MAOMBI YA KUFUNGA KINYUME NA MAPOOZA (KUKEMEA MAJINI MAHABA)DAY 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 75

  • @carolinejerome6956
    @carolinejerome6956 8 месяцев назад +3

    Katika Jina La Yesu Roho za Makini Mahaba Leo zinaondoka na Mwishoooo kwenye Maisha Yangu Kwa Jina la Yesu Kristo natamka nafunguliwa na Kila Nguvu ya Giza inaniachia, Asante Yesu Kristo Mwana Wa DAUDI Kwa kunirehemu na kunifungua na kuishughulikia roho zoote za Majini mahaba kwenye Maisha Yangu Ameeeen 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @elizabethstephano-rt8kk
    @elizabethstephano-rt8kk 21 день назад

    Asante Yesu kwakunitoa katika kila ubaya wa nguvu za giza kwenye eneo la mahusiano na uchumi katika jina la Yesu amen

  • @peptalk_by_kriss6237
    @peptalk_by_kriss6237 Месяц назад

    Majini mahaba ndani yangu yanayosababisha kuharibika kwa mahusiano yangu na nisiolewe yaniachie kwa jina la Yesu, Sitazaa mapooza katika mahusiano yangu kwa jina la Yesu

  • @elizabethstephano-rt8kk
    @elizabethstephano-rt8kk 21 день назад

    Mapooza ya umaskini toka kwenye Maisha yangu amen

  • @elizabethstephano-rt8kk
    @elizabethstephano-rt8kk 21 день назад

    Yesu asante naomba nguvu ya mahusiano na uchumi ichanue kwangu na kwa familia

  • @franciscatedomiry9318
    @franciscatedomiry9318 Год назад +1

    Kila anafanya malongo right now yakamgeukie kwa jina la YESU kristo mimi niko huru nawagombanisha wenyewe kwa wenyewe wasielewane Amen 🙏

  • @irenekiwale6704
    @irenekiwale6704 9 месяцев назад +1

    Roho chafu na mapooza kwenye familia yangu zishindwee na kulegeaa kwa damu ya YESU

  • @peptalk_by_kriss6237
    @peptalk_by_kriss6237 2 месяца назад

    Kwa Jina la Yesu sitazaa mapooza kwenye Mahusiano yangu kwa Jina la Yesu

  • @theresiastive3281
    @theresiastive3281 3 месяца назад

    Amen amen

  • @jedidaemil2064
    @jedidaemil2064 Год назад

    AMEN 🙏. Asante YESU mimi na Karis tumefunguliwa in the mighty name of Jesus Christ by the mighty blood of Jesus Christ Amen

  • @graceemmanuel-gospelartist9323
    @graceemmanuel-gospelartist9323 Год назад +1

    AMEEN! THANK YOU LORD!!

  • @DrbeforeMrs
    @DrbeforeMrs 6 месяцев назад

    Majini mahaba hayataambatana na mimi tena kwenye maisha yangu watoto wangu wazazi wangu na familia yangu kwa ujumla🙏

  • @rachelmanasseh6942
    @rachelmanasseh6942 9 месяцев назад

    Asante Yesu kwa kuondoa mapooza kwenye maisha yangu na gmfamilia yangu🙏

  • @nasrarola
    @nasrarola 7 месяцев назад

    Sitazaa mapooza kinyume na uchawi mimi na ndoa yangu, uzao wangu wote , ndugu zangu na uzao wao wote na rafiki zangu na uzao wao wote 🙏🏽

  • @vissionaryosborn
    @vissionaryosborn 5 месяцев назад

    Nimefunguliwa mimi na vitu vyangu vyote kwa jina la Yesu

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 Год назад

    Asantee Yesu kwa kurudisha Mahusiano yangu 🙏🏼

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 Год назад

    Amen,Natoka Milimani kwa jina la Yesu

  • @dorisnditu932
    @dorisnditu932 7 месяцев назад

    Sitazaa Tena mapooza kwa Jina la YESU 🙏

  • @dubenamahanga5363
    @dubenamahanga5363 2 года назад +1

    Am delivered and restored in Jesus mighty name

  • @zenamseli7639
    @zenamseli7639 6 месяцев назад

    Sitazaa mapooza kwa jina la Yesu

  • @priscadavd6951
    @priscadavd6951 9 месяцев назад

    Roho za mapooza kwenye mahusiano na familia yangu zishindwe Kwa jina la yesu

  • @neemanyimbi2355
    @neemanyimbi2355 2 года назад +2

    Ameeen🙏

  • @steven1madelemo109
    @steven1madelemo109 2 года назад

    AMEN kupitia maombi haya nimefunguliwa.

