Kwa unyenyekevu mkubwa, utaeleweka vizuri zaidi ukituelimisha manufaa/athari za kila kipengele ndani ya mkataba mama (IGA) kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuelimishe. Asante
Shekhe muogope mungu mungu kasema ogopa dhanna na chungeni dimi zenu nikukumbushe shekhe kiyama kipo na utasimama kuyasema haya siku ya mwisho mbona husemi mungu anasemaje kuhusu utawala huu
Shekhe mungu anakuona nasema tena mungu anakuonaaaa ungetuelezea mkataba wa dp word na bandari za uingereza na sisi kama iko sawa tungekusoma ebu tuache tunajielewa unatutisha sisi siyo midoli
Asante sana 😅Jamaa pamoja na ongea yake ya kusoma lakini ni shida bado kutamka alichoandika anasoma kama mtoto wa darasa la kwanza. Yaani kuitwa Shekh kaona ashindane na wanasheria wanaochambua vifungu vinavyokosolewa ambapo sio msomi mmoja anakosoa na sio upinzani tu wananchi walio wengi.Yeye kaona atoke vipi ati kwenye jambo la muhimu kama hili.Bora angetulia maana ongea yake haileti tija anajivunjia heshima tu.
Ustadh nakuheshimu Sana ila kwenye hili ntakuchukua Mimi ni muislamu ila sisi Kama wananchi hatujasemea kitu udini Wala ukabila tunazungumzia nchi yetu bandari ibaki Kama ilivyo kwani hatuishi
Kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu. Tuache mihemko ya itikadi na udini, hapa ni swala ya Kitaifa au nchi, hakuna mwenye mawazo kama yako watu ni waelewa sana mziwanda.
Shekher unakosea sana tunasoma mengi kwenye mitandao rakini hatujaona sehemu iliongelewa kuhusu udini kwenye sakata la bandali ni wewe tu ndoo unaeongelea udini na uzazibali unaviashilia vya uchochozi wa kidini unatakiwa mue kitu kimoja na wezenu wakristo kujadili swala la badali nakuona kama ni sawa au sio sawa
Ni waraka wa hovyo huna lolote la maana umepoteza muda wako kwa nitakuona ni wa maana sana ukisimamia waalimu wetu wa Madrasa hawana ajira za kueleweka wala mishahara hapo utekeweka sisi tuna taka mkataba ulio bora na kutenda haki pande zote mbili kwa hiyo hata JWTZ wakitaka kufanya shughuli zao za kiulinzi ndani ya bandari watoe taarifa kwa mwaarabu hongera shekh chawa wa CCM
Shehe shida sio uwekezaji shida ni vipengele vya Mkataba especially 22, na 23 ibara ya 4 Mkataba hauna Time frame or duration na hauvunjikiii hayo ya mambo ya udini nasikia kwako shehe shida ni mikataba mingi tunapigwa , wasiwasi ndo akili shehe fafanua vipengele vya Mkataba ndo utaelewa usijeingizwa chaka 😊
Hayo mambo waache wataalam watueleze hayo nakutusomea ww dini za nn apo tueleze maoni yako kwa nafasi yako ulo nayo maana umebeba mawazo ya wengi hivo tulitegemea tusikie maoni yako nasio kutaja nchi ambazo hiyo kampun ipo mala walim wameajiliwa wa ngap hiyo sion kama kazi yako shekhe.
Mikataba ambayo haikuhojiwa ni mingi na hapo ndipo inapodhihirika shaka ya udini, baadhi yao ni 1) mkataba wa kanisa katoliki kupewa sehemu ya mapato yote ya serikali MEMORANDUM OF UNDERSTAND. 2) UBALOZI WA JIMBO LA VATICAN unawakilisha diplomas ya kanisa katoliki nchini.kana kwamba nchi hii ni ya kikristo.3 MKATABA WA MAKAMPUNI YA UCHIMBAJI DHAHABU YA KIMAGHARIBI ambapo kila Tshs 100 nchi ilipewa shillings 3 tu, huku mchanga ukibebwa kwenda kuchakatwa ulaya. Hiyo ni michache tu kati ya mingi, ambayo hatukushuhudia maandamano wala mikutano ya wataalamu wanasiasa au viongozi wa dini. Waislamu msiingizwe kwenye mkakati huu haramu
Basi kama hiyo ndiyo hoja yako vizuri useme kuwa mkataba huu hata kama haufai usihojiwe kwavile mikataba ya huko nyuma haikuhojiwa. Cha msingi tu inapaswa kufaham wambahii ni 2023 upatikanajiwa taarifa mbalimbali ni mpana zaidi kuliko zamani hivyo kutokuhojiwa kwa ubovu wa zamani bila shaka nikwasababu ya ufinyu wa msambao wa habari wa wakati huo
Vipengele vyenye shida kwenye mkataba mbona hujavitolea ufafanuzi? Mfano1 ukomo wa mkataba utakuwa ni wa muda gani? 2. endapo hizo Tani alizoahidi hazitafikiwa kama ilivyokuwa kwa baadhi ya nchi ambakoDp analaumiwa tufanye nin? 3.Wapi pameandikwa serikali itapokea faida ya kiasi fulani.
