shukrani zangu zoote ziwafikie mashekhe wetu kwa kazi nzuri ya kunusuru dini ya mwenyezi mungu subhanahuwataala, kwa kuwa nilitamani Sana kwa pastor huyu kukutana na wasomi waliobobea katika massala ya dini, amekuwa akiwachanganya wasomi wa daraja LA chini kule Kisumu na Eldoret, nimekuwa niki mwangaliasana, asante sheikh wambugu.
Hata hii nayo nai download najua italeta wengine tu,Mungu akujalie sana mwalimu @francis dasha waislam tafuteni waKristo wengine mfanye nao mdahalo,kwa wa SDA mtakuwa mnaadhirika tu
Matusi ya nn? Huko ktk uislam nilishatoka kitambo sababu ya ubabaishaji uliopo.Hakuna muislam anayeielewa dini yake zaidi ya kusikiliza kiongozi kasema nini.
Ndiyo maana akafufuka na kupaa mbinguni,sasa unashangaa nini na elimu ndogo,angesema Muhammad maneno hayo ndo ungesema hivyo maana alipokufa hakurudi tena.Unamchezea BWANA YESU wewe?
Sheikh Yusuph Ndio huwa unamtia sindano vizuri dasha....!....maana unaimalizaga hii mada ya Msalaba kule kule mwanzo’ ..! Dasha haongei hapo...!....ukimtia kwenye khitilafu zao Ndio unazidi kumchanganya...!..haijulikani Yesu yupi ni yupi aliyesulubiwa...! Kweli QUR’AAN ni kitabu kisichokuwa na shaka...!...WAKRISTO HAWANA HAKIKA KATIKA KIFO CHA YESU..!
Yaani ukisubiri Dasha ampeleke Yesu Golgotha ujue umekwisha ‘ ... Lkn ukimkamata huku mwanzo toka hukumu Kwa pilato mpk pale anaposaidiwa msalaba na simeoni mkerene ‘ baba yao Eskanda na lufo ‘ halafu umuulize ni wapi Yesu aliubeba tena Msalaba ‘ Dasha anarukaruka..! Ukimpeleka tena muda aliyesulubiwa Yesu ni upi hasemi’ ukimpa tofauti za wanawake wangapi walienda kaburini’ ndio unazidi kumchanganya...! Ila kwenye mjadala lazma Dasha ajifunze kuondoa hoja zinazowekwa ‘ maana hakutuambia hizo tofauti zimekuaje’ kusoma maandiko sana si kigezo kama hupangui hoja za mwenzio...! Ni msomaji mzuri wa maandiko Usiku Lkn mchana anashindwa kuelewa KISWAHILI na kuchambua MAANDIKO...!...Yaani Dasha hana tofauti na KASUKU ...!
Kasome huyo jamaa yako hana lolote imagine katika Quran amesoma aya inayozungumzia kisa cha watu wapangoni imean as'habul qahf 18:22 ndo ilikisema watu walikuwa waki tangatanga kuwa wale vjana walikuwa saba na mbwa wao wengine wanasema wanne watano wao mbwa wao ndo Allah akasema yeye ndo anajua hesabu yao # Ndasha akaifananisha na khitafiana ya wale waliosema kina Marko na yohana kila mtu na hesabu yake
tatizo shule kufisha haimanishi ni kufa na Kama kufisha ni kufa basi kila siku binadamu wanakufa usiku quran 6:60 Allah anawafisha binadamu wakati wa usiku kisha anazikagua roho zote zile zilizo maliza mda wake zinabaki Alafu zile ambazo hazijamaliza mda hurudishwa duniani. nabii issa alifushwa wakati alikuwa ananyanyuliwa
Ndacha mwenewe ni masikini waimani kama wewe ETASTUSS, Yote wawili hsmumujui Mungu,.ukisema yesu ni Mungu umepotea sana na hakuna lingine ila ukifa na imani hiyo ni motoni direct
Yusufu hana jipya,kwanza hao hao ndio huwa wanasema Paulo sio mtume halafu kakimbilia andiko huko huko ktk nyaraka za Paulo kudai Yesu hakufa halafu huwa wanasema Paulo si mtume halafu wanadai hakuna andiko Paulo alionana Yesu hivo si mtume leo Yusufu anaenda kwa Paulo huyo huyo wanayemkataa kuwa hawezi kuwa mtume sababu hakuonana na Yesu,hawa kwa kuruka ruka hawa, Au Yusufu unakubali Paulo ni mtume,
