KIGOGO MADINI AINGIA MTEGONI KIRAHISI, MAKONDA AMVAA MBELE YA WANANCHI "HAMNA KITU, WAULIZE VIZURI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 18

  • @FernandoalmeidaAlmeida-iv5sj
    @FernandoalmeidaAlmeida-iv5sj 22 дня назад

    Makonda mungu akupe maisha maarefu sana

  • @thomasmollel9465
    @thomasmollel9465 22 дня назад

    Blessed Rais wetu mtarajiwa

  • @amanbeyanga8055
    @amanbeyanga8055 17 дней назад

    Halmashauli wanaleta shida kwenye mfumo wanachukua 0.3 kama service levy na wanakaa barabarani na kutoza tena ndio wanaotengeneza double taxation

  • @amanbeyanga8055
    @amanbeyanga8055 17 дней назад

    Huyo mkaguzi msaidizi sio kosa lake shida ipo kwenye serikali za mitaa kufanya double taxation.

  • @MwanaishaSiri572
    @MwanaishaSiri572 22 дня назад

    Hoyeeee

  • @goodluckswai7496
    @goodluckswai7496 22 дня назад

    Komedi

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 16 дней назад

    Tumakamuliwa na SERIKAL iliyo chin ya chama CHAKO ulikuwa katib mwenez

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 22 дня назад +1

    Jembe la mama Samia oeeeee nimeanza kuipenda CCM nilikua sipendi kabisa.. lakini makonda umenifanya niwe mwana cccm

    • @LukasMabena
      @LukasMabena 22 дня назад

      Pepo awez kutoa pepo so haujui tu

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 20 дней назад

      Ndio hao hao wenyew kwa wenyew Bora angekuwa chama kingine

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 22 дня назад

    Hii nchii imeoza hembu angalia watuu walivo nakero kero ya waziri wa arizi anasikiliza mkuu wamkoa kweli sijui tutafila wapi

  • @deusntobi6682
    @deusntobi6682 22 дня назад

    Hapa huyo afisa yuko sawa kabsa sema makonda haelewi mfumo wa hesabu za madini.

    • @ThomasfrancisMvella
      @ThomasfrancisMvella 21 день назад

      Maana ya kuwa mtaalam ni kuelezea na kueleweka.....sasa unawezaje kuwa mtaalam na usiweze kuelezea umma

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 22 дня назад

    Piga kazi rais wangu makonda,wewe ndiyo mkombozi wa taifa hili

    • @section8ight174
      @section8ight174 20 дней назад

      Stop looking for an outside saviour, it starts with YOU!! You start making a change in your life & it creates a domino effect! Outside saviour is the effects of religion on the masses. Don’t shoot the messenger!!

    • @DoreenMwanga-dg7xp
      @DoreenMwanga-dg7xp 20 дней назад

      Ndo nini umeandika sijaelewa​@@section8ight174

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 16 дней назад

    Hiyo hiyo bendera inashuka kila wakat imekuwa mpanda mlima😅😅