A, aleykum mziwanda mi sikuelewi kwanza ungesimama kama sheikh ungemshauri Samia akaelewa kwamba hairuhusiwi mwanamke akawa ndo msemaji ma muamzi wa mambo ya waislam Allah anamkataza hata kuinua sauti yake Kwa wanaume,mwambie Hilo,ili nikuelewe jidhihrishe wazi wewe umesahau kwamba dini ni Bora kuliko mu 4:57
Wewe mtoa mada kwanza wewe ndo unaleta udini maana malalamiko ya watanzania ni mkataba ulivyo andikwa hivyo polisi mkamateni huyu mjinga anaye taka kuleta udini katika swala nyeti kama hili
Shehe, pambana na mkataba, uislam au ukristu siyo ishu. Wanaoupinga so wakristu tu hata waislamu wapo, soma maoni na majina ya wanaopinga mkataba. Maraisi wetu waliopita 3 wakristu, 2 waislamu, na sasa 1 mwislamu. Swala LA bandari halihusiani na dini yoyote, usiibgize fikra hizo kwetu sisi tu wamoja na hakuna kitachotutenganisha
@@ibrahimuhincha1457 acha udini wewe pimbi kwani dini ya baba yako mimi naongea kuusu. Mkataba ni mbovu sana na Tec wame toa waraka wao na islamicki hitowe waraka wake sio kupinga maoni na waraka wa teki wewe dini ime kutendea nini cha kujivunia
Nakupongeza shekh allah akupe umri mrefu maaskofu wote wanapinga huu mkataba na wanaupinga kwa sababu wanaowekeza ni waislaam huo ndo ukweli wenyewe na shhekh upo sahihi kabisa
Mkataba unapingwa kwa hoja za kisheria, kikatiba na mustakabali wa nchi na siyo Imani za kidini. Ingawa yaliomo kwenye mkataba nimambo ya kisomi (shule zaidi) huhitaji elimu kubwa kuweza kuyaona mapungufu yaliomo. Suala la nchi hata liwe jema kiasi gani likiendeshwa vibaya au kinyume na taratibu tulizokubaliana lazima wenye akili timamu wahoji na kupinga
@@maymunamakungu6265 kama wewe unapima masuala haya kwa kutumia Imani yako ya kidini utafeli sana sana. Wenzako unapoona mjadala unazidi tunatumia uchambuzi wa 1. Katiba, 2. Sheria za nchi. 3 taratibu tulizojiwekea. Ukivunja kimojawapo kati ya haya huwezi kuachwa hata uwe na dini inayopeleka watu ughaibuni hatukuachi. Sasa wewe hiyo dini yako inawezekana haitizami mambo haya ndiyo maana unaona kama Imani yako inakosa haki. Bahati mbaya nchi yetu haiongozwi kwa misingi ya kidini Bali katiba, bunge. Sheria na taratibu zilizowekwa. Pole sana lakini huwezi kuukwepa ukweli huu.
@@maymunamakungu6265 na kwa taarifa yako makanisani hakuna sumu, muumini au mtu yeyote akijiinua kuwa kinyume au adui wa kanisa hushughulikiwa na Mungu mwenyewe tunayemwamini Wala hutaona mkristo atakayebeba silaha kukupiga, utapigwa na Mungu na Kisha utakuja kueleza mwenyewe jinsi ulivyoshughulikiwa. Kama hujui Fanya utafiti.
Hacheni kuweka Udini au Ukabila hamjui kuwa mko na Authority kubwa Kwa jamii? Hapo swala nimkataba Watu wameshindwa kuelewa baada kuona au kusikia kuwa Mkatabata inasemekana unaonyesha 1.Hauna mwisho (Kikomo) 2.Wanachukua port's zote 3.humuwezi kuuvunja 4.hauonyeshi Tanzania wanapata Nini na Kwa wakati Gani 5.kuna Neno Strategic Infrastructure ,Ambalo Neno Hilo pia linasemekana wataingilia Airport,Reli,na Makazi ya watu watakapokuwa wanaitaji Kwa Shughuli zao N.k So hayo machache na mengi ambayo mab siyajui au sijayasikia ndio imekuwa chanzo kikubwa Cha mshtuko Kwa watu. So Tuache hizo itikadi tuwe wamoja ktk hili kama linafaa au halifai au .....?
Umesema inasemekana....kautafute uusome. Hoja ya sheikh ielewe vizuri. Kamsikilize na Mbowe pia ndio utajua Sheikh anazungumzia kiini gani kwenye hoja yake
Unaposema wataingilia makazi ya watu of course wakihitaji makazi ya watu si watalipa fidia Tanzania au Tanganyika eneo linalokliwa ni chini ya asili mia tano. Unaposema watachukua viwanja vya ndege kwani wanapora si wataendesha kwa muda na ukimaliza muda wao kama kuna tija itaongezewa muda au kukataliwa kuongeza
Nyie anzisheni choko choko tu halafu vurugu ikishatokea, wataingi watu waovu kuvuruga nchi kama somalia, halafu mwisho wa Siku mtaambiwa kwamba nyie ni magaidi, wakati siyo kweli. Ninachokushauri soma vipengele vinavyoleta utata ndani ya huo utata.
Usituletee udini ndugu ila ukitaka kuleta poa uwanja niwako lakini ukikamilisha ndo utajutia maneno Yako kilicho mbele yetu ni vifungu ukizungumzia ilo utaeleweka sana binafisi kinacho kusumbua ni dini sio vifungu vya mkataba pole sana
Sheikh nimependa hiyo AYA quran haijacha kitu ikisikiliza hiyo AYA inaelimu kubwa sana kabla ya kupokea kitu maneno kutoka kwa watu lazma tutafakari ndo tutoe maamuzi
Upuuzi mtupu. Unaacha pointi na kukimbilia kwenye hisia. Kwa mtindo huu jamii itaangamia. Eti watu wasilaani madudu Kwa kuwa yamefanywa na watu wa dini Fulani au wa kutoka sehemu Fulani. Lowassa alilazimika kujiuzuru Kwani alikuwa mwisilamu
Ukanda mmeanza nyinyi mnadharau sana wazanzibari lkn mwenyezi mungu amekuonyesheni kwa kukuleteeni rais mzanzibar bola wenyewe kupenda tena mwanamke na anaweza
Huyu anataka kuigawa nchi kwa kuingiza udini ,huyu anapanda mbegu za chuki kati ya uislam na ukristo.Maana amehamisha kabisa mada na kwenda kwenye udini.Sasa imekuwa udini na sio mambo ya muhimu. Nilidhani ataongea mema kumbe kaja kupakaza sumu humu
Mbona uelewa wake Mdogo sana, tell the world truth, wewe unahitaji elimu zaidi, falsafa za kidini na maano madogo ya komantiki ndio ndio umemutawala, he is egnorant
Mimi nafikiri ndugu zetu waislam hamjui ukristo una dini nyingi unaweza ukaona aliyesema ni wale wanaojitokeza kusema mimi nabii sijui mzee wa upako.huwezi kusikia lutheran,cathoric,anglicana sabato ikiongea hayo mambo hizo thehebu zinawasemaji wao
Mzuwanda uko sahihi kwa yote Sheikh wangu....na ndicho kinachojili daima hapa nchini...maadui wetu wakubwa wanaoiharibu hii nchi ni hawa mashetwani BAKWATA....Ndiyo njia za maovu yote hayo kujivesha koti kwa maslahi yao bila kujali mafundisho ya muongozo wetu kiimani.
