Walinilazimisha niwataje Zitto Kabwe na Mbowe kuwa ndio wamenituma nijiteke!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 187

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 6 лет назад +7

    Mungu Mkuu amekunusuru
    Kama hutajisaliti I tell u we n moja ya viongozi shupavu wajao Wa taifa hili

  • @johnkihiyo6090
    @johnkihiyo6090 6 лет назад +26

    niliambiwa na mwalimu wangu nikiwa mwaka wa kwanza,kuwa watu weusi tunaamini uongo!!! sasa dogo anasema kweli bado matusi kibao!!!! shida sana hii

    • @bwegelanyakhaido3088
      @bwegelanyakhaido3088 6 лет назад

      John Kihiyo unajuaje km kweli siku zote kwann asiseme sote hatujui ukweli anao mwenyewe

  • @cleverboy3812
    @cleverboy3812 6 лет назад +8

    Pole sana kaka!! Pambana kijana usife moyo!!!

  • @mathiusthomas3074
    @mathiusthomas3074 5 лет назад

    Prec conference nondo anausibitishia uma kwamba mambo jinsi yalivyo kwenye serikali ya CCM kwamba tutakuachia kama ukiwaambia watanzania kama umwa zitto na mbowe ....hatari sana . Asante Mwanaume kwa ujasiri mkubwa ulio uonyesha u become a strong leader siku za usoni. Aibu imewakuta na dunia imesha waona wanasubili filimbi tu wailete haki kirazima.

  • @nathankihiyo9293
    @nathankihiyo9293 6 лет назад +3

    Kutekwa kwako naweza nikakubali ila umetekwa kwa mipango ya watekaji ili ionekane ni Serikali. Dogo umetumika bila kujijua

  • @issamsomba7219
    @issamsomba7219 5 лет назад

    dogo uwe makini sana waweza poteza maisha kipumbavu sifa zitaja kuponza

  • @abrahamhassan351
    @abrahamhassan351 6 лет назад +26

    Huyo ndio mwanaume sio Roma na Mo Dewji kimya kama warii gud stuff Nondo

    • @bwegelanyakhaido3088
      @bwegelanyakhaido3088 6 лет назад

      Abraham Hassan ulitaka waseme nn km wao wamekosa cha kusema Na ww unakijua bac kiseme ili nawe uwe mwanaume

    • @mrnobody-qg6ed
      @mrnobody-qg6ed 6 лет назад

      kweli wale maboyaaa

    • @rosehillary8742
      @rosehillary8742 6 лет назад

      Duh

    • @jitabojilala6162
      @jitabojilala6162 6 лет назад

      Mwanaume umempa nini mwilini mwako ukaamini kuwa mwanaume

    • @nathankihiyo9293
      @nathankihiyo9293 6 лет назад

      Danganya toto tu wanatekana kwa mipango yao wanaoijua wao

  • @josej9888
    @josej9888 6 лет назад +12

    Daaaha! Halafu Nyumbu bado wanamuona muongo.

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy5805 6 лет назад +24

    Kuna watu mpaka watekwe wao ndio wanajua kunautekaji.

    • @monicachoga5878
      @monicachoga5878 5 лет назад

      Wanaotekwa wote ni wasenge na wanachofanyiwa huko huwa hawatwambii hata kidogo

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 6 лет назад +20

    Wabongo bhana husika anaongea mnaleta ubishi ujinga mpaka lini mbona kesi kashinda na hao police wameingia mitini na ushahidi wao

  • @yassinhamis2457
    @yassinhamis2457 6 лет назад +2

    Huyo Jamaa kaandaliwa, arafu hamkujiandaa kusema uongo

  • @ndebilemathias7115
    @ndebilemathias7115 6 лет назад +1

    achana na mitandao kapambane na maisha kitaani usipambane na serikali

  • @amenyekibona8730
    @amenyekibona8730 6 лет назад +1

    mtekwaji anaachiwa na vitu alinyo nanyo hii ni mpya kwelikweli,,, umetisha brother achana na hizo mambo,, tuzungumzie mambo ya kijamii

    • @respichiusraphael3811
      @respichiusraphael3811 6 лет назад +1

      Amenye Kibona Haujawai sikia mtu akivamuwa na kumuua na wasichukue kitu,pia kila anayetekwa umuachia vitu vyake vyote kwa wote

    • @rosehillary8742
      @rosehillary8742 6 лет назад

      Mwogope Mungu

  • @eliamassangya2090
    @eliamassangya2090 6 лет назад +13

    Muongo shetani ukweli mnakataa mnataka awambieje ndi mkubali?

