TA'LIYQ 06: NUTKA TANO ZINAONYESHA KUWA MUHAMMAD BACHO ALIKUSUDIA UOVU KATIKA MZOZO HUU NA MENGIN..
HTML-код
- Опубликовано: 8 ноя 2024
- 🛠️🔥🛠️TA'LIYQ NO 6 JUU YA MANENO YA MUHAMMAD BACHU KUELEKEA RADDI ILIYOTANGAZWA NA SHEIKH HASSAN JAMADA🛠️🔥🛠️
(Imetolewa Al-khamis ya Tareh 05/09/2024 baada ya Ishaa)
YALIYOMO
👌Ikiwa makosa ya kilugha ni ushamba na utoto huu unauoyafanya wew ni nini?
👌Nukta tano za msingi zinazoonesha kuwa muhammad Bachu amekusudia Uovu katika Mzozo huu na ile alama aloitaja basi yeye ndiye muhusika zaidi
👌Nani kakutangulia ktk wanawachuoni kuwa mtu akikosea Qur-an pasi na kuharibu maana amemsemea Allah uongo..?
👌Tazama Mambo ambayo muhammad Bachu amekosoa na usahihi mambo hayo si makosa Je Bachu Una hoja za msingi za kuyafanya tena kuwa makosa ?
TA'ALIYQ NO 7 IS LOADING........
🕌MARKAZ ABIY HURAYRA-KONGOWE (MSOUTH)-DAR ES SALAAM
🎙MZUNGUMZAJI🎙
________
🎙SHEIKH:ABUU FAUZAAN/ABUU RUDUUD/(FADHILI ABD) حفظه الله🎙_
⏬⏬⬇️⏬⏬⬇️⏬⏬⬇️
Asalamu alaykum warahamatulah wabarakatu mashallah ikiwa mutaacha matusi basi elimu itafika,pia Abuu Fauzan kwakua umekiri ulitumia tusi kumuegemezea ndugu yako Allah akusamehe wewe na sisi katika makosa yetu,pia wanao toa matusi kwenye comment Allah awasamehe wote ila watakao endelea kutoka matusi yawe hoja dhidi yao
Allaah akuhifadh shaykh wetu abuu Fawzaan.
Yan mpaka sasa muhammad bach atakua anadalili zakua sheikh mkubwa sana baadae inshallah...maana anapokosea anakubali kua amekosea...sasa hawa wengine hawakubali makosa ....ALLAH azidi kumpa elimu Muhammad bachu na amuweke mbali na riya
Sema Allah kamdhalilisha kwenye hili kama alivosema tuone Nani Allah atamdhalilisha😂😂😂😂
Sasa inabidi akae chini asome Sasa
Atakua shekhe mkubwa kwamahizib na watu wajinga
Kwa utumbo aliofundisha hapo kweli nyinyi mnashehe mkubwa
@@YahaDhikry wajinga niwale wanao watoa wenzao ktk suna alafu wakajibakisha wao na wakikosea hawasemi kama wamekosea na wanapoulizwa maswali ktk dini hajibu wanaleta maneno mingi tu
Ustadh wetu ile aya angalia vizur umeikosea kweli
ABUU FAUZANA ALLAH AKUHIFADH ULIKUA WAPI HUYU MPUUZI ALIKUA ANAJIONA MWANAZUONI WA AFRIKA MASHARIKI HALAFU KIUFUPI HAJAJIBU KUHUSU MASDAR NA ISMU FAIL MZUSHI UYOOO
Kwani huyo si alijisifu akasema anjua kiarabu au vile kusoma makosa Quran na ibara zengine za kiarabu ndo kujua kwakwe?? Asiruke ruke aseme tu Hana jambo mwepesi tu na yeye .bachu sio saiz yake. Bachu sio mnafiki ankubali hakki ila huyo rududi wenu naon anruka ruka aibu zake akubali tu kwanza sisi ndo tunataka
@@salumtakao9828 ah ww chenga kweli lkn mm kwa wadogo wadogo nakuezeni wanaojifanya wakubwa kama bachu wakati wachnga tutamuachia Shehe wetu Abu ruddu Ni hviii
ELEWA ITU KWANZA SHEHE WETU SIO KAMA HAKOSEI ILA ANAPOKOSEA ANAKUBALI KOSA ILA BACHU HUCHOKOROA MADA WALA
1 HAZIWEZI
2 HAJUI
3 MIKWALA
4 WOGA
5 VISINGIZIO
6 KUPINDISHA MAANA KWA MASLAHI YAKE
7 HURUMA KWA MAJUHALI WENZIWE
8 JANJA JANJA NYINGI
HVI ASIEKOSEA KATIKA QUR AN NANI
WAKATI UYO BACHU ALIPOMJIBU MAZINGE KATIKA SWALA LA NABII SULEIMAN ALIPINDA AYA APO VP KAANGALIE
JENGINE MTU AKIWA MWANAFUNZI MIAKA 8 ILIOPITA NDIO WAKOSOA WW BACHU ANAKOSOLEWA SAIZ ATETEE APO TUTAENDELES
@@salumtakao9828sijui nilie au nicheke Bachu anadiriki kutoa makosa sehem ambayo haina makosa huuu ni ujinga wa kupitiliza Kun kukosea kwa bahati mbaya Lkn Bachu subhaanallah Haya lile bango kaend kulitoa makosa kumbe yeye ndo hayupo sawa Anatakiwa Atubie hadharani sio kulifanya jamb lionekane jepes
Amepelekwa kwenye maada ya msingi kuhusu hukmu ya imamu Suyutwi lakini hata kujaribu tuuu hajajaribu.
