Hii nchi uhuru umezid sana! Hatukatai wagen kuja ila sio mgeni kukabidhiwa nch, itakuwaje watoto wetu apo baadae?? Viongozi wetu litazameni hil kwa jicho la tatu
Binadamu wote ni sawa! Hii ndo sera ya Taifa la Marekani na sera ya Mwl.Nyerere kipindi anapinga ubaguzi alisema BINADAMU wote ni sawa ila umakini unahitajika ili tusije kujikuta tunaongozwa na Kiongozi aliyechongwa na mataifa yenye Hila mbaya dhidi ya Taifa letu. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa
Watu hawa ndio wanaitwa fitina ni mgombanishi na huyu kama mtamfatilia atawagawa tu ww unatoa wap hayo maneno na watu hawakujui maana yake huyo kigogo yupo ndan ya serikali Lengo kuwagawa watu
Kwanini hata Jeshi wanasema kwa mafumbo? Kwa nini sasa huyo mrundi kwa nini msiwasema hao warudi. Tunataka kuwajua nadhani bila shaka hata CCM hawajui kwahiyo tuwe wazi bila kificho cho chote. Kwa nini mambo ya serikali hayawekwi wazi? Hivi mimi leo nikienda Burundi watanificha?
Ah AKUNA ajuae ila MUNGU. kama n kwel mgeni ajue akifanikiwa bac ameweka ahadi na NAalomleta duniani ipo siiiiku ataludishwa na kuulizwa mi jinc gani alivyoitumia neema ya uongozi jibu litakalotok ni ndo maisha yake ya milele. Ndugu wananchi maisha ni mafupi sana siku iz umr umepungua mno 50..60.mwsho.tutafute maisha KWA MWENYEZI MUNGU. Mbora wa kutegemewa na kufarijisha viumbe. Tuwaachie dunia wanasiasa.
Bila shaka, Mtoaji wa habari Anawafahamu, Namtaka kwa niyaba yangu na Watanzania wote Atutajie hawo Watanzania haramu, Maneno yakiishatamkwa hayarudishiki kinywani, ni bora kimya chenye mshindo kuliko sauti ya radi.
Mi nadhani sio poa ikitokea mkeo karudi kwao kupasha kiporo. Hamna hamna mtoto atamchana tu, na atakuwa na Radha ya kwao. Ni WA Swahili ndio tunaamini kitanda hakizai haramu.(NB ikiwa atachepuka na mswahili mwenzako{wa bongo})
Hilo ndilo tatizo la viongozi wa ccm wako tayari wampe mgeni documents zote ili wapate kupigiwa kura tu wazaliwa wananyimwa vitambulisho Zanzibar imekuwa Kama shamba la Bibi anaetaka akuka kuvuna
Aliteuliwa kuwa naibu waziri wa Madini mwaka 2017 kabla ya kuteuliwa kuwa waziri wa madini wa jamhuri ya muungano wa kidemokrasia mwaka 2019. August 2023 ameteuliwa kuwa naibu Waziri Mkuu (mratibu wa shughuli za Serikali) na waziri wa Nishati katika Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu yaliyotolewa tarehe 30 Agusti 2023.
Mwacheni Mh,ale mema ya nchi, kwani kwenda Chibitok na Bujumbura kuna shida gani? Kama ni huyo mbona mh ni kiongozi mzuri? Kama ni hivyo tumpe nchi tu" siku chache kashika hatamu hadi sasa mgao wa umeme imekuwa historia, tumpe tu 2030 atafanya makubwa!
Watu wanao onekana wakimbizi ni warundi wanyaruwanda na wakongo tu hao ndio wakimbizi tu lakina wakenya wazambia na msubiji na Malawi hao hawaonekani kama wakimbizi
Tunachotaka ni uongozi bora siyo burundi rwanda congo na kadhalika Dunia imeshakuwa kijiji tuachane na utaifa sasa. Mbona Obama alipopewa Uraisi hutukupiga kelele?
Taja babu wa babu yako ni nani utuambie na kabuli lake lipo wapi acha upuuzi tuambie makosa ya kiongozi ni yapi tujadili siyo anatoka wapi marais wasitafu mulisema siyo wanzania baada yakufa munawashushia sifa nyingi naomba utupe tafasili yake nn
Mimi ninacho shangaaga ni kuwa tukikuchukia tunakuambia wewe siyo raia wa tz.lakini wako wakimbizi waliojipenyesha kwenye uongozi wa serikali na wana madaraka makubwa nchini.tuna shida gani?
