Asante sana mtumishi wa ingo nyimbo zako za nijenga na kunipa roho ya matumaini kwa mungu ubarikiwe ninapo barikiwa hapa niliko nazipenda zte Amen Amen
Amen 🙏🙏 Mungu akubariki Sana ndugu nyimbo zako zinaendelea kunitia Moyo Na kukaa katika uwepo Wa Mungu sababu hakuna kama yy Ni pekee yake ,,najipa Imani kila kuchao Kwa hizi nyimbo zako
Am really blessed with the songs may God bless you more nasikiza nikiwa saudi Arabia zidi kutuombea turudi nyumbani tukiwa salama kama mimi hapa kifua kinaniuma sana nadungwa sijielewi
Halleluyah halleluyah halleluyah nyimbo nzuri saana zenye upako ....❤❤ hakika MUNGU wetu ni mwema hakuna mwengineee ni wewe tu BWN wa BWN ustalie sifa heshima zote...🎉🎉🎉🎉🎉 baba wa mbinguni awainue kwa huduma nzuriiii natamani atatungekua wote hapo tuweze kulisifu jina la MUNGU anayetupenda 👋👋👋👋
Mwenye ana mungu ndani mwake akisikia hizi wimbo zako machozi yanamtoka na kuanza kuomba barikiwa sana mtu wa Mungu kwa kutumia kipawa chako vizuri na kuinua wengine,mimi nabarikiwa sana na wimbo zako
Ameni 🙏🙏, Mungu ni mwema, na lala nikishinda you tube na nyimbo zako brother juu zani weka uweponi mwa Mungu🙏🙏, be blessed more bro, may God akueke viwango vingine zaidi 🙏❤❤❤🙏
Nmebariwa sana kupia nyipo zako brother nasikia nmekuzwa sana mungu akubariki akuinue na akupanue akufanye uwe wa pekee katika nyimbo zako za maabudu . Barikiwa .
Mwenyezi Mungu akubariki siku zote za maisha yako Yani nyimbo zako inaniinua kiwango kingine ata nikiwa na stress imagine nikija hapa inaisha Asante kweli Mungu akusidishe kibali machoni pake ❤
Amen 🙏🏿 nikiwa na stress hizi nyimbo zanimalizia mawazo be blessed pastor 🙏
Mungu mtakatifu wa mbinguni atubariki atufikishe kwenye makau mapya Jerusalem itokayo juu kwa damu ya Yesu Kristo mkombozi wawote wa mjao Mungu 🙏🙏🙏
Asante sana mtumishi wa ingo nyimbo zako za nijenga na kunipa roho ya matumaini kwa mungu ubarikiwe ninapo barikiwa hapa niliko nazipenda zte Amen Amen
Amen, We praise our living Messiah, may his presence come down and heal our country.
