Harmonize-performing diamond platinumz song on stage [Embu]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2023
  • Remember to subscribe..

Комментарии • 251

  • @kmg_gtv
    @kmg_gtv  Год назад +10

    ruclips.net/video/f_1ivhbnJX0/видео.html support my people

  • @mfebricknkuna7106
    @mfebricknkuna7106 Год назад +61

    Jamani kama msanii wetu, katoka n'nje ya n'nchi naomba tumpe support kama mtanzania mwenzetu, tuache utimu. Deep down najua kuna baadhi ya nyimbo zake unazipenda. Mimi ni team kiba, ila utimu nyumbani konde au msanii yeyote wa kitanzania akiwa n'nje ya n'nchi nampa support 100%. One love ✌

  • @chepkiruijackline6932
    @chepkiruijackline6932 Год назад +13

    My love for harmo will never die💜

  • @InnocentMakaniAmuhaya
    @InnocentMakaniAmuhaya 9 месяцев назад +1

    Jeshi jeshi jeshi 🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪we Kenyans love you

  • @baraka3388
    @baraka3388 Год назад +2

    Love from Rwanda 🇷🇼

  • @vansclassic2131
    @vansclassic2131 Год назад

    Vaa shati ww unizingua tu !!! Unatunisha misuli mkivamiwa ni waoga munapiga vyuma cause ya mademu !! Dah!! Wabongo bwana we acha tu aqui from Mozambique

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 Год назад +6

    Salute jeshi mungu bado anakufanya kuwa bora kwa wapinzani wako

  • @aliscarface9633
    @aliscarface9633 Год назад +6

    Namkubali sana konde boy really loves

  • @deborasunga6486
    @deborasunga6486 Год назад +30

    Konde boy more love from nakuru. Number 1 artist now

    • @jrjunior998
      @jrjunior998 Год назад +1

      Number kwenye smoking labda😂

    • @BMG785
      @BMG785 Год назад

      Follow me 🔥🔥

    • @isayamzaliwa9253
      @isayamzaliwa9253 Год назад +1

      Na ww umeona iyo😅😅😂😂

    • @naipadrio
      @naipadrio Год назад

      Tell us the definition of number one according to your understanding

    • @faharisuleiman3580
      @faharisuleiman3580 Год назад +2

      Ukweli usemwe... "Konde call me number one...." 💯💯✔️✔️

  • @harzomariga2866
    @harzomariga2866 Год назад +13

    Harmonize much love👌❤️🆒

  • @martinkamotho
    @martinkamotho Год назад +1

    Sasa tofauti ya wazimu mwenye Ako soko na huyu ni nsni

  • @britontambula487
    @britontambula487 Год назад +5

    Konde boy mjeshi👏👏👏🔥🔥🔥

  • @hadija846
    @hadija846 Год назад +8

    YAOYAO JESHII 😘 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥💯❤️😍

  • @danielkimani2261
    @danielkimani2261 Год назад +4

    Konde is danger...he kills the stage

  • @elvinemakanga3358
    @elvinemakanga3358 Год назад +1

    Amazing concert 😘

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 Год назад +2

    nakubali ule msemo unaosema aliekuchana mdomo ndie atakaekupa kulla watu wanapambana konde apotee likin kamba yake ndefu anasepa2

  • @emmanuelkhisa8453
    @emmanuelkhisa8453 Год назад +4

    Pitia frm 254🔥🔥

  • @feliciamathew7022
    @feliciamathew7022 Год назад +6

    We ni fire 🔥 😍

  • @rapsooh_tz
    @rapsooh_tz Год назад +3

    Noma jooh😮🙌🏼

  • @jenniferjanny
    @jenniferjanny Год назад +4

    Much love

  • @fatumaissa1165
    @fatumaissa1165 Год назад +7

    Yatapita Baby zuwena chitaj

  • @fasaboy5515
    @fasaboy5515 Год назад +2

    Daaah jamaa c angesema kma anatak kua mwana liaza

  • @solomonjoseph9745
    @solomonjoseph9745 Год назад +1

    yeaa Mr konde one love bro

  • @byasosasifa7272
    @byasosasifa7272 Год назад

    Harmoniz he is a one in my story

  • @ngungamusictv4245
    @ngungamusictv4245 Год назад +4

    Grande Homem ❤❤❤❤👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @BarakaDaniel-zo2lq
    @BarakaDaniel-zo2lq 11 месяцев назад +1