Ndo majadida walivyo.
Wanapewa haqqi wanaikataa na wanawadhihaki wanao waambia ukweli.
Jamaa anatafuta kivuli cha kuruka hojja ya msingi kuhusu Suyutwi.
Hawezi hiyo.
Majadida na masufi ndo walewale.
@@giltaemi4017 hawachomoki pale haw jamaa wamejifunga au wakubal tu wanpelekeshwa na hisia zao binafsi ktika kuwapenda watu baadhi nakuwachukia baadhi basi na hojja na hakki. Wana dalili nyingi zakuwa mahizbi Hawa jamaa inasikitisha hawajawahi kukubal ukweli wao.
Huyu jamaa hata kusoma Qur'an hajui {na Qur'an ndio msingi wa elimu zote}, chaajabu anataka kuendelea kuminyana...
Jibu mambo ya suyutwi
mmb ya suyutwi yashajibiwa hivyo
1 sio lazima ajibu huyu maana hoja ya huyu hayuko na mda io
2 kujibiwa sio lazima uridhike wewe na muhammad wako bachu
@@yahyaphdwababaiwhaji Tu, na ushabiki, yashaajibiwa ya suyuuthwi
Suyutwi ndio mada walio Anza nayo
Majadida hawawezi kujibu maswali ya kuhusu Imam Suyutwi(rahimahuLLAH).
Allah akuzidishie fahamu pia uwe na ikhilaaswi
Kanatakiwa Kaseme Allah Kakadhalilishaaaa kasirukeruke
Kabisa hapo kesi itaisha ila kukubali kitapeli hiyo HATUTAKI
Hii sio siasa!! Hii ni dini..
Wewe Bango lilikuwa lina kuhusu wewe ndo wakwanza kufanya Fujurr kuingilia mambo yasiyo kuhusu kwani wewe ulitajwa kwenye Bango au kimbele mbele,tu acha kujiona wewe😂😂😂😂😂
Yéyé kakubali Kosa we mbona hujakubali hats moja au Wewe ni maasum
Achana na majadida Hao hata iweje hawawezikukubali haqi kwao wao wanachokisema wao ndio haqi hata wakikosea
MJOMBA mchumali kwaubichi umuwezi
@@AbubakarAlly-th6ophaqq ipi? KASUKU Muhammad BACHU alitakiwa asema Allah amemdhalilisha sio vingne kama alivyo Sema
Amekubali kitapeli yeye aseme tu kwamba mie nilikosea na Allaah amenidhalilisha kwisha maneno si yeye ndio alisema tuone nani Allaah atamfedhehesha
kuto sema kwake kuwa amedhalilishwa, HAKUMZUII ABUU FAUZANI KUKIRI MAKOSA YAKE, au ndo MAJADIIDA Huwa kamwe hawakubali makosa, kama vile wao ni MA'ASUUMIINA???
kakubali kosa vipi weee aseme Allah amenidhalilisha aseme ukweli BACHU
Mm nawashaur ndg zngu huy Abuu Zahyan kasema ufnguo amesha utupa kwaiyo kashpotea njia hyo anahangaika pkutokea hpajui endelea kutfta ufnguo wko..
Jadidaaaaaaaaaa halijuwi qur_an
Barahiyan yeye hajui kabisa hata kutamka aya kwa ujumla inabidi asome moja moja kama mtoto.
Sikiliza audio namba 5 utasikia saut yake barahiyan akisoma Qur'an
Hahahahah! huyu dogo Mwiba wa Abuu Ruduud umemchoma sehem mbaya anakomment kwa hasira kweli yan😂😂😂
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x.
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x hakuna majibu kwa majadida kuanzia kwa masheikh zenu kwa hiyo wanafunzi hamsumbui.
NYIE MAHIZBI MNAUMIA SANA EEEH??? HAHAHAH! KULENI VYUMA HIVYOOOO!
CHUMA KIZITO
Piga Supana Hakokajamaa Mpaka Kanyooke
Mahizbi mnaumia mkiwa wapi
Kaka naombeni mpelekeeni panadol huyu asije kuumwa
Akhy Mweny namba za Abuu ruduuud mwambien Bachu akifa hizi siku za Karibun sababu ni yeye amuach bas angalau apumue kijana wetu Zanzibar bad twamuhitahij tutamlea nd anakuwa bad jmniiiiii😂😂😂😂😂
YA SHEIKH WETU SISI TWAJUA WAZI BACHU HAONGEI NA WANAOJITAMBUA NDIO MANA HUA ANAONGEA MANENO YA KIJANJA NA KWA NJIA YA UONGO NA UOVU BACHU NI MJANJA TU HANA ELIMU KIKUBWA MASIFA NA KUJIONA NA MARIYAAA
Uongo mbona kiongozi wenu wa mahzbi kassm ndo zake izo
@@NassorHassan-no1cr mkosoe ukiona waka usiogope ila kwa uadilifu tu ila ndio ivooo
ujadida ni uvundo
Lakni pia alisema ukitoa taaliki atajibu hapohapo bila ya kufanya hata bahthi kwakua wewe si wakufanyiwa bahthi lakini twashangaa maana anafanya bahthi tena kwakushirikiana na mashekhe zake lakini anachelewa kujibu, kujigamba kwingi elimu ndogo na kusoma kwa mashekhe hataki
Wewe ndiye aliyeanzisha mjadala Kwa Elimu gani ya kujigamba kujionesha kwamba unaelimu acha ufitinishaji na adhabu yaufitinishaji kwa waumini bila kutubia kabla ya kufa ni adhabu ya moto wajahannam mche Allah
pumba sana mufty kwa kweli alie anza kukosoa lugha bachu kwenye bango ambalo halimuhusu
@@yahyaphd alisema kuwa labda ni makosa ya kibinaadam na pia alielezea kuhusu bango kwanini alihisi kuwa lamuhusu yeye,au hukuisikiliza na kuitazama "video"?.
