NARUDI JELA PART 1 STARING MKOJANI KIRANGASO TINY WHITE MK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 май 2020
  • #narudi jela#comedy#bongo muvi
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 194

  • @Dougie_machine004
    @Dougie_machine004 4 года назад +56

    Leo nime wahi acheni zenu nipeni like💃

  • @suleimanali9051
    @suleimanali9051 4 года назад +59

    Hapaaaanaa km unamkubali mkojani like yako please twende sawa

  • @nahdamohammed6201
    @nahdamohammed6201 4 года назад +54

    pia ningeshauri hiyo nembo hapo kat kat mungeiondosha hapo haioneshi vizur ni ombi tu au vipi wenzangu jaman

    • @mdigokhan8227
      @mdigokhan8227 4 года назад +5

      Nahda Mohammed watu wanakopi sana na wanaweka kwenye account youtube zao Kwahio hio nembo ni kama hati miliki pia inafanya mtu akiiba hio video akiweka kwake inakufanya we Mtazamaji uone hio video imekopiwa na jina hilo unaliona ivo itakufanya uende ukatafute account sahihi...Mfano kuna mtu humu anajiita brother k comedy ni hodari wa kukopi vichekesho vya watu

    • @nahdamohammed6201
      @nahdamohammed6201 4 года назад +1

      @@mdigokhan8227 sw nimekuelewa tupo pamoja

    • @fakiikibakola1300
      @fakiikibakola1300 4 года назад +3

      yuko sahihi iyo nembo hpo itoke kati kati iwe moja tu ya pembeni

    • @mussamapendo5782
      @mussamapendo5782 4 года назад +1

      We umesema me nibora nishie hapahapa maana neno lngu umeliongea ww

    • @mussamapendo5782
      @mussamapendo5782 4 года назад

      @@mdigokhan8227 sawa Ila taruten sehem ambayo aitamkela mtazamaji

  • @dullatope465
    @dullatope465 4 года назад +5

    Mi mkojani ananimaliza Anaposema hapanaaah day aisee

  • @tatukalawa8292
    @tatukalawa8292 4 года назад +26

    Mkojan unapenda hela ww 🤣🤣🤣🤣

    • @safiambaroukkhamis439
      @safiambaroukkhamis439 3 года назад

      Yani namuwazia nikimpata mkojani pesa zangu nilomkopesha Yule mtu mpka ss miezi sita hanilipi ananihangaisha.ningempa mkojani kazi hii ingekua nshazipata.au munasemaje wadau

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 года назад

      @@safiambaroukkhamis439 Shilingi ngapi unamdai nikusaidie mm

  • @treyclema3014
    @treyclema3014 4 года назад +8

    Ni nzuriii allah awaongoze mfike mbalii zaidii

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 4 года назад +6

    Erefu sarasini mumirioni mbiri😁😁😁😁🇧🇮

  • @halimaomari7589
    @halimaomari7589 4 года назад +12

    Mkojani nakupenda bure 😂😂😂😂😂

  • @antharsanchez8961
    @antharsanchez8961 4 года назад +15

    weka inayoendeleaaaaaaaaaa mzee

  • @sifaelnoah1543
    @sifaelnoah1543 4 года назад +25

    Oso media mnafeli kutuwekea hii nendo yanu katikati, inatukera wengine kwakweli, hiyo ya juu inatosha jmn, ni mawazo tu🙏🙏

  • @mohdibnsaleh9949
    @mohdibnsaleh9949 4 года назад +3

    Mkojani unahatibu filam porojo jingi..afu sis wenyewe wapemba wakojani hatuongei hivo...unapotea sana

    • @janethjames5456
      @janethjames5456 4 года назад

      We unafeli wap bwana sareh igiza nafasi ya mkojani

    • @janethjames5456
      @janethjames5456 4 года назад +1

      Huyo mwigizaji na watu tumenkubar usipomkubari kausha

    • @mohdibnsaleh9949
      @mohdibnsaleh9949 4 года назад

      Janeth James

    • @chrissjoel7752
      @chrissjoel7752 4 года назад

      Wewe ndo hatukuelewi ila kipupwe sisi tunamuelewa akiigiza kama mkojani

  • @kulwabakali4166
    @kulwabakali4166 4 года назад +4

    Kama una mkubali mkojani twendeni sawa chini apo ata 10 zina tosaha

  • @countrywizzkid6129
    @countrywizzkid6129 4 года назад +7

    Mkojani taamaa zitakuponza kamaumeuza mali za chuma 🤣🤣 🤣 a k a nagwa 🐘 🐘 💤

  • @yusram5145
    @yusram5145 4 года назад +21

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻tuekee part zote leo we kaka jamaniiii