Daah kweli mungu utuokoe kwa hili hata mashehee unajua shelia za mikataba kweli please ungeongelea mambo ya imani na umoja wa muungano tu sio kuongelea mkataba
Wakati kila kanisa linaongelea mkataba. Miaka yote mnafanya Udini halafu mnasingizia watu wengine ili kuwaogopesha kusema lolote lile. Tumeshtukia. Unaona sasa kuna Waraka ambao utasomwa kwa siku 60??
Nduguzetu katika.adam viongozi wao nivibaraka wawanyonyaji wanatumwa uko ulaya kutunyonyasisi kwa kisingizio chaimani yao wNatumwatu kutuibia nawatu wanajua hawasemi kwasababu yaujinga wao hawarisiwi walahawaudumii familiazao ila wanapambana kwa ajili yawazungu alafu wanajiita wasomi hawa ciowasomi ila niwajinga waciojielewa inchi nitajili hawa ndio wanao tafuna nchi watoa elim kwajpendereo wabaguzi ila dhurma hai dum wape tarifasheh uo ndo ukweli
Ukitumia akili unaweza kujua kilicho mbele yetu ni vifungu vya mikataba usituletee uchochezi wa kidini kama unataka tupalaganyike Kwa sababu ya akili Yako tuko tiali ndo uje ujue
Shehe unajipotosha soma mkataba na hoja. Swali kubwa nijinsi gani wamepatikana Hawa dp world lini zabuni ilitangazwa na lini walichaguliwa? Haya ndiyo maswali yanayohitaji majibu acha porojo
@@jumantakebuka hakuna Cha propaganda Wala Nini suala ni maswali muhimu yapatiwe majibu ya ukweli na uhakika. Watu wametaka kujua mwekezaji dp world amepatikana vipi? Muda wa mkataba ni miaka mingapi, Tanzania kama nchi itapata shs ngapi kwa mwaka, ajira ngapi kwa watanzania zitapatikana, na mengineyo mengi. Sasa huo udini hapo ukowapi?
Wewe ndio unaleta udini na kuuchochea kwenye siasa. Nimekusikia mara kadhaa unachochea chuki za kidini. Usitufikishe Mahali tusipotaka. Jibu hoja za watu Kuhusu mkataba huo.
Mziwanda unatumiwa vibaya we we ndie unaanzisha udini tena bila sababu,,,zungumzia faida ya mkataba ,,kamahilo hujui nyamaza kwani hiopia ni elimu.uislamgani mbona sijakusiki hatasikumoja unazungumza kuhusu faida za wanao nyanganywa aridhi zao,waliouwawa na wasiojulikana walio tekwa na waliofungwa na kuumizwa usitugombanishe na wasikua waislam kwani we we ndio unakua wakwanza kulitaja hilo ukiamini uarbu ni uislam sijui makanisa yalio uarabuni ni ya akina nani,
Shida ya hawa makafiri wa kiislamu yn Rais akiwa wa dini yao akifanya madudu , akiguswa tu utasikia wanamdisi kwa sababu ni muislam daah watu wa hovyo sana hawa ,yn wana Stockholm Syndrome ya kupenda mabwana zao wa kiarabu ata kama wanafanya ujinga ka huu wa mkataba mbovu wa bandar .
Udini upo sheikh wangu we umeona wapo waliokwisha sema kuhusu mavazi ya hijabu na wapo viongozi wa kikristo wanapinga huyu mwekezaji na wanasema tumeuzwa na kuitaja Zanzibar wanamaanisha Nini kutugawa mbona alikuwepo TICTS hawakusema mpaka Magufuli alimsema?
shekhe huna maarifa unatakiw kuzungumzia mkataba unasemaje yaani utakuwa na faida gani kwa tanzania? mafanikio ya Dp world hatuyahitaji wala hatukatai uwekezaji tunaulataa mkataba ww ni mnafikii sanaa
Swali kwa aliyesoma. Hii Tanganyika na Zanzibar ilipata vp Uhuru bila kukaa mezani na wenye vitalu hivi yaani makoloni ikiwa wakoloni hao wamewekeza teknolojia na mitambo ya matrilioni ambayo hatuwezi kununua je walivyotukabidhi Uhuru wa bendera hii bandari kimkataba ilikuwa yetu haswa bila chochote kitu kingi kupelekwa kwao ?
Watu wanakusikiliza tu, kama unavyojisifu. Utueleze hao wachina na unaowasema walileta hasara au faida na hao wataleta faida gani? Au unatulazimisha tuamini ccm hawa sio wale na tania zao zinatofautiana? Hiyo midege alianza kununua samia au mfumo wa ccm? WATANGANYIKA HATUTAKI KUUZWA KIZEMBE AU WEWE SIO MTANGANTIKA?
Niwaombe wakristu mnapocoment tumieni lugha nzuri. kwani hata sisi tunawasikiliza viongongozi wenu wa dini. na hatuwatukani bali tunaheshimu mitazamo yao. Hivyo nanyi heshimuni mitazamo ya viongozi wetu. Kinyume ya hapo mtazua matusi pande zoto. Kwani hata sisi tunaweza kuwatusi askofu zenu.
kama ni hivyo basi twende na kwenye mchezo mbona wachezaji wa mpira wa miguu na wasanii walio wengi ni waislam halafu mziwanda hujahoji?huoni nawewe una udini??
Ni kweli udin upo , kama shida ni mkataba na jinsi ya kunufaika mtanzania mbona mkataba wa wachina wa bandar hatujauliza mtz ananufaika vip? Na je mikataba mengine ya wazungu wachina mbona watu hawajauliza mtz ananufaika vipi ? Tuache chuki
Acha utani,umesahau kwamba alivypingia Magufuli Cha kwanza alipiga chini mkataba wa wachina wa bandari ya bagamoyo? Na watu walipinga toka mwanzo Ila huyu mama ndo akarudisha tena
TICS WALIKAA MIAKA 30 TAKRIBAN, MUHIMU NI UFANISI WA KAZI, NA UBORA WA MKATABA, MUDA USIKUPE SHIDA. MSIKILIZE SHEIKH KWA AKILI WAZI UTAJUA HOJA YAKE VIZURI.