Watu wote ni wakuja hakuna ambaye Babu wa Babu na wababu na wababu ambaye ni mtanzania halisi wakimbizi ni warundi na wanyaruwanda nawakongo? Wakenya wazambia na msubiji sio wakimbizi?
Hii nchi uhuru umezid sana! Hatukatai wagen kuja ila sio mgeni kukabidhiwa nch, itakuwaje watoto wetu apo baadae?? Viongozi wetu litazameni hil kwa jicho la tatu
Uhuruuu au ujinga?
Kigogo unajuwa sana
Alimtongoza dada yake kiukweli huyu kiongozi anadada mzuri sasa kigogo bwana kakataliwa Ushauri wangu Tulime sana tusiache kutumia mbolea za RUZUKU.
Ni porojo za kiwaki tu huyo Kigogo kama ana uhakika amtaje direct mbona zamani alikuwa anataja?
Hilisiojambo la ajabu kwetu watanzania asilimia nyingi chimbuko ?
Safi.sana.kwa.taari.mzuri
Kuna wazili mmoja hivi yani yeye yupoyupo tu mpole mpole sana haeleweki kabisa
Unakuaga na maelezo mengi yasio ya maana hujui kupangilia taarifa zyako rudi shule hovyoooo
Umeon ee mm natak nisikie wameshikiliwa
Hakuna kitu anajua uyu mtangazaji wenu wa hovyo
Mungu ni mwema na ni mlizi wa Tanzania
Mpango 😅😅watu wa mpakani huwa ni mashaka
Ata Kama akiongoza mtu kutoka Burundi sisi tunataka maendeleo tu sifa awe mwanadamu asiwe shetani tu bas AWA wazawa majizi tupu
😂😂😂😂😂
Kwa Nini usiweke adharani acha kuchochea
Binadamu wote ni sawa!
Hii ndo sera ya Taifa la Marekani na sera ya Mwl.Nyerere kipindi anapinga ubaguzi alisema BINADAMU wote ni sawa ila umakini unahitajika ili tusije kujikuta tunaongozwa na Kiongozi aliyechongwa na mataifa yenye Hila mbaya dhidi ya Taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Africa
We mrundi kwenda zako uko
Pelekesha malapa binadam wote sawa nenda kaishi somalia sasa pumba tu unaongea
hayo yote yanadhihirisha ccm imekwama kiongozi wapo kwa kufikiria matumbo yao na si kichwa
Watu hawa ndio wanaitwa fitina ni mgombanishi na huyu kama mtamfatilia atawagawa tu ww unatoa wap hayo maneno na watu hawakujui maana yake huyo kigogo yupo ndan ya serikali Lengo kuwagawa watu
Munyanyasa watu mnaibia mahari mama foreigner. Zanzibar mganda ndio alikua judge
Ata mama siyo mtanzania mama yangu😂😁😂😁
Mama kwao wapi?
Pengine wewe mwenyewe hujui maana ya Tanzania ndio maana unasema hivyo.
Þt
Wstspenya tena tu...hadi mwachane na Watutsi na Kagame. Mana Bado ya Congo mziki ni tx
We mwenyewe una uhakika na uraia wako.sana sana tukikufatilia utakuwa mhutu kutoka burundi au mmanyema kutoka zaire watz halisi hawapo
Watz halis wapo
Nyinyi angalieni tu hilo domo la KIGOGO alafu ndo utagundua kitu
Niwakati ambayo rais aangalie sana kukaribisha wageni Kwa kuwapa kadi za ccm waondolewe
Hatali yake siku ikitokea vita nchi ipo kiganjani kwa adui atutazungusha
Waongo bhna
Mambo yaliharika pale,siku zilleee. Mkubwa aliposema wasiitwe WAKIMBIZ,bali waitwe WAGENI. Wakawa wageni kisha wakawa wenyeji
Kwanini hata Jeshi wanasema kwa mafumbo? Kwa nini sasa huyo mrundi kwa nini msiwasema hao warudi. Tunataka kuwajua nadhani bila shaka hata CCM hawajui kwahiyo tuwe wazi bila kificho cho chote. Kwa nini mambo ya serikali hayawekwi wazi? Hivi mimi leo nikienda Burundi watanificha?
Uyo niutumbo wa nyani Obama kaongoza marekani wakati ni Taiga la Kenya uyo ni wivu na husda zime wajaa juya maisha ya watu .
ww ndye unatupa siri hiyo tutajie nikiongozi gn
Ukioa mzungu kimya ukioa mrundi kosa?