May God whom I save , give u more and more songs to bless more people who a down🙏🙏🙏🙏
@@GloriaChepkesis-g1c Amen amen amen Gloria ❤️🙏🙏🙏🙏
Nafurahia nyimbo zako hata nikiwa nina udhaifu zinanitia nguvu asante kwa nyimbo nzuri
Amen Amen 🙏🙏👏👏🙌Be blessed Through your songs i get peace and i get myself praying 🙏🙏🙏
Ooh MUNGU azidishie hii kipawa cha uimbaji manake zinanipa nguvu na kasafisha moyo wangu wakati umejaa majiraha l thank you GOD 🙏🙏🙏🙏🙏
Aaaamen
Am really blessed with your songs ,may the good God continue to lift higher level
Thank you Jesus for the gift of life and the blessings we receive from you 🙏 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Amen 🙏🙏 Mungu akubariki Sana ndugu nyimbo zako zinaendelea kunitia Moyo Na kukaa katika uwepo Wa Mungu sababu hakuna kama yy Ni pekee yake ,,najipa Imani kila kuchao Kwa hizi nyimbo zako
Amen may God bless you man of Hod so that u can be blessings to us wen i listen to your music am full of holly spirit
❤❤ nisemeje mungu wangu Pali nakushuguru Asande mungu wangu thanks you God bless you Amen ❤❤🎉
Asante sana brother mungu akubariki sana 🙏 naendelea kubarikitu nakupe nguvu wanao bikana nawewe wanja mungu akupikanie❤❤❤Asante
Napenda nyimbo zako aki barikiwa mtumishi wa mungu... Hakuna kitu kizuri katika hii dunia kama kufwata njia za mungu wetu aliye juu mbinguni
@@roseyhoney478 🙏🙏🙏♥️
Be blessed servant of God
@@danielsifuna7377😊o😊
Everymorning before I left for work I enjoy your song God bless you
Amen 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼 barikiwa sana penda sana nyimbo zako zinakusongesha karibu n mungu ❤🥳mm zanibariki sana 🙏🏼
Am really blessed with the songs may God bless you more nasikiza nikiwa saudi Arabia zidi kutuombea turudi nyumbani tukiwa salama kama mimi hapa kifua kinaniuma sana nadungwa sijielewi
Amen 🙏🙏 mtumishi wa Mungu barikiwa sana hakika nyimbo zako zinanijenga kiroho
Mungu akulinde kila siku nyimbo zako zina nijenga kiroho. Mtumishi wa Mungu ❤❤❤
Glory to the Most High God for raising young servants like Daniel.
May your songs bring revival to our nation and the world at large in Jesus name 🙏🙏🙏
Amen Amen 🙏🙏🙏
Amen amen mungu nipe nguvu za kiroho na mwili kwa jumla nikutumikie
Halleluyah halleluyah halleluyah nyimbo nzuri saana zenye upako ....❤❤ hakika MUNGU wetu ni mwema hakuna mwengineee ni wewe tu BWN wa BWN ustalie sifa heshima zote...🎉🎉🎉🎉🎉 baba wa mbinguni awainue kwa huduma nzuriiii natamani atatungekua wote hapo tuweze kulisifu jina la MUNGU anayetupenda 👋👋👋👋
Amen amen ❤❤❤
Tusidi kumutumikia mungu kila siku kwanza tunapo karibia kumaliza mwaka majaribu ni mengi wacha tuombe sana watu wetu.
Mwenye ana mungu ndani mwake akisikia hizi wimbo zako machozi yanamtoka na kuanza kuomba barikiwa sana mtu wa Mungu kwa kutumia kipawa chako vizuri na kuinua wengine,mimi nabarikiwa sana na wimbo zako
Amen amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
Ameni 🙏🙏, Mungu ni mwema, na lala nikishinda you tube na nyimbo zako brother juu zani weka uweponi mwa Mungu🙏🙏, be blessed more bro, may God akueke viwango vingine zaidi 🙏❤❤❤🙏
Aaamen amen amen❤❤❤❤❤❤
Be blessed alot man of God 🙏🙏🙏 yr worship has make to restored
@@paulinekisalikisali4631 amen 🙏🙏♥️♥️
@@ptrax0099 They are really encouraging and Comforting.
Mungu niwekeweponimwa yesu
Lord you deceive all the praise because I know you praise. Be blessed brother.
Amen amen ❤❤
Ako Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.Nyimbo zako ni kukaribia Mungu.Hata kama umeshushwa za kuinua tu polepole.Slowly and blessings songs
Amen amen 🙏🙏
Nmebariwa sana kupia nyipo zako brother nasikia nmekuzwa sana mungu akubariki akuinue na akupanue akufanye uwe wa pekee katika nyimbo zako za maabudu . Barikiwa
.
Hallelujah. We Glorify you Lord of Impossibilities and our Healer 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Amen❤❤❤
Que Dieu vous bénisse richement mon frère pour tes chansons d'adoration. God bless you so much my brother
Aamen❤❤❤❤
Be blessed brother,nyimbo zako xina niweka uweponi wa mungu,natamani sana nijiunge nawe tusidi kumsifu mungu,niko na hio kibali lkn nimekosa wakuniinua mtumishi.