  • @fadhilimgohamwelu3328
    @fadhilimgohamwelu3328 6 лет назад +5

    Duh hayo ni zuga tu tueleze ukweli hapo chuoni kwako ulitokaje mda huo wa usiku na begi na nguo na kumeza kutuma sms kuwa umetekwa eleza usiku ulitokaje hostel si kutafuta kick

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 лет назад +3

    Mh jmn ama hii mitihani ni mingi sna sna hapa tznia, Mungu alete herma zake.!!

  • @justinejoseph1701
    @justinejoseph1701 6 лет назад +5

    Hiyo ni psychology ya kumuwin mtuhumiwa katika mahojiano lazima umpe option, kama umeona hana taharifa sahihi unazozihitaji lazima umpe hypothesis yaani majibu mbadala yanayowezekana kua ndo sahihi.
    Kwani jaman hamkuwahi kutuhumiwa kufanya kosa hata shuleni na mwalimu akaomba useme kama kweli ni wewe mhusika akusamehe na muda mwingine akikulazimisha kabisa kwa kusema kwann usikubali haya mambo yaishe, kwa hyo swala la kulazimisha nini aongee ni mbinu za CID.(Crime Investigation Discussion)

  • @FKABBY1
    @FKABBY1 6 лет назад +12

    IQ za watu wengi ni ndogo sana.. uwezo wa kufikiria ni mdogo sana..ila uwezo wa kubisha ni mkubwa sana

    • @christopherkapungu6222
      @christopherkapungu6222 6 лет назад +1

      Na TANZANIA ni watu wa mwisho katika orodha ya IQ

    • @bwegelanyakhaido3088
      @bwegelanyakhaido3088 6 лет назад +1

      RAJ KABBY unaweza kuongea vitu usivyo vijua ata maana ya iq hujui kuwa Na fikira nying ndio iq kuna watu wanafikiria vitu hadi wanapatwa Na presha nao pia Wana iq...acheni kujifanya wasomi kisa mmemaliza 4m4 au mna stashahada 1 kumbe niwapuuzi tu

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 6 лет назад

      @@bwegelanyakhaido3088 uko Sawa anaedharau wenzie najiona bora anajidharau mwenyewe

    • @FKABBY1
      @FKABBY1 6 лет назад

      @@bwegelanyakhaido3088 sawa mr Bwege...nadhani uwezo wako wa kufikiri hapo ndo umefika mwisho..uwezo wa ku reason.. I think uko kwenye borderline according to intelligence quotient scale...

    • @FKABBY1
      @FKABBY1 6 лет назад

      @@ambakisyemwakinunu2002 Hayo yanaitwa mawazo mgando....

  • @judexbarungi
    @judexbarungi 5 лет назад

    Eeh Mungu tenda miujiza Kwa huyu mtu msema kweli

  • @ghostballcone531
    @ghostballcone531 6 лет назад +1

    Safi upo nondo kama jina lako weka msimamo wa kiume aliyesemaga umejiteka nae out.

  • @isackigacka9802
    @isackigacka9802 6 лет назад +15

    nawashangaa waomkashifu nondo anaongea na kutaja DCI lakini majinga yana koment ujinga kwamba sio mkweli

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 5 лет назад

      Magufuli, Makonda, Polepole na CCM yao wataendelea kukimbia kivuli cha Zitto na Mbowe mpaka kaburini. Huyu Mbowe ni mwenyekiti wa kuchaguliwa wa CHADEMA na hatakaa hata siku moja awe mwenyekiti wa CCM. Mnakaa mkimuota Mbowe na Zitto kutwa mumekosa kazi za kufanya?.

  • @angeloludovick8465
    @angeloludovick8465 6 лет назад +1

    weee dogoo ni falaaah saana tafuta maisha owa ulee ufee

  • @abdallahomari8680
    @abdallahomari8680 6 лет назад +7

    Hongera kaka usife moyo heshimu msimamo na maoni na ujiamini, hiyo nihaki ya msingi haipokonyeki

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 5 лет назад

    Nondo ni mwanasiasa mzuri sana ILA CCM WAMESHAJUA VYAMA VYA UPINZANI WANAKUZA VIPAJI VYA VIJANA
    WANAWAATACK KWA KUWADIDIMIZA WASIFIKE MBALI....vyama vya upinzani mlione hilo

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 6 лет назад +7

    ushakuwa star mzee endeleza misimamo yako

  • @raheemidy1245
    @raheemidy1245 6 лет назад +8

    Mike mbili tu....ila upumbavu mike kibao....Millard ayo uko wapi...???