biblia Kama bamia yani unaweza kulichemsha Sawa ,kukaanga Sawa ama ukalichoma pia Sawa biblia zipo aya ukizisoma utaona Kweli yesu amesulubiwa na kuna aya ukisoma zengine yesu hajasulubiwa sasa hizi Imani zengine msiba mtupu
@@godlistenemanuel4538 3:55 when Allah said, "O Jesus, indeed I will take you and raise you to Myself and purify you from those who disbelieve and make those who follow you [in submission to Allah alone] superior to those who disbelieve until the Day of Resurrection. Then to Me is your return, and I will judge between you concerning that in which you used to differ. Tumia google easy kutafuta acha uvivu
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Na ndio ukweli pia, dini gani mnaabudu jiwe, eti lilitoka peponi 🤣🤣🤣🤣🤣.....nyie Mungu wa kweli kwenu hayupo mtakuwa mnamsikia tu kwenye vitabu vitakatifu, kama zaburi ...aliyo yatenda enzi za akina Daudi enzi za akina Musa .........kwenye Qur'an huwezi ukaona hata siku moja matendo ya Mungu wa kweli , utaona Mauza uza tu ya Muhammad. ..alipokuwa amelogwa na anabanwa mbavu mapongoni Kule mpaka akaumwa🤣🤣🤣....shetani alibana mbavu mpaka akakubali kutumwa naye🤣🤣🤣
Yani wakristo washeherekea kusulubiwa kwa yesu kweli huu ni msiba ...Kweli waislam tunampenda Issa (a.s)kwa dhati...Ole wenyu wakristo wafuasi wa Paulo anae sulubiwa mnajuakuwa amelaaniwa?yani yesu alikuwa amelàaniwa Inna_lillahi wainna ilaihi rajiun.
namtafuta Sana Dasha kwenye meza ya maswali yani Hakuna siku hata moja atajitetea kimaandiko ila kazi yake ni kusoma Maelezo na kuzikanyaga aya. msiba Huu Eti kuna noble Quran Hata kusoma kiingereza balaa
Wakristo wacheni kiki sisi waislam hatufichi lolote ukitaka ww mwenyewe waweza enda kuangalia hizo vitabu manake waislam hawaongezi na hawapunguzi chochote wacheni kuchafua muhadhara.
Kwa Yesu hakuna kulazimizwa au ukiachana na Yesu unauwawa kama waisilamu.check Pakistan, Iraq and many Muslim countries killing Christians.why?? If it's a religious of peace. Hypocrisy
Ndasha piga kazi upo vizuri kuitangaza injili iliyo gharimu maisha ya mtume wa mungu
Hakika Mch Ndacha Mungu yupo nawe Mungu akubariki sana shindano Kali kwa waislam
😁😁😁👊Ashidwe katika jina langu
😁😁😁😁👊 Ashidwe katika jina langu
Allah waongoze maustadh wetu uwape maisha marefu..
Amin sote
shukrani zangu zoote ziwafikie mashekhe wetu kwa kazi nzuri ya kunusuru dini ya mwenyezi mungu subhanahuwataala, kwa kuwa nilitamani Sana kwa pastor huyu kukutana na wasomi waliobobea katika massala ya dini, amekuwa akiwachanganya wasomi wa daraja LA chini kule Kisumu na Eldoret, nimekuwa niki mwangaliasana, asante sheikh wambugu.
Asante brother,karibu sana
Hata hii nayo nai download najua italeta wengine tu,Mungu akujalie sana mwalimu @francis dasha waislam tafuteni waKristo wengine mfanye nao mdahalo,kwa wa SDA mtakuwa mnaadhirika tu
kweli ww huna macho na masikio huna nadhani hata ubongo huna nyie makafir
Matusi ya nn? Huko ktk uislam nilishatoka kitambo sababu ya ubabaishaji uliopo.Hakuna muislam anayeielewa dini yake zaidi ya kusikiliza kiongozi kasema nini.