😢Tunataka mada ziwe Ana kwa Ana tujue nani mkweli mambo ya alhafidhi kadha wakadha hatutaki bacho hoyeeeeee na Pia bado kijana mdogo
Makosa ni makosa tuu hata kama ni makosa ya zamani unapaswa hata ww kuomba msamaha
Asalam alaykum bachoooo funguwa darsa usomesheee ume jiegemeza katika rududi sn
Lafikiangu hapo kubari kosa ulikose kwenye qurani mimi nisalafi na naamini kuwa mihamani bachu nihizibi pia abuu lifadhili qasim matuta jana alikuwa anatu nasihi kwa waadilifu kasika kusahihisha katika watu kubili kosa hapo umeyivuluga qurani
@@OMARYLUCAS Masha Allah jazakallahu khaira ndugu nakupenda kwaajiri ya Allah umekua mkweli tatizo sisi tunaushabiki kama wa vyama vya siasa hatakama sheikh wetu akikosea sisi tunamkingia kifua wala sifa ya uwadilifu hii Allah atuongoze
Alishakubali kukosea tangu jana kwenye taaliq ya 05,aliyeanzisha huu ujinga ni BACHU,yeye ndiye alianza kukosoa bango ambalo lilikuwa sahihi na kutishia watu na kuwakejeli kuwa hawajui lugha,baada ya kufundishwa kuwa yeye ndiye alikosea alikiri na kuanza kutafuta makosa ya Abuu Ruduud ya 2017. Abuu Ruduud amekubali kuwa alikosea wakati huo,sasa kinachoendelea ni kubainisha kuwa yeye Bacho ndiye mtu wa chuki na kejeli dhidi ya masalafi.
Kashakwambia kila mtu anakosea hata maimam wa Makkah! hujaelewa nn sasa
Hhhhhhhhh
Jinga sana jmn
Rungu za chuma zina come ku come..😅😅 vimonda 😂😂 hapa nairobary ndani ya Kenya tuna kufatilia sheikh wetu waka nyage bila huruma tuzidi kustafidi
Umekuja kwa njia ya haki lakn ninyi ni waovu ndio maana hata salaamu mnachagua wa kumpa ikiwa hayupo kwenye kundi letu hamumsalimiliii mafundisho ya wap hayo
umelishwa matango pori wewe
Epuka matapeli kaka, ingawa n kweli wapo watu wanao fanya hvyo lakn pia jaribu kufuatilia.
NA uulize kwann hamuitikii salamu akikujibu kama unaweza Dai dalili.
UONGO
bachoo ameabikaaa alikuwa anasema kashawahi kuniparamia mgongono
Unajitutumua sanaa mzee qur'aan mbovu pia unaharibu matendo kwa hizo riyaa zako
Acha taassubi kichwa chako kiweke huru hakuna asiekosea katika kusoma qur an hata bachu alikosea yye alipomjibu mazinge kuhusu swali la nabii suleiman kuhus mdudu chungu aya kasoma kimakosa kachunguze utaona hivyo kusoma kwa njia ya ghaibu
Hebu kawsikilize mashehe pale makka wanavyokosolewa kua huru
@@AbuJuhaifah-c8jHakutolewa makosa kwenye qurani tu hata kilugha ,lakini mbona hajakiri kuwa kweli alikosea?! Huu ni upuuz
Hoja za Bachu ni habari za imamu assuyuut.. hizo zenu ni ngonjera na siasa ktk dini.
Uwo unao ule7a ni uhizb nzeee 😊
@@SaidSeif-d4y wanakwepa hoja wamepata kichaka chakujifichiya
Ungea la maana usiropokwe
Mzee hujui Qur,aan kubali tu Qur,an yako mbovu
Nyinyi mnawashwa na Nini?
Anaekandwa mwingine nyinyi mnawashwa Nini?
Abuu Ruduud Yuko Kwenye Jihaadi Ya Kuwaraddi Watu Wa Bida'a Na Mahizbi Kama Kina Bachu
Hayo si maneno ya salafi hayo ni maneno ya hizbu Salafy hadadiya swaafiqa mkubwa weweee
ALLAH AMEMDHALILISHA
Muhamed bachu ni mwiba wa maswaafiqa mahizbu Salafy mahadadiya kama alivyo kuwa sheikhuna abuu muawiya rahimahullah munatamani afeee mufurahi
Hhhhhh wewe umeamuwa kuwa kipofu,sie hatuna msaada kwako zaidi ya kusema Allah akuongoze
Wazee wa ligi ngumu sana kwao jambo kuisha bila ya kufanya inad
Ningeshangaa kama ningekuta maneno ya uungwana kwenu baada ya kukosolewa
Kwanza jifunze kuandika kiswahili ndio uje hapa
@@abuuruwaydatvTz wapi penye makosa katika uandishi hapo?
