KRISH wa UWOYA: Nilimsumbua Mama anikutanishe na DIAMOND, nimeshinda Medali US,nataka kuwa MWANASOKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 551

  • @brendabaraka203
    @brendabaraka203 2 года назад +44

    One of the best Interviewer's in EA. Yesu akutunze Creez...Krish mdogoangu; your future is so bright baba...Yesu akulinde...🇰🇪🇰🇪

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral 2 года назад +18

    NMEPENDA MTANGAZAJI YUKO SO GOOD ON HOW TO INTERVIEW.. BIG UP SANA #KRISH YUKO VERY BRIGHT..

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog 2 года назад +7

    Krish you are so smart , confident ,intelligent and humble.
    Your humbleness is on the next level . Hujinyenyui kabisa and you have a bright future ahead of you.
    I am looking forward to what future has in store of you. Love from Denmark

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 года назад +13

    The kid is very smart, wale wanamuitaga majina aibu yenu..,the kid anawatimulia vumbi, he is doing things which even your children will never do...Go go Chrish sky is not the limit.

  • @swaumurashid5349
    @swaumurashid5349 2 года назад +9

    Nakupenda sana mwanangu ,usimseme mtoto wa mwenzio mungu yupo nae na bado anashushiwa baraka tele 😍ireen hongera my hendelea na malezi mazuri kwa mwanao

  • @bechuirakoze4981
    @bechuirakoze4981 2 года назад +15

    His so smart in all terms, keep growing up in intelligence boy,your mum should take you to Burundi 🇧🇮 and see how beauty is. your response was so straight up, I’m from canada 🇨🇦, but burundi my home country 🇧🇮👌

  • @audreilleirakoze5941
    @audreilleirakoze5941 2 года назад +34

    Mtoto mzuli san mungu akupe maisha malefu mjuku wa Burundi 🇧🇮🇧🇮

    • @NIELIDAUSWAHILI
      @NIELIDAUSWAHILI 2 года назад

      ruclips.net/video/or63vksOgkc/видео.html

  • @irineadisa7289
    @irineadisa7289 2 года назад +6

    The boy is so intelligent l love him 💙 ❤️ 💕 💗 💖 💓 💙 ❤️ 💕 💗 💖...good job my sister lreen.

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 2 года назад +15

    Hjasahau Rozari mtoto mzurii, Mungu azid kukuinua zaidi

  • @Theraldylaniscool
    @Theraldylaniscool 2 года назад +5

    Good upbringing, thumbs up to Irene Uwoya and keep it up boy. Humble, handsome and intelligent....

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 Год назад +1

    Ma sha allah.. Mtt mzuri, mpole na muelewa. Namuomba ALLAH amlinde na ampe makuzi mazuri. Crish anafanana na mamaake. ❤

  • @Miss_mckenzie
    @Miss_mckenzie 2 года назад +9

    Well done Irene Uwoya well done..uv raised him well.

  • @خسنموس
    @خسنموس 2 года назад +24

    Huyu mtoto wa uwoya amekua mkubwa mpka anajua kujibu vizuri maswali ni mpole sana

  • @GospelLyricsAfrican
    @GospelLyricsAfrican 2 года назад +26

    Niko Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮 mtuu yoyote Ana roho nzuli anifollow nashukuru sana kwa yoyote 🙏🙏🙏🙏 nawapenda sana

    • @NIELIDAUSWAHILI
      @NIELIDAUSWAHILI 2 года назад

      ruclips.net/video/or63vksOgkc/видео.html

  • @laticiaalinda5482
    @laticiaalinda5482 2 года назад +5

    Barikiwa sana jamani ww kijana wetu naamini kira mzazi ufuraiswa na mwanae jamani hongera sana woya kwa kukuza 🥰🥰🥰🥰

  • @ree6082
    @ree6082 2 года назад +19

    What a Smart boy 🤍 God bless you krish

  • @missykalele5520
    @missykalele5520 2 года назад +10

    He is confident his self❤ congratulations krishna

  • @MosesLumembe
    @MosesLumembe 3 месяца назад

    Take Courage Krish!!! Your Statement is extremely interesting ❤❤❤

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 2 года назад +4

    Congratulation!
    Na Mungu akutangulie kwa kila kitu
    Nimependa kuvaa Rozari be blessed 🙏🏼🙏🏼🇹🇿🇹🇿

  • @carolinaadolf6955
    @carolinaadolf6955 2 года назад +9

    Mtoto mzuri na Rozari🥰

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 2 года назад +7

    Krish namupendag gisi anaongea sas mimi nipo omani krish Mungu akupe Maisha marefu mutoto wetu💓💓💪👌🇴🇲🇴🇲🇧🇮🇧🇮