Mbona lipumba. Kapinga na fatuma karume na wengine wamepinga hao nao ni wakristo unapandikiza mbegu mbaya mikata ya hizo nchi umezitaja umeona mikataba yao
TATIZO LIPO KTK KUFIKIRI KABLA YA KUSEMA NA HILI MBAYA ZAIDI HASA HAWA VIONGOZI WETU WANAWOTUONGOZA KTK TASISI MBALIMBALI ZA KISEREKALI NA ZISIZO ZA KISEREKALI
Kwamkataba huu sio sisi woote waislam atuuwafiki Kuna vitu vingi imo nani aiwezekati Leo ukiuliza ngorongoro aisomi tz kiongozi fikili upya kumbuka kutokua msikiti uwanja wa taifa mpaka malkazi kilikua kiwanja Cha waislam kikowapi kukubali kiwepesi
Kweli kabisa. Anapokuwepo rais muislam ndo huwa kunazuka maneno mengi kutoka kwa wakristo kuhusu udini. Lkn anapokuwa kiongozi mkristo sisi kimya. Mmezoea kupanga mambo ya serikali kanisani lkn subirini awamu hizo za mbele. Mwacheni mama afanye kazi
Shekhe tatizo sio udine unaotuaminisha ! Tatizo ni mkataba ulivyo. Nchi ulozozisoma mikataba yao umeisoma?au wewe ndo unatuletea udini?Huna hoja Shekhe. Tatizo ni vipengele ndani ya mkataba. Duniani hakuna mkataba usio na ukomo. Wewe Shekhe umeusoma mkataba au porojo za kijiweni
Mashallah, ukweli haujifichi Sheikh! Ipo vizuri sana!
Kwa unyenyekevu mkubwa, utaeleweka vizuri zaidi ukituelimisha manufaa/athari za kila kipengele ndani ya mkataba mama (IGA) kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuelimishe. Asante
Wewe chawa mkubwaelimu duni
Shekhe muogope mungu mungu kasema ogopa dhanna na chungeni dimi zenu nikukumbushe shekhe kiyama kipo na utasimama kuyasema haya siku ya mwisho mbona husemi mungu anasemaje kuhusu utawala huu
SHEIKH NAONA ,HAUJAELEWA VYEMA,KUHUSU "MKATABA"....WENYEWE ..KAMA TULIVYOELEKEZWA, AU KUSOMEWA NA WATAALAM..WENZETU.
-NARUDIA NA MIMI ,HAKUNA UDINI KAMA UNAVYOTETEA...WAONE WATAALAMU WAKUELEWESHE...MKATABA ULIVYOELEKEZWA
Ongela sheikh wangu hapo ulisema ukweli kbsa allah akuongezeye umli mulefu
Asante sana kwa kuelewesha
Mashaaalllah hakika nimekuelewa Sana sheikh mziwanda
Shekhe wetu muharam unakosea sana umepitia mkataba
Wewe makafiri hawawataki waislamu hata kikwete walmpinga
Wacha aseme, mfumo kristo unaujua weye
Shekhe mungu anakuona nasema tena mungu anakuonaaaa ungetuelezea mkataba wa dp word na bandari za uingereza na sisi kama iko sawa tungekusoma ebu tuache tunajielewa unatutisha sisi siyo midoli
Ukweli unauma lakini haubadiliki, unabaki kuwa ukweli. Shekh umeongea vyema, Allah akuhifadhi
Ni kweli tujadili mkataba si kwa mihemuko wa dini au ushabiki wa siasa tuijenge nchi yetu
Apo ndipo wakoloni walipotuweza, warabu na wazungu wote ni wakoloni wanyonyaji, apo dini inaingiaje.
Kaka nimekuelewa xana mungu akubaliki wafrika dini zinatuchanganya
Vifungu vya mkataba vinahusianaje na udini jaman
Tusivuruge amani ya Tanzania na maswala ya udini
Asante sana 😅Jamaa pamoja na ongea yake ya kusoma lakini ni shida bado kutamka alichoandika anasoma kama mtoto wa darasa la kwanza. Yaani kuitwa Shekh kaona ashindane na wanasheria wanaochambua vifungu vinavyokosolewa ambapo sio msomi mmoja anakosoa na sio upinzani tu wananchi walio wengi.Yeye kaona atoke vipi ati kwenye jambo la muhimu kama hili.Bora angetulia maana ongea yake haileti tija anajivunjia heshima tu.
Wew hujui kitu ndyomana unaongea hivo.,, Kwahyo Kaa kmy ikiwa unaonaje hapo dini haijahusika... Si akil yako imelala
Una elimu gani wew tujuane?
Ustadh nakuheshimu Sana ila kwenye hili ntakuchukua Mimi ni muislamu ila sisi Kama wananchi hatujasemea kitu udini Wala ukabila tunazungumzia nchi yetu bandari ibaki Kama ilivyo kwani hatuishi
Kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu. Tuache mihemko ya itikadi na udini, hapa ni swala ya Kitaifa au nchi, hakuna mwenye mawazo kama yako watu ni waelewa sana mziwanda.
Ni kweli kabisa lina sura ya udini ukabila na siasa
Shekhe Muharami Mziwanda mimi nimuombe Allwah aniweke karibu mno nawe peponi
Mumechukuaulungula
Fact shukran ❤️
Shekher unakosea sana tunasoma mengi kwenye mitandao rakini hatujaona sehemu iliongelewa kuhusu udini kwenye sakata la bandali ni wewe tu ndoo unaeongelea udini na uzazibali unaviashilia vya uchochozi wa kidini unatakiwa mue kitu kimoja na wezenu wakristo kujadili swala la badali nakuona kama ni sawa au sio sawa
Ni waraka wa hovyo huna lolote la maana umepoteza muda wako kwa nitakuona ni wa maana sana ukisimamia waalimu wetu wa Madrasa hawana ajira za kueleweka wala mishahara hapo utekeweka sisi tuna taka mkataba ulio bora na kutenda haki pande zote mbili kwa hiyo hata JWTZ wakitaka kufanya shughuli zao za kiulinzi ndani ya bandari watoe taarifa kwa mwaarabu hongera shekh chawa wa CCM
Mjinga Huyu watu tunaongelea mkataba uliopo mapungufu yeye anaongelea faida cjui ddp walimpa shi ngapi Huyu elimu haiko kichwani
Udini wanini katika suala la kuitetea nchi yetu isizame
Udini gn tena mbona mkataba wa MoU hamuusemi huu kwanza ili tujue tunaongea lugha moja kuhusu mikataba 😅😅😅
Uliwahi kutetea wap mbona kuna mikataba mingi ya ilifanyika uko nyuma mbona hutukuona kelele yyte/
Shehe shida sio uwekezaji shida ni vipengele vya Mkataba especially 22, na 23 ibara ya 4 Mkataba hauna Time frame or duration na hauvunjikiii hayo ya mambo ya udini nasikia kwako shehe shida ni mikataba mingi tunapigwa , wasiwasi ndo akili shehe fafanua vipengele vya Mkataba ndo utaelewa usijeingizwa chaka 😊
tatizo sio warabu tatizo namna ya mkataba ulivyo miaka 100 nawewe mziwanda unaona ni sahihi? sio kuuzwa huko??