Mm ndugu zangu sipo kwa kaka bachu wala kaka abuu fauzan shida yangu nataka namba zao za sim ninashida nao
Bachu hivyo vitabu vyote kwenye meza kumbe hujui khatw na imlaa?😂😂
LIJINGA LILE BACHU
MUHAMMAD BICHWA
Jamani matusi yanini
Anapamba meza hhhh
Acheni matusi maka hamna yakuongea nyamaza
ASANTENI SANA leo nimejua kuwa nynyi ni majadida 😢😢 yani daah kukubali makosa ni ngumu kisha uwe kweny haki wapi
Hivi ukiulizwa Qiyama utoe ushahid wa Ni upi ujadida utaweza
@@faridfrefre35 sana tu tena naweza andika hata kitabu kizima na mijeled Ya kutosho kuhusu ujadida.
namshauri BACHU bado kinda akachue elimu kwa masheikh wa KISALAFI,ikiwa amekusudia dini akaonane na sheikh SALIM HILAL EID,Ni miongoni mwa wanafunzi wa sheikh ALBAAN,na kwa sasabu yupo Dar ssalaam kwa ziara,anapatikana MARKAZ SHEIKH ALBAAN BUGURUNI DAR
Weka tu weke imemshinda bachu hahahahahahahaha anajifanya mjanja sasa moto unawaka
Bachu hadi akae kikao na wazee wake😂😂😂
Sasa hapo we unaona ameongea Nini Yan, au ni ukaamua kuacha dini na kufuata ushabiki?
Kueni na ikhlaaswi ibadah llah na mcheni Allah
Ikhlasw ni amal ya moyo wewe umejuaje hana ikhlaasw? Unajua ghayb ama?
Hizbiy kubwa wewe hupendi bachoo akikosolewa inakuuma.
@@Dawah99 mche Allah yahee acha matusi moyo hudhirishwa kwa Matendo ya jawaarih siunaona comment yako imekuja nå neno hizbi ndani unaona uko sawa kabisa nå hofu huna
OK endelea kuita hizbi boss ila mche Allah
@@rashidmasunzu9998 hizbi sio tusi, yaani bachu amuite shaykh Rabee حفظه الله تعالى jadida na wewe upo kimya lakini akiitwa yeye tu unakuja juu, wapi na wapi. Mbona yeye anamwita abul fadhl na masalafi majadida mbona husemi amche Allah. Ni kwasababu wewe ndugu yangu ni hizbi na inakuuma bachu na mahizbi wenzio wakiwekwa sawa
Acheni upumbavu hiyo mizozo yenu inasaidia nini katika kuipeleka mbele uislam kaeni mufundishe dini watu wanazidi kupotea.
Acheni upumbavu na muwe na adabu na hekma katika kufikisha.
Msijitakase kuweni inswaaf katika mazungumzo yenu.
Kibri na kejeli ni uovu.
Kiukweli asa TUSEME UKWELI BACHU NAHAW HAJUI HATA KWA MASUFI WALIMFANYA ASIMAMIE SUKUNI KWA KILA NENO
ههههههه سكن تسلم mwendo wa bachu anaenda kwa sukun hatar sana Akhy
Ukweli wa kibidaa
Video ya 6 upuuzi mtupu
Hayotumeshaelewa
Ongea madaingine.
Ya imam suyutwi.
Inaonekana wanafunziwako niwagumukuelewa sana ndiomaana unarudiarudia manenoyako kilasiku
Hatuuiyaachiii mpaka MSEME Nani Allah kamdhalilisha kwenye hili
Ucfanye ushabiki ndugu yangu bachu anajua hebu fuatilia kwa kutia kwenye mezani ucfanye ushabiki ndugu yangu
@@OmarSalum-y9c usitie huruma ndugu sema Nani kamdhalilisha na Allah kwenye hili akasema watu wanakiarabu mchwarwa walete vitabu vyako walivotunga pongwe anampa miaka 15 alete kitabu mwisho WA siku kaangukia puwa untaka tumpime Vipi mtu huyo
Lete upuuzi usio na utupu Achana nao huu ambao una utupu
Ndg yng huy usihangaike mada z kisheria anazikimbia..
Jadidaaaa c tumesha wajua
Mzeeee rudi madrasa qur_an hujuwi
Riyaaa
MTAPIGWA MPAKA MFEE NA UJINGA WENU
Nasikiliza pande zote mbili na haqi naipenda zaidi kuliko masheikh zetu, binafsi naona wote ni watu wa sunnah bhaas tusijigawe, na nakuomba Shaykh Muhammad kwa ajili ya Allah upande bus uende kwa Shaykh Abu fawzan muondoe tofauti zenu mpate lunch pamoja na mumche Allah, na mkili pale mlipoteleza na kurekebishana, hii ndo siri pekee ya kufaulu na kumaliza mizozo isokuwa na tija. Lkni pia nimesikia Shaykh Abu Fawzaan ukisema haifai kusoma lugha kwa Shaykh Muhammad Bachu, nauliza umeongea hivo kwa kukusudia aau umeteleza??
Shaykh Muhammad jitahidi uharibu ratiba zako kwa ajili ya kuunganisha wana sunnah kwa kuwa naamini unakusudia dini na una mahabba na ndugu zetu hawa.