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 6 лет назад

      Ingekuwa Musiba wangepigania sehemu ya kuweka mike zao.

  • @danstunmdoe3152
    @danstunmdoe3152 6 лет назад +2

    Umeonesha ujasiri mkubwa sana kuzungumza wachache tumeelewa

  • @mtegaya2118
    @mtegaya2118 5 лет назад +1

    hiyo haikua hujuma ya kumlazimisha dogo bali ni kawaida katika upelelezi lazma wakutege na angejichomeka tu asingeshinda kesi

  • @fatumarajabu810
    @fatumarajabu810 6 лет назад

    Nkuonea hrma Snaa,,, maaana bdo vtaa haija isha hwa wtyuu cyooo bora ungee kiimyaa

  • @georgemelliyo1791
    @georgemelliyo1791 6 лет назад +1

    Vijana wengi waktz IQ ndogo sana

  • @ernestchilongan6778
    @ernestchilongan6778 6 лет назад +1

    mh kila siku anatuomba tumwombee ,kweli kwa Haya mambo.mi siwez,tundu,nondo,mo,saanane,nk

  • @samwelydaney4546
    @samwelydaney4546 6 лет назад +2

    We ulikutana na wahuni wenzio huko

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 6 лет назад +1

    MUNGU IBARIKI TANZANIA

  • @mosesndahani8912
    @mosesndahani8912 6 лет назад +2

    Hongera sana

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 6 лет назад

    Nikukuelewa Mungu akubariki

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 6 лет назад +2

    Kumbe hata wanafunzi mashoga wapo?

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 6 лет назад +1

    jiteke tena hiyo mbinu unazofanya ni ya karne 10 zilizopita

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 6 лет назад

    Wewee nimwanaume wakweli daima uogopi kusema ukweli achana na Roma nawengine walowah kutekwa wapo kimya utazani walifungwa midomo

  • @pendokatindasa2281
    @pendokatindasa2281 6 лет назад +2

    Wewe ukitumika ni juu yako

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 6 лет назад +1

    Kila mtu anajuwa kuwa ulitekwa hata madogo zangu wanajuwa ulitekwa kweupe na ukapewa kesi zilizokuwa sio za kwel

  • @omygwaty9107
    @omygwaty9107 6 лет назад +1

    Wanaopenda kusema mahakama nchi hii hazitend haki, haya mmejionea dogo kashinda kesi ......mjitafakari

  • @gilbertimatofali6878
    @gilbertimatofali6878 6 лет назад

    akitekwa mo wanakubali kuwa wapo watekaji, hii serikari haina usalama ni maslai ccm tu. Mungu anawaona.

  • @mkombozikiratv.9733
    @mkombozikiratv.9733 6 лет назад

    Waumbueeee waumbue tu mdg wangu hii nchi wapumbavu ni wengi wanaosapoti ht ushetani

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 6 лет назад +1

    Mbona hajasema mengine kuwa alikuwa kwa demu wake? Ujue kijana mdomo upo mbele kabla ya ubongo

  • @godfrey_89
    @godfrey_89 5 лет назад +1

    yaani serikali leo mmekuwa watekaji? daa siamini utawala wa kikuma iv

  • @fadhililihinda6491
    @fadhililihinda6491 6 лет назад

    Mtu wa kwanza kueleza kuhusu watekaji, mambo yanavyo endelea sasa hvi, Mungu tu ndio anajua

  • @charlesnoafekwalipibayaali2662
    @charlesnoafekwalipibayaali2662 4 года назад

    Mnadai toka iingie serikari ya awamu ya tano inateka watu "kila siku" watu wanaokotwa kwenye viroba kila siku wengine wanapigwa risasi kila siku pamoja na leo watu wametekwa na kesho pia watatekwa sawa. Sasa swali langu hapa serikari ikifanya hivi inapata umarufu gani? au itapata sifa gani? na inawasaidia nini kwa wananchi?. Na upinzani pia kwa matukio kama haya ambao wao ndio tunaona wanaodai huu ndio ukweli na utabaki hivyo je wanapata faida yeyote? na sifa ipi? wenye akili jaribuni kupata jibu hapa. Ila ukweli na uongo huwa vinachelewa tu lakini huwa vina mwisho wake.