Mpaka hapo tumekwisha .jeshini basi wapo nawengine
Kigogo acha uongo hata wewe Babu Yako alikuwa mkimbizi Tena wa kutupwa
Ah AKUNA ajuae ila MUNGU. kama n kwel mgeni ajue akifanikiwa bac ameweka ahadi na NAalomleta duniani ipo siiiiku ataludishwa na kuulizwa mi jinc gani alivyoitumia neema ya uongozi jibu litakalotok ni ndo maisha yake ya milele. Ndugu wananchi maisha ni mafupi sana siku iz umr umepungua mno 50..60.mwsho.tutafute maisha KWA MWENYEZI MUNGU. Mbora wa kutegemewa na kufarijisha viumbe. Tuwaachie dunia wanasiasa.
Unaongea sana go direct to the point.
tushazoea tanzania kuchunguza mambo yakijinga kuacha mambo ya muhimu kama hayo wacha vita vya wanyaruwanda vije
Bila shaka, Mtoaji wa habari Anawafahamu, Namtaka kwa niyaba yangu na Watanzania wote Atutajie hawo Watanzania haramu, Maneno yakiishatamkwa hayarudishiki kinywani, ni bora kimya chenye mshindo kuliko sauti ya radi.
Huu sasa ndo mambo ya kuuliwa kigogo mtaje yy mwenyewe
😂😂😂😂😂😂 yaani
We jamaaa hujui kutangaza achana na hii kazi.unaongea maneno mengi kwenye habari.toa ujinga wako hapa
Ujinga tu. Hitaji mtu yeyote. Foolish
Hao ndyo wanasabbsha mifarakano bdaye kigogo shikamoo!!!!
Ndio ya znz ayo
kigogo ndo haohao wa juu
Kama walikuja wazaz wake bira shaka ni mtanzania ila kama amekuja yeye kama yeye hakika sio mtanzania
Wee muongo, Kama nimkweli na mzalendo mtaje unaogopa Nini?
Kuowa nje ya nchi si kosa ila wewe mwenyewe mume ni raia halali wa tz
Mi nadhani sio poa ikitokea mkeo karudi kwao kupasha kiporo. Hamna hamna mtoto atamchana tu, na atakuwa na Radha ya kwao. Ni WA Swahili ndio tunaamini kitanda hakizai haramu.(NB ikiwa atachepuka na mswahili mwenzako{wa bongo})
Ww unawaza ngono tu yaani wabongo bhana hatari sanaaa😂😂😂😂@@mosesngosi4138
Ww chizi sana
Jifunze kwa wenzio hujui kuhabarisha jamii
Ongeza mambo
Doto magari anamjua
Hilo ndilo tatizo la viongozi wa ccm wako tayari wampe mgeni documents zote ili wapate kupigiwa kura tu wazaliwa wananyimwa vitambulisho Zanzibar imekuwa Kama shamba la Bibi anaetaka akuka kuvuna
Why usimtaje kwa jina .......ni Nani huyo..Acha kuzunguka kigogo weka Mambo wazi....
Kama ni kweli huyo atajwe analogies nn
Kwani wagon wanyasaa wafipa ndio watanzania ukitaka mtanza is halisi NI Masai na msukuma wengine walikuja Tu
Ww ni maku tu, kwan keny na uganda c kuna wamasai?
Acha uongo ww
Mungu atusadie
Naamin kwasababu saivi viongoziwengi wanarohombaya mpaka najiuliza niwatanzania kweli hawa! Unakuta mmtu hata idala yamaji wanatakalushwa uvutiwe bomba huosio uzalendo
Obama anajulikanasio wakimbizi hao watu mnawajua walivyo aondolewe haraka jifunzeni mchi za jirani
Inchi nyingine hawafichi wageni wanaongia katika Inchi zao wanawaweka wazi wanaoingia Inchi zao.
Mama anasubili jiwe limpige?
Duuh no comment
Siwez like ujinga hujui kueleza
Kwanini hamtaj huyo mkimbizi au na wewe unatugombanisha na serikali yetu kwamba haina umakini amtaje tu tu mwenyewe ss hatumjuwi
Kigogo ana wazungumzia mwijaku na Baba Revo
Akili huna
😂😂😂😂😂
Wesema kasema bila kupepesa halafu unataka tubashiri manake nini??