Hayo mambo waache wataalam watueleze hayo nakutusomea ww dini za nn apo tueleze maoni yako kwa nafasi yako ulo nayo maana umebeba mawazo ya wengi hivo tulitegemea tusikie maoni yako nasio kutaja nchi ambazo hiyo kampun ipo mala walim wameajiliwa wa ngap hiyo sion kama kazi yako shekhe.
Mikataba ambayo haikuhojiwa ni mingi na hapo ndipo inapodhihirika shaka ya udini, baadhi yao ni 1) mkataba wa kanisa katoliki kupewa sehemu ya mapato yote ya serikali MEMORANDUM OF UNDERSTAND. 2) UBALOZI WA JIMBO LA VATICAN unawakilisha diplomas ya kanisa katoliki nchini.kana kwamba nchi hii ni ya kikristo.3 MKATABA WA MAKAMPUNI YA UCHIMBAJI DHAHABU YA KIMAGHARIBI ambapo kila Tshs 100 nchi ilipewa shillings 3 tu, huku mchanga ukibebwa kwenda kuchakatwa ulaya. Hiyo ni michache tu kati ya mingi, ambayo hatukushuhudia maandamano wala mikutano ya wataalamu wanasiasa au viongozi wa dini. Waislamu msiingizwe kwenye mkakati huu haramu
Basi kama hiyo ndiyo hoja yako vizuri useme kuwa mkataba huu hata kama haufai usihojiwe kwavile mikataba ya huko nyuma haikuhojiwa. Cha msingi tu inapaswa kufaham wambahii ni 2023 upatikanajiwa taarifa mbalimbali ni mpana zaidi kuliko zamani hivyo kutokuhojiwa kwa ubovu wa zamani bila shaka nikwasababu ya ufinyu wa msambao wa habari wa wakati huo
Mikataba Mingi hiyo unayoisema iliingiwa na Kikwete na ni Muislam,tusitetee ujinga kwa kigezo Cha dini
@@ngadupalaamour liambie hilo marais wa kiislam tanzania ndio wanao wapigia magot wanyonaji na kuuza mali za inchi hakiamungu waislam tu kwama sana
Udini Sasa wapi? Nabandari shehe usichanganye mada tunataka kauri Moja yakukodisha bandari udini huo weka pembeni
Hujamuelewa shekh
Anaongea kweli wala hazui. Anakemea mitazamo hasi
Vipengele vyenye shida kwenye mkataba mbona hujavitolea ufafanuzi?
Mfano1
ukomo wa mkataba utakuwa ni wa muda gani?
2. endapo hizo Tani alizoahidi hazitafikiwa kama ilivyokuwa kwa baadhi ya nchi ambakoDp
analaumiwa tufanye nin?
3.Wapi pameandikwa serikali itapokea faida ya kiasi fulani.
Ongea vipengele vya mkataba acha ujinga nani kakwambia habari za dini sema Tanzania wamewekeza sh ngapi?
A, aleykum mziwanda mi sikuelewi kwanza ungesimama kama sheikh ungemshauri Samia akaelewa kwamba hairuhusiwi mwanamke akawa ndo msemaji ma muamzi wa mambo ya waislam Allah anamkataza hata kuinua sauti yake Kwa wanaume,mwambie Hilo,ili nikuelewe jidhihrishe wazi wewe umesahau kwamba dini ni Bora kuliko mu 4:57
Huo ndio ukweli nilikuwa nasubiri mtu atakae kuwa na mtizamo kama wangu, Alhamdullillah Allah kamleta
Hata Kambaya wa CUF hakukubalika chadema kwa sababu ana historia safi ya kupinga MFUMO KRISTO
Udini unaingiaje hapo,miaka mingapi,?
Muislam anaweza kujiua kwaajiri ya dini yake.... Si ajabu kusupport mktaba mbovu kwa gharama yeyote kwa ajiri ya kukuza dini...
MashaaAllah shekh Mzindwa baadaye tunamsubiri Mazinge
Wewe mtoa mada kwanza wewe ndo unaleta udini maana malalamiko ya watanzania ni mkataba ulivyo andikwa hivyo polisi mkamateni huyu mjinga anaye taka kuleta udini katika swala nyeti kama hili
Tueleze faida za huo mkataba na mwisho wake hayo mambo ya cjui udini sisi hayatutishi
Shehe, pambana na mkataba, uislam au ukristu siyo ishu. Wanaoupinga so wakristu tu hata waislamu wapo, soma maoni na majina ya wanaopinga mkataba. Maraisi wetu waliopita 3 wakristu, 2 waislamu, na sasa 1 mwislamu. Swala LA bandari halihusiani na dini yoyote, usiibgize fikra hizo kwetu sisi tu wamoja na hakuna kitachotutenganisha
Mziwanda hoja iliopo ni vipengere vya makubaliano vina mfaisha nn mtanzania na muda watakao kuwepo
Faida ni nyingi tu ukilinganisha na hasara tunayoipata hivi sasa. Si muangalie hiyo mifano ya hizo nchi wanazoendesha hizo bandari Sao?
Kwenye madini mnanufaika nn hayo mawaraka yenu fungieni vitumbua
@@ibrahimuhincha1457 acha udini wewe pimbi kwani dini ya baba yako mimi naongea kuusu. Mkataba ni mbovu sana na Tec wame toa waraka wao na islamicki hitowe waraka wake sio kupinga maoni na waraka wa teki wewe dini ime kutendea nini cha kujivunia
Allah Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar maneno ya hikima kabsa Akbar
acheni kuweka udini mwenyezimungu apendi ss tunachotaka mkataba ni wa muda ngani?