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 4 года назад +2

    Mmezinguaaaa nahio nembo yenu ktkaaaaaaati

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 4 года назад +15

    Yaani hawa watu wananfrahisha, hadi naona Nasafisha ubongo kwa stress za waarabu🤔😂

    • @khadijakisingo7920
      @khadijakisingo7920 4 года назад

      Hata mm warabu wakinitibua nikiwanhalia hawa viumbe nasafisha ubongo😂😂

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 года назад

      @@khadijakisingo7920 hahaa kumbe tuko sote

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 года назад

      @@khadijakisingo7920 uko kwa upande gan?

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 года назад

      @@chunaamina8719 Waarabu wawapi jamani, tuambizane, yawezekana tupo pamoja huku

  • @ramadhanahmed1141
    @ramadhanahmed1141 4 года назад +11

    Kilangaso kasha komaa saiv 👍👍

  • @esterluvanda4963
    @esterluvanda4963 4 года назад +14

    Kama nembo ya apo katikati umekukela gonga like twende sawa

  • @bwankakaseif5500
    @bwankakaseif5500 4 года назад +7

    daaa jamaa mkojani anapenda hel

  • @jumamkongowe8870
    @jumamkongowe8870 4 года назад +47

    Kama umeliona buti la jeje gonga like tuishi pls

  • @ayshasalim6118
    @ayshasalim6118 4 года назад +14

    We kaka sehem ya pili 2naomba u2tolee ilo lebo lako apo kati umeshaieka juu hujaridhka2 m naona kiza2

  • @saidkinzogo8351
    @saidkinzogo8351 4 года назад +3

    Haha mkojani kibokooo aiseeeh

  • @luwikokopo4606
    @luwikokopo4606 4 года назад +3

    Mnao ng'ang'ania nembo itoke itoke hivi hamjui maana ya hiyo nembo bola hata kazi zao zikiibiwa mngekua mnawasaidia kulipoti ndo muwambie watoe nembo

  • @zulfaanwar8101
    @zulfaanwar8101 4 года назад +11

    Mkojani unatuua Mbavu 🤣😂🤣😂

  • @issamayota2345
    @issamayota2345 4 года назад +11

    Hapa tumeshinda wazee

  • @iddatysupergirl6581
    @iddatysupergirl6581 4 года назад +4

    Muvi nzur sema iyo nembo ya kat inakera picha haiyonyesh vzur,mbn apo juu inatosha tu

  • @alliyhamad2796
    @alliyhamad2796 3 года назад +2

    Jamani hvi lingo mmkosana wapi

  • @nahdamohammed6201
    @nahdamohammed6201 4 года назад +12

    yaan mm kabla sijaanza naanza kucheka mapemaaaa , na hawa watu watatufanya tuonekane machizi manake unakuta unacheka peke yako hahahahahahah

    • @issachingu8631
      @issachingu8631 4 года назад

      Pole mamy

    • @johnkishiwa54
      @johnkishiwa54 4 года назад

      Yaan hatar kweli m nacheka mpka bas

    • @ramaccr7525
      @ramaccr7525 4 года назад

      Nahda Mohammed 😂😂

    • @nahdamohammed6201
      @nahdamohammed6201 4 года назад +1

      @@ramaccr7525 kweli voo yaan mm hawa watu wananitowa stress ki kweli

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 года назад

      Yaani wajikuta wacheke pekeako, wanajua adi raha 😂😂

  • @ramaccr7525
    @ramaccr7525 4 года назад +1

    Nawapenda sana kisha kipupwe una nichekesha sana😂😂😂

  • @daudbusanji2586
    @daudbusanji2586 4 года назад +2

    Hiyo oso media Apo katikati inakera sana

  • @mustafaseif833
    @mustafaseif833 4 года назад +37

    Wa nne comment naombeni like zenu

  • @kamaikangaiyoni1967
    @kamaikangaiyoni1967 4 года назад +2

    Mkojani alivyo sasahiv utafikiri mzee sanaaa

  • @shaibufunge6565
    @shaibufunge6565 4 года назад +3

    Nawakubali sana vipi part2

  • @fatumaomy4858
    @fatumaomy4858 4 года назад +3

    Dah!awa watu ni🔥🔥💯

  • @tumaramadhanghulaam247
    @tumaramadhanghulaam247 4 года назад +1

    Ninauwezo wakukupiga nikakuumiza afu nikakupeleka hospotali nikakutibia! 🤔🤔🤔🤔yaani mkojani ananimaliza