Sisi kuwa watu tunatakatu walemajam wakufiru 😢😢😢
Aliteuliwa kuwa naibu waziri wa Madini mwaka 2017 kabla ya kuteuliwa kuwa waziri wa madini wa jamhuri ya muungano wa kidemokrasia mwaka 2019. August 2023 ameteuliwa kuwa naibu Waziri Mkuu (mratibu wa shughuli za Serikali) na waziri wa Nishati katika Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu yaliyotolewa tarehe 30 Agusti 2023.
Mwacheni Mh,ale mema ya nchi, kwani kwenda Chibitok na Bujumbura kuna shida gani? Kama ni huyo mbona mh ni kiongozi mzuri? Kama ni hivyo tumpe nchi tu" siku chache kashika hatamu hadi sasa mgao wa umeme imekuwa historia, tumpe tu 2030 atafanya makubwa!
Watu wanao onekana wakimbizi ni warundi wanyaruwanda na wakongo tu hao ndio wakimbizi tu lakina wakenya wazambia na msubiji na Malawi hao hawaonekani kama wakimbizi
Wapo wengi sio watanzania tz inanishangaza
Mtaje mwenyewe
Mnapatikana wapi??no yenu ya simu
Watajeni viongozi hawa ipo siku moja watagombea na uraisi
Tunachotaka ni uongozi bora siyo burundi rwanda congo na kadhalika Dunia imeshakuwa kijiji tuachane na utaifa sasa. Mbona Obama alipopewa Uraisi hutukupiga kelele?
Tuwekee waz
Unafiki tuu na uongo
Amtaje mwenyewe sindiyo kasema
Watumbueni warudi kwao wakaongoze kwao tafadhali bagnamulege nooòoooo
Mwanahabari mbaguzi unaficra finyo
Sasa kwann asimtaieee kama kweli yy anamjuaa?
Taja babu wa babu yako ni nani utuambie na kabuli lake lipo wapi acha upuuzi tuambie makosa ya kiongozi ni yapi tujadili siyo anatoka wapi marais wasitafu mulisema siyo wanzania baada yakufa munawashushia sifa nyingi naomba utupe tafasili yake nn
Mbona uso wa nchi umefunikwa ,, wauza kahawa,, matunda,, bodaboda , ndo wstupu
Mtajuana wenyewe yetu macho tu.
maendeleo hayana kabila
Jamani ni taarifa ya cdf kigogo amenukuu tu mistari, saaa wahusika ndio walifanyie kazi
Pia nyerere alitokea uko tuache ukabila bola uongozi wake uwe mzuri pia bola nimu Africa asiwe mzungu
Tunamjua hatuna haja ya kumtaja no mnyarwnda
Ikiwa wewe ni mzarendo mtaje maana watanzania wanaumia sana kuyaona hayo yakienderea katika taifa rao
🎉
Ni nani tuambie hatujuui
Aah hakuna umejitungia TU hayo maneno Wal sio ya kigogo kigogo alikuwa machine hasa mi huwezi kunidanganya
@@RamadhaniKategile swadaktaa jamaa anazngua uyu
Mama alisema tanzania c kijiji awatoe
Mimi ninacho shangaaga ni kuwa tukikuchukia tunakuambia wewe siyo raia wa tz.lakini wako wakimbizi waliojipenyesha kwenye uongozi wa serikali na wana madaraka makubwa nchini.tuna shida gani?
Mmmm
Ataje jina tumjueeee
Tunakupata VYEMA kigogo
Wewe nii kitatange unataka kuwatia mapono ktk dema alafu wewe unakula kona
Huna umakini ni porojo tupu so kigogo bali ni kirongo majani
❤❤
Watu wote ni wakuja hakuna ambaye Babu wa Babu na wababu na wababu ambaye ni mtanzania halisi wakimbizi ni warundi na wanyaruwanda nawakongo? Wakenya wazambia na msubiji sio wakimbizi?
Ww mwenyewe ndo wale wale
Kidogo wewe si ukweli na so msaada kwa taifa.weka mambo hadharsni ili tujue unauchungu na nchi hii
Watanzania weng hawana kaz
Huyu kigogo ni feki sana anatumaixia tu bando.acha hizo taja vitu vyote wazawa tujue alaaa
Mbona kama BASHE
inatisha sana
Kwanini wanapakana na burundi watuhumiwe ukimbizi ila mipaka mingine tatizohilo halipo hatuokopi umarufu wenu munatakiwa kuchunguzwa akiri maana hamumushindi umarufu aliyeamru mashoga wabalikiwe
Wewe pia unaonekana ni mkimbizi