Ep 9 ikam please design nangoja next Ep nikiona notification ya RUclips nathani ishatoka 🔥colabo ya 3men army, king kalala,Prince Kev,sammyro,na IKE THOSE ARE MY FAVOURITE
Nko 12hr night shift mmekula 1hr yangu vifiti! Arguably one of the funniest podcast i've ever watched.This shit can't be free maze! Siwajue guys but big ups you, Yea and I subscribed!
Kalala, prince kev na 3men army itatesa🙌🏻🙌🏻
Price Kev, weweni fala....ulitwanga mapaja.....😂😂😂😂,na unatingika....
Prince Kev should appear in more podcasts....Niueni mfurahie machizi nyinyi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Not me watching it high,prince kev naye ni mjinga exess😂😂😂
Prince kev ....in the building ...
I love this🖐🖐💥
Prince Kev akuwe kwa kila episode u guys killed it Friday ni far mtuekee mid week zikuwe two episodes in a week love u guyz❤❤
🔥🔥🔥kumoto mmeleta wazimu mwingine rocking 🎉🎉🎉
I have been listening to these podcasts back to back and I can't get enough😂😢 mimi ni yule wa kucheck mpesa😂
Ep 9 ikam please design nangoja next Ep nikiona notification ya RUclips nathani ishatoka 🔥colabo ya 3men army, king kalala,Prince Kev,sammyro,na IKE THOSE ARE MY FAVOURITE
😂😭if i can swim through mud i can pump through blood😂😂😂😂prince kev this episode 🔥🔥
best podcast in the 254- we as the fans totally approve....
Nko 12hr night shift mmekula 1hr yangu vifiti!
Arguably one of the funniest podcast i've ever watched.This shit can't be free maze!
Siwajue guys but big ups you, Yea and I subscribed!
weeuh kwn mliuzaa Kalala bana.....mleteeenii kwa podcast
Hio nayo umeanza umama
Sijai cheka hivi kwa mfululizo maisha yangu yote🤣🤣🤣🤣🤣niuweni
last mlicheka viwete i thought mtatoa prince kev bado ako God atuhurumie juu tao nacheka kila kiwete😅😅😅😂🥲
Ruto was just chilling niuweni vile mlitaka😂😂😂😂😂😂😂😂
Songa songa juu kidogo😂😂😂😊
I couldn't stop 😂😂😂😂😂 Prince Kev is a vibe this guy is hilarious 🤣
Wataita tumefikiwa❤❤❤❤❤❤hata nimewapenda
Nani ex ya hawa maboy jameni😂😂😂mtuletee testimony
This will remain one of my favs😂😂😂
Hii episode nayo dante amenibamba tu sana❤
Dante is saying a true story 😂😭 there is no lie in his story kwanza hapo kwa kunuwa mattress upepo ikapiga nywele
we need more of prince kev here😅
Eesh pia wewe ashakubeba 😅😅
i support you ndugu yangu😂😂💯
Yes
Huyu msee ni mnoma 😂😂😂😂
Facts Mahn this is the tenth time I’m watching this episode 😍😂
Not me rewinding Trevor shaking what his mama gave him🤣🤣. Maumbwa nyinyi😂,, hebu leteni King Kalala
Its getting sweet every episodes 😂 1:01
Can't keep calm😊🥰
Ya'll are just a vibe 💯💥❤🖤
55:35 😂😂 kwani Trevor ametumiwa break up text 😂😂😂update us bana ...
you guys are a vibe, please add Kalala and Kev as Permanent crew😁😁😁😁😁😁
As soon as the video hit one hour and prince started his story I was already dying😭😭💀
Eeeishhh iyo intro in Trevor's voice wagwaaan❤❤❤❤❤
Wachaneni na k kabsaa juu weh😅😅😅
Wagwan wadau .......ushaidate dem anapiga 360 😂😂tena anaskiza amapianoo ....😂weeeeee😂 we want kalala here in the spodcast .....😮😮😮
People asking for kalala but akiingia hii podcast atashusha vibe,wacheni ikuwe boy talk coz it's maaaad😂🥳
Hiii nayo ni ukweli abaki tu Acheze kwa senate........ Juu. man talk Iko amazing
Sasa wameru wametoka wapi sasa😢😢 sawa to favorite show ever 😍😂😂
muongeze tu ujinga ya kalala🥲💯💯
Natokaga spotify nikitegea visuals😂😂😂nakuja mbio youtube keep them coming😂😂
😂😂😂😂it's 12 at night pple are sleeping and am here laughing what a vibe you guys are Eeeh my favourites
@prince Kev umesema if you can swim through mud you can swim through blood....tupatane Kwa tent
Very steady and ready 😂mtanimaliza nyinyi much love ❤
Eiiish kev hapo kwa mapaja maaan,😂😂😂😂
Prince kev has done it again 👑😂😂😂😂😂😂next esp akuje tena
Unaeza kua kagay kanono😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimejitingiza eniua😅😅😅
Prince Kev aka Kefin Mwai Nyaga ako area tena 😂😂😂🙌🙌
😂😂😂😂Y'all are toxic!!!
