Kweli wabongo washamba ye ndo kaona kikubwa gari likisema welcome ay bye 😅😅 unajua nini we mbongo ukitaka kumpata mdanganyee kwa mfano gari umenunua milioni 5 we sema umenunua 20 hapo mbongo utampata na madem zao utawala kwa shobo
😅 mimi na ww nani mshamba ??! baasi itakuwa france au tumeipandisha sana ok basi south africa au unasemaje ! au ndo nyie wanaume wa tiktok ! Afu mtoto wa kiume jina la kiislam unashinda tiktok
Ila Wabongo Kwa Ushamba Tu Tupo Vizuri Kunawatu Wanamali Zakutosha Hawana Show Of Kama Izo Nasiku Akifilisika Atuoneshe Umaskini Wake Izo Zinaitwa Sifa Za Kijinga
Yani hili kaka shamba sana, na watu wanakaa kabisa kumuadmire shetani huyu wa wazi wazi. Eti hata range hawez tamka eti lenji, NYIE sio kila uonacho unatamani tu hili pepo linaharibu sn fikra za vijana na ndio limetumwa kufanya hivo
🤣🤣 BRO NGOJA LEO NIKUSANUE KITU KIMOJA AMBACHO Inawezekana hukijui. Hii ni Social psychology tu. Masakini yoyote huwa hajitolea mfano yeye. Kwa mfano hapo umesema kuna watu wanamali za kutosha. NO watu sindiyo hao kama Chief. hapo inabidi ujitolee mfano wewe sema mimi nina mali zakutosha na si show off. Ukisema watu huji kumiliki vyako coz wewe utakua unatolea mifano watu tu mbaka uzeeni. na sio wewe tu ni watu wote wenye akili za kimasikini. mtu akisema nataka kurudi shule utasema kuna watu walirudi shule na wakafeli. Mtu akisema nataka kwenda Ulaya nikatafute maisha utasema kuna watu walienda ulaya wakarudi masikini( .ni mfano tu)Mtu akisema nataka niaze mazoezi ya Gym. Utasema kuna watu walifanya mazoezi wakaishia kuwa wanene tu. Mtu akisema nataka kutafuta kazi serikalini . Wewe utasema kuna watu wali Apply kazi mala 50 na walikosa. Baba huo mfano wa kuna watu ni umasikini kama usiseme kuna wati sema.mm watu hawaji kuisha duniani ile.wewe utaisha watu watakuwepo tu kama. umenielewa sawa kama bado sijaeleweka basi endelea kutolea mfano watu. Ila niamini tu bro sio kwa nia mbaya.
@@CJ-vd9wn🤣🤣🤣 unaakili.nyingi sana mzee. Mtu anatolea mfano watu ooh kuna watu wana magari na mali zaidi ya hizo na hawa show off. Asiseme watu. Ajitolee mfano yeye asema.mimi ni ninamali zaidi ya izo. Akiwa anatolea mfano watu atatolea mbaka uzeeni. Na hiyo itakua haimpi hasira za kutafuta pesa coz anakimbilia kutafuta unafuu kwa kujifariji kwa kutoa mifano ya watu. walio fanikiwa kwa walio fanikiwa. Yeye anajitoa
Acheni roo hiiyoo wewe baskel tu huna kaka chief wewe no mzeee
Hii gari aizido million 200 pamoja na ushuru.
#HonMichaelDeusdedityKessy.
@@michaelkessy5740 tupe Bei ya gari unayoijua wewe ili tuwaulize tra.
Gari haina Ata Tv seat za nyuma. Hii hafiki 10m zakenya
Washamba kweli hawa. Mzungu anacheza na akili zao
Features na future embu tufafanuliee kidogo mr God love
Watu wanatafuta hela ww unafocus na kukosoa 😂
Nunua kina tesla huko yenye autopilot....sasa welcome na byebye ndo nn
tesla yako iko wap boss
Atakama sio fyucha ni features see
Kweli wabongo washamba ye ndo kaona kikubwa gari likisema welcome ay bye 😅😅 unajua nini we mbongo ukitaka kumpata mdanganyee kwa mfano gari umenunua milioni 5 we sema umenunua 20 hapo mbongo utampata na madem zao utawala kwa shobo
Hiy sio bong 2 mshamba wew
muavhe agurahie ashakwambia yeye mshamba wa bushi huko
😅 mimi na ww nani mshamba ??!
baasi itakuwa france au tumeipandisha sana ok basi south africa au unasemaje ! au ndo nyie wanaume wa tiktok ! Afu mtoto wa kiume jina la kiislam unashinda tiktok
@godygcgranty8243 kufurahia sio mbaya usidanganye watu 😅😅😅
Huwezi nunua gari halafu hulijui, sio Lake atuambie ukweli. Bozo
Sio kila mtu anajuaa magari.....mm najua tu kurndesha tu sijui mambo ya magari...engine ni ya fundi mbwa ww
Kwelii kabisaa huyo babu vipi. Sasa ajue gari kila kitu kwani ye fundi.
Simu yako tuu ukiambiwa uielezee unabaki na Kupiga,kupokea, watsapp, camera 😂😂 sembuse Maybach mzee
😂😂😂 he a true clown 🤡
Have you seen yourself bro😂😂😂
@ seen yo mama this morning she cooked breakfast too
Ila Wabongo Kwa Ushamba Tu Tupo Vizuri Kunawatu Wanamali Zakutosha Hawana Show Of Kama Izo Nasiku Akifilisika Atuoneshe Umaskini Wake Izo Zinaitwa Sifa Za Kijinga
Yaan ukiona unatoa maoni ya hivi, kk amka ukapambane😂😂😂
Tafuta pesa blood