Nakupongeza shekh allah akupe umri mrefu maaskofu wote wanapinga huu mkataba na wanaupinga kwa sababu wanaowekeza ni waislaam huo ndo ukweli wenyewe na shhekh upo sahihi kabisa
Mkataba unapingwa kwa hoja za kisheria, kikatiba na mustakabali wa nchi na siyo Imani za kidini. Ingawa yaliomo kwenye mkataba nimambo ya kisomi (shule zaidi) huhitaji elimu kubwa kuweza kuyaona mapungufu yaliomo. Suala la nchi hata liwe jema kiasi gani likiendeshwa vibaya au kinyume na taratibu tulizokubaliana lazima wenye akili timamu wahoji na kupinga
@@Matikitiworld Mmetiana sumu huko makanisani. Itakuwaje Maaskofu wote wawe na maoni yanayolingana ya kupinga tu. Waislam tumewashtukia!
@@maymunamakungu6265 kama wewe unapima masuala haya kwa kutumia Imani yako ya kidini utafeli sana sana. Wenzako unapoona mjadala unazidi tunatumia uchambuzi wa 1. Katiba, 2. Sheria za nchi. 3 taratibu tulizojiwekea. Ukivunja kimojawapo kati ya haya huwezi kuachwa hata uwe na dini inayopeleka watu ughaibuni hatukuachi. Sasa wewe hiyo dini yako inawezekana haitizami mambo haya ndiyo maana unaona kama Imani yako inakosa haki. Bahati mbaya nchi yetu haiongozwi kwa misingi ya kidini Bali katiba, bunge. Sheria na taratibu zilizowekwa. Pole sana lakini huwezi kuukwepa ukweli huu.
@@maymunamakungu6265 na kwa taarifa yako makanisani hakuna sumu, muumini au mtu yeyote akijiinua kuwa kinyume au adui wa kanisa hushughulikiwa na Mungu mwenyewe tunayemwamini Wala hutaona mkristo atakayebeba silaha kukupiga, utapigwa na Mungu na Kisha utakuja kueleza mwenyewe jinsi ulivyoshughulikiwa. Kama hujui Fanya utafiti.
Hacheni kuweka Udini au Ukabila hamjui kuwa mko na Authority kubwa Kwa jamii?
Hapo swala nimkataba
Watu wameshindwa kuelewa baada kuona au kusikia kuwa
Mkatabata inasemekana unaonyesha
1.Hauna mwisho (Kikomo)
2.Wanachukua port's zote
3.humuwezi kuuvunja
4.hauonyeshi Tanzania wanapata Nini na Kwa wakati Gani
5.kuna Neno Strategic Infrastructure ,Ambalo Neno Hilo pia linasemekana wataingilia Airport,Reli,na Makazi ya watu watakapokuwa wanaitaji Kwa Shughuli zao
N.k
So hayo machache na mengi ambayo mab siyajui au sijayasikia ndio imekuwa chanzo kikubwa Cha mshtuko Kwa watu.
So Tuache hizo itikadi tuwe wamoja ktk hili kama linafaa au halifai au .....?
Hili jambo limepotoshwa sanaa,ule sio mkataba,mkataba wenyewe bado,fatilia vizuri acha mihemko
Umesema inasemekana....kautafute uusome. Hoja ya sheikh ielewe vizuri. Kamsikilize na Mbowe pia ndio utajua Sheikh anazungumzia kiini gani kwenye hoja yake
Ukabila upo Powe amewatusi wazanzibari raisi na wazir mnyaya wanauza nchi
Unaposema wataingilia makazi ya watu of course wakihitaji makazi ya watu si watalipa fidia Tanzania au Tanganyika eneo linalokliwa ni chini ya asili mia tano.
Unaposema watachukua viwanja vya ndege kwani wanapora si wataendesha kwa muda na ukimaliza muda wao kama kuna tija itaongezewa muda au kukataliwa kuongeza
Hawa wakipewa vidonge vyao husema tunaweka Udini wao wakisema sawa udini upo na ulianza toka Uhuru
Saaafi kabisa kiongozi
Nyie anzisheni choko choko tu halafu vurugu ikishatokea, wataingi watu waovu kuvuruga nchi kama somalia, halafu mwisho wa Siku mtaambiwa kwamba nyie ni magaidi, wakati siyo kweli.
Ninachokushauri soma vipengele vinavyoleta utata ndani ya huo utata.
Waislamu tumuungeni mkono rais Samia
Mozambique wameingia kwenye migogoro ambayo wameshindwa kuitatua , soma habari za Mozambique shekh
mmmmmm ustaadh Mambo ya udini yametokea wapi tena?swala ni mkataba Tata WA usiri
Katumwa kuendelea kupakaza shombo
Kwanini Zanzibar hawakubinafsisha??
Usituletee udini ndugu ila ukitaka kuleta poa uwanja niwako lakini ukikamilisha ndo utajutia maneno Yako kilicho mbele yetu ni vifungu ukizungumzia ilo utaeleweka sana binafisi kinacho kusumbua ni dini sio vifungu vya mkataba pole sana
Tusiweke ushindani, sauti ya wengi nisauti ya Mungu mwenyewe.
Sheikh nimependa hiyo AYA quran haijacha kitu ikisikiliza hiyo AYA inaelimu kubwa sana kabla ya kupokea kitu maneno kutoka kwa watu lazma tutafakari ndo tutoe maamuzi
Sheikh yuko sahihi kabisa. Jibuni hoja kimantiki. Wengi wenu mlilisema hilo la uarabu na uislamu kwenye comment zenu . Msimshutumu sheikhe
Upuuzi mtupu. Unaacha pointi na kukimbilia kwenye hisia. Kwa mtindo huu jamii itaangamia. Eti watu wasilaani madudu Kwa kuwa yamefanywa na watu wa dini Fulani au wa kutoka sehemu Fulani. Lowassa alilazimika kujiuzuru Kwani alikuwa mwisilamu
Dini inakujaje tena wananzengo,toa maoni yako
Serikali imetoa uhuru wa k wa kuongea ongeeni ila msilete mambo ya udini na ukanda
Ukanda mmeanza nyinyi mnadharau sana wazanzibari lkn mwenyezi mungu amekuonyesheni kwa kukuleteeni rais mzanzibar bola wenyewe kupenda tena mwanamke na anaweza
@@maymunamakungu6265 tuelezeeni faida za huo mkataba na ukomo wake msituhamishe kwenye mjadala
Au ni mm ambaye simelewi?
Sheikh usidhani kuna mikataba ya maskini ilioishia.kelele sana.kuna network solution kuna loliondo walikuwa waislamu?
