Kutoka Saudi, unanibari kweli, mimi Nina Yesu, ndani yangu amenitendea mengi kwanza hapa nilipo amewanyamazisha kweli nilikuwa Sina amani Sai nko sawa🙏🙏
Waaaa ameenii mchungaji,, jaman waniua na kicheko na majibu ya Yesu,, barikiwa Sana mchungaji, mimi silali mpaka nipate dozi ya usiku ndio nilale,, barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu aliye hai
Kutoka Saudi, unanibari kweli, mimi Nina Yesu, ndani yangu amenitendea mengi kwanza hapa nilipo amewanyamazisha kweli nilikuwa Sina amani Sai nko sawa🙏🙏
Oh nakupenda sana mtumishi wa Mungu wahubiri injili ya kweli kabisa🙏🙏🙏Mungu na akubariki na akuinue viwango vingne
Mungu nisaidia sana, God bless U
Waaaa ameenii mchungaji,, jaman waniua na kicheko na majibu ya Yesu,, barikiwa Sana mchungaji, mimi silali mpaka nipate dozi ya usiku ndio nilale,, barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu aliye hai
Injili hii ya leo duu!!
Karibu tena na tena,, 🙏🙏
Nakupenda bure Babaaa
Tumebarikiwa na Tumefunzwa kweli kweli.....
nakukubali mchungaji mgogo
HAKIKA wewe ni mwinjilisti wa Mungu hufichi Ata kidogo unagonga kungonga,, kila mtu apambane na msalaba wake mwenyewe
Asante
Karibu tena na tena
Am blessed
Amen
Mucungaji ubarikiwe sana
Pastor ubarikiwe Sana yaani unanibariki Sana kutoka busia mie naitwa Herman ochudi
AMEN 🫡
Is this not deliverance church umoja??!
Yes it is.
amen