  • @godfrey_89
    @godfrey_89 5 лет назад

    tunaongozwa na serikali ya kifaq sana..wanakera hawa na rais wao wa wanyonge

  • @atusheatushe7038
    @atusheatushe7038 6 лет назад

    Tanzania shida ninn yani tunaishi kama mufano wawatu huyu dogo simubaya wetu ichi imeshikwa nawengine tumekwisha

  • @AbdulRahman-wx6iv
    @AbdulRahman-wx6iv 6 лет назад

    Tatizo letu serikali iliopo madarakani haitaki kitu kinachoitwa upinzani(kukosolewa)Hilo ndio tatizo hata ukiwajosoa utageuka adui kwako hata Kama unaongea ukweli,serikali yet inabidi ibadilike Kama wamekubali mfumo wa vyama vingi wakubali kukosolewa ,nakumbuka mauaji ya wafuasi wa cuf kipindi Cha mkapa...au watutolee mfumo wa vya vingi tujue moja...........

  • @edwardkasubi1495
    @edwardkasubi1495 6 лет назад +3

    halafu utasikia Mijitu mingine inasema Oooo muhula uwe na miaka zaidi ya mitano sijui vichwa vyao Vina mafuta ya TAA

    • @bwegelanyakhaido3088
      @bwegelanyakhaido3088 6 лет назад +1

      Edward Kasubi kuongezeka Kwa miaka kuna husika Na nn apo nazani we ndio utakuwa huna akili

    • @ceciliajimmy5652
      @ceciliajimmy5652 6 лет назад +1

      Edward kasubi ubarikiwe sana. Vichwa vyao vina oil chafu, ingekuwa mafuta ya taa yangeevaporate.

    • @nathankihiyo9293
      @nathankihiyo9293 6 лет назад

      Asee mi nasema ingewezekana hata miaka 30 ikiwezekana atawale tu

    • @edwardkasubi1495
      @edwardkasubi1495 5 лет назад

      Bwegelanya khaido
      andika comment ya kwako kwani lazima ujibizane na mtu asiye na akili ?

  • @smarty1064
    @smarty1064 6 лет назад +1

    Hivi hawa polisi kila mtu anayetekwa ni siasa tu? wale watoto waliotoroka baada ya kutekwa ni siasa pia? au wanatumika na Mbowe au Zitto ?? mbona profession wanaiacha pembeni ni kwamba kiwango chao cha ufahamu kimeishia hapo au ndo ile 'character ya mbwa koko' wa mkuu ? lazima wabweke na kukurukia hata kama hujaingia getini kwa mzee wao ?

  • @josephmwita564
    @josephmwita564 5 лет назад

    Tatizo na hili kabila likiwa kwenye uongozi huwa halijiamini kama unatenda mazuri wasiwasi wa nn

  • @husseinrajabu2735
    @husseinrajabu2735 6 лет назад +1

    Hadi atekwe mama zenu washamba sana nyie mwachane dogo anasema ukweli mbona mnaushabiki hta kwenye ukweli huu

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 4 года назад

    Tuwapelekeni watoto shule kizazi hiki waelewa ni wachache

  • @anordmgongo1859
    @anordmgongo1859 6 лет назад +16

    akitekwa mo mnakubar ,ila jamaa akisemwa katekwa hamtaki kukubar.

    • @zahramunir8596
      @zahramunir8596 6 лет назад

      Maskiin anasema kweli haya mambo kw sasa ni mengi lkn hatutaki kukubali.!!

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 6 лет назад

    Achekae halijamkuta. Limkute uone kama atatabasamu tena!!

  • @makomeloramadhani6863
    @makomeloramadhani6863 6 лет назад +1

    acha uongo kijana

  • @edwardkasubi1495
    @edwardkasubi1495 6 лет назад +1

    yaani vyombo vya dola siku hizi wanawaza kuwapakazia mabaya wapinzani

  • @venancemalima1181
    @venancemalima1181 6 лет назад +1

    Jinga sana, badala ya kufikiri masomo we unafikiri siasa unadhani uko kujiteka kunakuongezea nn?

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 5 лет назад

    Kuna mawili tu yaliyo dhahiri kama huamini ukweli basi unaamini uongo.
    Tujiulize pia wengine waliotekwa na wengine kuuawa ni wameagizwa na hao wanasiasa ili wajiteke na wajiue?

  • @chambimagele6726
    @chambimagele6726 6 лет назад +1

    Bangiiiiiiiiiiiiii......