Wallah wakati wote machozi yangu ni juu ya kushirikiana kusukuma gurudumu la sunnah mbele maake bado sunnah haijaenea kisawasawa badala yake hii inakuwa opportunity kwa hawa masufi na mapote mengineyo ya batweel wanazidi kusema "hawa mawahabi wanashambuliana wao kwa wao na ndo mrengo wa da'awa yao" lini watu wa kawaida (a'wam) watakuwa na shauku ya kuelimika kutoka kwetu ikiwa tunaenda kwa barabara hii.
Nilipoteleza ktk kueleza haya naombeni udhuru na excuse.
Wallahu musta'an 😢
Hilo la iqtibaas wallah kijana bachu hajui kabisa... kwani kasoma wapi haswa huyu kijana??? Maana ana kelele na ujinga mwingi sana duh...
Yaaani kama wewe ni sheikh unafundisha watu basi jiangalie nafsi yako kwani kuna kitu moyoni mwako
Unajikweza sanaa ,kumbuka wewe si maasum wala huyo unae bishana nae hayo mnayo yafanya hayana faida kwa umma zaidi ya kuwagaawa watu
Mmekutana waimba taarabu, endeleen mpaka mpigane😅😅😅
Makasuku waki hizbi mbona mmenuna??? Ndio kuanza masalafi watawa finya mpaka kieleweke mropokaji kashaa surender.dr.islam vile vile huyooo mbio ktk lugha ya kiarabu eti ndio kuhepa mada duh!!
Hao mahizb ndio watawaoa dadazune ama mutakataa kuwaozesha....
bachu kanituma nikwambie ashaakomaaaa harejei tenaaaaaa eeehewe
Duh kumbe majadida ndo msingi wenu huu kusema uwongo??
Ukiwa muelewa na una iman jpo kdg ktk Dini! Utajua nn kinachoendelea ktk hii midahalo yao hawa jamaa pamoja na wafuas wao!!!
Kwan shekh jaman mbona ulichelewa kuja kumnyosha, huyu mropokaj dou bacho anatia huruma jaman
Kwani ni maneno gani ambayo karopoka?
Unaweza kuyanukuu hapa?
@@athaum05kukosoa bango ni uropokwaji mbaya ten wakijinga ushaon nimevaa kanzu waniambia nimevaa kofia na sio kanzu ndio mfano wa Bachu muwache apigwe z kichwa mpak asem sina elimu 😂😂😂😂😂
acha ushabiki ndugu yangu
Kama bado huyu sheikh wenu yupo kwenye الهذيان hapo si kasema usahihi ni kwa fat-ha sa unachukua mda kwenye mambo so ya msingi
Abuu Fauzaan Ittaqi LLaaha acha unaafiq Huwo niusengenyaji imesoma wapi wewe hii dini mnaipeleka wapi acha kibiriti,jeurii,kujiona usijione mkamilifu huna lolote wewe hebu wafundishe wanafunzi wako
Sio mbora anaewashinda watu kwamiereka ukabila umaarufu mbora niyule anaekasirika nakuzima hasira zake wakati anapoghadhibika mwenye Elimu hajitapi wala kujitangaza kwenye mitandao acha mabishano unagugu lahasadi moyoni mwako Abuu fauzani
Mimi naunga mkono suala la Ruduud kwanza ni ibada lakin shubha zakusema mnakosoa lugha mmeacha mambo ya msingi.Kitabu cha Allah ni cha kiarabu Hadith kiarabu kauli za wanachuon ni za kiarabu atazifahamu vip asiejua kiarabu ?? atamjuaje فاعل &مفعول na mengineyo Bachu ni hizi شئت وبئت
Bacho hamumuwezi nyinyi acheni hizo majadida
Mm naona jmaa anaropokwacha xn yuko mbali haki yy yuko kiushindani t..
Halafu Bado Kanautakfiri Wake
Kamkufurishia nani??usifuate kwa Upofu akhy
weeeeee utamuumiza huyo mwezakoooo muwache tenaaaaa
Mbona unajitakasa Kwa mungu
Tupeni faida kuhusu suyuutwi bna mbn mamb mengi yanakuwa???
Mpaka MSEME Nani Allah amemdhalikisha kwenye hili 😂😂😂
😂😂😂 Suyuutw kawakoea nini mahizbi.... Basi mtoeni ninyi kwenye Sunnah sasa kama mnaweza😂😂😂
Allah akubaariki sana nakumbuka maneno ya Shekh Abdalla Humeid anasema ukikamata kihizbi watakiwa ukichape kwelikweli kwahio huyu Bachu sidhani kama atawagusa tena masalafi maana kwa hiki kichapo mh! Maana tumebainikiwa mengi sana huyu bwana ni mtu mtupu si kwenye lugha, hadithi wala usulu fiqh yeye?ajisomeatu ibara za wanachuonitu, amefedheheka na huo ukubwa anaoutafuta kwa nguvu kashaukosa
@@abuually6537 qassimu mafuta hata a hadithi hajui alikosolewa makosa Ya kitoto kabisaa na yule sufi wa shamsil maarif pamoja na makosa Tele ya kilugha
Bwana Abuu ni haokesei yeye
Majadiida mwatapatapa kama wafa maji.
Kusanyana woote lakn bachu ni kitume mnaochukia bure
Kitume cha nani?