    good perfomance👊👊👊

  • @youngchaiseofficial5979
    @youngchaiseofficial5979 Год назад +2

    Jinga sana hio ngoma nani alikuambia Niya diamond kundu wewe

  • @faleowentv
    @faleowentv Год назад +5

    Dope g

  • @InnocentMakaniAmuhaya
    @InnocentMakaniAmuhaya 9 месяцев назад

    🎉🎉🎉 Kondeboy

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 Год назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @tystanjeepsy4769
    @tystanjeepsy4769 Год назад

    Let's all accept konde Boy is on fire🔥

  • @ssmhm1
    @ssmhm1 Год назад +2

    Wimbo ni wa wote

  • @erastokawina4550
    @erastokawina4550 Год назад

    One Love one family

  • @onesmusjackson254
    @onesmusjackson254 Год назад

    Hapo sawa Konde boy

  • @montewheezy
    @montewheezy Год назад +1

    🔥🔥

  • @mariamkamanda4502
    @mariamkamanda4502 Год назад +2

    Nomaaa

  • @mosesodhiambo1411
    @mosesodhiambo1411 Год назад +4

    #konde gang for everbody✌💯

  • @Max-xe4kg
    @Max-xe4kg Год назад

    Good teacher daymond

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 Год назад +1

    Jeshiiiiii

  • @jonasfalian8427
    @jonasfalian8427 Год назад

    Jeshiiiii

  • @ematabraham
    @ematabraham Год назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @daniellokonda8346
    @daniellokonda8346 Год назад +1

    Good 💪🌹

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 Год назад +4

    I cant go anywhere without talking about diamond or singing about diamond will not get kiki.lazima diamond atajwe this guy cant move on

  • @skymack.internet
    @skymack.internet Год назад +7

    nice broo

  • @DeborahEsperance-qw3ps
    @DeborahEsperance-qw3ps Год назад

    Harmonaiz 🔥 🔥 💪 💪 🥰🥰

  • @ellamarcela9388
    @ellamarcela9388 3 месяца назад

    🎉❤

  • @kennix6457
    @kennix6457 Год назад +4

    Konde boy to the world

  • @abdallahzangira8315
    @abdallahzangira8315 Год назад +6

    Uyujamaa ni wakati wake sasa maana anajua sana

    • @moutinhomerlin6498
      @moutinhomerlin6498 Год назад +2

      Acha kusema kwa kumpa moyo show imepoa

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 Год назад +1

      @@moutinhomerlin6498 hahahhahahah uwa nacheka sana mashabiki wanavyolazimisha msanii mbovu kuonekana mkubwa na anajua sasa show gani apo kafanya ya maajabu

  • @amanmasalu7349
    @amanmasalu7349 Год назад

    💯

  • @rizzomalikiamohd133
    @rizzomalikiamohd133 Год назад +4

    Wanaosema konde anarukaruka Wana wivu namkubali sana big elephant konde boy jeshi kohkoh🤣🤣

  • @HassanAli-kr3jd
    @HassanAli-kr3jd Год назад

    Noma sana 😅😅😅

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 Год назад

    Uyu bado sana kwa simba 😂😂😂😂

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no Год назад +12

    MB zangu zimeenda bure kweli Bora ningetizama Man City ilivopigwa goli moja na Tottenham 😂😂

  • @FrancisNyambu-fn3te
    @FrancisNyambu-fn3te Год назад

    Big up konde boy

  • @chrissygk
    @chrissygk Год назад +1

    Mbona sijausikia wimbo wa Diamond hapo.