  • @DBrownstain
    @DBrownstain 2 года назад +4

    Thumbs up kwa mtangazaji, so profeshno. I like you bro... bless up

  • @Shishinaya1554
    @Shishinaya1554 2 года назад +4

    Your mama raise you well.. Irene keep it up much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gracekitea7223
    @gracekitea7223 Год назад

    🤗🤗God bless krish,,your so smart baby and talented

  • @tuyisengegakemba
    @tuyisengegakemba Год назад +1

    Nimetazama TV hii nikiwa Rwanda. Asante kwa ku mkaribisha ndikumana krish

  • @happyhousekeeper
    @happyhousekeeper 2 года назад +9

    Wow I had to use my opportunity when I had it, this boy is fire, May God bless you,

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 2 года назад +9

    Irene Uwoya This is Your Versio 100%

  • @lightnesskashi3226
    @lightnesskashi3226 2 года назад +3

    Love u baby Krish. Congratulation to Irene

  • @elizabethnguma3379
    @elizabethnguma3379 Год назад

    Congratulations to Irene uoya,,, you have really raised up well this baby,,,yaani mama mzuri Tanzania nzima ❤❤❤❤

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 2 года назад +7

    Uwoya licha ta usanii lkn pia nakupongeza kwa kumlea vema kijana wako ni mtoto mwenye hekima sana MUNGU AMLINDE DAIMA🙏🏻

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 2 года назад +1

      Pongezi nyingi kwa abibi na babu krish hasa kwa upande wa malezi

  • @m___ck799
    @m___ck799 2 года назад +2

    Brilliant boy.. 🥰 Krish stammers but has a very good control of it, 🤗

  • @nduwimanadidjaaimee5964
    @nduwimanadidjaaimee5964 2 года назад +14

    Mjukuuu wetu wa Burundi mungu akukuze 😍😍😍👌👌👌

    • @uwangabechantal1796
      @uwangabechantal1796 2 года назад

      Sio burundi rwanda

    • @ndayizeyedjaludi3292
      @ndayizeyedjaludi3292 2 года назад

      Nawana.ako.najina.ya.burundi🇷🇼

    • @aaii8301
      @aaii8301 2 года назад

      @@uwangabechantal1796 ndikumana alikuwa mrundi na aliwai kumleta uwoya burundi cibitoke ku 5ndo kwao na baba ake

  • @mwajumabinwa604
    @mwajumabinwa604 2 года назад

    anaakili sana I like that ❤❤❤and the way he answers questions congratulations uwoya

  • @ramadhanseleman6051
    @ramadhanseleman6051 2 года назад +7

    Mungu azidi kukuinua mtoto

  • @mvmezerosamira3960
    @mvmezerosamira3960 2 года назад +2

    Chrish congregation. I ve hear that Burundi is your father land. l hope one day you will visit Burundi just to know your rooth

  • @hahmadhabibu2076
    @hahmadhabibu2076 2 года назад +12

    Very proud of you chris....such intelligent young man

  • @manuelamahwera6090
    @manuelamahwera6090 2 года назад +10

    I'm really proud 👏 of you, Krish. Si wengi wanao weza kujibu ivo especially in Africa. All the way from England 🇬🇧👏

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 2 года назад +4

    Hongera sana kwa malezi mazuri Mungu amtunze mtoto mzuri mpole

  • @franknzowa22
    @franknzowa22 2 года назад +3

    Mtangazaji unaweza sanaaa,..Halafu dogo yuko vizuri. Big Up.

  • @arafajabir3194
    @arafajabir3194 2 года назад +7

    Good boy Krish bless you 🙏

  • @rajabuabduly468
    @rajabuabduly468 2 года назад +3

    Uko vizuri na unakipaji .. mungu atakufikisha pale unapopataka kufika inshallah.

  • @zaikokingnil7727
    @zaikokingnil7727 2 года назад +4

    Umwana wacu sha, we love you boy🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @tricemollel6739
    @tricemollel6739 2 года назад +6

    Kwa kweli krish upo juuuuu!! Na mungu akulinde, akutunze, akujalie kila hitaji la moyo wako nakupenda sana!!!