Asalaam alaykum shekh rayi yangu mfatilie huyu mropokaj Kila anapozungumza kosoa maana anajikweza sana huyo mhamd bacho tumemchoka mtandaon anawamarizia watu mb zao mpaka akimbie pia akianza kufundisha darasa zake za nahau akituma tuu unafatilia pia unakosoa,,,
Unaweza kutukumbusha ni katika maneno yake yapi aliyojikweza
Je Diploma afatiliwe 😅😅😅😅
Muhammad bashu wala ajikwezi acha kufuatilia dini kiushabiki....ikiwa anjikweza ALLAH ndio anaejua yaliyomo vifuani mwawatu
Wausie mashekh uchamungu nasio kuwapa nguvu katika mukhafala wao sisi shidayetu nielimu nasio ufakhari wa elimu tumuogopeni Allah haya mambo yatatutowa ktk dini jamani huyu niibili nasio km wanavyo sema wenyewe mashekh wanabainishiana haki Allah atuongoze mm niliona kwamacho wakati Abu fadhil kassim mafuta alivyo kuwa akimtwanga makala shekh barahiyani nikiwa Arusha kiblatani maamuma fitna ile ilipelekea kupigana Hadi kutowana damu mskitini huu si ufaskiki huu waislamu kupigana? Kwahio jamani mm nasema na nyinyi maamuma wezangu tuangalieni chakuwanasihi mashekh tusiwafanye wakapotezeana muda kwakujibizana vitu vya aibu ndani ya uislamu abuu fadhili mashallah now katulia pongwe anarisisha ilimu Allah amjalie ikhlasi na ampe mwisho mwema kwasote
Kweli kaka@@albahsans
Mzozo ni kuhusu neno adhayani mzaidie hizbi mwenzio asikubali kiwepesi ivyo nani amefedheeshwa na Allah, sio suyutwi
Wewe ni mumiini? Na unaifuata hii dini ya uislamu au siasa!!?
🎉
Hhhhhh SITAKI RADD YANGU IUWE MTU HHHH BACHU SAFARI HII AMEINGIA KICHAKA CHA MIBA SASA MGONGO UNACHOMWA IPASAVYO
Pliz atauwa
Bachu amekosa kosa kwenye taaliq 1mpaka 5. Akaenda kutafuta makosa yamiaka 7 huma ndio anakuja kutoa makosa kwann asitoe makosa kwwnye hizi taaliq
Kwani kitabu chake kimeandikwa lini wakati na chenyewe kinamakosa
VIP kile kitabu😂? Alikuwa pia ni mwanafunzi hajui lugha? Na kama alikuwa hajui kwanimi aandike kitabu?
Kwanza kubali kam umekosea kusoma then Lete hoja zengine usiruke ruke au umeshasahau kama ulijisifu unjua lugha ya kiarabu ?? Mbona umekosea makosa mengi tu pmoja na mjisifu yote Yale. Muhammad bachu atakunyoosha tu humuwezi yule ni simbaaa wa masalafi
Makosa ya Miaka 7 iliyopita 😂😂😂
Mwambieni Bachu akosoe darsa za sasa hivi zinazohusiana na mada yetu.... Kila mtu ana makosa hatukatai ila makosa ya Bachu ni ya kutojua kiarabu! Haiwezekan anakuja kumkosoa mtu halafu anakosea yeye😂😂😂,Tena akiwa anawafundisha watu na akachora hadi Jedwali kumbe anachora utumbo ndizi😂😂😂😂😂
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xkwahiyo makosa ya nyuma yanageuka kuwa mema?!😂😂😂 Hii Kali
@@swalehabdulrahman4118 Jielewe basi... mtu hahukumiwi kwa makosa ya zamani... kama ni hvo basi asilimia kubwa sisi sote ni masufi mana tulikuwa hvo zamani...!!! Mtu anahukumiwa kwa kosa la sasa hivi kwa sabab hyo ndo itakuwa hali yake!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x sas ndo mtujie kam Kila mtu ankosea na hata huyo rududi naye atakosea tena kwenye kumkosoa bachu . Lugha sio yenu mtulie tu rudini kwenye madda msiruke mada ya suyyuti mbona mnakimbia mada??? Mambo ya lugha sisi sio lengo letu . Tunataka hao waliorukia juuu juu wamuhami suyuti kwa shirki zake na bidaa zake mbon mnakimbia jamniii hapo ndo htuwaelewii
Kujua lugha ya kiarabu sio dalili ya kuwa upo kwenye haki, na kwa lugha hutoyashinda yale mapote mapotofu yaliyoko nchi za kiarabu ambayo kiarabu ndio lugha yao ya kuzaliwa wala hutomshinda abuu jahali. Jambo la msingi hapa ni kuwa muache kujitengenezea kundi au chama mukawa munawaingiza waislamu ktk upotevu pasina haki kwa sababu tu hawakuafikiana nanyi ktk kufuata ijtihadi za wanachuoni munaowataka nyinyi
Kwanza umekubali shekhe wako mropokaji Allah kamdhalilisha ?
Kiarabu ni katika dini huwezi inua dini midhali hujui Kiarabu chanzo cha rudud hizi muhammad bachu ndie alianza kukosoa bango lilo andikwa kwan alijua kua mada husika ni hiyo uliyo itaja hapo?
@@AmirbigirimanaBardazard majadidah ni majahili wa kuzifahamu ibara za wanachuoni kwaiyo aliyekuwa hajui kiarabu ana upungufu wa dini?!!! pia uelewe kila kauli huchukuliwa na kurejeshwa lete dalili iliyotumika kuwa kiarabu ni ktk din
@@IbnuAlly-wm8ilndo unaona umeuliza swali zito?