  • @RazackMalumb-iu4zt
    @RazackMalumb-iu4zt Год назад

    Yap he is gud

  • @bilalmawaya7632
    @bilalmawaya7632 Год назад +2

    Yani huundo uwanja alojaza Sasa si harmorapa pia anaujaza,Hamna jipya

  • @AgozzeUpdateTv
    @AgozzeUpdateTv Год назад +9

    Nice 👍 bro

  • @boni_tz
    @boni_tz Год назад +5

    Nina NYIMBO Mia na saba za harmonize peke Ake kwenye sim yangu THE LORD OF TANZANIA MUSICIANS

  • @soundmale
    @soundmale Год назад +1

    Ila Kuna wasanii hawana mzuka kwenye performance.yaani angekuwa mond haaa balaa lake sioo la kitoto ndo maana namkubaligi

  • @elieneapalangyo6938
    @elieneapalangyo6938 Год назад +1

    Kala za uso embu

  • @denismoses2370
    @denismoses2370 Год назад +1

    Unyama sanA kaua konde booy nlikuwa nasubili performance ya mdomo

  • @yoodavid1930
    @yoodavid1930 Год назад +1

    Nimefanya

  • @johnmwalule3007
    @johnmwalule3007 Год назад +1

    Kuimba anajua, ila jukwaani bado sana maana anarukaruka tu

  • @mikebwanjala2585
    @mikebwanjala2585 Год назад

    Makonde baba wewe n kama willy paul wa 254

  • @allymahiyo2464
    @allymahiyo2464 Год назад +9

    Ovyo kabisa ujeuli tu wakutembelea nyota za watu lakina hauna maajabu si kama kwenye ukumbi wa kicheni part tu apo...!ata mvuto hamna kazi kweli kweli....!

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 Год назад +2

    Mimi Mambo yako yakuvua shati kwenye steji yananikera mno punguza bangi. Mtu wenyewe kibushuti unataka kuweka kifua wazi.

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 Год назад

      Ni wa kwanza harmo au una nyege nae ovyo,,unamchukia mtu ambaye hta kukujua hakujui

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 Год назад +1

      Ni wa kwanza harmo au una nyege nae ovyo,,unamchukia mtu ambaye hta kukujua hakujui

  • @paschalekagito3507
    @paschalekagito3507 Год назад +1

    Kumanina zenu

  • @berllycollectioncouturefas7451
    @berllycollectioncouturefas7451 Год назад +1

    Konde ni jeshi tuna sapoti ,lakini kadiri munavo sema ame perform n'a nyibo y'a diamond platnumz, hiii niku tu changanya

  • @campbellnyaolo
    @campbellnyaolo Год назад +13

    Go back to Diamond for lessons on performance...you re good menh 😅🔥

  • @ramadhanijumakishai7783
    @ramadhanijumakishai7783 Год назад +1

    Mbn watu wachache tu. Waafrika tujitaid kuuzulia za watu wanyumbn jamn tunaibika

  • @suleiman3288
    @suleiman3288 Год назад +2

    Alivoanza nikadhani yupo uwanjani anacheza mechi

  • @mjubaonair1528
    @mjubaonair1528 Год назад +1

    Anakimbia ovyo ovyo tuu

  • @mtumishidalmas4402
    @mtumishidalmas4402 Год назад +2

    Sina maoni kabisa

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 Год назад +3

    Mimi naona mwana riadha tu hapo😂😂😂😂mbio mwanzo mwisho

  • @osmanmohamed4332
    @osmanmohamed4332 Год назад

    Siezi kupoteza mda wangu kwa ujinga kama hii

    • @rynairene
      @rynairene Год назад

      Na bado uko haoa kukoment 😂😂😂

  • @lina53996
    @lina53996 Год назад

    Ana haki anamuwakilisha simba .anaonesha mapenzi

  • @justingodfrey8282
    @justingodfrey8282 Год назад +2

    unajuwa kuimba ila kuliteka jukwaa ndi changamoto

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 Год назад +2

    Bangi izoo naona anaenda mbio tu

  • @Antony-ee8rc
    @Antony-ee8rc Год назад

    Huyu anakemea DJ kutupaa🥴🥴
    Simba babalao

  • @moutinhomerlin6498
    @moutinhomerlin6498 Год назад +2

    Maskin ya mungu

  • @salomeakinyi8525
    @salomeakinyi8525 Год назад +31

    Harmonize siku hizi huna vibe kukimbia kimbia stage ndio nini sasa

    • @pilimwanza8117
      @pilimwanza8117 Год назад +2

      Mh sasa hilo si ndo vibe au hujui maana ya vibe🤔🤔

    • @salomeakinyi8525
      @salomeakinyi8525 Год назад +2

      @@pilimwanza8117 ebu niambie wewe sijui

    • @raphaelbravo8432
      @raphaelbravo8432 Год назад +1

      @@pilimwanza8117 Sasa kuruka ruka na kukimbia kwenye stage ni vibe gani?