  • @janethmdee6060
    @janethmdee6060 2 года назад

    Amen napokea hili ni neno langu kabisa

  • @NeemaAlute-d4j
    @NeemaAlute-d4j 10 месяцев назад

    Amen 🙏🏻

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 Год назад

    Yesu ninakushuku 🙏🏼

  • @veronicamahona1190
    @veronicamahona1190 8 месяцев назад

    AMEEEN

  • @Bellus-luxury
    @Bellus-luxury Год назад

    Amen mama ❤

  • @theresiajohnmrimbo9446
    @theresiajohnmrimbo9446 Год назад

    Ameen

  • @vissionaryosborn
    @vissionaryosborn 2 года назад

    Nabarikiwa

  • @seyrahluxuryhair6632
    @seyrahluxuryhair6632 2 года назад

    Nimefunguliwa kwa jina la Yesu🙏

  • @japhetkinkononto1414
    @japhetkinkononto1414 2 года назад

    ameni mungu atende

  • @annaraymond869
    @annaraymond869 2 года назад

    Ameen🙏

  • @petronillerakonaay
    @petronillerakonaay 9 месяцев назад

    sitazaa mapooza mimi na familia yangu🙏

  • @angelherman655
    @angelherman655 2 года назад

    Amen

  • @marystellakimaro1023
    @marystellakimaro1023 2 года назад

    Asant yes

  • @deboraurio1861
    @deboraurio1861 9 месяцев назад

    HATUTAZAA MAPOOZA , DONISIA, DEBORAH,HOYCE, PAUL,ESTHER, GEOFREY, HAPPY, JOSEPHINE, JACKLINE, YVONNE, RACHEL, GOODLUCK, ANNE, SECILIA

  • @selestinakashalankoro1099
    @selestinakashalankoro1099 2 года назад

    Namshukuru Mungu nimetapika na kupiga miyayo watika wa maombi

  • @ZuwenaAlly-me2mn
    @ZuwenaAlly-me2mn 9 месяцев назад

    Sitazaa mapooza

  • @florabuzoya2634
    @florabuzoya2634 2 года назад

    Amen🙏🙏🙏

  • @divinehopeandsmile
    @divinehopeandsmile 2 года назад

    Amen 🇹🇿

  • @DrbeforeMrs
    @DrbeforeMrs 6 месяцев назад

    SITOZAA MAPOOZA KINYUME NA UCHAWI MAUTI NA MAJINI MAHABA KWA NAMNA YOYOTE ILE SHETANI HAUNA NAFASI KWENYE MAISHA YANGU! IN JESUS NAME I BELIEVE AND PRAY AMEN🙏

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 Год назад

    Sitazaa Mapooza

  • @happynessmanson8609
    @happynessmanson8609 2 года назад

    Sitazaa mapooza katika Jina la Yesu🙏🥹

  • @RashidikenyaMahenge
    @RashidikenyaMahenge 8 месяцев назад

    Ninakataa kuzaa mapooza wala kufakufa akutakua na mapooza kwenye maisha yangu

  • @consolatasangu4697
    @consolatasangu4697 9 месяцев назад

    Chochote kinachokufa kwenye Maisha yangu hakina Tena nafasi,jini mahaba , roho chafu

  • @Mariah_1293
    @Mariah_1293 8 месяцев назад

    MIMI MARY THOMAS SITOZAA MAPOOZA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARET

  • @doricekeepgoingdesmond3473
    @doricekeepgoingdesmond3473 4 месяца назад

    MUNGU amenifungua wakati wa maombi nimepata shida mkono wa kulia ulikuwa unauma sana na nimepiga kelele, pia nilikuwa na beua

  • @doricekeepgoingdesmond3473
    @doricekeepgoingdesmond3473 4 месяца назад

    SITOZAA MAPOOZA MIMI NA FAMILY YANGU , UCHUMI WANGU, KAZI YANGU, MAHUSIANO YANGU NA UZAO WANGU

  • @diananicholaus4319
    @diananicholaus4319 9 месяцев назад

    SITOZAA MAPOOZA KILA ROHO ZINAZONIRUDISHA NYUMA NAJITENGA NAZO

  • @GloryNkya-s1o
    @GloryNkya-s1o 2 месяца назад

    Amen Amen

  • @PhilpinaMinja
    @PhilpinaMinja 9 месяцев назад

    Sitazaa mapooza

  • @happinessenos9512
    @happinessenos9512 2 года назад

    Amen

  • @glorylekey4550
    @glorylekey4550 2 года назад

    Amen

  • @angelamuhandiki
    @angelamuhandiki 9 месяцев назад

    Sitazaa mapooza

  • @happiefrancis8824
    @happiefrancis8824 2 года назад

    Amen

  • @happiefrancis8824
    @happiefrancis8824 2 года назад

    Amen

  • @gloryndanshau3005
    @gloryndanshau3005 2 года назад

    Amen

  • @sophymikuwa8503
    @sophymikuwa8503 2 года назад

    Amen

  • @priscaibrahim4535
    @priscaibrahim4535 2 года назад

    Amen

  • @emmaSaitabau-tf3mv
    @emmaSaitabau-tf3mv Год назад

    Amen

  • @jescaphilip
    @jescaphilip Год назад

    Amen

  • @GetrudeKilemile
    @GetrudeKilemile Год назад

    Amen

  • @magrethjohn8638
    @magrethjohn8638 Год назад

    Amen

  • @rogathejoachiumalex7000
    @rogathejoachiumalex7000 Год назад

    Amen

  • @rogathejoachiumalex7000
    @rogathejoachiumalex7000 Год назад

    Amen

  • @asifiwemjujulu8884
    @asifiwemjujulu8884 10 месяцев назад

    Amen

  • @violethmunisi1598
    @violethmunisi1598 9 месяцев назад

    Amen