Imeandikwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo na watakuja wakihubiri kwa jina lake je mtawatambuaje kwa matendo yao jamani Mungu saidia watoto wako wanaangamia kwa kukosa maarifa
😂😂😂😂 Kenya jameni.!! Juzi juzi tu, kulikuwa mtu anasema ety yeye ni Mungu, mwingine ety ni Yesu, mwingine ety ni Yohana Leo yuko huyu mpya. Aty wagonjwa they are not supposed to go to doctor, lakini kwenye Biblia Yesu ana ashiria wagonjwa waende kwa Tabibu Luka 2:17 17 Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi. ________________________________________ Mwenye afya haitaji tabibu ila mgonjwa ndio anahitaji
Kenya bhana!! Mara Kuna chief general commander ...mara general Musa....muda si mrefu tutasikia luteni kanari....lkn ukienda kule kwa madiba utamkuta major one...ukienda Tanzania Dar utamkuta bulldozer na transfomer. na master king.....mwanza utamkuta mfalme chini ya jua aka zumaridi...Kazi ipo yajayo yatatushangaza...
Wakristo wenzangu tukeshe tukiomba kwani hizi ni nyakati za mwisho,kisha tuwaombee madungu zetu ambao hawamjui MUNGU ili wapate kumjua na kuamini kuna MUNGU muumba wa mbingu na inchi
Hebu Sheikh au imam msikitini ajaribu hivi, yaani atatafunwa nyama. Hakuna chance ya ujinga huu kwa waislamu. Mukiacha pastor aone vifua, mapaja na manundu ya wake zenu, munatarajia afanye nini? Siku hizi hata kuku ukimuacha ovyo, anachukuliwa. Utaacha vipi mkeo na watoto wawe hatarini? Dunia pindu la mwisho!
Do not allow anybody’s from on where aje akuobe or akuwekere mikono,the more their are pretending their are praying the more their are adding demon in your life shidwe
Wah mutakoma wanawake kufwata ma Pastor na waombaji fake..Huyo ni nabii ibilisi😂😂Just kneel down and talk to God.He hear 👂 all your prayers n problems..just be patient n wait for his Answers
The Bible says in the last day there will perilious times people will depart from truth and will heap themselves with teachers who will teach them what they want to hear because they have itching ears so the grace is going to be taken away very soon and the Son of man is coming in His glory for the bride so brethrens i urgeeveryone to stick to the word of truth this generation might not pass so get ready be vigilant be sober and wait for Messiah He iscoming soon than we can imagine or think God bless everyone
Huyu fala anavuta "Bhangi" Acheze na mabibi ya kabila/ jamaa zake.Akicheza na mabibi zetu wa pwani Atakila Muhaso na atajiharia kutoka huko bamburi mpaka lights,Punda / jibwa mwenda wazimu huyu.
Iwe anatumia uchawi au la kivipi wewe make wa mtu utatoka kwako ukapewe masharti na mwanaume mwingine kwa jina la mchungaji. Binadamu haamini kua akimwamini MUNGU maombi yake yatakubalika,,, Lazima uombewe na mtu mwengine ili MUNGU askie????? Common sense is not common
Ile bangi inauzwa Kenya...Ogopa, Country where leaders are criminals
Wanawake ni washenzi kweli
Huyu Njegi aki chapwa na kiboko, ata toka hizo Pepo za Njagi!
My people perish because of lack of knowledge. Utapeli kwa jina La Mola.
No wonder I don't accept anyone to "kuniekekelea mikono"
Huyu anafaa achunguzwe pia😢
Yenyewe hii religion ilikuja na meli....our earlier deities before colonialists came were true
Amen Amen. Mungu awasaidie. Amen.
75%of the problems we have in kenya ni hizi makanisa na mafundisho potovu
Aki shetani ashindwe kenya
Shame on him,,,he still justifies his mistakes,,,what a shame
Kumbe shakahola ndio ilianza ivi tu polpole Makenzi
Shoga rafiki ya Mckenzie
Imeandikwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo na watakuja wakihubiri kwa jina lake je mtawatambuaje kwa matendo yao jamani Mungu saidia watoto wako wanaangamia kwa kukosa maarifa
Haha dunia kwisha😂😂wachungaji wakora malaya
Mackenzie wa pili
😂😂😂😂 Kenya jameni.!!
Juzi juzi tu, kulikuwa mtu anasema ety yeye ni Mungu, mwingine ety ni Yesu, mwingine ety ni Yohana
Leo yuko huyu mpya. Aty wagonjwa they are not supposed to go to doctor, lakini kwenye Biblia
Yesu ana ashiria wagonjwa waende kwa Tabibu
Luka 2:17
17 Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
________________________________________
Mwenye afya haitaji tabibu ila mgonjwa ndio anahitaji
Fan of Patrick njendi
Help me locate him I continue watching his sensational voice
Eti emanueli ya bwana, catholic forever hizi makanisa y kununua mapati na kutafta fundi then eti ww nichungaji hapana tambua
Another shakaola loading
Aki ni uchungu nkigundua mtu anadunga chenye nadunga jamani 🚶🚶🚶
Maajabu haya
Nimekwama hapo pa Bibi yake Pia ako pale lakini Huyo Hana shida na yeye coz anangojea hapo bwana mwenye mungu atamletea.
The word of God says that my people perish because they lack knowledge...
Kuna ukweli flani
Kenya bhana!! Mara Kuna chief general commander ...mara general Musa....muda si mrefu tutasikia luteni kanari....lkn ukienda kule kwa madiba utamkuta major one...ukienda Tanzania Dar utamkuta bulldozer na transfomer. na master king.....mwanza utamkuta mfalme chini ya jua aka zumaridi...Kazi ipo yajayo yatatushangaza...
