Watoto yatima wawatoa watu machozi kwa wimbo huu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 346

  • @florambugua4833
    @florambugua4833 Год назад +7

    😭😭😭Nikikumbuka ni mm nimebaki tumaini ya watoto wangu 🤦🤦babayao kashafariki,mamangu mwenye angewalea kashafariki😭😭😭ee mungu naomba nisamehe kwani mm ni mwenye dhambi na naomba unijalie maisha marefu nilee watoto wangu😭😭😭wakuwe watu wazima

  • @gracenjora3862
    @gracenjora3862 4 года назад +23

    My faithful lord i speak blessings all over to all orphans...i might not reach you but through prayers u are blessed in Jesus name❤️🙏🙏

  • @EnosWafula-wd5zk
    @EnosWafula-wd5zk Год назад +1

    Mungu nakuomba uzidi kunipa nguvu na uwezo ya kuwalinda watoto wangu wasiche yapitia haya.in Jesus name Amen

  • @janechepkopus9559
    @janechepkopus9559 4 года назад +14

    Aja mungu awabariki nanipe roho ya kuwasaidia hawa watoto,l fill it

    • @moraalydia5371
      @moraalydia5371 4 года назад +1

      Its sad but all in all tats the road following all

    • @valentosarah9936
      @valentosarah9936 3 года назад

      Very touching song,no one likes to be an orphan,let's help them through their had life

    • @eligiamakota3025
      @eligiamakota3025 Год назад

      Mungu wa mbingun atafanya

  • @margaretmburu704
    @margaretmburu704 4 года назад +1

    Mungu awabariki ao watoto kama kanisha watieni nguvu wasiweze kuanguka watu wa mungu kazi ya mungu ni mingi🙏🙏🙏 nimefurahi sana kuano na kuazikiza mungu awabariki sana.

  • @dennismbaka3662
    @dennismbaka3662 3 года назад +2

    Kama umewai umwa na Nyoka, na upatane na hata ngozi ya nyoka, utakimbia.
    Hawa watoto kwa huu wimbo wao, ninautazama lazima machozi initoke.
    God bless them

  • @diamondplatinum8080
    @diamondplatinum8080 2 года назад +3

    This song lifts down hearted and especially when am down ,may God bless this message to reach to the entire world

  • @christineamuku1254
    @christineamuku1254 Год назад

    Amina asante kwa wimbo nzuri God bless you mungu yuko nanyi

  • @sandralyn681
    @sandralyn681 4 года назад +16

    From Kenya. I just feel this kids. Mungu wasaidie mayatima wote

  • @kadengeali5215
    @kadengeali5215 4 года назад +6

    Eeeh mungu ww ndie baba ya mayatima, na tegemezi lao.tuongoze sisi yatima...

  • @cutepretty3619
    @cutepretty3619 3 года назад +1

    May God continue helping us orphan,,,I was treated badly since younghood,,now am in Israel being mothered well ,paid well salary,, insha'Allah Gods is sufficient

  • @PazzahTz9090
    @PazzahTz9090 3 года назад

    daaahhh my song.. naona wanaitumia nyimbo yetu vizuri ila wasirudie kutumia nyimbo za watu kama sehemu ya kujiingizia kipato.. hii ni nyimbo orijinal ya MTC IBALA-MBEYA
    Ipo siku hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.. AMEEN
    BY TEACHER PAZZAH FROM / MTC IBALA MBEYA

    • @nyamanig13
      @nyamanig13  3 года назад

      Mungu atakuinua maana kwa kupitia wimbo wenu Yatima wanafarijika kwa kupata riziki

    • @fhcb386
      @fhcb386 3 года назад +1

      SHUKURU MUNGU Kwa uhai aliyo kupa wewe wa kutuga wimbo huu.

  • @jaspherateka7681
    @jaspherateka7681 2 года назад

    Hey,I touched indeed,Hawa waimbaji mungu wasaidie,I think every head watching has learned a lesson,amen.

  • @histepbusinesscollege
    @histepbusinesscollege 4 года назад +4

    May our faithful Lord bless these children so that their talent can propel them to greater heights. Their message is so touching. My thoughts and prayers are with these angels.

  • @shemerick77
    @shemerick77 3 года назад +8

    This young souls are talented.Glory be to God.