Mwisho wa siku point yako ni ipi? Acha ujinga kwahio huo mkataba ni mzuri?
Huyu anataka kuigawa nchi kwa kuingiza udini ,huyu anapanda mbegu za chuki kati ya uislam na ukristo.Maana amehamisha kabisa mada na kwenda kwenye udini.Sasa imekuwa udini na sio mambo ya muhimu. Nilidhani ataongea mema kumbe kaja kupakaza sumu humu
Safi nime kuelewa vizuri
Shekhe Mimi sjakuelewa kwasababu unatutangazia udini nchini kwetu,Sasa unataka no chi yetu iwe ya udini????
Shekhe ,sioni udini, mkataba ni wa hovyo.
Mbona uelewa wake Mdogo sana, tell the world truth, wewe unahitaji elimu zaidi, falsafa za kidini na maano madogo ya komantiki ndio ndio umemutawala, he is egnorant
Kama wameajiliwa kwani si kufuata vigezo someni muajiliwe wengi
sheikh hizo ni opinion zako upo nje ya mada kabisa
Mimi nafikiri ndugu zetu waislam hamjui ukristo una dini nyingi unaweza ukaona aliyesema ni wale wanaojitokeza kusema mimi nabii sijui mzee wa upako.huwezi kusikia lutheran,cathoric,anglicana sabato ikiongea hayo mambo hizo thehebu zinawasemaji wao
Shee hawo warabu kwani vp watanzania tulalamikia mkataba Udin umetokea wap tena
Mzuwanda uko sahihi kwa yote Sheikh wangu....na ndicho kinachojili daima hapa nchini...maadui wetu wakubwa wanaoiharibu hii nchi ni hawa mashetwani BAKWATA....Ndiyo njia za maovu yote hayo kujivesha koti kwa maslahi yao bila kujali mafundisho ya muongozo wetu kiimani.
Wee mbn unakuwa na chuki zakipuuzi bakwata wamehuckann apo mjingaww
Daah kweli mungu utuokoe kwa hili hata mashehee unajua shelia za mikataba kweli please ungeongelea mambo ya imani na umoja wa muungano tu sio kuongelea mkataba
Wakati kila kanisa linaongelea mkataba. Miaka yote mnafanya Udini halafu mnasingizia watu wengine ili kuwaogopesha kusema lolote lile. Tumeshtukia. Unaona sasa kuna Waraka ambao utasomwa kwa siku 60??
Mm nakuelewa saana alhabib mziwanda
Wachina wakristo? Mbona hamjiamini
Shehe nenda kwenye point acha maneno mengi..udini uko wapi tunahitaji rasimali za nchi yetu ziheshimiwe..
We we yahudi
@@salehesalehe2967 Yahudi 👍🏽 anakaa Canon
Lkn ww ni palestina kaa hukohuko gaza
Nduguzetu katika.adam viongozi wao nivibaraka wawanyonyaji wanatumwa uko ulaya kutunyonyasisi kwa kisingizio chaimani yao wNatumwatu kutuibia nawatu wanajua hawasemi kwasababu yaujinga wao hawarisiwi walahawaudumii familiazao ila wanapambana kwa ajili yawazungu alafu wanajiita wasomi hawa ciowasomi ila niwajinga waciojielewa inchi nitajili hawa ndio wanao tafuna nchi watoa elim kwajpendereo wabaguzi ila dhurma hai dum wape tarifasheh uo ndo ukweli
Ungeshauli wapewe Gati Moja ningeelewana ningekuelewa lakini bandali zote she unakwenda tofauti tiks akipewa Gati Moja kasumbua je magati yote
Ukitumia akili unaweza kujua kilicho mbele yetu ni vifungu vya mikataba usituletee uchochezi wa kidini kama unataka tupalaganyike Kwa sababu ya akili Yako tuko tiali ndo uje ujue
Utawaweza hawa wanafki wachumia matumbo sjui ata wametokea wapi hawa nao .Njaa mbaya sana 😂
Shehe unajipotosha soma mkataba na hoja. Swali kubwa nijinsi gani wamepatikana Hawa dp world lini zabuni ilitangazwa na lini walichaguliwa? Haya ndiyo maswali yanayohitaji majibu acha porojo
@@Matikitiworld TICTS walipatikana lini, na zabuni zilitangazwa wapi?
Pamoja na vifungu vya mkataba kuna pia propaganda chafu nyuma yake. Na ndio maana Sheikh anakemea. Hakuna udini hapo
@@jumantakebuka hakuna Cha propaganda Wala Nini suala ni maswali muhimu yapatiwe majibu ya ukweli na uhakika. Watu wametaka kujua mwekezaji dp world amepatikana vipi? Muda wa mkataba ni miaka mingapi, Tanzania kama nchi itapata shs ngapi kwa mwaka, ajira ngapi kwa watanzania zitapatikana, na mengineyo mengi. Sasa huo udini hapo ukowapi?
Shekhe niache kidogo relini ww endelea na safari yako ya bondeni huko
Wewe ndio unaleta udini na kuuchochea kwenye siasa. Nimekusikia mara kadhaa unachochea chuki za kidini.
Usitufikishe Mahali tusipotaka.
Jibu hoja za watu Kuhusu mkataba huo.
Dk Ilunga Kapungu aliwahi kuendesha makongamano nchi nzima kuelimisha juu ya MFUMO KRISTO.
Unakosea mkataba umeona au unaongea kutugawa achaa udini bandari ni yetu wote watanzani atukubaliani na mkataba wakukuodisha bandari zote, tubaii siyo nchiiii jamani nanikatuloga😭😭😭
Hii nchi ngumu.
Shida sio dni.
1. Muda wa mkataba
2. Kwanin mkataba hauhusishi bandar za zazibar
Kwani wewe umeiona Zanzibar tu hakuna bandari nyengine?