@@barakabmasalu5642wewe pia nimfuasi wa ndacha 😅😅
Roho wa bwana atazindi kumtumia atufundishe
mashaAllah good lecture may Allah guide us all to the right path
Amin
Aamiin Rabul Aalamin
Amen & Amen
Mashaلله Ustadh Yusuf na Daawa team. Inshallah Allah awape kheri nyingi. This is Islam
Amin sote
Mashallah
Asanteni Sana masheikh yani Mada mumeichambua mukaichimba Kweli Kweli
Alhamudulillah
Mwalimu Ndacha-wape dosi watakaokubali wabatizwe
Hahaha,hizo ni ndoto
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp si ubatizwe na maji kabla ajapo mwenye mwenye hubatiza na moto(YESU KRISTO)
Nemokile leu tumake
Jazakallah kheir ya sheikh
Hahaha,Antikadharik
Manshaallah hapo hakuna kujificha Amir Yusuf AllAh akupe umri mrefu inshaallah semeni amiin ndiyo asafishe watu walio potea na AllAh aoneshe haki
Amin sote
Aaamin
Jezaka'Allahu kheir 👍
Ndasha ana macho makavu
Masha Allah muhadhara umekua mzuri Allah hawape nguvu hi ya kuitetea uisalmu na mwesho mwema
Amin sote
Amina
AllAhu Akbar
Waislam hamuongozwi na roho mtapata shida kuuelewa ukristo
Manshaallah
Nikiona wakristo wananukuu 1:17 Ufunuo na cheka Alpha and omega anakufa.
Ndiyo maana akafufuka na kupaa mbinguni,sasa unashangaa nini na elimu ndogo,angesema Muhammad maneno hayo ndo ungesema hivyo maana alipokufa hakurudi tena.Unamchezea BWANA YESU wewe?
@@katrafandhe466 mhamedi amekufa tarehe ngap?
Sheikh Yusuph Ndio huwa unamtia sindano vizuri dasha....!....maana unaimalizaga hii mada ya Msalaba kule kule mwanzo’ ..!
Dasha haongei hapo...!....ukimtia kwenye khitilafu zao Ndio unazidi kumchanganya...!..haijulikani Yesu yupi ni yupi aliyesulubiwa...!
Kweli QUR’AAN ni kitabu kisichokuwa na shaka...!...WAKRISTO HAWANA HAKIKA KATIKA KIFO CHA YESU..!
Alhamudulillah
Yaani ukisubiri Dasha ampeleke Yesu Golgotha ujue umekwisha ‘ ...
Lkn ukimkamata huku mwanzo toka hukumu Kwa pilato mpk pale anaposaidiwa msalaba na simeoni mkerene ‘ baba yao Eskanda na lufo ‘ halafu umuulize ni wapi Yesu aliubeba tena Msalaba ‘ Dasha anarukaruka..!
Ukimpeleka tena muda aliyesulubiwa Yesu ni upi hasemi’ ukimpa tofauti za wanawake wangapi walienda kaburini’ ndio unazidi kumchanganya...!
Ila kwenye mjadala lazma Dasha ajifunze kuondoa hoja zinazowekwa ‘ maana hakutuambia hizo tofauti zimekuaje’ kusoma maandiko sana si kigezo kama hupangui hoja za mwenzio...!
Ni msomaji mzuri wa maandiko Usiku Lkn mchana anashindwa kuelewa KISWAHILI na kuchambua MAANDIKO...!...Yaani Dasha hana tofauti na KASUKU ...!
takbiir!!!
Allahu akbar
quran 18:22
inazungumzia watu wa pangoni umechemsha babu Mada ni msalaba sio watu wa pangoni. stick kwenye Mada
Ndacha ameishi kuchanganyikiwa
Allaah awape nguvu sheikh yusuf na wenzako...na ndugu dasha Mola amuongoze katika haqqi kwa hakika Moyo wake upo mbali na ukweli na karibu na ukafiri
Amin
Sh.Yusuf n sh.sasaka Allah awape mazuri
Swadakta ujumbe umefika mashekhe wetu
Alhamudulillah
jamani ukrsto kazi mmmh
Sehemu akiwapo Francis ndacha hakuna kinachoharibika Kwa maongozi ya roho mtakatifu
Kasome huyo jamaa yako hana lolote imagine katika Quran amesoma aya inayozungumzia kisa cha watu wapangoni imean as'habul qahf 18:22 ndo ilikisema watu walikuwa waki tangatanga kuwa wale vjana walikuwa saba na mbwa wao wengine wanasema wanne watano wao mbwa wao ndo Allah akasema yeye ndo anajua hesabu yao # Ndasha akaifananisha na khitafiana ya wale waliosema kina Marko na yohana kila mtu na hesabu yake
Waislamu jifunzeni jamani kwasababu tunaamini katika manabii,hatuwezi kumuamini muhamadi kwasababu nayeye anaamini ktk manabii hao.mohamadi si nabii!