Wakristo wenzangu tukeshe tukiomba kwani hizi ni nyakati za mwisho,kisha tuwaombee madungu zetu ambao hawamjui MUNGU ili wapate kumjua na kuamini kuna MUNGU muumba wa mbingu na inchi
wanaume wajibikieni nyumba zenu la si hivo mtazidi kwibiwa wake zenu mapoja na watoto
Hao ni manabii wa uongo aweke pamoja na makeshi
Bibilia inasema waliolala kanisani wamepotea kabisa.
🤣🤣🤣🤣
Who bewitched our people
People stop joking with the word of God
Madness of the highest order
Alafu baba akasema atafunga hizi Makanisa mnasema yeye ni powers of darkness ona sasa uda kwendeni kabisa muingie kwa shimo
Shakhahola number 2
Hizi ni nyakati za mwisho
Hebu Sheikh au imam msikitini ajaribu hivi, yaani atatafunwa nyama. Hakuna chance ya ujinga huu kwa waislamu. Mukiacha pastor aone vifua, mapaja na manundu ya wake zenu, munatarajia afanye nini? Siku hizi hata kuku ukimuacha ovyo, anachukuliwa. Utaacha vipi mkeo na watoto wawe hatarini? Dunia pindu la mwisho!
Akuna ni madawa wanatumianga.hiyo ni thabihu wanatoanga wee ksni hii kanisa aina wanaume zameni siku za mwisho hizi
ahahahahahaaaaa wapi mungu mbona wanafedhehesha kazi ya mungu mpaka mnatoa uzuri wa wokovu
But mo one is being forced,they go themselves
Do not allow anybody’s from on where aje akuobe or akuwekere mikono,the more their are pretending their are praying the more their are adding demon in your life shidwe
Wameru na wakikuyu mtatuonyesha mambo
Wameru na Wakikuyu wanatoka wapi, huyo ni mtu mmoja? Kama unashida zako kwa kichwa, eti watu wa bara, hayo ni yako. Wacha ukabila my bro na kuchochea.
Anunaki T. Nilijua tu kuna wajinga kama hawa watajitokeza kwa comments .....lijinga hili wachana nalo
Si watu wajisomee Bibilia.
little knowledge and ignorance is a poisonous cocktail
Jesus siku za mwisho
mtundiken mshenzi tu hyuo
ohhh my God
Yesu njooo
Lord please please forgive us have marcy
Hahaha mtumishi wa kula wake wawezio nyoko zako
Jameni tunaelekea wapi?kama awa ndio mapaster
😂😂😂😂😂😂 waah,pastor and yet he eats married women......khai
Shindwe kabisa roho mtakakitu
Huuuu dunia kwishaaaa
Ayo siyo kabisa.
iko shida....
😂😂😂😂😂eeee
Waah ni wapi huku
Eve Imbusi mombasa dada
ni vibaya mchungaji kula kondoo wake?
Hii inakula mpaka watoto🤔na vile sura mbaya
😂😂🙏🏻
Wah mutakoma wanawake kufwata ma Pastor na waombaji fake..Huyo ni nabii ibilisi😂😂Just kneel down and talk to God.He hear 👂 all your prayers n problems..just be patient n wait for his Answers
khaa!!
Mungu wasaidiye wakenya
mwingine juzi akituzi watu ndani ya kanisa mwisho wa dunia
😀😀😁😁😁
Nimejuatu ni mkikuyu
msapere ni msapere tu! hela imeharibu vichwa
The Bible says in the last day there will perilious times people will depart from truth and will heap themselves with teachers who will teach them what they want to hear because they have itching ears so the grace is going to be taken away very soon and the Son of man is coming in His glory for the bride so brethrens i urgeeveryone to stick to the word of truth this generation might not pass so get ready be vigilant be sober and wait for Messiah He iscoming soon than we can imagine or think God bless everyone
Mpaka mukurinu anaremewa na hirisi
Huyu fala anavuta "Bhangi" Acheze na mabibi ya kabila/ jamaa zake.Akicheza na mabibi zetu wa pwani Atakila Muhaso na atajiharia kutoka huko bamburi mpaka lights,Punda / jibwa mwenda wazimu huyu.
😂😂😂😂
Huh!
Cult 😂😂 this crap happens all over the world
mpumbavu sana huyo jamaa siyo mch ni mchawi kajificha ili achafue Kanisa
0:27 variety of underwears(pink,yellow,red)to motivate the pastor
Buu
We
Eergooopsm xdj
Kenya sihami
Aki mimi pia sihami
End day's
Religion is the worst form of slavery
Si mngemvamia mkamalizana nae
Jinga
This man should be looked ...he might have killed some ppl
Wacha wewe upunzi! !!! Mchungaji mngani wewe mpumbavu kwenda uko..
antichrist
Iwe anatumia uchawi au la kivipi wewe make wa mtu utatoka kwako ukapewe masharti na mwanaume mwingine kwa jina la mchungaji.
Binadamu haamini kua akimwamini MUNGU maombi yake yatakubalika,,,
Lazima uombewe na mtu mwengine ili MUNGU askie?????
Common sense is not common
Wonderfull nonsense.
Mbona watu watadanganywa juu ya kukosa maarifa.thats occultism the wrath of God is already upon those so called men of God.repent
Why can people learn from Makenzie???? you're spoiling the reputation of the church.
mmmmmh
😂😂😂😂😂