@@johnmusyoki5633 aaaaamen
Listening fram uganda 🇺🇬, I love yuh songs bredda Daniel
Wacha tu mungu akubariki Kwa nyimbo zako nzuri ,nimefwatia nyimbo zako .Naitwa Amos from Nandi hills amen
Kwanza mmi nashinganga na nyimbo zako usiku wote zinanileta karibu na mungu.. May God continue to make ur star of serving him to shine forever
Aaamen ❤❤❤
❤
Be blessed brother, the songs are powerful and encouraging
Amen Amen. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu ❤
Unanitia moyo kaka na nyimbo zako,barikiwa
❤️🙏🙏🙏 BWANA Apokee utukufu kwa kile Amekiweka ndani yako ndugu "
Pst Martin from laikipia listening 🎉
Aki kama n nyimbo xa kumtukuza mungu na sinabariki watu ni hisi sko aki, mungu akubariki mtumishi aki🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Aaamen❤❤❤
Kweli Kila kitu duniani bila wewe hatuwezi EE mungu nionee huruma kwa vile Imani yangu imepungukiwa
Amen amen❤❤❤❤❤❤
Surely iam blessed,for your song's, since all night, mungu akupe kibali Cha kuandika More songs in the name of Jesus Christ
Amen Amen Amen Amen Amen Amen to God be the glory🙇♀️🙌🙌🙌🙌be blessed Mtumishi♥️🙏🙏🙏🙏🙏
@@MercyMmbaya-sj2bb amen ❤️🙏🙏🙏♥️
Hizi wimbo zana mungu ndani yake acha Mungu asidi kukuinua
Be blessed brother for this wonderful worship songs 🙏🙏🙏
@@DamarisSyombua-t2u aaamen 🙏♥️
Napenda nyimbo zako Sanaa inanipea Imani ninapokuwa nimefifia mungu ni mwema siku zote keep going bro
Amen!Hizi nyimbo zanipa Kiu ya maombi,Natamani niombe na niombe,Mungu nipe maneno nikusifu.
Amen❤❤❤
Amen amen and amen nabarikiwa sana na nyimbo zako mungu akubariki saidi
Ubarikiwe sana kwaujumbe wako mzuri sana kweli wanyimbo nzuri sana 🙏 zina tubariki sana
Hallelujah Hallelujah mungu upewe sifa siku zote 😢😢 tunakuabudu
@@الااتاتاا aaaamen 🙏♥️♥️❤️❤️
Hizi nyimbo zako zinanijenga kiroho Ubarikiwe
Blessed &success as much my brother
Natamani kujiunga na wewe tuzidi kumsifu mungu na kumuabudu pamoja
Amen karibu sana❤❤❤
Amen amen kwa nyimbo unanipa amaini🎉🎉❤❤🎉
Amen amen eeeh baba pokea sifa kwa umbali umenitoa glory to God
@@carolinekimaiyo1781 aamen amen
God bless you brother
I pray that may God continue to keep you on his way, that you may be a blessing to his son's and daughter's
mimi ni. muisilamu lakini kupitia kwa nyimbo zako.nimeokoka yesu ni Bwana ubarikiwe bro
Milele yote tuna mwabudu Halleluyah Halleluyah👏👏👏👏 Halleluyah Amen Amen Amen
@@marywanyama2216 amen 🙏❤️❤️❤️
Nabarikiwa Sana Na nyimbo zako,Mungu akuinue Sana mtumishi wa mungu
Asante kwa nyimbo nzuri ,licha mawindo nimengi lakini bwana ndie mtetezi
Nice songs,zinabariki na sinainua kiroho,God bless u son of kingdom of God,Allellujah Amen
3:09