Ebu taja vigezo hata mtu awe na cheo cha mwana wa chuoni au imam?
Kuna qur-an yenu ya kiswahili?
Hahaha 🤣 Yani Abuu ruduud ni kichwa maji
UJADIDA ni mzigo wa taka taka
Unaweka vikao vya kukosoa ibara Hali Yakua wewe unakosea kwenye quraani Na ibara mbali mbali bado hadi kwenye hizi taaliqat zako unakosea Ila unajiona hukosei!
Unajiita Abuu rududi bora ujiite Abuu mipasho
Maana kwenye Hoja za msingi huwezi kusimamisha Hoja Allah, akuongoze
MTAPIGWA MPAKA MFE MAHIZBI NYIE,MWENYEKITI WA CHAMA CHENU BWANA BACHO KAKUSANYA AUDIO ZA 2017 ILI KUBADILISHA MADA,YEYE NDIYE ALIANZA ALIANZA KUKEJELI NA KUKOSOA KUHUSU هذيان NA BAADAE AKATISHA WATU NA KUHAMI MAKOSA YAKE ALIYOWAKEJELI WENGINE KUWA NAYO,ALITOA MIAKA 15 AKAJIBIWA HARAKA,SASA AMEBADILI NJIA KWA KUKUSANYA MAKOSA AMBAYO HATA BABA YAKE ANAYO,ACHENI UJINGA NA USHABIKI WA KIPUMBAVU
Hivi nyie Huwa mnasikiliza Kila raddi inapotolewa au Huwa mnaangalia tuu ni raddi ya nani na kuandika maoni yenu?
Na kama hamsikilizi mnakosea sana na hamtapata faida na mtaishia kupoteza muda na mtabaki.
Kama unakusudia haqqi fautilia tangu mwanzo wa raddi hizi utayajua na kujifunza mengi na kuingia ktk haqqi bi'idhnillaah
@@FaridaMandovalau ungetumia akiri kufikiria usinge yasema hayo huyu Abuu fauzani Hana uwezo wa kusimama kwenye Hoja za msingi anakimbilia kukosoa kwenye ibara hari Yakua yeye mwenyewe anakosea kwenye quraani Na ibara mbali mbali Bali ni mtu wa talbisi
Km kukosoa kwenye lungha ushamba ndugu yetu Muhammad bachu yy ndy aliianza ushamba
Lkn tatizo kubwa la Muhammad ni kukurupuka hafikirii kwa makini nini anacho taka kuongea.
km yatachunguzwa maneno yake tutaona anajigonga na kujiradd yeye mwenyewe
Alisema kukosoana fatiha dhamma, kisra sio Lugha kwanini mnapenda majivuno ya nani ndie Alimm mkubwa
Mbona ww hukusema jazaqallah khaiyrah mbona ulisema ni audio za zamani ulipokuwa mwanafunzi tuu
Hiyo Qur'an.. Ama n ulimi
Abuu fauzani unaupungufu wa akili maana inaongeza sanaa kwani nani ameanzisha hii mada unaakili kweli nadhani kuna lamropokaji upewe wewe Abuu mropokaji maana mwenzako yupo kimya atakapo kujibu moja unatow zaid ya moja lakini subiri utakipata unalolitafuta kama walivyokimbia wazushi wenzako na wewe utakaa kimyaa
Ongea kimakonde,, kiarab hujui.
RUGHA MBAYA KWA BACHU NI KUMJIBU AKIKOSEA HAHAHAHAHA
Yani hawa majadida wana misingi ya ubishi
Bachu Ni Mtu Mjinga Saana Mpaka Masufi Walimkojoza mombasa huko Halafu nikajitu Kana kisukari hakatulii
Kuanaheshima ukiongea
Fanya istighfar hata Kama ni kimya kimyaa!!
Mjinga lbda wwe coz ujui unasema nn
Mjinga wwe kwanza coz hujui usemayo
Mjinga wwe kwanza coz hujui usemayo
Sw
Nyinyi hamkubali makosa yanu
Kuanzia taariq ya 1 hadi 6 yenye faida ni moja tu ile ya masdar ya هذيان zilibaki ni makelele tu
Hhhhhh wew hay mengin ulikuwa wayajua
Sheikh wallay nyote washamba na kama hamuna ushamba gombaneni kwa simu ama face to face hapa kwa mitandao munaleta riya
HUO SIO USHAMBA alokuambia kujadiliana kwa mtandao ni ushamba ANAYEHARIBU MTANDAONI ANYOROSHWE MTANDAONI...