  • @bonifaceetyang4453
    @bonifaceetyang4453 2 года назад +1

    Hongera Irene watu munafa kuchukua mufano jinsi yakulea watotowenu kwanjia zilizo zasawa

  • @minaeli5989
    @minaeli5989 2 года назад +12

    Yaani huyu mtoto ana Aq mungu amuongoze mpole anaheshima anasikiliza yaani hapa angekuwa Zamaradi angeweka bingo la mwanae kaja na gold medal yaani Irine hana hekaheka mtoto kafata akili ya baba yake mtoto tulioishi karibu na baba yake tunajua

    • @MeRy-qk6bp
      @MeRy-qk6bp 2 года назад

      Wa Burundi tuko wapole Chrish ndikumana mtoto wetu Mungu akupe maisha marefu 🇧🇮🇧🇮

    • @HASASON
      @HASASON 2 года назад

      IQ*

  • @neemasalema1546
    @neemasalema1546 2 года назад +5

    Hongera Mama kwa kumlea Mtoto katika maadili mema hataacha mpaka uzee haijalishi atakutana na changamoto gani katika ujana wake na mazingira ya utandawazi uliopo dunia nzima ninaamini msingi ni bora kuliko chochote hongera sana IRINE UWOYA BWANA YESU AWATUNZE

  • @GracaSTEVE
    @GracaSTEVE Год назад

    All the best Krish you have a bright future ahead ❤❤

  • @HanifaJuma-i4z
    @HanifaJuma-i4z Год назад

    Nimempenda bure Mungu akukuze kwa hekima na maarifa ukimpendeza Mungu na wanadamu ❤❤❤❤❤

  • @dorcusnkwao5714
    @dorcusnkwao5714 10 месяцев назад

    Ahaa mtoto yupo vizuri sana mungu amsaidie

  • @fridamapunda5079
    @fridamapunda5079 2 года назад +2

    Duuuh hiki ni kichwa kichwa kwel jah blessed

  • @lydianedward4122
    @lydianedward4122 Год назад

    ❤❤❤❤ Mungu akukuze vema ukimpendeza yeye na wanadamu

  • @sarahissa5796
    @sarahissa5796 2 года назад +8

    Nikihesabu hzo "like" za Krish ni kama zmefikaa buku hivi 😂😂

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 2 года назад +2

    Kichwa ya kinyarwanda motooo

  • @nadanasser1020
    @nadanasser1020 2 года назад +5

    Nani amesikia mtangazaji amesema kama upo duniani 🤭Aya miye nipo duniani dubai😍nimmependa Krish anavyojibu kwakujiamini Masha allah 🥰mungu akuongoze Katika kila hatua ya Maisha yako🤲🥰

    • @evodiakalaze3196
      @evodiakalaze3196 2 года назад +2

      Mtangazaji upo vizuri kwenye maswali na mtoto pia ni USA 🇺🇸

  • @josephmupole5801
    @josephmupole5801 Год назад

    I like this English this boy anafanana na young lunya i come from American i very like this boy❤

  • @RoseKulaya
    @RoseKulaya 11 месяцев назад

    Waooooo very nice krish ❤

  • @tatianamnyiamba6416
    @tatianamnyiamba6416 2 года назад +6

    Nakupenda mtoto mzuri,umenifurahisha kwamba kila kitu kwako lazima uanze na Mungu,Mungu akutunze na kukulinda,Hongera sana mdogo wangu uwoya!

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 2 года назад +2

    Nilitaman baba yake angekuwepo, mungu halaumiw, HONGERA mtoto, na mzazi pia

  • @brucearakaza2173
    @brucearakaza2173 2 года назад +4

    From Burundi 🇧🇮 Ibujumbura 'nmependa sana kipindi ✨

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 2 года назад +1

    Mashallah amekuwa crish mungu amlinde inshallah Good boy God bless 😘😘❤️❤️❤️😍😍🙏🙏

  • @hanifamajid6964
    @hanifamajid6964 2 года назад +2

    Chris anamhoji Krish..interview nzuri🔥

  • @madinanoor2505
    @madinanoor2505 2 года назад +5

    He is so humble and intelligent I like him ❤❤ love from Burundi 🇧🇮

    • @slvonlinetv6969
      @slvonlinetv6969 2 года назад +1

      Trust me Madina Noor, I think he got that from Katawuti may he RIP. He's father was a very good man and so humble guy ever.

  • @mariahwayesu7312
    @mariahwayesu7312 2 года назад +4

    Mmmmh huyu Mtoto🙌🙌🙌🙌mbona Umri Wake na Majibu ni Vitu Viwili Tofauti Kabisa, Anajibu Kiutu Uzima Jamani, Ana Miaka 11 Kweliiii?????

  • @scarine5565
    @scarine5565 2 года назад

    Naangalia nikiwa saudia Arabia all the way from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Allah aendelee kumsimamia naona amewafunga midomo waliokua wakimnenea mabaya na mwenyezi Mungu aendelee kuwa nae kwenye kila hatuwa atakayo ipiga

  • @RoseKulaya
    @RoseKulaya 11 месяцев назад

    Waoooooi very nice krish

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 2 года назад +13

    Kwa umri wake na anavyojibu ni mtoto mwenye akili na kujitambua sanaa.Hongera sana mtoto wetu na mama pia.