  • @leanneagostino1585
    @leanneagostino1585 3 года назад +2

    Touching a lot am liane from Kenya
    One of the mistreated among the orphans

  • @cesirobert4595
    @cesirobert4595 4 года назад +3

    Ee Mungu uwape faraja watoto wa yatima wote duniani! Amen

  • @magdalene-f4j
    @magdalene-f4j Год назад

    Ewe mungu unijalie uhai nisiwahi acha watoto wangu wabaki wakiwa nipee nguvu niishi nao jehova hadi nizeeke niwatunze niwezeshe kuishi na kuona wanangu wakinawiri humu duniani

  • @sylvestermwaria8405
    @sylvestermwaria8405 4 года назад +5

    Mungu Ni mwema 🥰 🥰 ck zote kwenu watoto

  • @nancybiyekenyaingo4521
    @nancybiyekenyaingo4521 Год назад

    Mungu awainue kwa kila jambo maana yeye n mungu wa yatima nyinyi n watu wa maana sana

  • @davidsoko3985
    @davidsoko3985 4 года назад +12

    Mungu atawafungulia njia watoto wote yatima

  • @beatricegeorge1515
    @beatricegeorge1515 3 года назад

    Mungu nisaidie nifanikiwe nije kuwasaidia Hawa watoto nawapenda mno mungu awatangulie

    • @fhcb386
      @fhcb386 3 года назад

      Imani yako kupitia kwa Maombi itawasaidia

  • @anastasiajoseph-et1zq
    @anastasiajoseph-et1zq Год назад

    Ee mungu wape nguvu zaidi!!

  • @TERESIANJERI-xn9uv
    @TERESIANJERI-xn9uv Год назад +1

    This my situation 😭😭,My dad nd step mom why de hate nd we didn't choose to be born yawa 😭😭,Mungu uko wapi jamani untill when will we live happily tuhaghaishwe tukiwa watoto na sahii sii wazima nd still facing this ,Lord why have you forsaken us😭😭😭😭

  • @FloridaFabian-yx3mo
    @FloridaFabian-yx3mo Год назад

    ❤ mungu awepamoja nanyi kwakila Jambo Amina hayo yapo Sana mungu awaongoze😂😂😂😂😂

    • @josephnanyanga2012
      @josephnanyanga2012 Год назад

      ican't hold my tears nomatter I don't understand but so touching 😢

  • @pascolailonginus-wz4xt
    @pascolailonginus-wz4xt Год назад

    Hakikaa mungu awatunze na ufalme wa mungu ni wap Hawa watoto

  • @MonicaKemunto-dy5ji
    @MonicaKemunto-dy5ji Месяц назад

    It heart's,, even me my mum died when I was too young i will never forget 😢

  • @vincentomondi2218
    @vincentomondi2218 4 года назад +11

    Very sad to us as orphans......😭😭😭kweli inatuuma sana lakini Mungu yupo atatujalia

  • @marywega3273
    @marywega3273 3 года назад +3

    From Kenya it is a touching song 😭😭

  • @christinajohn181
    @christinajohn181 4 года назад +2

    Nice watoto inapendeza

  • @JanethAlex-sg3zu
    @JanethAlex-sg3zu Год назад

    Nimejikuta natowa machoz mwenyez mungu watizame watoto yatima

  • @mbuyarumbi9756
    @mbuyarumbi9756 4 года назад +3

    From Zimbabwe i dont understand what they say nd its also nice song,keep it young ones

    • @nyamanig13
      @nyamanig13  4 года назад

      Those kids are orphans so they have composed a song about what they and other orphans pass through

    • @blessingblessing9466
      @blessingblessing9466 4 года назад

      Mbona wamewakatiya wimbo njiani kama wangiendelea kutowa pesa Mungu awalinde

  • @shalinekorir7574
    @shalinekorir7574 Год назад

    Oooh God it so painful .......dear God naomba unisaidie nilee tu watoto wangu

  • @ksaksa1817
    @ksaksa1817 4 года назад +5

    Kweli mungu awakumbuke mayatima wote mungu anawapenda sana

  • @nicholasmutunga9469
    @nicholasmutunga9469 6 месяцев назад

    I worry and feel xo bad and painful coz am a parent it makes me think alot but all in our father who is in heaven is everything may he stay with them.

  • @angelbeb1105
    @angelbeb1105 2 года назад +1

    God bless this young kids from Kenya

  • @michaelkatigula5793
    @michaelkatigula5793 4 года назад +2

    Amen saana Kwa wimbo mzur ujumbe tumepokea

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 4 года назад +3

    Hakika machozi yamenitoka Mungu atawapigania tu mbarikiwe kwaimbo mzuri

  • @stellaetyang7084
    @stellaetyang7084 4 года назад +3

    First i thank God for me to be an ophan, and my children also are ophans , God kile tuna pitiya God we live in ur hands 🖐️🖐️, God guide all ophans and protect, bless us all, thanks to be to God

    • @lucianjeriofficial5549
      @lucianjeriofficial5549 4 года назад

      Your children are orphans how?? Are you typing from the grave,..