    • @rosemarynaomi3858
      @rosemarynaomi3858 Год назад +1

      Kama kulala ndio vibe basi kalale

    • @kikumbaalain8619
      @kikumbaalain8619 Год назад +3

      @@raphaelbravo8432 Yani hata na Mimi sielewi kweli.. halafu iyo style yakuvuwa T-shirt..tunaka performance hatuna hamu ya 6park na kukimbia kimbia kwenye stage kama mtu aliye poteza vile .🤭🤭

  • @princewilliam6662
    @princewilliam6662 Год назад

    Mwanariadha

  • @Ludahcrisbarbers_ke
    @Ludahcrisbarbers_ke Год назад

    Amekua embaramba

  • @mashopluck
    @mashopluck Год назад

    Harmonize aaa

  • @mjubaonair1528
    @mjubaonair1528 Год назад +1

    Hamna kitu

  • @kennymutyseah4379
    @kennymutyseah4379 Год назад

    Jeshi mkali

  • @anoldkedmon4197
    @anoldkedmon4197 Год назад

    Dj niangalie usoni😂

  • @ismailmkame4205
    @ismailmkame4205 Год назад +1

    Mbona hakai kama mwanamuziki? Nikama toy tu snaboo sanaaa

  • @sethjeff-jp2ue
    @sethjeff-jp2ue Год назад

    harmonize ni boy diamond asikiki ata uko

  • @masizitony9800
    @masizitony9800 Год назад

    🦣🦣🦣♥️❤️🦣🦣♥️♥️❤️🦣🦣♥️♥️♥️

  • @lizmutheu3557
    @lizmutheu3557 Год назад

    Bure kabisa

  • @moricendonde11
    @moricendonde11 Год назад

    Wasanii kiukweli mnazingua hiyo steji mnatumia vibaya unakuta kipindi msanii anaperfom watukibao hasa kamera man kwann kusiwe na shooting ya kutumia ile flying camera tuu😊😅

  • @raphaelbravo8432
    @raphaelbravo8432 Год назад +46

    Wakati wasanii wakubwa wanaonesha vibe yao kwenye stage huyu naye ni kuruka ruka na kukimbia kimbia ovyo ovyo.

    • @ibrahshifta1595
      @ibrahshifta1595 Год назад +2

      Acha choyo kaka

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Год назад +3

      @@ibrahshifta1595 ongea ukweli kwani kukimbia kimbia ndio nini sasa😂😂😂

    • @erickabel6201
      @erickabel6201 Год назад +3

      😂😂😂😂😂

    • @louqmansaidy2486
      @louqmansaidy2486 Год назад +9

      Punguz chuki mastaaa yaan huyooo mfikii kwa chchot mpak zambi kakuzid nabadooo unakaa kutwa kumtolea manen ya kejer mwanaume mwenzio alohustle had kufik hapooo. Advise achan na maisha ya watyuuu pambn na ww ufike level zakooo 😎

    • @saulielisha9729
      @saulielisha9729 Год назад +6

      Unataka amrukie mam yko

  • @mumojohn765
    @mumojohn765 Год назад

    Hizi n gani Sasa🤣🤣

  • @selemanmohamediubotile4822
    @selemanmohamediubotile4822 Год назад

    mbona kama kavaaa shanga

  • @paulopaulochacha6712
    @paulopaulochacha6712 Год назад +3

    Hajuagi kuchez huyu

  • @yagatisport4588
    @yagatisport4588 Год назад +2

    Harmoze Bwege

  • @lawrencegwerino1656
    @lawrencegwerino1656 Год назад

    Jifuzeni kumba bila kusimamisha beat.. ndio maana Burna Boy anawashinda akifanya show yake ni anaimba mwazo mwisho..

  • @stephenmwakasonda892
    @stephenmwakasonda892 Год назад +1

    Hana vibe