  • @BadBoy-vp8go
    @BadBoy-vp8go 4 года назад +3

    Safi sana wazee kazi

  • @yusuphanyitike2946
    @yusuphanyitike2946 4 года назад

    Benad morison au kilangaso namkubali sana

  • @Jonijoo__the_don
    @Jonijoo__the_don 4 года назад +2

    Noma Sana mtu mzima nagwa

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 года назад +2

    Tia mbili tumalize kazi ! Mkojani nakuelewa

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 4 года назад

    Raundii ii mkojan kalud na njaa kalii

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 4 года назад +5

    Hahahahahaha mkojani wewe jaman

  • @nyimbizikamtima1356
    @nyimbizikamtima1356 4 года назад +2

    Iyo membo yenu inaboa bhana hapo kati

  • @badiadam4056
    @badiadam4056 3 года назад +1

    Acheni usenge nembo ya nn katika movie

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 года назад +1

    Kashatapeliwa mtu 😂😂😂

  • @nelisonndalu1779
    @nelisonndalu1779 4 года назад +2

    Mkari

  • @omarychamadi1545
    @omarychamadi1545 4 года назад +2

    Wekeni muendelezo wake

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 года назад +1

    Nawaelewa sanaaaaaaaaaa nyieee majamaaaaaa

  • @zainaburamadhani5482
    @zainaburamadhani5482 4 года назад +2

    Hiyo nembo kama mnauza ng'ombe ndo nini

  • @anwaralnabahan2748
    @anwaralnabahan2748 4 года назад +3

    Ok

  • @hadijamohamedi477
    @hadijamohamedi477 4 года назад +6

    mkojani😆😆😆

  • @bkjajamedia3467
    @bkjajamedia3467 3 года назад +2

    Nipenii like zanguu mapemaaaa💙💙💙

  • @hanialsalti671
    @hanialsalti671 4 года назад +1

    Mkojani anapenda pesa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @miracle5812
    @miracle5812 4 года назад +3

    Sasa oso ilo rilogo kati kati ya picha

  • @mikidadmikidadmasaninga9256
    @mikidadmikidadmasaninga9256 2 года назад +1

    Mkojan unapnda ela jamn duh sio p

  • @danieledson5097
    @danieledson5097 4 года назад +2

    Nani amesikia jamaa akimuita kaka baba yake

  • @salumlenjima3155
    @salumlenjima3155 4 года назад +3

    Nadhani hiyo nembo hapo katikat mngeitoa inaboa

  • @gkingtzliker1955
    @gkingtzliker1955 4 года назад

    😂😂😂 Nakukubali sana msela angu #mkojani

  • @dalovebazuka2806
    @dalovebazuka2806 4 года назад +2

    Alafu kino chengine

  • @hadijamohamedi477
    @hadijamohamedi477 4 года назад +3

    mkojani 🤝🤝🤝🤝

  • @januajeyjanuajey592
    @januajeyjanuajey592 4 года назад +1

    Nimejitanguliza counter ATTACK

  • @burudanitv874
    @burudanitv874 4 года назад +5

    Lebo yenu inachosha sana hta azamtv wankwama apoapo upti utmu

  • @akhtarmamiky9680
    @akhtarmamiky9680 3 года назад +1

    Nzuri sn muvi

  • @jumataqwa3700
    @jumataqwa3700 4 года назад +2

    Twaombeni ya pili Sasa

  • @yohanapeter5228
    @yohanapeter5228 4 года назад +3

    Kirangaso habadilishagi shati

  • @mdigokhan8227
    @mdigokhan8227 4 года назад +14

    Wekeni part 2 fasta

  • @maulidali9003
    @maulidali9003 4 года назад +5

    Matin mi nauliza mbona ringo sioni siku izi kuwa pamoja

    • @khalidihamisi8815
      @khalidihamisi8815 4 года назад +2

      Ni kweli ila mda mwingine unaangalia upepo ulipo kwa sasa tini na mkojani ndo wanakismati sana

