Interview Safi na uzuri wa studio unachangia parefu

  • @sophieadam8920
    @sophieadam8920 3 года назад +2

    Marioo tunataka kolabo na kibaa🔥🔥

  • @bakarihassani960
    @bakarihassani960 3 года назад +6

    Marioo ww noma kwel kama rayvanny na diamond achana na harmonize ajui mziki sawa marioo ww number nne aki toka diamond rayvanny na mbosso

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 3 года назад

      Acha ujinga marioo umfikie hormonize kwa lipi, achan n hormonize si leval yko

  • @immamk_4444
    @immamk_4444 3 года назад +4

    Unaamua tu unachukua millions 7 zako unazipachika kwenye meno

  • @Manlike96
    @Manlike96 3 года назад

    Daaaah nimecheka😂😂 lakini cause hiyo kitu imeshawahi kunikuta

  • @kottaflavour7055
    @kottaflavour7055 3 года назад +1

    The MVP and toto bady

  • @fazilmalumalu2113
    @fazilmalumalu2113 3 года назад +4

    Yaani mumefaham kua msipoweka jina ya Harmonize kwenye interview zenu hatuwezi ku view😊

  • @thugboytz387
    @thugboytz387 3 года назад +1

    2gether

  • @Informationtz
    @Informationtz 3 года назад

    Mmefit kwenye story yenu the best mussic safiiiiii🔥🔥🔥😁🤝🙏

  • @israellaizer5122
    @israellaizer5122 3 года назад +1

    Noma xana

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 3 года назад +2

    💥💥

  • @muzyexperience
    @muzyexperience 3 года назад +2

    #MARIO 🎬 enjoy your life My Gee

  • @passakapassaka3122
    @passakapassaka3122 3 года назад +1

    🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 noma sana

  • @is-mailh.makame5420
    @is-mailh.makame5420 3 года назад +4

    Lil Ommy ww mkali lakini nakushaangaa sana au sijui unaogopa mana wasafi sijui ata ulienda kufanya nn ndipo ulipo potea bt now unarud hewani. Wewe unaweza lakni hujiamini

    • @mussanassoro790
      @mussanassoro790 3 года назад

      Hajiamini vipi

    • @is-mailh.makame5420
      @is-mailh.makame5420 3 года назад +1

      @@mussanassoro790 inakuakuaje presenter kama yy kwenda kutafta media atangaze Wakati alipokua mwanzo anasikikika na kupata tunzo akaenda sehem ndio ikawa tabu sana kumckia mm binafc sikua namsikiliza saiv karud na hii ishu watu wengi wanamfatilia so... Bado hujafaham tu

    • @gilbertfuria5817
      @gilbertfuria5817 3 года назад

      Wasafi watabeba hii akaunti, Kama ya maulid, mavoko

    • @barakasunday3286
      @barakasunday3286 3 года назад

      @@gilbertfuria5817 usicho kijua nikama usiku wagiza wasafi nibrandi kubwa hakuna mtangazaji asiependa kufanya kazi wasafi liliomi anakipinda anafunya pale wasafi nibonge likipindi fatilieni mtanielewa

  • @pondaboy9204
    @pondaboy9204 3 года назад +2

    wasengee nyingii

  • @glorianikiza92
    @glorianikiza92 3 года назад +3

    Tunataka intervieu Na konde

  • @Tozzyclever
    @Tozzyclever 3 года назад +2

    Noumaaaa shiiiiii..

  • @clintonystarson7121
    @clintonystarson7121 3 года назад

    Mengine hayaangalii interview yanalalama tu harmonize mbona amnA ubaya wowote

  • @pogbajr7644
    @pogbajr7644 3 года назад +1

    Kweli nkbl

  • @mwarabuhassan2734
    @mwarabuhassan2734 3 года назад +6

    Mario angekuwa harmonizer Wala asinge sikika Vita alivyokuwanavyo harmo uki mbebeSha Mario anakufa kimuziki msanii mchanga Sana kuweka meno ya bandia ndio anajikuta mkubwa😂😂😂wabongo acheni uongo

  • @manexking
    @manexking 3 года назад +6

    TEACHER KONDE A.K.A WI-FI CONNECT 😄😁😄😁

  • @Kelvin_Kalama
    @Kelvin_Kalama 3 года назад +1

    🔥🔥 nakosaje kwa mfano.. @lil ommy, king of interviews

  • @lm6373
    @lm6373 3 года назад +3

    Abajisifu saana ngoja usifiwe

  • @mwendwasambay1372
    @mwendwasambay1372 3 года назад +2

    33;20 MIMI MARS

  • @Manlike96
    @Manlike96 3 года назад

    Andika verse wee mwandishi vipi😂😂 ilo neno hata mm silisaau

  • @salumrashidjr
    @salumrashidjr 3 года назад +1

    kaka ads axee
    ads nying mnoo

  • @Dice_tz
    @Dice_tz 3 года назад

    My Brother Baddie♥️🔥🔥🔥

  • @johnchatanda6759
    @johnchatanda6759 3 года назад +1

    Tuko na Bia tamu asa ivii

  • @orlandomajid7077
    @orlandomajid7077 2 года назад

    Big shout out to ABBAH PROCESS

  • @abrashizoajae8230
    @abrashizoajae8230 3 года назад +1

    napenda interview

  • @officialmartin4432
    @officialmartin4432 3 года назад

    Broo saport Alikiba

  • @barackkivuyo3945
    @barackkivuyo3945 3 года назад

    Taften mada za msingi achen kumchonganisha kila mtu na Harmonize

  • @rasulseleman4993
    @rasulseleman4993 3 года назад +1

    Kizazi sana

  • @iganebalume4982
    @iganebalume4982 3 года назад +2

    courage le pot moi je vient de la république démocratique du Congo

  • @1THEBRAIN
    @1THEBRAIN 3 года назад +2

    Huyu dogo ni choko sana 🤣🤣🤣 eti yy ni king kwa mziki gani yani hyo mama amina ndio ngoma kubwa yani wimbo ukiimba watu wanaitikia kumaamako basi ndio umeona wimbo mkubwa 🤣🤣🤣

    • @starford
      @starford 3 года назад

      Eti eti. Si level za akina Ibraah huyu

  • @selesng624
    @selesng624 3 года назад +3

    Makn bro nymbo zko kaliii

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 2 года назад +1

    My no 1 Tanzania

  • @maleek11flacko
    @maleek11flacko 3 года назад +4

    Wachana na harmonize wewe

  • @chotaramswahili2835
    @chotaramswahili2835 3 года назад

    And staff like that🤣😂

  • @aliclassic8468
    @aliclassic8468 3 года назад +2

    Totobad

  • @geraldgerrytrump254
    @geraldgerrytrump254 3 года назад +1

    Mario unafanya vizuri ila humuoni harmonize hata chembe. Stick to your lane. Unafanya vizuri pambana

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 года назад +4

    Misleading headline

    • @starford
      @starford 3 года назад +1

      They always are bro. It pisses me off

  • @gemstoneofficial1438
    @gemstoneofficial1438 3 года назад +3

    Katika Kila nyumba kumi mtaani nyumba 8 zinapiga nyimbo za marioo kwa takwimu hzo marioo ndo msanii namba moja anayeongozwa kusikilizwa daresalam tofauti na wasanii wakubwa nyimbo zao watu wanaishiya kuzitazama tu RUclips na kuzistrems Ila mtaani hawazipigi 😁