  • @J4UPro
    @J4UPro 5 лет назад

    Kumbe siyo serikali iliyomteka.

  • @wrghkjdghklljg3819
    @wrghkjdghklljg3819 6 лет назад +1

    pole sana hiyo ndio tazania yetu ya sasa hivi

  • @gibsonartisan1848
    @gibsonartisan1848 6 лет назад +17

    Wajinga na wapumbavu ni ninyi mnaomtukana dogo, kama hayo anayoyazungumza unayapinga unaushahidi wa kuyatetea mawazo yako kwake? Acheni kufuata mkumbo wa ndiyo Mzee hata mtakapokutwa na matatizo ndiyo mtafungua vinywa vyenu?

  • @taxifytest8041
    @taxifytest8041 6 лет назад +2

    wasomaji wa bible wanajua juu ya walinzi waliokuwa wakilinda kaburi la Yesu ilikuwaje! walinzi walipewa pesa ili waseme Yesu hajafufuka, wao walilala halafu wanafunzi wakaja kumuib Yesu!

  • @jastinejastine4302
    @jastinejastine4302 4 года назад

    Unaona sasa jaman

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 6 лет назад

    pumbavu wew ulitekwa na nan una nn tanzania au una cheo gan kaone

  • @samwelmwaipopo1455
    @samwelmwaipopo1455 5 лет назад

    Ninyi mnaoamini taarifa ya nondo,jiulizenu mbona ninyi hamkutekwa?na mnaishi tu,atekwe yeye alikuwa nanini?

  • @majaliwawangdagangdullanga700
    @majaliwawangdagangdullanga700 6 лет назад

    Pole sana

  • @vitalesmgenge6984
    @vitalesmgenge6984 6 лет назад +1

    Kwa hio wanakwambia unatumika, huwauliz yanayofanyika hawayaoni na nani aseme? Huwahoji

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 5 лет назад

    Yani sisi watanzani tunashindwaje kuelewa uyu ndo muhusika au nyie mnotukana ni watekaji?

  • @edwardsichilengwe2330
    @edwardsichilengwe2330 5 лет назад

    Tanzania ndo nchi pekee mtekwaji anaachiwa na watekaji akiwa soft utadhani alikuwa anafanyiwa masaji na kupakwa makeup 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hawa watekaji ni wa namna gani hawa huwa nafikiriaga sana. Inawezekana kuna wahuni huteka watu wanaoipinga serikali ili serikali ionekane ndo inafanya utekaji. Kwa fikra zangu sina imani na haya matukio yamekaa kisanii sana na anayesimulia anaonekana kama yuko na director kwny shooting sijasikia tu neno cut 😂😂😂😂😂😂😂

  • @husseinkarim7839
    @husseinkarim7839 6 лет назад +1

    Ana ongea kama si wa chuo kikuu. Simu ulipata wapi. Tatizo hakuna technology hapa.

  • @cosmasdaud3463
    @cosmasdaud3463 6 лет назад +4

    Utekaji upo

  • @williammajani2152
    @williammajani2152 5 лет назад

    Kwanini mbowe na zito?

  • @edwardkasubi1495
    @edwardkasubi1495 6 лет назад

    mmmmmh hii NCHI inavyokwenda kwa sasa

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 6 лет назад

    Hii ndo tanzania mitandao mibovu rakini ipo tu

  • @godfreywebiro4058
    @godfreywebiro4058 6 лет назад

    Mzimu wa huyu dogo umemuondoa mwigulu ofisini

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 6 лет назад +1

    Kama ulipelekwa na watu police hao watu hawakuingia ndan? Na ukiwa umetekwa uliweza kupiga simu watekaji walikuachia simu? Toka ulipo tekwa mbona husimuli walikufanyaje njiani ilikuwaje?

  • @sanyamwita1853
    @sanyamwita1853 6 лет назад +1

    Unbelievable things

  • @frankkapele9823
    @frankkapele9823 6 лет назад +5

    Aisee hii mbona balaa sana hivi mtu unaweza kujiteka?

    • @shelangwaalex7483
      @shelangwaalex7483 6 лет назад

      Watu wamejawa nau jinga mwingi hawalijui hilo

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 6 лет назад

      Kapele hili jambo wanalijua wao na kwa faida Yao, acha sie tuendelee kupambana na Hali zetu tu

  • @ungonelamapunda4908
    @ungonelamapunda4908 6 лет назад

    duh ni hatari. dci alipaswa kufukuzwa kazi..