    • @ally1702
      @ally1702 4 года назад +3

      Mimi nishaanza kumsahau Ringo saiv ndo umenikumbusha

    • @cpasalma1532
      @cpasalma1532 4 года назад +1

      Ndo ilivyo kwa wasanii mara wanakorofishana

    • @marcowawaghufa8197
      @marcowawaghufa8197 4 года назад +1

      Yupo karantini

  • @saidicosta2532
    @saidicosta2532 4 года назад +5

    Kama umeona kama mimi uyu jamaa kafanana molison gonga like

  • @yusterstephano8927
    @yusterstephano8927 4 года назад +1

    Logo Kila sehemuuu,
    mmezinguaaaaaaaaaa

  • @radjabuminani6366
    @radjabuminani6366 4 года назад +1

    Mkojana ni mwana kharamu saana

  • @iankulecho7120
    @iankulecho7120 4 года назад +5

    💪💪💪💪👀

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 4 месяца назад

    Unyama ni mwingi 🇶🇦

  • @omarkimbwembwe3082
    @omarkimbwembwe3082 3 года назад

    Million 2 lak 2

  • @jumalumalizya1364
    @jumalumalizya1364 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣 mkojani duh

  • @AliSaid-ts6rv
    @AliSaid-ts6rv 4 года назад +2

    Oi

  • @zabibuqueen4741
    @zabibuqueen4741 3 года назад +3

    😄😄😄

  • @hamiduissa8089
    @hamiduissa8089 4 года назад +1

    Elf 30😂😂

  • @benonfenon4518
    @benonfenon4518 4 года назад +8

    Mkojani mwaka ni wako usilale

  • @bonymwakyusa9826
    @bonymwakyusa9826 4 года назад +1

    Ila hicho kilebo vip ,mana vipo viwili mtue kimoja bx

  • @sophiaalexander6025
    @sophiaalexander6025 4 года назад

    😂😂😂Acha uchawa

  • @davismdula1517
    @davismdula1517 4 года назад

    Mkojani anatamaa kweri tamaa mbaya

  • @pascalmlaga4109
    @pascalmlaga4109 3 года назад

    Mara kaka mara baba which is which 😂

  • @ClaudeNAHISHAKIYE-gm4hc
    @ClaudeNAHISHAKIYE-gm4hc 6 месяцев назад

    Kali

  • @mashakamoses9300
    @mashakamoses9300 4 года назад +5

    ringo hutumuoni jaman

  • @joshuashalla1394
    @joshuashalla1394 4 года назад

    Hapaaanaaaa! 😂😂😂😂😂😂

  • @minnahlove7035
    @minnahlove7035 4 года назад +1

    Mwendelezo jmn

  • @adelajaksoni466
    @adelajaksoni466 3 года назад

    Acha uchawa 😂😂😂😂

  • @choloahmed1139
    @choloahmed1139 4 года назад +1

    mbona oso mmeweka kat

  • @sualhatialiismail6039
    @sualhatialiismail6039 4 года назад +1

    Eneo ni la mkojani lina nunulika?

  • @araphanassa1561
    @araphanassa1561 2 года назад

    Nzurii

  • @bashirumtamajagi1908
    @bashirumtamajagi1908 3 года назад

    Mimi namkubali ila sijawaerewa awajamaa wanaeshauliana aje mjini uyu ni baba au kaka

  • @godfreymahavile4688
    @godfreymahavile4688 4 года назад +9

    dah nimekuewa wa 20 leo

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 4 года назад +1

    Good

  • @amanihussein2888
    @amanihussein2888 4 года назад

    Nataka nikupe 30000

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 4 года назад +1

    Kwa anaewakubali Hawa aguse profile yangu🙏👈👈

  • @Shayy97
    @Shayy97 4 года назад +2

    🤣🤣🤣

  • @Abuu_muhammad
    @Abuu_muhammad 3 года назад

    Uyo ajitae nkojani ni nkojani wa waaa!

  • @mrbaligea643
    @mrbaligea643 4 года назад +3

    Wapi part 2??

  • @sharifahmed3770
    @sharifahmed3770 4 года назад +1

    Wmterfresh the chance to talk about this world is still waiting for you about that but it's not sure how much time do you have to be there at work with the first thing you want to do is the best way to do it is possible for you about the life of the people who are not going back to talk about this later today and tomorrow I have been seen by myself but it's not sure what you mean by the chance to get the money isn't that what you want all you want is. Life

  • @mulamohd7386
    @mulamohd7386 4 года назад

    Nakukubali kazi

  • @Saidkayela20
    @Saidkayela20 4 года назад

    Daaaaa xio pw