    • @deborahmiyungo8550
      @deborahmiyungo8550 4 года назад

      @@lucianjeriofficial5549 maybe his husband died

    • @fhcb386
      @fhcb386 3 года назад

      Pia nami ni ivo, lakini MUNGU ako nasi kila wakati 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @janetiwambula4462
    @janetiwambula4462 3 года назад

    Poleni dana mayatima wenzang mngu azidi kuwatia nguvu

  • @mitegajoel2618
    @mitegajoel2618 3 года назад +2

    God of all,bless those souls of yours,they need none but you.AMEN!

  • @HappyYoel
    @HappyYoel Год назад

    Mungu awabariki sana na awatie nguvu

  • @marymwita4521
    @marymwita4521 4 года назад

    Eeee mungu nipe maisha marefu niweze kuwalea wanangu

  • @latiphaexaud2217
    @latiphaexaud2217 4 года назад +3

    😭😭😭😭😭😭😭.Mungu pekeee ndio anawezaa

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 Год назад

    Ee Mungu wew ni baba wa yatima endelea kuwatunza hatima ote,Ee Mungu nimebaki pekee yangu nalea wanangu naomba unipe nguvu niendelee kulea wanangu

  • @Flah2024Kina
    @Flah2024Kina 5 месяцев назад

    Mungu nakuomba uzidi kusaidia yatima

  • @GladysKamene-f8u
    @GladysKamene-f8u Год назад

    Mungu ukiwa Kwa kiti chako Cha enzi usikubali yatima wateseke

  • @AshleyLarry-m6r
    @AshleyLarry-m6r Год назад +1

    nko na Machungu nkiimbiwa iyo song😭😭 so painfull yawa

  • @EverlineKhaoya
    @EverlineKhaoya 10 месяцев назад

    God Awakumbuke sana yatima

  • @neemagrace1609
    @neemagrace1609 4 года назад

    Naomba mungu anibariki na pesa sa kuwapea watoto yatima

  • @babashalin4367
    @babashalin4367 3 года назад

    Mblees this chi

  • @johnsonlaizer8690
    @johnsonlaizer8690 4 года назад +1

    Mungu niwawote wenye shida mungu atawaxaidia

  • @maxwellodhiambootieno8192
    @maxwellodhiambootieno8192 2 года назад +1

    May God bless you kids and continue guiding you

  • @milkasilas
    @milkasilas 8 месяцев назад

    kweli mimi mwenye ni yatima lkn mungu atusaidie kwa pamoja

  • @SaraSwagala-tv9dn
    @SaraSwagala-tv9dn Год назад

    Yatupasa kumshuklu.mungu kwa neema lehema maana angehesabu maovu yeti nani angesimama leo ona hawa mayatima wanayvoliza watu

  • @lontinaMtenga
    @lontinaMtenga 3 месяца назад

    Mungu sadiyaayatinamu 🙏🙂😃🤲💝😀😆🤲🥰🤤🥲😭🤣😂😅

  • @carolinechepngetich4665
    @carolinechepngetich4665 3 года назад

    God you say u are the Father to the Fatherless...I can hold my tear...God protect the orphans...

  • @richardkavoi6991
    @richardkavoi6991 3 года назад +1

    Oh lord help the orphan's for the hard life are facing,,so touching

  • @rosewambui3077
    @rosewambui3077 4 года назад +1

    Mungu saindia watoto yatima.

  • @hildajohn8380
    @hildajohn8380 3 года назад

    Daah jaman watoto yatima yatupasa kuwapenda na kuwathamini katika Kila hali

  • @AgnetaOdera
    @AgnetaOdera Год назад

    Ukweli wadese mayadoma n a mungu Awapariki

  • @marybarasa6530
    @marybarasa6530 4 года назад +3

    This song wa2 ambao wapenda kuwatesa yatima na warekembishe wacdhan nfuraha kwao

  • @milkasilas
    @milkasilas Год назад

    mungu awasaidie watoto yatima hawa na wala msiwacheke watoto hawa😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @janegege7728
    @janegege7728 Год назад

    Acha mungu anibariki nami nibariki wengine

  • @GBASSAKPOsylvain
    @GBASSAKPOsylvain 3 месяца назад +1

    Je l'aime bien votre chat vous êtes bien chanter

  • @kudziamanda2899
    @kudziamanda2899 7 месяцев назад

    Ooooooh my God see us all through 😭😭😭😭 can't control my tears

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 3 года назад

    Mungu yu pamoja nanyk

  • @magrethlubimbi4055
    @magrethlubimbi4055 4 года назад +2

    Mungu wakumbuke yatima wote

  • @adelamlay3726
    @adelamlay3726 4 года назад +7

    Mungu awasaidie mayatima

  • @deporahnyambicha3929
    @deporahnyambicha3929 Год назад

    Ee mungu saidie mayatima❤🎉🙏🙏🙏❤❤🌹

  • @ashadaniel7663
    @ashadaniel7663 4 года назад +4

    Mungu wakumbuke yatima

  • @deborayunucy4791
    @deborayunucy4791 3 года назад

    Mungu awasaidi mumalize mwendo salama vipaji viinuliwe

  • @joycelongo1213
    @joycelongo1213 Год назад

    Mungu wabariki watoto wote mayatima watie nguvu

  • @florentinamurambi406
    @florentinamurambi406 3 года назад +1

    God is always there for his people glory be to Him,,,blessed childrens

  • @carolinevitute2099
    @carolinevitute2099 3 года назад +1

    Mungu na awalinde mayatima wote.

