Wow Dorian kaend kw baba mkwee wakeee 😍😍😍😍 wachaa wee bado mzee Joseph kwendaa tena kw Dorian kw ajili ya Marko alelelealeeeeee ngja nipige vigele2 miee naona ndoa hzooo znanukiaaa
Marlene nenda kwa 🐱 lady atakupokea kama mwanae na atafurahia sana pole ila nivizuri umejifunza ahsanteni sana sister Tina kwa kuzidi kutuletea mafunzo nimejifunza mambo mengi sana kwa hizi vipindi zote nawapenda muno na mungu azidi kuwa linda na kuwainua 💞🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
🤣🤣🤣🤣🤣 Joyce n Amina hta mkiunganaaa bdo hamtotokaa hpoooo magereza,,marlin pmbna n maish yako utjua unaenda ishi wapii n vipii ,,huyu mam Helen ana tamaa jmn ety mali ziandkwe jina lake kisa ye mkwee w Marius 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daah kuwa n mam km huyu bora kuwa yatimaa daah ni mtihani kwelii saaf sanaa Helen muulize aseme vzr zile za mwanz alizpleka wapii mbna hazjamtosh???
Mmmmm huyo mma hereni hafai
Wow Dorian kaend kw baba mkwee wakeee 😍😍😍😍 wachaa wee bado mzee Joseph kwendaa tena kw Dorian kw ajili ya Marko alelelealeeeeee ngja nipige vigele2 miee naona ndoa hzooo znanukiaaa
Hivi ya 114 imekosewa au ipo 114
Marlene nenda kwa 🐱 lady atakupokea kama mwanae na atafurahia sana pole ila nivizuri umejifunza ahsanteni sana sister Tina kwa kuzidi kutuletea mafunzo nimejifunza mambo mengi sana kwa hizi vipindi zote nawapenda muno na mungu azidi kuwa linda na kuwainua 💞🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
Amina na Joyce piganeni kwanza muoneshane ushind😄😄😄😄
Refa nipo hapa wambie waanze
Nummer to
Acha leo niwaadikie ki Norway🤣🤣🤣
Ok
Rebc🤣🤣🤣🤣 hlo duka litakufaaa maan kila ktu atakulaa loooh anawaza mamikatee tyuuu,,happy tamaa ishakuingia we ulitk mtoto wako asadifu vipii wakt huna zuri hta mojaaa analowez sadifu
Ifike muda Rebecca akili ikue aturie afanye vitu vyamaana
Happy namwanae 🔥🔥🔥🔥🔥
Dorian anaenda kuoa Hehehe Amina utafia gerezani kwa kumsubiri dorian
Huyu glodia usikute huyo ndio babako mzazi
Yaani umewaza km mimi,mama yake atatwambia
Claudia chunga isiwe huyo ndio babako muzazi
😂😂😂😂😂sijui itakuaje km babaake
@@rahimaaaaa5682 itakuwa km kibadure tu
🤣🤣🤣🤣🤣 Joyce n Amina hta mkiunganaaa bdo hamtotokaa hpoooo magereza,,marlin pmbna n maish yako utjua unaenda ishi wapii n vipii ,,huyu mam Helen ana tamaa jmn ety mali ziandkwe jina lake kisa ye mkwee w Marius 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daah kuwa n mam km huyu bora kuwa yatimaa daah ni mtihani kwelii saaf sanaa Helen muulize aseme vzr zile za mwanz alizpleka wapii mbna hazjamtosh???
Pambe si pambe doria kafika ukweni mashallah
Dorian mambo ni moto
Dorian nababa mkwe nime penda❤️❤️❤️❤️🙏
Mambo ni 😜😜
Debora duka la kula kula halimfai, abadilishiwe biashara atafilisi
Mambo yanaiva
No tatu 👍❤️
Wakwanza
Dzadziii🤣🤣🤣
😆
114 sijaiona