Umefafanua vizuri sana. Hata mie mwenye D moja ya kiwahili nimeelewa. Maana ni jambo jema kuchanga lkn muhimu lazima serikali au mamlaka itoe kibali ili kudhibiti vitendo vinavyoweza kujitokeza watu kutumia fursa vibaya. Na kwaku serikali ina mfuko wa maafa na haijatoa idhini ni kosa lkn kwakuwa mchangishaji yupo na ikithibitika hakufanya dhulma asamahewe kwakuwa lengo lake sio baya sema hakujua utaratibu wa kufuatwa.
Umefafanua vizuri sana.
Hata mie mwenye D moja ya kiwahili nimeelewa.
Maana ni jambo jema kuchanga lkn muhimu lazima serikali au mamlaka itoe kibali ili kudhibiti vitendo vinavyoweza kujitokeza watu kutumia fursa vibaya.
Na kwaku serikali ina mfuko wa maafa na haijatoa idhini ni kosa lkn kwakuwa mchangishaji yupo na ikithibitika hakufanya dhulma asamahewe kwakuwa lengo lake sio baya sema hakujua utaratibu wa kufuatwa.
Nampongeza shekh kwa tafiti zake na ufafanuzi.
Mm nadhani serikali ingekuwa inatizama haya kila mali, maana lakuchangishana lipo lafanyika sana apa tz kila maeneo,
SWADAKTA SHEKH.