  • @gladinessmakinda-ls5nu
    @gladinessmakinda-ls5nu Год назад

    Mungu awabaliki

  • @miriamgitau7030
    @miriamgitau7030 4 года назад +22

    Mungu wangu nakuomba usiwahi kubali niache mtoto wangu akiteseka😭😭this is my biggest fear

    • @gervaisaline6416
      @gervaisaline6416 4 года назад

      Mungu anosaidie watoto wangu nisibaache wadogo

    • @annabaltazar8413
      @annabaltazar8413 Год назад

      Miriam mipango ya mungu haepuki usiseme hivyo naomba nawao pia hawakuimba ujue

    • @silviasilvester
      @silviasilvester Год назад

      Da machoz mpaka yananitoka wasaidie yesu

    • @VAQUILINENYAGUCHA
      @VAQUILINENYAGUCHA 4 месяца назад

      😅😮​@@silviasilvester

    • @VAQUILINENYAGUCHA
      @VAQUILINENYAGUCHA 4 месяца назад

      ​@@silviasilvesterto
      F
      H
      Mayati
      Niyamuku
      ❤ 5:27 5:29

  • @florahyohana1824
    @florahyohana1824 2 года назад

    Mungu awasaidie Sana na kuwapa maisha mazuri

  • @peninahmakori7338
    @peninahmakori7338 Год назад

    Mungu awapaliki sana

  • @franciscasikoyo783
    @franciscasikoyo783 Год назад

    😭😭😭😭Hadi mm ni yatima

  • @fikirinikazungu8701
    @fikirinikazungu8701 4 года назад

    Eee mungu wewe ndiwe baba baba wa hawa watoto 😭😭 wasaidie baba

  • @OrestaDavid
    @OrestaDavid 8 месяцев назад

    Watoto kutoka mbeya mungu awabalik

  • @FelisterPeter-db5nm
    @FelisterPeter-db5nm Год назад

    Mungu tupe wepesi katika haya maisha

  • @FabiolaMichael
    @FabiolaMichael 6 месяцев назад

    Mungu ni mwema❤❤❤

  • @Abdulwarithmwalim
    @Abdulwarithmwalim Год назад

    mungu wabariki watoto wote yatima

  • @meshakintenga4530
    @meshakintenga4530 Год назад

    Mungu awatanguliee

  • @musembimusembimusembimusem9265
    @musembimusembimusembimusem9265 4 года назад +2

    MUNGU MUUMBA mbingu na nchi kumbuka watoto yatima, wewe ni BABA wao

  • @linnahkweka3092
    @linnahkweka3092 3 года назад

    heri wenye moyo safi maana wao watauona ufalme wa Mbinguni

  • @michelleasodo15
    @michelleasodo15 4 года назад +4

    Kwa kweli nimelia kama mtoto Mungu wafariji mayatima😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @NooBrandon-cc5zq
    @NooBrandon-cc5zq 10 месяцев назад

    Ata mm naitwa Sharon kuitwa yatima niuchugu hadi mm ni yatima walai mungu awe na yatima wote duniani jameni

  • @wisdommazive5769
    @wisdommazive5769 3 года назад

    Wish you all the best

  • @fridabanda2723
    @fridabanda2723 3 года назад

    Mungu ukawe Faraja yao

  • @EUDIAAlego
    @EUDIAAlego Год назад

    Almighty Give Watoto yatima and Protect them Amen.

  • @eunicewanjala8888
    @eunicewanjala8888 3 года назад +1

    So touching,God bless them.

  • @naftalymsoloka4830
    @naftalymsoloka4830 3 года назад +1

    Oohhh God🥺wape hitaj la mioyo yao🤦‍♀️

  • @verdianabanabi5943
    @verdianabanabi5943 4 года назад +2

    Mungu hamtupi mja wake

  • @kennedyochieng9947
    @kennedyochieng9947 3 года назад +2

    It makes me flashback my life when my mum died and left me at a younger age of 2years.

  • @catherinempollo8671
    @catherinempollo8671 4 года назад +5

    Mung ndy kimblio na nguvu msaada wetu utatoka kwak

  • @barnabasisirael367
    @barnabasisirael367 4 года назад

    Mungu awabariki watoto Hawa.

  • @aggiehappy1544
    @aggiehappy1544 4 года назад +3

    god bless you and your career