Jamii yahamasishwa eneo la Msambweni kuhusu elimu ya mtoto wa kike

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • Wazee wa Kaya na viongozi wa kidini katika eneo la Msambweni kaunti ya Kwale wameendeleza hamasisho kwa jamii dhidi ya itikadi ya kutotilia maanani elimu ya mtoto wa kike inayosababisha mimba na ndoa za utotoni.

Комментарии •