@@benjaminiheadmani7538 prove it
tatizo shule kufisha haimanishi ni kufa na Kama kufisha ni kufa basi kila siku binadamu wanakufa usiku
quran 6:60
Allah anawafisha binadamu wakati wa usiku kisha anazikagua roho zote zile zilizo maliza mda wake zinabaki Alafu zile ambazo hazijamaliza mda hurudishwa duniani. nabii issa alifushwa wakati alikuwa ananyanyuliwa
Ndacha wambie ukweli wamjue mungu wa kweli
Ndacha mwenewe ni masikini waimani kama wewe ETASTUSS, Yote wawili hsmumujui Mungu,.ukisema yesu ni Mungu umepotea sana na hakuna lingine ila ukifa na imani hiyo ni motoni direct
Heri Yesu kuliko Mohammed bonoko kujituma
Wakristokifuampele
Nimegundua waislamu wana kiburi cha asili na ubishi yaani kila kitu kiko wazi ila kukubali hsmna
Wanaogopa kifo
Na hata Yesu alisema watasikuyaa lakini wasisadiki hata sishangaii
Shehk yusuph acha kubwabwaja unatakiwa utoe andiko linalosema yesu hakufa kwenye Quran na Biblia.
Andiko limetolewe na sasaka (1Timotheo 6:15-16) fwatilia video vinzuri wacha kubwabwaja
Sijaona andiko hapo linalokataa yesu hakufa lifatilie vzuri tu
Yusufu hana jipya,kwanza hao hao ndio huwa wanasema Paulo sio mtume halafu kakimbilia andiko huko huko ktk nyaraka za Paulo kudai Yesu hakufa halafu huwa wanasema Paulo si mtume halafu wanadai hakuna andiko Paulo alionana Yesu hivo si mtume leo Yusufu anaenda kwa Paulo huyo huyo wanayemkataa kuwa hawezi kuwa mtume sababu hakuonana na Yesu,hawa kwa kuruka ruka hawa, Au Yusufu unakubali Paulo ni mtume,
Hawezi kubali kusema ukweli unauma
Namuomba mungu anijalie kipato nije kuwaona live na mim walimu wangu wa kisilamu Allah awape heri endeleni kupigania dini ya allah.......
Amin inshaa-Allah,Asante kaka
biblia Kama bamia yani unaweza kulichemsha Sawa ,kukaanga Sawa ama ukalichoma pia Sawa biblia zipo aya ukizisoma utaona Kweli yesu amesulubiwa na kuna aya ukisoma zengine yesu hajasulubiwa sasa hizi Imani zengine msiba mtupu
Mwalimu yuphuf umenichekesha kwa furaha tu hapo kwa nyoka ya duplicate wallahy umepeana mfano mzuri ambao ningekuwa mkristo ningesilimu kwa mfano huo
Mfano uliyo hai ,but wangumu wakuelewa,Allah awaongoze
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp kuelewa ni ngumu hao coz Allah ameshawafanya viziwi ata useme vipi hawakubali
Waislimu ni watumwa mpaka lughu mhuu ama kweli walabu wanawazidi hakiri ndiyo maana wawatumikisha
😂😂😁😁Kani kuna mtume mzungu maana munatumia kinzungu,wanzungu dio maana wakawatawala,.lugha ya kiarabu diyo lugha bora NOTE sefania 3:9,zakaria 14:9
Nao bubu wafanyeje
watubu na waokoke wamjue YESU NDIYE MWOKOZI WETU
Yesu hachagui lugha wala rangi yy ni wawote
Asomae na afahamu
Lugha yako ya kiswahili hujuwi kuiandika jifundishe lugha yako kwanza.
Yusufu mwalimu tosha!
Asante sister
Mungu atamfisha, hio ni wakati ujayo. na QUR'AN haisemi ya kwamba nilimuuwa.andiko lilipo ni peupe lakini basi.