  • @samwelmwaipopo1455
    @samwelmwaipopo1455 5 лет назад

    We Nondo zama hizi za magufuri, huo ujinga unaoropoka watu hawana muda wa kufuatilia,utajirekodi utatulia mwenyewe

  • @bwegelanyakhaido3088
    @bwegelanyakhaido3088 6 лет назад

    wasio julikana wanakusikia mana huna hamu ya kutekwa

  • @israelpwele5535
    @israelpwele5535 6 лет назад

    Tupe ukweli wako dogo bila kuogopa!!!

  • @elishazacharia1204
    @elishazacharia1204 5 лет назад

    Sawa

  • @teachingtruthmissionofafri3248
    @teachingtruthmissionofafri3248 5 лет назад

    Heeee unaweza comment ukajikuta umejiteka

  • @shindanopapaya2084
    @shindanopapaya2084 6 лет назад +1

    Hahaha huyu nazani Dudu baya kamsahau au yupo kwenye list ijayo #pungachele

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 6 лет назад +1

    jamani minauliza tu,huwo mdomo kuupindisha ndoyalivyo au!!!!!? nashindwa kuelewa

    • @ceciliajimmy5652
      @ceciliajimmy5652 6 лет назад

      Aliyemwumba ndio anajua. Wewe hujafa hujaumbika, cheka tu vilema vya wenzio ila ujue kuwa wewe ni mlemavu mtarajiwa.

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 6 лет назад

      @@ceciliajimmy5652 usipende kujibu bila kuelewa au kusoma vizuri msg,isome vizuri kwa makini kwakutafakari,alafu ndipo uniambie nimedharau au nimeuliza!!!!!!?tofautisha neno kuuliza na kudharau sawa.alafu sina tabia hiyo unayonifkiria nasitojaribu sawa acha kukurupuka

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 6 лет назад

      @@ceciliajimmy5652 pia mwangalie vizuri ktk kuongea kwake mwangalie kwamakini nikilema huyo km unavyosema !!!!!!

    • @ceciliajimmy5652
      @ceciliajimmy5652 6 лет назад

      @@m.mmarckus6298 Sio hata kilema, ila wapo wengine wanapoongea wanalamba ulimi . Nilichokisema mimi ni yale maelezo yake anayoyatoa havihusiani kabisa na kule kupindisha au kutopindisha midomo yake, hayo ni maumbile yake yeye binafsi.

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 6 лет назад

      @@ceciliajimmy5652 sasa ulivyosema namdharau ulimaanisha nn

  • @saidonaya1674
    @saidonaya1674 6 лет назад +1

    Kama unaamini izi ni siasa like twende pmj ,,,aliyetekwa awezi zungushwa ivyooo bhana,

  • @dicksonmrema7584
    @dicksonmrema7584 6 лет назад

    Sasa kwa kauli ya nondo mtekaji si ameshajulikana hatakama sijasomea maswala ya upelelezi aunidanganyi kuwa watekaji ni watu wasiojulikana

    • @suzanampanda9767
      @suzanampanda9767 6 лет назад

      Kweli Kabisa.

    • @dicksonmrema7584
      @dicksonmrema7584 6 лет назад

      @@suzanampanda9767 ndio wasitufanye wa tz wapumbavu watekaji wanawajuwa

    • @ceciliajimmy5652
      @ceciliajimmy5652 6 лет назад

      Hiyo iko wazi, watekaji wanajulikana lakini kwa umaarufu wao na uwezo wa kifedha ukiwataja tu utaona unavyoshambuliwa. Mbwa koko kabisa. Mungu tuonee huruma. Wewe mweza wa yote usiye na upendeleo.

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 6 лет назад +1

    Serikali ni siyasa

  • @abellywerema1216
    @abellywerema1216 6 лет назад +2

    Ha haaa...acheni unafiki mwende mbinguni"" hizo ni kiki 2...

  • @michaelmalima2833
    @michaelmalima2833 6 лет назад +1

    Unatumika

  • @kingsay9313
    @kingsay9313 6 лет назад

    Ase kuaa kmya tyu

  • @vitalisnyagali2204
    @vitalisnyagali2204 6 лет назад

    Tanzagiza

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 6 лет назад

    😭😭😭😭😭😭

  • @angelanather9640
    @angelanather9640 6 лет назад +1

    Inaonekana mpaka kwenye sura unasema uongo mtupu. Mungu anaona kila kitu.

  • @shakiruabasi1468
    @shakiruabasi1468 6 лет назад +2

    nondo wewe K muongo xana