I have been hooked to these episodes, especially those with price Kev
Eeeish you are such a vibe bana😂😂
Congrats the Consistency and Charm in you guys 🔥🔥
Hii ya mwisho kev bana 😂😂aty ukadinya mapaja☠️😂😂
nmekam kuwatch tena hii episode 😂😂😂
Nyinyi ni maumbwa Sanaa... Wameru mmetoa wapiii....😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nmecheka Hadi maskio ikakua moto😂😂😂😂😂this prince 😂😂😂😂
Prince kev akuje anigonge na hio signature style😂
My first time kununua ice cream ulikuwa ya 400 nikalala njaa😂😂
Always vibe to watch u guys😅
Kev: who r we?
Dante: mama mzazi!
😂😂😂😂😂😂😂my ribs
Much love guys ❤
great content ❤
Hawa wanne wakishikana 😂😂😂😂😂
Na kwani Kuna joto aje😅😅😅☺️ama ni content moto
Hata Mimi nauliza?
When Ruto joined😂😂😂😂😂T Mimi na wewe tumecheka sana
First time watching but am loving this show
Hapo kwa nyimbo 😅ndio ujue timing ukuwa fiti sana 😂..easy calculation 😢....
Meru ascent weuh🔥🔥🔥😂😂😄
ushaipatwa na muscle pull ya mguu ukiwa missionary?
hapo lazima utaongea 😂😂😂😂
This quad squad is amazing ..sml😂😂😂😂😂😂
Prince Kev and King kalala should Be in one sitting 🤣🤣🤣🤣🤣
You guys i love you but mna attack wameru vibaya j...kwani ni mmeru yupi uyo😂😂😂😂😂
I have come to rewatch ujinga ya Prinz kev ..he should be in this podcast once a month 😅
Frank you killing me 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...hiyo jina iko na fine ...prepare kutoa laki tano🤣🤣🤣🤣🤣
mimi huwa na warate mbaya but kev ame leta kitu hapa ...surely hiyo passport ilikuwa worth it ....mnasaidia kijana asilale njaa 🤣🤣🤣🤣
Na niulize,kuna tifauti ya ice cream na ice pops 😂😂😂
👊👊👊Wagwan wadau.tuned in🔥🔥🔥
This one is lit top tier content
Nyinyi wote ni maumbwa😅😅😅😅😅walai
Mtuongezee content buana😹😹😹prince kev wuueehh🔥🔥
HBD kidogo nichomeke na maji moto 😂😂😂😅😅
Kibiriti ngoma 😂😂😂
It's good idea ,adding Prince Kev in
nimecheka yangu yote hubby anashangaa huyu amechizi nini😂😂😂😂,watching from hungary nawapenda❤
Mtoto pedii wtuh bad weh nomah 3men army
Dope❤... nifikisheni 1k subscribers, niko na mix kali
These guys are a vibe😂😂😂😂😂my all time favorite 😂😂😂😂
Prince Kev is becoming my favourite 😂😂
We need kev in this team walaii😍😂😂😂😂😂😂😂
We need more of prince kev he's such a vibe😂😂
Omg....This is such a vibe😂🎉❤
😂😂We need more of this.. Twice a week please.. 😂
Mmepata chizi mwingine 😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽
eti prezzo ako n mapua kubwa gai😃😃😃😃😃🤣🤣🤣
This episode is fire, rudisheni prince Kev Tafathali
nilianza kucheka jana, hadi saa hii bado niko kwa kicheko... wah 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂eeeeii ,hii show ni kitu ya maana
you creating foundation for we start podcasters
Mko na ufala 😂😂😂
the 97s podcast to the world
You lots are nuts 😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Much love from Germany
Marie was just chilling then boom nishakua topic kwa ndoa😂😂😂😂
Prince 😂😂😂😂😂 yaaani mnafanya kicheke usiku c nitafunzwa ploti
Pesa muhimu...bila doh si huona tu mnyama akiongea😂😂😂