  • @sarahsamson9362
    @sarahsamson9362 2 года назад +11

    Hongera sana mtoto mzuri Mungu awe nawe amen 🙏 ❤ 💖

  • @Kenchiyh
    @Kenchiyh 2 года назад +6

    He's too cuuute, smart little gentleman!

  • @ChibuOlivier-pe9tv
    @ChibuOlivier-pe9tv Год назад

    Yeah mimi nipo Congo drc

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 года назад +4

    Bravo krish 👏 👏 watching from 🇨🇭

  • @Dimitry-cb5tb
    @Dimitry-cb5tb Год назад

    Hongera sana mama krish umemkuza mtoto kimaadili hongera mwanangu krish

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 2 года назад +9

    This Kid Is Very Hummbleee keep Going Little Star

  • @furahamanegabe7847
    @furahamanegabe7847 2 года назад

    Mtoto wa hekima wahoo , so proud of you Chris, I wish you come congo to visit us

  • @safiamohamed635
    @safiamohamed635 2 года назад +3

    Mashallah mungu awe nawe mtoto mzr nipo Omani ,,

  • @brilliantcarlish6621
    @brilliantcarlish6621 2 года назад

    Yaan congratulations you chrsh nkpnd na mam ako jmn maan una akili saan dogo I'm so love San my young brother

  • @valeriaally6584
    @valeriaally6584 2 года назад +3

    anacheka kama mama yake,mtoto mzuri sana

  • @eunace3019
    @eunace3019 2 года назад +1

    Wow! Smart boy

  • @danathemaster2753
    @danathemaster2753 2 года назад +4

    Bujumbura burundi 🇧🇮 good nice boy

  • @graceamran326
    @graceamran326 2 года назад

    Woooow mtoto mzuri amran anakuangalia apa rafikiako anajisikia amani sana

  • @janethedward1533
    @janethedward1533 2 года назад +3

    Akika Mwanangu Mungu ndo kila kitu kwako usiache kushukuru na kumshirikisha Mungu kwakila kitu kwako kwani Mungu awezi kukuacha kamwe

  • @mohamededdi7527
    @mohamededdi7527 2 года назад +2

    Watching from Dublin Ireland.

  • @borasolange630
    @borasolange630 2 года назад +2

    Nakupenda kutoka Rwanda Kigali mtoto wetu huo

  • @prospermushi8827
    @prospermushi8827 Год назад

    Mtoto katulia sana Ana wengee krish soma sana mdogo wangu

  • @hurstingsmwangudzah5329
    @hurstingsmwangudzah5329 2 года назад +1

    Your dad alikuwa footballer sio alikuwa football.huyo Mtoto ametulia sana sana Aisee great interview much love from 254🇰🇪

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 года назад +2

    Nampendaga krish ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @dorisfabian4776
    @dorisfabian4776 2 года назад +2

    Very smart boy...

  • @GiftMadaraka
    @GiftMadaraka Год назад

    Nice dogo pambana cna🎉🎉🎉

  • @tupokigwemarco7584
    @tupokigwemarco7584 2 года назад +2

    Mungu azidi kukuinua na kukubariki mwanangu

  • @OdilleMukundente
    @OdilleMukundente 8 месяцев назад

    Love you❤❤❤❤ from🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @ingabireshakira9631
    @ingabireshakira9631 2 года назад +8

    Krish anajua kujibu maswali vzur kuliko Paula🤣

  • @utunyaafunntengo4774
    @utunyaafunntengo4774 2 года назад +1

    Niko hapa Zambia nawapata vizuri Sana

  • @jacquelineadrian6436
    @jacquelineadrian6436 2 года назад +3

    Nimekupenda Mungu akutunze mtoto wangu

  • @farahatimussa7110
    @farahatimussa7110 2 года назад +6

    Hope ur mom is proud of you... ur so smart

  • @yveswasso1350
    @yveswasso1350 Год назад

    From America Washington 🇺🇸🔥🔥

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 2 года назад

    From DRC big up Krish ❤️🇨🇩

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 2 года назад +2

    Krish is very Hamble anaongea vizuri

  • @asiasalum5163
    @asiasalum5163 2 года назад +2

    Anazungumza kama mama ake Hadi Raha🥰

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 2 года назад +1

    Bug up mtangazaji Big up Krish💕💕💕🙏

  • @mamamariabibi805
    @mamamariabibi805 2 года назад +1

    Nimekupenda sana mtoto

  • @igirukwishakanadege5335
    @igirukwishakanadege5335 2 года назад +1

    Krish wetu ndikumana krish anahakili sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