Mwenyezi Mungu akubariki siku zote za maisha yako Yani nyimbo zako inaniinua kiwango kingine ata nikiwa na stress imagine nikija hapa inaisha Asante kweli Mungu akusidishe kibali machoni pake ❤
amen amen Faith❤❤❤🙏🙏🙏
More grace apon u Man of God 🙏❤🙏
Mungu akubariki sana kwa hisi nyimbo zako c nmenibariki sana 🙏🙏
I have been waiting for this be blessed daniel Amen
Amen amen amen
May God continue bless you brother... I am blessed alot through this 🙏
@@QueenasAwuor aaamen ♥️🙏🙏🙏
Ameen nyimbo zako zinafanya nmjwa Mungu🙏🙏🙏💯💯
Aaaaamen 🙏❤️🙏
Nimebarikiwa sana this morning be blessed brother
Nyimbo zako za nitia nguvu na kunifariji nnapokuwa pekee yangu 😢🙏🙏🙏
Sifuna mtoto Wa nyumbani keep it up congratulation God bless you much nengependa unishinge mkono nitafute ufalme Wa mbinguni Na wewe
Amen amen amen mwana wefwe
Nyimbo zako zinanijenga saana,asante saana mtumishi wa mungu
More blessings to you man of God
Bwana wa mwabwana tuna kuabudu aririririri aririririri aririririri 💃💃💃💃💃💃
Aaamen
@@danielsifuna7377🎉
Listening from Nakuru be blessed
Aamen amen❤❤❤❤❤❤❤
Amen 🙏. Nyimbo zako zinanibariki sana
Be blessed brother Daniel 🙏🙏
Amen amen
Be blessed brother
Amen❤❤❤
Asante yesu Kwa kuwa wewe Ni mwema maishani mwangu
Amen,nkisikiza nyimbo zako najihisi nimebarikiwa 🙏🙏🙏
Amen 🙏 be blessed man of God 🙏
@@IreneKiende-fl6mv amen ❤️🙏🙏
Liveee from congo. keep up bro,you are preaching to so many in the background,more than a church service,
@@leonardwekesa1850 wow amen amen my Brother Leonard
I really worship God with.your songs bro..Mungu aendelee kukutumia bro kwa utumishi. Thanks bro.
Nyimbo zako zinanitia nguvu ubarikiwe sana ndugu
Amen amen
Am blessed brother ♥️ God bless you
@@DorcasCherop-j1x amen amen 🙏🙏🙏♥️
Nitasimama kwenye mnara nione lile atakalo litenda🙏🙏🙏🙏
AMEN 🙏🙏 Asante YESU hallelujah.Barikiwa man of GOD.
Hallelujah hallelujah sifa kwake Yesu
Mungu hakujaze na nguvu uzidi kumutumikia daima ❤🎉
Aaaaamen❤❤❤
Amen and Amen am blessed ❤❤
Amen❤❤❤❤
BWANA azidi kuangazia Mtumishi Dan Sifuna
Amen amen pastor.🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Amen Amen Amen glory to God 🙏🙏
@@FloraBarasa-t7r amen ❤️❤️❤️🙏
Barikiwa sana mtumishi Mungu akuinue viwango vingine 🙏🙏
Woooow! So awesome Daniel Sifuna….I really love your songs! Listening from USA.
Wow amen amen amen❤❤❤
Simply the BEST to connect withGod.
Hallelluuuyaaah!.. 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏
@@DORCASMASINDE-gz9sy amen ❤️🙏🙏
Amen Hallelujah Glory Mungu azidi kukuinua zaidi my brother 🙏.
@@JoyceWakio-pw1hf aaamen amen
Tawala maisha yangu.ooh tawala ewe bwana amen amen❤
Amen amen 🙏🙏
Bro mungu akuinue zaidi hizo nyimbo zako zinanibariki zaidi barikiwa
Hata kama sijakoment jua huwa nasikiza nyimbo zako day and night before niombe hizi dio husikiza kwanza be blessed bro
Amen amen Amen 🙏🙏🙏🙏❤️