Acha ujinga wewe kufisha ni kuua yaani Qur'an yako hata huielewa
Dasha wacha uongo quran 3:55
haisemi issa bin Mariam anamiliki roho ya Muhammad
Basi twambie wewe quran 3:35 inasemaje?
twambie quran 3:55 inasemaje wewe unayejua
@@godlistenemanuel4538 3:55 when Allah said, "O Jesus, indeed I will take you and raise you to Myself and purify you from those who disbelieve and make those who follow you [in submission to Allah alone] superior to those who disbelieve until the Day of Resurrection. Then to Me is your return, and I will judge between you concerning that in which you used to differ.
Tumia google easy kutafuta acha uvivu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 .waislam wanavyo fundisha hata kichaa atajua tu kwamba wanadanganya wameshndwa hoja😂😂😂
Maoni yako hayo
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Na ndio ukweli pia, dini gani mnaabudu jiwe, eti lilitoka peponi 🤣🤣🤣🤣🤣.....nyie Mungu wa kweli kwenu hayupo mtakuwa mnamsikia tu kwenye vitabu vitakatifu, kama zaburi ...aliyo yatenda enzi za akina Daudi enzi za akina Musa .........kwenye Qur'an huwezi ukaona hata siku moja matendo ya Mungu wa kweli , utaona Mauza uza tu ya Muhammad. ..alipokuwa amelogwa na anabanwa mbavu mapongoni Kule mpaka akaumwa🤣🤣🤣....shetani alibana mbavu mpaka akakubali kutumwa naye🤣🤣🤣
kama Yesu ndie alikua Msalabani, mbona ameshindwa kshuka ?
Yani wakristo washeherekea kusulubiwa kwa yesu kweli huu ni msiba ...Kweli waislam tunampenda Issa (a.s)kwa dhati...Ole wenyu wakristo wafuasi wa Paulo anae sulubiwa mnajuakuwa amelaaniwa?yani yesu alikuwa amelàaniwa Inna_lillahi wainna ilaihi rajiun.
Wacha tufute pia mafundisho ya paul
namtafuta Sana Dasha kwenye meza ya maswali yani Hakuna siku hata moja atajitetea kimaandiko ila kazi yake ni kusoma Maelezo na kuzikanyaga aya. msiba Huu Eti kuna noble Quran Hata kusoma kiingereza balaa
Wakristo mmefilisika...sasa mmeenda sura khaf kufanya nni?
Kufirisika kivipi??
@@janenjenga5639 kama neno lako uliloliandika "umefirisika" umekosea na na dini yako imefilisika..
Kivipi
@@janenjenga5639: kajifunze kuandika kiswahili
Sina hela za masomo
Wakristo wacheni kiki sisi waislam hatufichi lolote ukitaka ww mwenyewe waweza enda kuangalia hizo vitabu manake waislam hawaongezi na hawapunguzi chochote wacheni kuchafua muhadhara.
Amishjuma kwa hiyo Quran imeandika kila kitu nikiuliza swali ntajibiwa au zitaanza siasa?
Kwa Yesu hakuna kulazimizwa au ukiachana na Yesu unauwawa kama waisilamu.check Pakistan, Iraq and many Muslim countries killing Christians.why?? If it's a religious of peace. Hypocrisy
Huyo mkiristo anasoma surah kahf kuthibitisha Kifo cha yesu Inalilahi wa ina ileyhi rajiuun. Sheikh Yusuf wafundishe pole pole tu wewe na ustadh saidi
Inshaa-Allah
Hawa wakristo washa zoeya wachungaji wao huko kanisani kwamaana wachungaji huwasomea baibol ndiyo sivyo washa soeya kanisani kutukuwa sadaka
Mahubiri ya wachungaji ni sadakatu Hawana injili wao hukimpilia sadaka mwanzo WA Maginot mpaka mwisho
Ndacha sindanu imemuingia amezuba
Walahi kama mnataka njia ya ALLAH msikilize malimu Yusuf hapo ame wafudisha malimu kamili kabisa
hakuna mkristo yoyete anaye fua dafu kwa mwiislam nyie hamuelewi maandiko kazi kufokafoka tu
Kama kwa vulugu atutii dafu Kweli lakini kwa maandiko nyinyi niwachanga sana
Hahaha safi sana Lazaro,kwa vurugu kweli hatufui dafu ila maandiko kushney,kwani waislam huwa wanajifunza maandiko au wanakariri maandiko?