@@ayububakari9942hahahahaha dozi n chungu
HAYA ulisemaa Muhammad bachu, akitoa video mara TU BAADA ya KUMALIZA tu, wewe unaanza TA'ALYQ TAR. 07.09.2024 Kuna chuma imetoka vipi hapo????
ruclips.net/video/ST16jYkIjxQ/видео.htmlsi=_zzcB0fX4pR4eJ9u
Ww ndo hujui somo la إملاء
basi tenaaaa msamehe kashaaaaakomaaa mbona hauna huruma weweeee
MAJADIDA wanachokisema wao kwao ndio haqi hata wakikosea ila wakikosolewa na asiekua wao hata akipatia hawakikubali mfano Muhammad mafuta ambae ni kada wa CCM kwao bado salafi ila Dr islam sio salafi hawa ndio majadida OG
ACHA UJINGA WEWE,HAPA KADHIA NI KATIBU WA CHAMA CHENU BWANA BACHO KUANZA KUKOSOA WATU KILUGHA NA KUWAKEJELI WAKATI YEYE NDIYE ANALIKOSEA NENO LILE. SASA AMEANZA KUPIGWA MNAANZA KUMHAMI,TULIENI MPAKA AFE KWA UJINGA WAKE NA KIBRI
@@seniornyungu9718wewe hujielewi akiri zako zimefugwa na ujadida
@@AbubakarAlly-th6op hata kiswahili hujui halafu unabishana na watu wasomi. Sio akiri ni "Akili". Kama hilo tu huelewi utaelewa mambo ya dini kweli? Allah akuongoze ewe ndugu yangu atuongoze na sisi.
Fadhili abdi bhana porojo nyingi uswahili mwingi bachu anaenda kielim ndio maana anafanya ba'ath wewe jina kazi ndio maana ta'aliq zinakuwa nyingi
Sema Nani Allah kamdhalilisha kwenye hili usilete huruma 😂😂😂 porojo Kala Allah Kala rasuun amesema ibnu baaz ametfsir imam Fulani NI porojo hilo au ndio dozi inaingia mnachanganikiwa semeni Tu Nani Allah kamdhalilisha 😂😂😂
Usijitakase mwenyewe Allah anamjua nani ametakasika na usijigambe kwamba ni mjuzi wewe Allah yuwamjua nani mwenye Elimu
Jamani ndo hamtaki kunitajia msikiti alipo Abuu Fauzan? Mbona mnataka kunikosesha kheri wakati sina nia mbaya? Basi ntajieni hata jina la Masjid
Hahahahaha!
Msikiti uko huko kongowe sjui
mbona mwalimu wewe unamuonea uyo mwanafunzi serekali itakufunga weweeeeeee
Nyinyi majadida siyo wadilifu
Uadilifu ni ninyi mtutukane tuwaache sio? Mturushie makosa ambayo ni yenu tukubali.
Elimu yako iliyosomwa niyakukosowa tu kuzitumia aya sio Shemu yako Pweza wewe
We Abuu Fauzani mnafiq sana wewe mche Allah na pia uache ujeuri Quran yenyewe hujui ni mshamba kabisa wewe
Kwahiyo ABUU FAUZANI funguo ametupa ataendelea kuongea na ta'liq hadi ngapi????
BACHU NA ABUU FAUZANI kila mmoja anatafuta Ushindi dhidi ya mwenzake, kwa sasahivi hakuna mjadala wa maana unaoendelea baina yenu kuhusu makosa ya lugha au matamshi??? TAFUTENI MADA YENYE KUTUKETEA FAIDA. Hapo munafanya utoto tu na kutafuta sifa kwa watu.
Diploma popoma ....😮😅😅😅
Rudia hio clip une wap kakukosoa achat upuuzi
jamani munaamuelewa huyu aburududi anabishana na bachuuu anammjuaaaaaa huyu bachuuuuu bachuuuuu anaaamjuuaaaaa 😅😅😅😅 subiri tuone
Tunamuelewa sana tu masalafy! Nyie mahizbi si mshajichagulia kikundi chenu.... hahahaha!
Bachu tunamjua vizur kuwa ni mropokaji hata nyie na yeye ajijua km ni mropokaji kwahiyo acha afundishwe jinsi ya kutoropoka ropoka na kuingilia mambo yasiyomuhusu
Bachu tunamjua San Tu hasa cc Wazanzibar tumemchoka Hadi alifungiwa huku Kwa kuadabishwa.
Alipofany Munakasha Tanga na Ustadh Sabasi nilimuon n mtu makini San kumbe sio kweli, Alipoenda Kenya Kwa DJ SAID alinyooshwa. Pia tulizisikiliza video zake kwann anawasema Masheikh WA Kisalafy? Walio Wakubwa kwake Kwa Umri n Elimu (Abuu Fadhil na Abuu Hashim) ndio tukaanz kuelewa kumbe n Mropokaji hasa hasa Mihadhara yke.
Aliofny Kwa Barahiyani tukasema duh!
Ana nini hana bachu
MWEUPEEE YULE BACHU
HANA JAMBO MASIFA TU
Halfu wewe ndugu Dini yako umeifanya ni mapambano ya mpira eeeeeh hukupewa dini km simba n yanga
Majadida wanaulizaga maswali kama vile hawana Akili.
Allah aseme hivi nawewe useme hivi mpishane katika matamshi alafu uambiwe Allah hajasema hivyo umemsingizia.
Alafu utake dalili katika hilo ni kama vile Masufi walivyo pigwa katika maulidi wakabaki wanataka dalili kwamba mtu akileta dalili ya uongo aitwe muongo.
Ni ujaahili mkubwa sana
Wee punguani ni muongo. Bachu alitoa tahadhali kuhusu raddi. Wewe ndio uliemdhalilisha bachu
Hee jamaa kinganganizi huyu nayona kama anajishuku hatari mmhh kumbe kosa la zamani haliwi kosa mie naona Sasa huu ni ushamba acha bla bla watu wameshafahamu
Nan kasema kosa la zaman sio kosa?
Basi wewe nipumba maneno ya Allah unayapeleka kwenye balagha kweli wewe nikumviii