Mziwanda unatumiwa vibaya we we ndie unaanzisha udini tena bila sababu,,,zungumzia faida ya mkataba ,,kamahilo hujui nyamaza kwani hiopia ni elimu.uislamgani mbona sijakusiki hatasikumoja unazungumza kuhusu faida za wanao nyanganywa aridhi zao,waliouwawa na wasiojulikana walio tekwa na waliofungwa na kuumizwa usitugombanishe na wasikua waislam kwani we we ndio unakua wakwanza kulitaja hilo ukiamini uarbu ni uislam sijui makanisa yalio uarabuni ni ya akina nani,
Shekh mbona uningi mahali pasipo husika,wewe ndio unaingiza udini.unanimalizia mb zangu,nimiongoni mwa wale wahovyo
Sheikh yuko sahihi. Ukweli mchungu
Yahudi wewe
Shida ya hawa makafiri wa kiislamu yn Rais akiwa wa dini yao akifanya madudu , akiguswa tu utasikia wanamdisi kwa sababu ni muislam daah watu wa hovyo sana hawa ,yn wana Stockholm Syndrome ya kupenda mabwana zao wa kiarabu ata kama wanafanya ujinga ka huu wa mkataba mbovu wa bandar .
Nyinyi huwa mnaanza wenyewe kuusema uislam msituzingue
Kafiri ni wewe na katu Dora hatutaachia makafiri ninyi
Namkumbuka sheikh ilunga juu ya mfumo kristo
Wwewe ndo mdini, unasemaaaa lakini sijasikia sehem hata Moja wameongelea udini
Udini upo sheikh wangu we umeona wapo waliokwisha sema kuhusu mavazi ya hijabu na wapo viongozi wa kikristo wanapinga huyu mwekezaji na wanasema tumeuzwa na kuitaja Zanzibar wanamaanisha Nini kutugawa mbona alikuwepo TICTS hawakusema mpaka Magufuli alimsema?
shekhe huna maarifa
unatakiw kuzungumzia mkataba unasemaje yaani utakuwa na faida gani kwa tanzania? mafanikio ya Dp world hatuyahitaji wala hatukatai uwekezaji tunaulataa mkataba
ww ni mnafikii sanaa
Swali kwa aliyesoma. Hii Tanganyika na Zanzibar ilipata vp Uhuru bila kukaa mezani na wenye vitalu hivi yaani makoloni ikiwa wakoloni hao wamewekeza teknolojia na mitambo
ya matrilioni ambayo hatuwezi kununua je walivyotukabidhi Uhuru wa bendera hii bandari kimkataba ilikuwa yetu haswa bila chochote kitu kingi kupelekwa kwao ?
Hauna hoja ndugu yangu unatuaibisha waislamu wenzio
Watu wanakusikiliza tu, kama unavyojisifu. Utueleze hao wachina na unaowasema walileta hasara au faida na hao wataleta faida gani? Au unatulazimisha tuamini ccm hawa sio wale na tania zao zinatofautiana? Hiyo midege alianza kununua samia au mfumo wa ccm? WATANGANYIKA HATUTAKI KUUZWA KIZEMBE AU WEWE SIO MTANGANTIKA?
Niwaombe wakristu mnapocoment tumieni lugha nzuri. kwani hata sisi tunawasikiliza viongongozi wenu wa dini. na hatuwatukani bali tunaheshimu mitazamo yao. Hivyo nanyi heshimuni mitazamo ya viongozi wetu. Kinyume ya hapo mtazua matusi pande zoto. Kwani hata sisi tunaweza kuwatusi askofu zenu.
Shehe mpumbavu kabisa huyu ..anakaa kwenye media utafikiri ana la maana kumbe ni pumba..tu
kama ni hivyo basi twende na kwenye mchezo mbona wachezaji wa mpira wa miguu na wasanii walio wengi ni waislam halafu mziwanda hujahoji?huoni nawewe una udini??
shekhe unazalilisha uislam
Mziwanda elewa kinachoongelewa ni aina ya mkataba na sio nani anawekeza.
Usichanganye mambo bila maarifa
Ongelea mambo ya bandari na sio udini maana sisi tumezaliwa kwenye familia wapo waislam na wakrito tunacho pinga ni mjataba na sio dini shehe
Divide and rule kazini tiyari
Exactly apo ndo ujue tushaingiliwa
Ni kweli udin upo , kama shida ni mkataba na jinsi ya kunufaika mtanzania mbona mkataba wa wachina wa bandar hatujauliza mtz ananufaika vip? Na je mikataba mengine ya wazungu wachina mbona watu hawajauliza mtz ananufaika vipi ? Tuache chuki
Acha utani,umesahau kwamba alivypingia Magufuli Cha kwanza alipiga chini mkataba wa wachina wa bandari ya bagamoyo? Na watu walipinga toka mwanzo Ila huyu mama ndo akarudisha tena
Sheye watu wanauliza unaisha lini,hawajakataa kuwekeza mimi ndivyo nilivyoelewa
TICS WALIKAA MIAKA 30 TAKRIBAN, MUHIMU NI UFANISI WA KAZI, NA UBORA WA MKATABA, MUDA USIKUPE SHIDA. MSIKILIZE SHEIKH KWA AKILI WAZI UTAJUA HOJA YAKE VIZURI.
@@yussuphsultan1400 kwahiyo we unaona ufanisi ni muhimu kuliko ukomo wa huo mkataba?acha hizo ww
Mbona lipumba. Kapinga na fatuma karume na wengine wamepinga hao nao ni wakristo unapandikiza mbegu mbaya mikata ya hizo nchi umezitaja umeona mikataba yao
Shehe ebu elezea mkataba unasemaje?
TATIZO LIPO KTK KUFIKIRI KABLA YA KUSEMA
NA HILI MBAYA ZAIDI HASA HAWA VIONGOZI WETU WANAWOTUONGOZA KTK TASISI MBALIMBALI ZA KISEREKALI NA ZISIZO ZA KISEREKALI
Kwamkataba huu sio sisi woote waislam atuuwafiki Kuna vitu vingi imo nani aiwezekati Leo ukiuliza ngorongoro aisomi tz kiongozi fikili upya kumbuka kutokua msikiti uwanja wa taifa mpaka malkazi kilikua kiwanja Cha waislam kikowapi kukubali kiwepesi
Wengine wanawekwa kuzima mjadala ili jambo lipite. Sasa hapo kwenye vipengele vya haki za wananchi, mkataba kutokuwa na kikomo Udini uko wapi
Kweli kabisa. Anapokuwepo rais muislam ndo huwa kunazuka maneno mengi kutoka kwa wakristo kuhusu udini. Lkn anapokuwa kiongozi mkristo sisi kimya. Mmezoea kupanga mambo ya serikali kanisani lkn subirini awamu hizo za mbele. Mwacheni mama afanye kazi
Kwahiyo bunge nalo linafanyika kanisani?